MashaAllaah, this was both so beautiful and tear jerking. The Sheikh's words are true. We don't have the right resources otherwise in advanced countries some of these cases live a normal life and even excel in certain areas more than others. May Allah put barakah in their marriage, and barakah to all the organizers.
Mashala mashala I congratulate him I knew him At hawere butcher kongowea his a respected boy, whenever I met him,is calling me mama. Wish him all the blessings and good luck with his wife.god bless u.ameen.
Bismillah maishaallah Mwenywezi Mungu awafungulie rizki ya halali mapenzi kwa mkewe vizazi vyema na Kheri zote Allahumma Amiin Yaa Rabbi, hongera zao 🎉🌹🌹🌹
Kwani tumekuwa wakristo, tukioza twasema until death do you apart? Waislamu twaambiwa twaowana kwa wema, na twawachana kwa wema. Tusibadilishe dini Sheikh Abdo.
Huyo ni Down syndrome Ni kama mtt wa miaka 5 hajui kitu chochote Ni masuuliya makubwa hayo maana hana ufahamu wa akili kama mtu sahihi Na baina ya mume na mke hapo hakuna kitakachoendelea nashani ushafaham...
Sasa sh Yusuf abdi wamuozoshaje mtu ambae mwajua akili zake sio timam kuna ndoa hapo kweli ??? Pesa zina tabu sana Huyu sio slow Learner huyu ni mtu akili zake ni punguani Acheni kupamba baraza mnakosea mashekhe
Kweli dunia imeisha dunia Qur-an inasema mtu mwenye kuweza kuowa awe balekhe na akili timamu huyo hana akili sheikh umepata Aya au hadithi wapi ya kuozesha hii ndoa au ndio miongoni mwa jeshi la Masih dajjal tumeambiwa limeshafika bado yy tu,,huyu atatoa siri za ndoa jee itakuwaje sheikh mitihan mikubwa
@@minakhamiskhamisi6193 sheria ya mtu mwenye kuowa awe na akili timamu kuchanganua baya na zuri aweze kuzuia siri hatoa siri za ndoa huyo maana hana Akili Ngugu yng ila kwa kuwa dunia imeisha sw
@@salummzee9739 nimejarib kuangalia hii Harus kun huyo mzee kaongea kusem kwamb et km anahisia anaruhusiwa kuwa n mwezie ndio alicho kuwa naamanish ss nilich shgaaa kwamb bwana Harus ht jin l mkeo analisahau ss hp kweny mfano tend l ndoa itakuwaje lbd wawe wanawashika ndio wanawz ht kufny tend ila ht masherh mm naon siku hiz wanachangia kuvuja yale mmbo mwenyz mungu kasem au kuamrish hawayafuati ht kdg walh ten
Sidhani kama hao wote hawajui sheria. Lazima wanavigezo vya kumuozesha. Sasa ndugu yangu kama bwana huyu na ulemavu wake ni mzima idara zingine afanyaje aachwe tu? Na pengine familia yake wako tayari kumuangalia kwa huduma huyo mke
Sasa sh Yusuf abdi wamuozoshaje mtu ambae mwajua akili zake sio timam kuna ndoa hapo kweli ??? Pesa zina tabu sana Huyu sio slow Learner huyu ni mtu akili zake ni punguani Acheni kupamba baraza mnakosea mashekhe
MashaAllaah, this was both so beautiful and tear jerking. The Sheikh's words are true. We don't have the right resources otherwise in advanced countries some of these cases live a normal life and even excel in certain areas more than others. May Allah put barakah in their marriage, and barakah to all the organizers.
Allahuma amiin thumah
Mashala mashala I congratulate him I knew him
At hawere butcher kongowea his a respected boy, whenever I met him,is calling me mama.
Wish him all the blessings and good luck with his wife.god bless u.ameen.
MashaAllah. Mabrook alf mabrook Allah awape masikizano katika ndoa yenu na awajaalie kizazi chema 🤲
MashaAllah mungu amjalie ndoa ya kheri awape masikizano na wengine kama watu hawa awape uwepesi wa owe ALF MABROUQ TARIQ
MashAllah tariq elf mabrukk!!
بارك الله للعروسين وبارك عليهما وجمع بينهما بالحب والرحمه والموده ورزقهم الذريه الصالحه..
آمين يارب العالمين
MashaAllah Alf alf mabrouk Tariq
Maashallah tabarakallah Allah awadumishe kwenye ndoa Yao na awajalie watoto wema 🤲
Mashallah Mashallah proud of it Mashallah mfano mzuri Mashallah 🇰🇪
Bismillah maishaallah Mwenywezi Mungu awafungulie rizki ya halali mapenzi kwa mkewe vizazi vyema na Kheri zote Allahumma Amiin Yaa Rabbi, hongera zao 🎉🌹🌹🌹
MashaAllah Tabarakallah Allah awajaalie baraka katika ndoa yao.na Allah awajaalie kila alohusika katika nehma hiyo awape nehma isio na kifani
Masha Allah mabrook Allah awape baraka
Mashaa Allah Alf Alf Mabruk Twariq.Salamu nyingi zatoka kwa Marafiki zako Qatar.Twakuombea kila la Kheri yaarab🙏🙏🙏
Allah awajazi mama wote walio changia kwahakika kwa uwezo wa Allah kila kitu chaweza kua
Mashallah Allah awape masikizano mema na kizazi chema na watoto wema🤲🤲🤲
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. MABROOQ
MashaAllah...mabrouk alf mabrouk kwa Twariq... Allah Aijaalie ndoa ya kheri na baraka...Amiin🤲🤲🤲
May ALLAH bless their Marriage ALLAHUMA AMIIIIIN
MashaAllah mwenyeezi mungu awajalie vizazi bora na wenye kuishika tawhd ndoa yao idumu hadi mwisho wa uhai wao
SubhanAllah, mume hajui jina la mkewe hadi akumbushwe
Hatar wallah 😂😂😂akili yake imehamia kwa mke wake mpak kusahau huyo mkewe jina
Hamn ndg huyo kdg anahitilafu nazani la akil kdg Inshaaalh angalia vzr utajua tyy
@@mariamhamisi598 huyo ni wale wenye matatizo ya akili kidogo.
@@minakhamiskhamisi6193 sawa x2
Allah awaajalie iwe ndoa ya kheri, na kizazi chenye barka in shaa Allah 🤲🏼
mungu awape maisha mema .. na furaha katika maisha yao amin ..
Takbiir Ma Sha Allah ❤❤❤❤❤
HUYU BWANA HARUSI SI HUA NI CHIZI MBONA MASHEKHE MWAJIPA MAJUKUMU KWA ALLAH
Mashaallah tabarakallah kila la kheri ktk ili Allah awape kizazi chenye ufahamu na Afya tele awaondolee vizuizi kila upande wa Rizki Amiin 🤲
Mabrook Alkh twariq .Allah awabirikie
Mungu awajaalie mahabba na mawadda
Mashallah twark kwa ulicho kifanya Allah awajalie furaha na kizazi chema Allah humma mamiin
MashaAllah tabarakah Rahman
Kwani tumekuwa wakristo, tukioza twasema until death do you apart? Waislamu twaambiwa twaowana kwa wema, na twawachana kwa wema. Tusibadilishe dini Sheikh Abdo.
Allaahu Akbar
Mashallah....May Alllah bless their marriage...
ALLAHUMA AMIIIIIN
Masha Allah Baraka Allah fiek ALF Mabrouk Brother Tariq
Mashaallah tabaraka Allah MUNGU awalie kizazi chema awape na masikizano
Mashaallah mashaallah, 🌿 baraka Allah
Mashaallah... Happy for you Twariq
mashaaAllah tabarakallah mungu awajaalie kila la kheri na mafanikio mema katika harusi hiyo .i kuna watoto kama huyu lakini wamewaweka nyumbani tu
Huyo ni Down syndrome
Ni kama mtt wa miaka 5 hajui kitu chochote
Ni masuuliya makubwa hayo maana hana ufahamu wa akili kama mtu sahihi
Na baina ya mume na mke hapo hakuna kitakachoendelea nashani ushafaham...
Bismillah mashaAllah ❤❤❤
Barakallah lakuma wajamaa bainakuma fil kher
Mabruk brother tarik ndonjema inshaallah
Alhamdulillah 😥. Touching . May Allah bless their union
Mashallah tabarak Rahman ❤🥰🇴🇲🌹
Mabrook..alhamdulilah...
Allah awafungulie kila la kheri katika ndoa yao amiin
Masha'Allah 🤲 Allah ajalie kheri kwenye ndoa yawo
فيارب يارحمن بارك لعرسنا * بجاه الإمام الهاشميِّ نبينا
💚🌹💍
MashaAllah mashaAllah Allah barik. Lkn shekhe Mbona hicho kiapo cha kumwambia asimuache mpaka kufa mmmhhh 😁😁😁😁
Mashaallah mabruk❤❤❤😂😂😂😂❤❤❤❤
Mashaa Allah Tabarakallah
Maashaall tabbark Allah'
Mashaallah tabarakanllah
MashaAllah
Masha allah Masha allah Masha allah
Masha Allah
Mashaa Allah
Masha allah 😍😍🥰🥰❤️🙏🌹
Masha Allah, kila la kheir kwenye ndoa yao Insha Allah
Mashaallah,mabrouk
MASHA ALLAH
Mashaallah mashaallah 🇹🇿
Alikua anamtaka amina lakin mmemuozesha mwenhne
MashaAllahTabaraqAllah
Allah awape masikizano mema
MashaALLAH MashaALLAH
Mashallah
Mungu afanye wepes inshallah
Ive worked with his dad i saw the boy growing congrats Twariq
Where?
@@fatmamsiliwa8485 mbaraki opposite mbaraki club his elder brother Akish is my sons friend his father mzee Dunga was my work mate in kpa
Masha ALLAH
Naiwe kher 🙏🌹😘
Mashallah 🥰🥰
ᴍᴀsʜᴀᴀ ᴀʟʟᴀʜ🙏🏻
I hope the girl is also a 'slow learner' like him. Lakini kama ni mschana normal, wallahy mumemdhulu😭😭😭😭😭
Dini inasema mtu anaesoma nikah ya kwake ama anamwakilisha mtu lazima awe na akili timam ila huyu hayupo timam
Amin
Mashaallah 😘😘🌺
MASHALLAH
TabarakaAllah Mabroo
Assalam alykum jamia, naomba kujua je kigezo Cha kuwa na akili timamu kimefuatwa???
Salim mimi siungi mkono bwana harusi hata jina mkewe halijui
Waliohudhuria karibu wote huteka kuona ni maajabu sio wanateka kwa bashasha
Na mimi nilikuwa najiuliza hilo
Jamani ya swihi hii ndoa
Hana akili ni Down syndrome wamemuozesha lakini hawezi kuwa kama mwanamume sawA kujua kulala na mke na mengineo
Duuh Amina Tena 😂😂 ongera ndgu
😂 😂 😂 😂 😂 Yaani nimechoka bila kutarajia subhanallah
Mashalah
Alhamdulillah
Sasa bwanaarusi mbna ajui jina la mke wake jamani mungu awajalie arusi y heri inshaallah
Huyu_twariq_ni_wale_matair_,ila_wamemuozesha_kinguvu_sijui_sheria_, hizi_eanatoa_wapi
Hizi zafaa mzisambaze WhatsApp watu wawe na ghera kwa ndugu zetu hawa.
Huyu ni absenmenda
Wazimu
Sheikh kichambo cha abla kimempata kw kumuozesha tahira wakt din hairuhus machiz kuoa au kuilew
Dini_Mpya_wallah_haifai_kabisa_wallah
Abu Shuraim hii tournament ya swimming gala yaanza sangapi na itaisha sangapi
Saa Tatu mpaka Saa Kumi na mbili jioni kesho kijaliwa insha'Allah
@@mwanaishakhamis8069 thanks inshallah nitakuepo
Mabruk twarik
*Sheikh Abd wacha mbwembwe naviapo vicvyokisheria ktk SUALA siliasi NENO SIMUACHI MPAKA KUFA NIDHIMA KUBWA Mwambie TU muishi kwawema nakama ikitokea kuachana Basi muachane kwawema sasaa unapompa kiapo kisichonadalili nimtihani wallah mnaenda wapi masheikh mbna mnapenda kuwabebesha watu mizigo mizito? Tubadilike*
M.A
Amina aliengia wapi kkkkkkk
Usimcheke please
Hmn huyo kaka kdg anahitilafu la akil ndio maan jmn usijaj sna mungu mwenyewe ndio anajua
Sasa sh Yusuf abdi wamuozoshaje mtu ambae mwajua akili zake sio timam kuna ndoa hapo kweli ???
Pesa zina tabu sana
Huyu sio slow Learner huyu ni mtu akili zake ni punguani
Acheni kupamba baraza mnakosea mashekhe
Mume yaonesha kama abnormal ndoa itasihi kweli?
Hii_Ndoa,wamefosi_tu,kama,bwana_Harudi_hazimo
*Sasaa hyu sheikh anasoma hutuba ya ndoa au anaghani?*
Ww sheikhe kwann uyo usingemuozesha mwanauo leo nimekutoa thamn kubwa
Huyu mbona kama mgonjwa??
Hata Mimi Nina wasi wasi lakini Allah ndio karim
@@abdallahsuleimani7416 anaonekana kama ana down syndrome ni uko tuu africa tunawaweka chini lakini wanaweza the 🙏
Ni mgonjwa down syndrome mkubwa kiuumri mdogo wa akili akili yake haikui kama watt wengine
@@shamzone388 kwaiyo aanaruhusiwa kuoa kidini??
@@khaijakadija2082 kwani siyo mwanadamu asioe, mbona mizeee ya miaka 80 inaowa vitoto pamoja na kwamba akili zao at this age sio nzuri tena 🤣
S.C.W S.C.W S.C.W ❤ 🥰 💯
Mashaallah
Kweli dunia imeisha dunia Qur-an inasema mtu mwenye kuweza kuowa awe balekhe na akili timamu huyo hana akili sheikh umepata Aya au hadithi wapi ya kuozesha hii ndoa au ndio miongoni mwa jeshi la Masih dajjal tumeambiwa limeshafika bado yy tu,,huyu atatoa siri za ndoa jee itakuwaje sheikh mitihan mikubwa
Kwan mtu mweny hitilafu la akila harusiw kuoa eheee ndio nasikia leo sema huyo akil Zipo lkn kdg zgn hmn
@@minakhamiskhamisi6193 sheria ya mtu mwenye kuowa awe na akili timamu kuchanganua baya na zuri aweze kuzuia siri hatoa siri za ndoa huyo maana hana Akili Ngugu yng ila kwa kuwa dunia imeisha sw
@@salummzee9739 nimejarib kuangalia hii Harus kun huyo mzee kaongea kusem kwamb et km anahisia anaruhusiwa kuwa n mwezie ndio alicho kuwa naamanish ss nilich shgaaa kwamb bwana Harus ht jin l mkeo analisahau ss hp kweny mfano tend l ndoa itakuwaje lbd wawe wanawashika ndio wanawz ht kufny tend ila ht masherh mm naon siku hiz wanachangia kuvuja yale mmbo mwenyz mungu kasem au kuamrish hawayafuati ht kdg walh ten
Sidhani kama hao wote hawajui sheria. Lazima wanavigezo vya kumuozesha. Sasa ndugu yangu kama bwana huyu na ulemavu wake ni mzima idara zingine afanyaje aachwe tu? Na pengine familia yake wako tayari kumuangalia kwa huduma huyo mke
@@minakhamiskhamisi6193 umeonae
duh! umwoe mpaka kufa! majahil wakubwa nyie