UBINAFSI UNAVYOHARIBU FAMILIA NA NDOA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
    Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
    UA-cam : Pastor Daniel Mgogo www.youtube.co....
    #PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo

КОМЕНТАРІ • 114

  • @user-qp8dq1tp2y
    @user-qp8dq1tp2y 6 місяців тому +1

    Amen mchungaji nabarikiwa na maubiri yako kutoka kenya 🇰🇪 ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @laumoshi9419
    @laumoshi9419 2 роки тому +1

    Mchungaji ubarikikiwe sana yaan somo la leo limegusa maisha yangu na familia yangu hakuna ambacho sijaona mungu akupe miaka mia ili uendelee kufundisha naamini utasaidia familia nyingi ziishi kwa amani

  • @bensonkyule5102
    @bensonkyule5102 4 роки тому +2

    wanao udhuria kanisa la huyu Mtumishi mna bahati sana . Ni ngumu kupata mafundisho kama haya siku hizi .

  • @webingogo3633
    @webingogo3633 4 роки тому +3

    Injili ni uweza wa mungu uletao wokovu asante mch kwa mafundisho ya uzima:

  • @pricilamwakalebe1117
    @pricilamwakalebe1117 4 роки тому +5

    Mungu azidi kukuinua na kukutunza kwa namna zote ili uzidi kuzinoa familia zetu katika jina la yesu✋

  • @ceccynzilani9720
    @ceccynzilani9720 4 роки тому +1

    Amina mtumishi Mungu kakupa Neema na kibali Cha hali ya juu

  • @claircherutoolinyo9977
    @claircherutoolinyo9977 4 роки тому +8

    Amen.. Maneno matamu mno barikiwa mchungaji🙌🙌

  • @furahajoy3168
    @furahajoy3168 4 роки тому +2

    Ubarikiwe sana Baba tunashukuru Mungu kuku tumia anatupenda sana

  • @debratonkei8230
    @debratonkei8230 2 роки тому

    God bless u man of God listening from Kilgoris kenya

  • @obednassari8069
    @obednassari8069 4 роки тому +2

    Niceeee nafurahia mafundisho. Mungu awabariki watu wa Betheli na imbaseny kwa ujumla

  • @annamrima5507
    @annamrima5507 4 роки тому +2

    Ameen ubarikiwe sana na mungu azidi kukufunulia meng zaidi

  • @naomyruttoh2789
    @naomyruttoh2789 2 роки тому

    I really love your sermons. I can't stop listening to it. May God bless you

  • @margueritnyingani8844
    @margueritnyingani8844 4 роки тому +5

    Amen praise the Lord!

  • @marthajuma8411
    @marthajuma8411 4 роки тому +4

    Hata wanaume nao wanasahau tunapoanzia,kuna mwingine unaweza kuta hana hata kitanda,sura imekomaa wewe unamkubali kuishi naye afu siku mambo yakiwa vizuri anakuona wee humfai anawatafuta wenye hadhi kama yake kwa wakati huo,inaumiza sana

  • @rwenenahomechannel1634
    @rwenenahomechannel1634 3 роки тому

    Nakubali pastor Mgogo.

  • @rachelkwizera3537
    @rachelkwizera3537 Рік тому

    Be blessed man of God

  • @neemahamisi4302
    @neemahamisi4302 4 роки тому +1

    Gawa mashamba kwa ndugu zako acha ubinafsi ameeen nimekupata mtumishi

  • @joycemukoyia1930
    @joycemukoyia1930 3 роки тому

    Kenya nabarikiwa na mafunzo haya mazuri.
    Pastor mgogo barikiwa sana

  • @janetkahada5206
    @janetkahada5206 4 роки тому +2

    AMEN AMEN UBARIKIWA

  • @gladysshicambo1491
    @gladysshicambo1491 4 роки тому +2

    Ijust love listening to you man of God you're abig blessing to my life God bless you and continue to increase His knowledge upon you mightily

  • @nicanororuko6100
    @nicanororuko6100 4 роки тому +2

    Napokea mafunzo kwelikweli....thanks Pastor.

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 3 роки тому +1

    Mmi hata sikuwai pewa hela na mchumba wangu, ata hiyo lotion sikuiona adi mwenyewe nijitebgeneze ndio anipende, ila umenena Mungu akubariki maana kunao wanawake wa aina iyo, ila mmi hapa sikuona nikiwa kwetu,🙌🙌🙏🙏

  • @veronyangandakamamnachkuli2261
    @veronyangandakamamnachkuli2261 3 роки тому

    Hongera kwa kuhbiri maneno ya ukweli,

  • @sarahathman7514
    @sarahathman7514 3 роки тому

    Amen Mt MUNGU akutunze na kukupigania kazi yako sio bure utaikuta taji yako mbinguni

  • @benardmatage1340
    @benardmatage1340 4 роки тому +3

    Huwa unaniguza sana mchungaji...napenda sana mahubiri yako maana yananinyoosha kweli kweli. Ubarikiwe mno.

  • @erickmsuha1390
    @erickmsuha1390 4 роки тому

    Hongera Mchungaji Daniel Mgogo kwa mafundisho mazuri

  • @estermeshack610
    @estermeshack610 3 роки тому

    Ahsnte kwa somo zuri mchungaji Daniel,ubarikiwe

  • @winjoshua3736
    @winjoshua3736 4 роки тому +2

    Amen baba

  • @janeomary8464
    @janeomary8464 4 роки тому +1

    Amen baba asantee

  • @destinashuza5407
    @destinashuza5407 4 роки тому +1

    Mungu akuzidishiye maharifa

  • @marryjonas6973
    @marryjonas6973 2 роки тому

    Amina ,nikweli kabisa

  • @anitucciamuvurwaneza8579
    @anitucciamuvurwaneza8579 3 роки тому

    Mtumishi nakuwa nabarikiwa sana na mafundisho nazaidi wakati niliona ukienda gerezani kuona star lolojoo Mungu akubariki

  • @godwinkirui7932
    @godwinkirui7932 3 роки тому

    Amen Amen it's true pastor😘👆 tell them people people it's true💪

  • @micomanasseh3497
    @micomanasseh3497 3 роки тому

    Pongezi Mchungaji tunashukuru kwa mafundisho.yako.

  • @mghanajohn375
    @mghanajohn375 3 роки тому

    Amina baba! Mahubiri yako ni Dawa ya familia

  • @sirpleasureb
    @sirpleasureb 4 роки тому +3

    mgogo wewe ni mtumishi wa Mungu kwa hakika unatubariki sana.

  • @michaelminja
    @michaelminja 4 роки тому +5

    Amen, asante kwa video ndefu mbarikiwe

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 4 роки тому

    Shukran sana nisahihi kabisaa manenoyako mkuu hilolakutowa watoto ndio balaaa hapomtaani kwetu miminikitoka nawatoto wangu kuwatembeza basi majirani wakinicheka mwisho watotowao majirani zangu wakawa wananililiya nicole nao basinawaambiya wakaage kwawazeewao wave vizuri basii natokanao nawatembeza sehemu wasizofika watoto wanafurahiii wanachezaaaa wanafurshiimnoo mwisho wazaziwao wakajirebisha hiyounayosema mchungajii nisahihi kabisaa

  • @phinawatwego7260
    @phinawatwego7260 4 роки тому

    Asante mchungaji, Amina na Amina.

  • @davidamisi3285
    @davidamisi3285 2 роки тому

    Kweli mchungaji maneno Yako nimuimu sana ata mimi inanipitia Ivo Ivo kama unaviosema mpaka nimetupwa na baba yangu kwasababu iyo juya Mali yake wandungu wamenichukia

  • @jeannettenyirasamaza4817
    @jeannettenyirasamaza4817 3 роки тому

    ubarikiwe sana Mutumishi wewe usema ukweli 🙌🙌❤️❤️

  • @elimakibii7927
    @elimakibii7927 3 роки тому +1

    Pastor am blessed have learn something in my marriage

  • @kitindifredy9436
    @kitindifredy9436 4 роки тому +2

    Mwl ubarikiwe unatuponya

  • @peteremmanuel1191
    @peteremmanuel1191 4 роки тому

    Mchungaji samahani tunahitaji huduma huku kwetu katoro geita nakupataje. asante kwa mahubili mazuri unaponya ndoa zetu

  • @thobiethalibutu1465
    @thobiethalibutu1465 4 роки тому

    Tuanzie yerusalem hakika neno linaishi

  • @lovenessibrahimu6730
    @lovenessibrahimu6730 4 роки тому +2

    Ameeeeen Ameeeeen

  • @mwavitafuraha7244
    @mwavitafuraha7244 3 роки тому

    Ubarikiwe sana mchungaji

  • @dianawairimu3124
    @dianawairimu3124 4 роки тому +1

    Amina

  • @vailetazango8426
    @vailetazango8426 3 роки тому

    Amen..
    You are a really true servant of God.
    Blessed.

    • @hellenubarikiwesanakatipwa9968
      @hellenubarikiwesanakatipwa9968 3 роки тому

      Ubarikiwe mchungaji mahubiri mazuri sana karibu morogoro nahitaji kuhudumiwa nawe wa daresalam wanafaidi

  • @gloriatoo22
    @gloriatoo22 3 роки тому

    Pastor you are soo..humorous...I.like the preachings

  • @omanabcd9249
    @omanabcd9249 3 роки тому

    Amina mtumishi

  • @irinewafula1557
    @irinewafula1557 4 роки тому +1

    Ameen

  • @massbass6090
    @massbass6090 4 роки тому

    Mtumishi wa Mungu unasema ukweli kabisa na umenikumbusha mbali sana kwa family ya kina babangu walizaliwa watoto tisa watano ni wakihume na wanee ni wakike babu alikua na shamba kubwa sana sasa watoto wakiume wakgauliwa shamba heka 4 kwa kila mmoja sasa sisi wajukuu tulikuwa wachanga sana kwa bahati mbaya babangu akafaa muda si muda mamangu akawa mwendawazimu kwa miaka 10 sisi watoto tukagawanyishwa kila mtu akachukua mtoto mmoja tuko wa 5 wavulana 2 na waschana wa 3 kwa bahati tena mbaya tukageukwa na ukoo shamba letu likauzwa ndugu zangu sahisi awana hata pakusimamisha nyumba but tunashukuru Mungu kwa huzima hii dunia haina mwenyewe sisi ni wapita njia.

  • @mutwalesylvie1305
    @mutwalesylvie1305 3 роки тому

    Kweli

  • @jumamussa.9158
    @jumamussa.9158 4 роки тому +1

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu

  • @eunukemoraanyakundi3461
    @eunukemoraanyakundi3461 3 роки тому

    God bless you pastor

  • @SirdickOmondi
    @SirdickOmondi 4 роки тому +1

    Emeeeen. ...

  • @angiekweya8013
    @angiekweya8013 4 роки тому +1

    👍
    Amen

  • @lucymuhonja223
    @lucymuhonja223 4 роки тому

    Ameen mchungaji

  • @joandavid327
    @joandavid327 4 роки тому

    God bless you more

  • @winfridamwigilwa2107
    @winfridamwigilwa2107 4 роки тому

    Mungu akubariki mchungaji. Sema tupone kabisa

  • @beatriceomino3267
    @beatriceomino3267 4 роки тому

    Amen be blessed

  • @hadijakagera292
    @hadijakagera292 3 роки тому

    Aminaaa

  • @jastintweve8073
    @jastintweve8073 4 роки тому

    Sawa kabisa sema na sisi tupone.

  • @solangesoso3100
    @solangesoso3100 4 роки тому

    Balikiwa sana mtumishi

  • @calistamgendwa9356
    @calistamgendwa9356 4 роки тому

    Barikiwa

  • @esthermugoli4527
    @esthermugoli4527 4 роки тому +3

    God bless you more 🙏😇

  • @sarahseleman6569
    @sarahseleman6569 4 роки тому

    Amen.

  • @alexjacksonmadyalo9206
    @alexjacksonmadyalo9206 4 роки тому

    Ubarikiwe sana mtumishi , lakini pia Sasa hivi wazaliwa wa mwisho no tishio kubwa Sana familia nyingi zinalia

  • @massbass6090
    @massbass6090 4 роки тому

    Ooh God mtumishi umesema ukweli sema yote usifiche.

  • @samsonpaul4004
    @samsonpaul4004 3 роки тому

    Jamni baba umesema na familia yangu leo mme wangu ndo alivyo mpk sahvi nyumba imevunjka kila mtu anaishi kivyake

  • @viollahissayah8037
    @viollahissayah8037 4 роки тому

    Ameen barikiwa bb

  • @nestorymapunda6507
    @nestorymapunda6507 3 роки тому

    Kabisa

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 4 роки тому

    Hiyo kweli mchungajii hatasisi waislaam tunaambiwa unadhifu nilazima nakuishi vizuri kama unauwezo ubakhili Haifa lakini hayoo ndio Yamajaa mitaani

  • @agnesmawalla6513
    @agnesmawalla6513 4 роки тому

    Sema mtumisi maana watu wengi ni wabinabinafsi tuombee damu ya yesu itufunike ameen

  • @donathkilenga2722
    @donathkilenga2722 3 роки тому

    mkwawa

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 4 роки тому +4

    Ivi anaedislike mafunzo ya huyu baba kalogwa au ni mkosefu waakili🤔🤔🤔🤔😭😭😢

  • @fanuelmkea534
    @fanuelmkea534 3 роки тому

    Mchungaji heko kwa mahubiri yako mazuri Una okoa wengi walio protea. MUNGU AWE NAWE DAIMA

  • @lindajoasine8806
    @lindajoasine8806 3 роки тому +1

    Amen amen 🙏😂😂😂😂

  • @SirdickOmondi
    @SirdickOmondi 4 роки тому +1

    Nondo zä Roho zinashonwa....upako inaingia Hadi kwenye Damu.....

  • @gasukufilms3050
    @gasukufilms3050 4 роки тому

    Burundi turaguskia 5/5

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 4 роки тому

    SANTI SANA KWA FUNZO NZURI

  • @mariamkahebwa5132
    @mariamkahebwa5132 4 роки тому +1

    Nikweli baba.
    Tu ambiye.

  • @josephathakyoo8934
    @josephathakyoo8934 4 роки тому

    Is this behavor good

  • @lydiahann1737
    @lydiahann1737 3 роки тому

    Mahubiri yako ni dawa kweye familia

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 3 роки тому

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💟💟💟💟💟💟

  • @kuntajito927
    @kuntajito927 4 роки тому

    Wewe ni mchungaji jaribu kuhubiri kwa kuboresha na mafungu ya biblia

  • @amosibin4415
    @amosibin4415 4 роки тому

    Amena, neno la ukweli kabisa;
    ua-cam.com/video/FcEpBLmG_Tw/v-deo.html

  • @mlebingechamcham9631
    @mlebingechamcham9631 4 роки тому +4

    Ubarikiwe mtumishiii wa Mungu.

  • @mariahyera7041
    @mariahyera7041 3 роки тому

    Amina baba

  • @anneeklund8433
    @anneeklund8433 4 роки тому +1

    Amen

  • @zawadicharo9740
    @zawadicharo9740 4 роки тому

    God bless you pastor

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 3 роки тому

    AMEEN

  • @monicakakai1448
    @monicakakai1448 4 роки тому

    Barikiwa

  • @winfridaanania9047
    @winfridaanania9047 4 роки тому

    Kabisa

    • @hadijakagera292
      @hadijakagera292 3 роки тому

      Kweli kabisa hukoseagi mchungaji

    • @josephimeti4554
      @josephimeti4554 3 роки тому

      Nimejitambua na kuanzia sasa nimebadilika ubahili sasa basis.

  • @daudyesseobedi7952
    @daudyesseobedi7952 3 роки тому

    Amen

  • @daudyesseobedi7952
    @daudyesseobedi7952 3 роки тому

    Amen