MADHARA YA KUTOONDOA NADHIRI ULIO JIWEKEA KWA BWANA "PST MGOGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 сер 2022
  • Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
    Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
    UA-cam : Pastor Daniel Mgogo ua-cam.com/channels/eNr.html...
    #PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo

КОМЕНТАРІ • 19

  • @aliethmgode389
    @aliethmgode389 11 місяців тому +1

    Mungu atysaidie kutimiA ahadi zetu. Kwa uaminifu Ubarikiww sana mtumishii🙏🙏🙏

  • @phelisterschelimo
    @phelisterschelimo Рік тому +1

    May God bless u pastor nimeguzwa saana kuhusu kuondoa nadhiri barikiwa sana sante Kwa huo ujumbe na maombi makuu ya hekima.AMINA

  • @kepsonmaendakyenye2467
    @kepsonmaendakyenye2467 9 днів тому +1

    Ameeeeeeeeeen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @oguroforeman8506
    @oguroforeman8506 2 роки тому +2

    Pastor kwa kweli Neema ya Mungu unayo barikiwa hata zaidi. Ukweli unanena hadharani

  • @joelmulongo801
    @joelmulongo801 2 роки тому +1

    Hakika baada ya kusikiza haya mafunzo pastor umenigusa sana acha Mungu akubariki sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @israelmoses9768
    @israelmoses9768 2 роки тому +1

    Ubalikiwe sana Mtumishi ulieamua kutuambia ukweli wanadam,, kuliko wale wa pokea pokea TU bila kutuhimiza kufanya kazi

  • @furweltechnologies995
    @furweltechnologies995 2 роки тому +1

    Barikiwa sana Mtumishi Wa Mungu

  • @msafirimadandi2606
    @msafirimadandi2606 2 роки тому +1

    Ubarikiwe kwa masomo ya familia bado neno moja tu

  • @lindtray
    @lindtray Рік тому +1

    Yani Leo umenianika

  • @fridahbaraka8408
    @fridahbaraka8408 2 роки тому +1

    Amen

  • @kipandemalengo7002
    @kipandemalengo7002 2 роки тому +2

    🙏Jesus Voice🎤

    • @asheriddy2065
      @asheriddy2065 Рік тому +1

      Yes Lord an answer to your call ❤️🧡💛💚

  • @pacifiquebatumike6080
    @pacifiquebatumike6080 2 роки тому +1

    Amen pastor nakufwata tano kwa tano

  • @shaphats2437
    @shaphats2437 2 роки тому +1

    Ubarikiwe kwa somo hilo Pastor. Limekuja kwa wakati wake wa kufaa sana.🙏🙏

  • @evamusuruve3196
    @evamusuruve3196 Рік тому +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭 Nilikuwa mwizi WA zakaa ,, Nashukuru MUNGU , tangu nihanze kutoa vile inahitajika ,mungu WA mbinguni amenifungulia zahidi na zaidi,be blessed pastor Daniel 🤣 ni injili Yako ni kali but ni heri tupone

    • @josykogei7647
      @josykogei7647 Рік тому

      Unalia wee Mimi nilikuwa worst kabisa lakini sai tangu nianze Kuta wee naona makubwa ya mungu

  • @leonardmpotwa9122
    @leonardmpotwa9122 2 роки тому +1

    .... to

  • @corinnenibona4327
    @corinnenibona4327 2 роки тому +1

    Pastor kwa nini huendi kuhuburi Burundi 🇧🇮??

  • @williampable1699
    @williampable1699 2 роки тому +1

    😀😀😀huwa nikiwa na hasira nikikufuatilia you tube hasira inaishaga