HARMONIZE AMJIBU KIUTU UZIMA MKUBWA FELLA KUSEMA HAMUWEZI DIAMOND PLATNUMZ

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • #RaisSamia #WaziriMkuu #BungeTanzania #RaisSamia #WaziriMkuu #BungeTanzania #RIPMagufuli #Tanzania255 #Simba #Yanga #Trending #MwanaFA #DiamondPlatnumz #Alikiba #Harmonize #Marioo #Paulah #Kajala #Rayvanny #Jux #Zari #WemaSepetu #Zuchu #Nandy #Billnass #ProfessorJay #Muziki #BongoFleva #HipHop #Komando #PaulMakonda #RomaMkatoliki #NayWaMitego #Burnaboy #Davido #Wizkid #Rema #AyraStarr #TiwaSavage #Amapiano #Mayele #Chama #BASATA #GigyMoney #Darassa #TylerWater #VanessaMdee #Rotimi #WCB #KondeGang #KingsMusicRecords #OmmyDimpoz #HajiManara #MooDewji #PaulMakonda #ProfessorJay #VanessaMdee #PaulMakonda #ProfessorJay #AyraStarr
    Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

КОМЕНТАРІ • 127

  • @aliyumuhammed6054
    @aliyumuhammed6054 9 місяців тому +18

    Sema saivi harmonize anaanza kua matured nimefatilia interview zake za hivi karibuni

  • @MuhammadMaulana-p2l
    @MuhammadMaulana-p2l 9 місяців тому +24

    Fela kwamajibuyake anaonekana. Kama mtoto kuliko Majibu ya harmonize

  • @fakhichapozoyusuph295
    @fakhichapozoyusuph295 9 місяців тому +12

    Nakukubali Sanaa hamo kweli mwanangu umekuwa

  • @JaphetMzuri
    @JaphetMzuri 9 місяців тому +23

    Nimependa majibu yako kaka ❤️❤️❤️

  • @alexmanya6750
    @alexmanya6750 9 місяців тому +6

    Mkubwa Fela ni mfano mzuri sana wa "HATA WAJINGA HUZEEKA"😢

  • @nyembobea7285
    @nyembobea7285 9 місяців тому +6

    One love kwa konde mnyama pamoja sana

  • @marianajoseph1892
    @marianajoseph1892 9 місяців тому +5

    Mkubwa fella usifanye mziki kimazoea, Diamond ameachwa mbali na wanamziki wengi kimziki kwa sasa, acha kujiinua ukweli unaonekana. Labda kifedha na uangalie miaka aliyonayo kwenye game. Amepitwa kubali usikubali

  • @nelsonmaganya5391
    @nelsonmaganya5391 9 місяців тому +21

    Kuna watu wengine ni wa zee lakini bado Akili Awana kma uyo mkubwa anatakiwa aombe akima kwa mungu Sana aache Roho mbaya

  • @zamoyonjameschallo6940
    @zamoyonjameschallo6940 9 місяців тому +2

    Respect Harmo kweli ushakua ,hongera kwa mtazamo wako mzuri

  • @milengemussa4833
    @milengemussa4833 9 місяців тому +6

    Unaakili mingi sana kaka.💪💪

  • @kajembedear7909
    @kajembedear7909 9 місяців тому +21

    Amejibu kikubwa Sana, mkubwa fela anatakiwa kuacha hizo tabia kwani zinajenga chuki

    • @hamisimsosi6237
      @hamisimsosi6237 9 місяців тому

      Hamor kwa Sasa ni mkubwa kwani majibu yake ni makubwa kuliko maswali kupitana ni swala la kawaida kwenye maisha hata akishuka mnasema bado yeye namba moja eti hashuki Hadi nice Mimi wewe Nani na unafanya Nini Cha ajabu kwa Sasa huo ni ushamba tuu umekujaa Sasa kwa taalifa yako mutatoa wait Kama mmesimama halafu tukuone utafanya Nini na dalili zimeanza kuonekana😅😅😅😅😅😅😅😅😁😁😁😁😭😁😁😁😁

  • @farajibuteta6258
    @farajibuteta6258 9 місяців тому

    Kondeboy number one.....bakhresa

  • @MpuyaMayunga
    @MpuyaMayunga 8 місяців тому

    Harmonize namuelewa Sana mkubwa yeye anataka tu kuwafanaya diamond na harmonize waendeleze bifu konde kamruka mbali,thank u konde

  • @jimmykavishe6877
    @jimmykavishe6877 9 місяців тому +5

    Harmonize unaakili sana unayo hekima

  • @dulahshabani8159
    @dulahshabani8159 9 місяців тому +7

    Harmonize kizazi zaidi

  • @dinolizzytheveronica1292
    @dinolizzytheveronica1292 9 місяців тому +6

    🇲🇿+🇹🇿 Ni Marafique

  • @lidancertv
    @lidancertv 9 місяців тому +1

    PERFECT SAY #HAALAND✌

  • @marwanbakhamis9298
    @marwanbakhamis9298 9 місяців тому

    U are very smart

  • @user-ov7wi5ln1s
    @user-ov7wi5ln1s 9 місяців тому

    Niseme tuh mimi ni mu congomani ila konde boy ana busara ,hekima na baraka za mwenyezi mungu ... uyo mondi ana bebwa sanaa na support nyingi kuliko harmo ila harmo ana pambana mwenyewe niseme tuh kwa mutu aliye na vision ya mbali ana ona ukubwa wa harmo

  • @nasrasalumu7005
    @nasrasalumu7005 9 місяців тому +1

    Nakukubali sana konde we ni mkali

  • @clementpius2083
    @clementpius2083 9 місяців тому +1

    Yessss success👊👊👊👊

  • @ikellyzedon3265
    @ikellyzedon3265 9 місяців тому +1

    This is so matured bro

  • @Lanihsarumu
    @Lanihsarumu 9 місяців тому +7

    Mtu mzima

  • @voiclove8153
    @voiclove8153 9 місяців тому

    Jmn mnapokua mnashabikia mziki kila mtu aw namapenz kwamwenzake lakin msitukanane hap mnajibu kile kilichoongelewa harmonize hajawah Sema kuw yeye anamzidi mtu ila yeye kaul yake anamshukulu mungu alipo harmonize atabaki kua kama yeye mondi mondi

  • @danieljs4285
    @danieljs4285 9 місяців тому +9

    mkubwa ameteleza apo aisee

  • @allykondo8406
    @allykondo8406 9 місяців тому +3

    Hawezi kumpita diamond labda afe dah Kuna viumbe vinakufuru lkn any way couz muziki unaweza amua which is which ilah tujifunze weka akiba ya maneno tusiendekeze ulimi sanq

    • @Barakatabudul
      @Barakatabudul 9 місяців тому

      Kujipendekeza huko kuzingatia maokoto" ataka ajibiwe aseme watoto wamkosea ishima, Mzee Kama huyu siwakumpa nafasii niwakumuacha tu! Ate tee Ugali wake 😂😂😂😂

  • @jane712
    @jane712 9 місяців тому +3

    Na jina lake lote hio la mkubwa fella majibu ya konde tu yamemdharaulisha

  • @user-td3zv3sr6t
    @user-td3zv3sr6t 9 місяців тому +1

    Nikweli sana jeshi

  • @BabanahShoo-ms1cq
    @BabanahShoo-ms1cq 8 місяців тому +1

    100 wewe ndo mwambaa uyoo mama fella ajielewii

  • @YasiniMahomba-mx6ux
    @YasiniMahomba-mx6ux 9 місяців тому +5

    Babu tale sio mungu aache usenge mungu akipenda wewe utashuka na daimondi wako atashuka

  • @emmanuelpiles-od8kc
    @emmanuelpiles-od8kc 9 місяців тому +11

    Fela anatetea ugali wake tu kiakili bado utoto sana

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 9 місяців тому +7

    Harmonize anathubutu sana! Ila Kwa Mond bado nyie tusimfariji mtu...labda kwenye kuimba Yuko Bomba Ila kibiashara na kifemas katupwa mbaaali sana na Mond

    • @rashidsamwel1987
      @rashidsamwel1987 9 місяців тому +1

      0

    • @fatmafaki6163
      @fatmafaki6163 9 місяців тому

      Kwani hapo tunazungumzia mziki au biashara nyengine. Mbona unajichamganya

    • @shangwefisima3993
      @shangwefisima3993 9 місяців тому

      @@fatmafaki6163 vyote vinakwenda sambamba acha Kona....watu wanaimba ili kuburudisha na kufundisha! Lkn kubwa zaidi pesa mbele! Huwezi ukawa unabweeeka tu unafaisha watu halafu wewe una faidika kidogo sana! Huko kwa ulimwengu wa Sasa washavuka! Pesa mziki vyote sambamba

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 9 місяців тому

      ​@@fatmafaki6163harakaharaka ya kujibu hiyo. Mashabiki wasiojua kuchambua hao achananao

  • @ellykaka2360
    @ellykaka2360 9 місяців тому +3

    MKUBWA ASHAMALIZA MONDI NI HATARI KWA USALAMA HASHINDANISHWI NA YEYOTE ila bado namkibali harmo pia

  • @MpuyaMayunga
    @MpuyaMayunga 8 місяців тому

    Hajui Kama yeye kakua jina tu mkubwa bt he still a young in thinking

  • @WaziriRamadhan-ML
    @WaziriRamadhan-ML 9 місяців тому +35

    Diamond ni mkubwa tu sn kwako na hilo unalijua vzur sn kwenye nafsi yako kwamba diamond ni mlima,ila m nakukubali tu kwenye ubishi wako wa kuendelea kujipata zaid ya hapo ulipofikia na matunda tunayaona cz had alikiba ushampita

    • @majutoeliasi
      @majutoeliasi 9 місяців тому +9

      Kwasababu ya ukubwa ndo mnyanyase watu ata mwalimu anazidiwa kimaisha na mwanafuzi au uoni acha kerere za izi

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 9 місяців тому +9

      Yaelekea mafanikio ya huyu jamaa,yanawaumiza sana roho nyie binaadam wenye itikadi za kishoga.Au mlitaka asipate maendeleo?

    • @wisdomgilen-zb1is
      @wisdomgilen-zb1is 9 місяців тому +9

      Kwani harmo anakuhuzi nini wewe kwani diamond ni Mungu

    • @WaziriRamadhan-ML
      @WaziriRamadhan-ML 9 місяців тому +3

      @@wisdomgilen-zb1is tatizo we ni choko yan nishoga unayefirwa kbs na pili shule hujaenda na bado ubongo mbovu na ndiomaana umekosa kukielewa nilichokiandika hapo na kuona km nina chuki naye!hivyo siyo kosa lako bali ni kosa la mama ako aliyekuzalia kupitia kwenye tobo lake la kunyea mavi

    • @lazarusfrancismallya9829
      @lazarusfrancismallya9829 9 місяців тому +3

      Ramadhani uneanza vizurry. Lakini. Umemaliza vibaya. Usimkosee Mungu kwajil ya ushabiki. Wawasanii. Kitukizury dunian. Nikunyamaza kimia usibishane had matus ukammpashetani nafasi haya sasa umemtukania mama yake. Umefaidika nini. Mungu akurehemu. Suluu yaugomvi sio tusi nasiosuluisho lakutoa kinyongo rohoni. Nilikuwa napita Tu 🎉

  • @hassanmohammed6229
    @hassanmohammed6229 9 місяців тому +3

    Safi umejibu kwa hekma.kumbe BAdo upo kea game hekma yako.

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 9 місяців тому +1

    Kweli harmo umekuwa kiakili.

  • @amosihokororo9702
    @amosihokororo9702 9 місяців тому

    Fela ziro

  • @AsiaMbaga
    @AsiaMbaga 9 місяців тому +2

    Kwa hali hii wasanii wanaojiita wakubwa lazima wachukie dogo hatali sana sasahv

  • @adamchigamba2862
    @adamchigamba2862 9 місяців тому +1

    Amemjibu kibabe sana

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 9 місяців тому +3

    Kachanyikiwa huyo fela mtu mzima ama mawazo ya. Ajabu

  • @RamadhaniBendera-j1s
    @RamadhaniBendera-j1s 9 місяців тому

    Harmonize anajitambua

  • @salmahostel903
    @salmahostel903 9 місяців тому +1

    Kwa majibu ya Hamo maneno ya mkubwa hapo mkubwa nani ukubwa si kuota mvi ni busara

  • @YasiniMahomba-mx6ux
    @YasiniMahomba-mx6ux 9 місяців тому +6

    Riziki isikufanye ukufuru mungu.alafu wewe muslim unajua aya kweli au muslim jina

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 9 місяців тому

      Kwani Kazi anayofanya haral au haram?

  • @abdoulazizalimohamed7995
    @abdoulazizalimohamed7995 9 місяців тому +4

    Sio fela mkubwa fala 😂😂

  • @AmosiPaulo-kj1hp
    @AmosiPaulo-kj1hp 7 місяців тому

    Kiukwely unafaa kuwa msemaji wa wanamziki make unatenda sio maneno hongera dogo

  • @WakiliAbasi
    @WakiliAbasi 9 місяців тому +2

    Iyo ndo maana ya usanii acha ushamba

  • @wamadoropushthestar4145
    @wamadoropushthestar4145 9 місяців тому +1

    Hii Interview Jeshi Alifanya Akiwa Ajatoka Kwa Pusha.

  • @timitee999
    @timitee999 9 місяців тому

    Kama hujui siasa hamna kitu utaelewa hapa,inabidi uujue unafiki

  • @collineedson9964
    @collineedson9964 9 місяців тому +1

    Yaap dogo kaongea kikubwa sana! Akiacha bangi atakuwa vzur zaid

  • @nyandamisana3630
    @nyandamisana3630 9 місяців тому

    Liendekezeni Hilo kubwa fair

  • @victorrock6660
    @victorrock6660 9 місяців тому +1

    Mkubwa fela bn

  • @fredricksabick-hi1fl
    @fredricksabick-hi1fl 9 місяців тому +1

    Hapo alikua aja uta. Akili ilikuepo

  • @Chrishenryson-beats
    @Chrishenryson-beats 9 місяців тому +8

    Zima hovyo kweli, anaweza akawa mchawi kwanza mtu anaongea hivi🤣

  • @homesaickofficial7407
    @homesaickofficial7407 9 місяців тому +1

    Uyu asaiv naisi kapunguza kuvuta bangi aisee kawa harmonize OG sio yule wakujiita teacher konde 😂😂 blo ukiendelea ivi utafika mbali 😂😂😂

  • @salimhassan3369
    @salimhassan3369 9 місяців тому +1

    Iyo ina onesha kua mkubwa kapanic alafu Harmo yeye ime mgusa kimoyomoyo yuasema round lazma watoke mapovu watulie tu...😂😅

    • @doreenmsafari2945
      @doreenmsafari2945 9 місяців тому

      Kweli kabisaa 🤣🤣🤣🤣 bado hawajasema🤣🤣🤣

  • @jaymandy8136
    @jaymandy8136 9 місяців тому +2

    Mnafiki utamjua tu huyu dogo yy ndo anakuaga wakwanza kumshambulia Mondi kwenye nyimbo lakini kwenye interview anajifanya Mondi ndo mwenye matatizo

    • @user-po9yx5mu2b
      @user-po9yx5mu2b 9 місяців тому +1

      Bado hujasema shoga mmoja

    • @iamdonvevo
      @iamdonvevo 9 місяців тому

      Mziki ni biashara acha ujinga 😅😅

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 9 місяців тому

      Hapana, kumbe wewe hufuatilii mziki. Diamond ndio alikuwa wa kwanza kumwimb mwenzie " NJOMBA MCHUMALI KACHINJA MING'OMBE" na Harmonize akaja na aidia ya " Huo ni ushamba tu"
      Then, Diamond akaja na " wewe umekalia penzi uchwara sisi tunasaka pesa", Harmonize akaja na " Asake wa Tandale".
      Sasa hapo nani anamuanzaga mwenzie?

  • @DJSKILLSVEVO-
    @DJSKILLSVEVO- 9 місяців тому

    Fally ipupa amesha sold out Arena 2006 na 11.25.2023 U ARENA

  • @johnasoketch255
    @johnasoketch255 9 місяців тому +2

    Mkubwa fala
    Ata mondi amemchoka tu nivile ameamua kuficha iĺa uyo mzee ujinga tu

  • @Barakatabudul
    @Barakatabudul 9 місяців тому

    Mkubwa" Fela yuwafelii yy Ndo atakiwa vijana awaeke sawa kwa kutumia Hekima na Busara kauli zake zakuingea,Diamond hana mpinzani mpaka Afee yuwakosea hii wazii ni chuki binafsii hivi inamaana Mond hakuna anaemshinda kimziki Bongo nzima? Labda kwa Jina na vijipesa lakini mbona wako wasanii kibao tu! Hawafiki kimziki yani tukiacha utimu tuongee ukweli.

  • @esthermutabuzi4582
    @esthermutabuzi4582 9 місяців тому +3

    Mkubwa Fella amesema ukweli ambao wengi huwa hawapendi kuusikia. Bifu aliianzisha yeye alipotoka WCB maana hakutaka kulipa! Na alitegemea kuona label imekufa kwani alijiona anajua sana. Sasa Harmonize hana msanii hata mmoja anayemsimamia kwahiyo hawezi kamwe kua level ya Diamond hata waungane na Rayvanny 😂

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 9 місяців тому

      Msaport mtu anae thubutu mlitaka mmcheke kama mavoko

    • @esthermutabuzi4582
      @esthermutabuzi4582 9 місяців тому

      @@agnesjohn9382 Diamond supported him ila ndo alimnyea kichwani. Inawezekana huyu hasaidiki kwa chochote hata ushauri na ndio maana umeona wasanii wake wote wamemshinda. Hana shukrani huyu ila akija kwenye media ndio anajifanya mtu mwema😏

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 9 місяців тому

      @@esthermutabuzi4582 hayo ni maoni yako na wewe chukua wasanii uwatoe mwache kijana watu mavoko walimpoteza lavalava yuko wapi kila mtu na nyota yake babu

    • @esthermutabuzi4582
      @esthermutabuzi4582 9 місяців тому

      @@agnesjohn9382 Na wewe haya ni maoni yako ila huo ndio ukweli. Kwasasa Harmonize amebaki na label hewa isiyo na wasanii. Hata huyo Ibraah wewe umemsikia lini? Lava Lava ana nyimbo yake "Tuna Kikao" ambayo bado inasumbua clubs, Mavoko alijitoa mwenyewe na amepotea. Harmonize alianzisha bifu na WCB na sasa hajui jinsi ya kulimaliza. Acha ushabiki mandaz😏

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 9 місяців тому

      @@esthermutabuzi4582 basi umeshinda wewe kwamba Harmonize hawezi chochote mpaka sasa hivi kashuka kimuziki amebaki kuwa ombaomba tu hana lolote mimi mshabiki maandazi nimekubaliana na wewe mshabiki chapati si ndio umefurahi sasa au bado unataka kunitukana karibu tajiri

  • @SingaHamisi
    @SingaHamisi 9 місяців тому

    YAANI LEO HARMONISE UMENIFURAHISHA MNO. KWANINI? UMEJIBU KWA HEKIMA KUBWA SANA MWANANGU. UMEKUA SASA, UMEPEVUKA... NILIKUWA NATAMANI UFIKIE UKOMAVU HUU..MABIFU BIFU YA NINI. NATAMANI HATA NIKUPIGIE SIMU NISEME HONGERA KWA HILI.

  • @justerkaregi8044
    @justerkaregi8044 9 місяців тому

    Ni kweli harmonize bado sana kwa diamond ukweli wauma 😅😅😅

  • @ramadhanipadon3577
    @ramadhanipadon3577 9 місяців тому

    Huyo harmonize ni mnafki sana anapenda kujiekti mbele za maiki kutia uruma kumbe hamna kitu mfano hili swali yeye alisema diamond akishakuwa na bifu na wewe basi walewatu wako wakaribu anakuwa na urafiki wao sasa hayo majib yarudishe kwenye swali alilourizwa ndoutaelewa😢

  • @hassanmohammed6229
    @hassanmohammed6229 9 місяців тому

    Yakupita kwa mkubwa ipige nyundo.

  • @yusuphmohamedi7561
    @yusuphmohamedi7561 9 місяців тому

    Mkubwa nakuunga mkono diamond kwa mziki Africa ni namba moja

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 9 місяців тому

    Labda kwa upande wa mali, ila kimziki diamond ameishazidiwa na Harmonize.

  • @WaladinMwatawala
    @WaladinMwatawala 9 місяців тому

    Kila mtu na Rizki yake.kwani ye Diamond alizaliwa mwenyewe, yupo overrated saaaana, hakuna mtu yeyote, ambae amefika hapo alipo, bila kupata msaada,? Na Konde boy, alishamlipa hizo milion 500+, so hakuna msaada tena,alilipia huduma, .Fella nae hakui, shida elimu, ndiyo

  • @hassanmohammed6229
    @hassanmohammed6229 9 місяців тому +1

    Usikonde marijuana wanasmoke wengi kikubwa fikra zako ndo zitakupa mwisho mwema.

  • @AllyTurely
    @AllyTurely 9 місяців тому

    Mnao comment unafk kuhs mond mnajchosha tu mond kashindkana

  • @hassanndauka9685
    @hassanndauka9685 9 місяців тому

    Ukiwa na akili timamu utakua timu konde lakn kama akili yako ni ya upinde lazma utakua upande wa daimond. Timu mateja

  • @milazoomilazoo4494
    @milazoomilazoo4494 9 місяців тому

    Hamo ana chuki za kisengeeee

  • @khalidsalum1740
    @khalidsalum1740 9 місяців тому

    😂😂😂😂

  • @ISSACCECYTIN
    @ISSACCECYTIN 9 місяців тому

    Hakuna cha akiliii apoooo ame jibuuu usatalabuu kwakuaa yeye kajibuu ilaa angee anza kusema yeye nazani lazima naee ange vulundaaa hapo ana jisafishaa kiufupii naee harmoo hana ni zamuu

  • @husseingwanone7825
    @husseingwanone7825 9 місяців тому +1

    𝙷𝚊𝚛𝚖𝚘𝚗𝚒𝚣𝚎 𝚒𝚜 𝚗𝚎𝚠 𝙺𝙸𝙽𝙶❤

  • @AllyTurely
    @AllyTurely 9 місяців тому

    Mnao comment unafk kuhs mond mnajchosha tu mond kashindkana