Hao wacongo Sio watu, Sisi Drivers tunaokuja Huku Congo huwa Tunachomewa Hadi Magari.! Na Hao wahuni Wanafanya Uhalifu Mbele ya police, Na police hawasaidii kitu 😏😏
Bro God usijiweke ktk mattino wapokeeni vzr hao wenzetu na wapeni kila watakachohitaji wajifunze toka kwetu cc watanzania tumelelewa kivingine tunasifiwa hata Ulaya punguza ghadhabu usiwe kama wale.tushikamane cc ni wananchi bro tunaiwakilisha nchii
Poleni Sana ndugu zetu polisi wa Congo kuibia watu Nido kitegauchumi wao tena usipate tatizo useme inaenda polisi juwa inaenda sehemu aina msada wowote Sisi tupo huku miaka mingi kiukweli tunamoyo sn sinzani kama Sisi tuliopo uku tukiludi kama tutatama I unaona Waco go kwetu Hao jamaa wanaroho mbaya watanzania Wacongo wanaroho mbaya waoneni ivyoivyo
Umeanza kuwasema mashabiki wa simba mmesahau nyingi ndio mmewapokea wageni na mkavaa jezi kisa simba leo mmejionea wenyewe Sasa but kama tunahitaji kwenye mechi za kimataifa tunapaswa kuwa kitu kimoja na sio kuwapokea wageni airport
Msiwataje makolo km wao ndo wanaoshangilia wagen wakija ht nyinyi ndo mnavyofanya kikubwa wote mbadilike ikija tim kutoka nje mnakuwa kitu kimoja ndo mataifa mengine yanavyofanya
POLE SANA NDUGU ZETU , UKO SIYO BONGO NCHI HIYO HAIKO NA AMANI WALA ORGANIZED .. YAANI WW PITA TU HATA UWANJA WA NDEGE , UKIZUBAA HUNA WALLET, POLICE WANA NJAA MBAYA WANAWEZA HATA WAKUUE WACHUKUE PESA..
Mimi ni simba damu damu na nimefurah nyie kupata sale na lengo niliombea mfungwe ila haya mlio fanyiwa kufanyiwa vurugu sijapenda ,hakika hili limeniumiza sana😢😢
Yani pamoja na biashara ila mungesitisha malori yasiende congo wao ndio watapata shida zaidi, maana hii sio sawa, lakini huyu balozi kwanini hazungumzi na serikali kuhusu hii hali
Priva dinyo amewambwa Kofi paaaaa hadi anashindwa kuongea, poleni sana ndugu zetu ndo ukubwa huo Ila wakija dar achaneni nao akili ielekezwe kwenye peach baada ya point 3 ndo kipigo kifuate.
Daaaah pole sana brother mimi ni Simba ila siwezi furahi Mtanzania kupigwa watakuja bongo
@@charleskabangila9004 watakuja bongo wapi na mbona wamejaa hapo dar🤔
Unavuliwaje viatuu
Hao wacongo Sio watu, Sisi Drivers tunaokuja Huku Congo huwa Tunachomewa Hadi Magari.! Na Hao wahuni Wanafanya Uhalifu Mbele ya police, Na police hawasaidii kitu 😏😏
Mimi ni mwana Simba . Poleni sana watani sana sana sana watani
Pole ya nn si walikuwa wanapokea wagen hawa
@@LucasRuben-x1tww pole haikuhusu mbwa ww kwan umepewa ww pole au unawqshwa😮
@LatifaCharles umepewa au shobo umewah ata safir na timu
@@LucasRuben-x1t Haswaaa
Poleni sana watani zangu mimi ni dereva niko drc siku zote tunalalamika jinsi tunavyofanyiwa vurugu huku kongo poleni sana ndugu zangu
Ok poleni sana wananchi wenzetu naiyo siku atutaki mashabiki wa tp mazembe ole wao waje uwanjani kutachimbika
Insightment siyo nzuri. Hasa ikitokea maafa. So kilichotokea kilalamikiwe officially siyo kwa hivi.
Pole sana mwanangu na jana nimefulahi sana ibenge kamlamba uyo mwalabu koko uko uko kwake hesabu zimekaa vizuri sana yanga uyo robo fainali
Poleni sana ndugu zetu hao wapuuzi wakongo tunawasubiri kwa mkapa watajuta kuwa Tanzania.
😂😂😂😂😂 Pole kaka
Priva ana kiherehere Sana bora alivyowangwa Kofi 😁😁alafu kumbe wacongo Wana roho mbaya hivyo
Pole sana ndugu zetu Hawa wacongo sio watu kabisa kuweni makini mnapokuja huku Congo
Poleni sana watani,, ila sasa Godi Yanga amenichekeaha kwamba Privaldinho kawambwa kofi 😂😂😂😂
Na isitoshe Yanga si muna tawi lenu hapo Lubumbashi 😂😂😂😂😂
Poleni sana lakini msizungumzia kulipiza kisasi CAF itawapiga panga pelekeni malalamiko vyombo husika
Bro God usijiweke ktk mattino wapokeeni vzr hao wenzetu na wapeni kila watakachohitaji wajifunze toka kwetu cc watanzania tumelelewa kivingine tunasifiwa hata Ulaya punguza ghadhabu usiwe kama wale.tushikamane cc ni wananchi bro tunaiwakilisha nchii
Ety kawambwa banzi 😂😂😂😂 poleni wanayanga wenzetu nacheka uku naogopa Mwenyezi Mungu awasimamie mludi salama
Poleni jmn duh Emungu wangu wakija uku wapigwe pia
Poleni sana ...Watani Wetu...poleni sana
Poleni Sana ndugu zetu polisi wa Congo kuibia watu Nido kitegauchumi wao tena usipate tatizo useme inaenda polisi juwa inaenda sehemu aina msada wowote Sisi tupo huku miaka mingi kiukweli tunamoyo sn sinzani kama Sisi tuliopo uku tukiludi kama tutatama I unaona Waco go kwetu Hao jamaa wanaroho mbaya watanzania Wacongo wanaroho mbaya waoneni ivyoivyo
Wameshakufa wanajeshi wetu wengi nchini Congo kwaajili ya kuwalinda wacongo,Leo haya ndio malipo yao!hawana adabu hawa
Liongo tu mnajificha kwemye Hilo yangabovu
Poleni sana watani zangu mie simba lakini vitendo wanachotufanyia wa congo sio cha kiungwana mie sijafurahi huu ni mpira sio vita bhana
Bola2 mpigwe c mlikua mkiwapokea Airport kimbele mbele kimewaponza
Poleni sana ndugu zetu hao wamezoea fujo fujo na mabomu muda wote
Kwanini mnaenda hukooo???
Mnawajua watu wenyewe kwanini muende huko??? Inchi yenyewe ilishavunjika😢
Endeleeni na amani yenu,,,ila hamna cha kuwafanya..
Duuuuu😢😢😢😢😢😢😢
Mji una laana huo.poleni sana watani wakija huku muwakande nyingi wakome.
😮mm nimeumia Sana happy hatujawafunga
Nilitaka yanga ifungwe lkn kwa hili congo wamenikwaza sana.wapuuzi kabisa
poleni sana watani zangu hso tutadili nao
Umeanza kuwasema mashabiki wa simba mmesahau nyingi ndio mmewapokea wageni na mkavaa jezi kisa simba leo mmejionea wenyewe Sasa but kama tunahitaji kwenye mechi za kimataifa tunapaswa kuwa kitu kimoja na sio kuwapokea wageni airport
Katika hili Mimi Ni Simba wote wakongo wasio na kibali Ni wengi waondoke.wakija huku Ni kisasi
Poleni sana tuko pamoja
Congo Nchi masikini jambo wanamadini wanafaidi wachache hao nndio maisha yao
poleni sana watani duuu majanga
Daaa! Mi simba lakini sijapenda kilicho wakuta, poleni sana watani
Msiwataje makolo km wao ndo wanaoshangilia wagen wakija ht nyinyi ndo mnavyofanya kikubwa wote mbadilike ikija tim kutoka nje mnakuwa kitu kimoja ndo mataifa mengine yanavyofanya
Wameyatumba bantu bangu ba CONGO this is football no vita mpila ni urafiki wacongo punguzeni hasira
Poleni sana pia mjifunze ingekuwa wako dar mngesema ni Simba wameqatuma
POLE SANA NDUGU ZETU , UKO SIYO BONGO NCHI HIYO HAIKO NA AMANI WALA ORGANIZED .. YAANI WW PITA TU HATA UWANJA WA NDEGE , UKIZUBAA HUNA WALLET, POLICE WANA NJAA MBAYA WANAWEZA HATA WAKUUE WACHUKUE PESA..
Nyny hamjui madereva tunajua congo sio watu kabisa sisi tunajua
Wana roho mbaya wacongo ? Maana si mara ya kwanza naskia hivi
Poleni sana jamani duuuuu
Nyinyi mlisema Rubumbashi kwenu Leo vip nyinyi hovyo
Pole brooo
Poleni sana vyura , ndio maisha ,
Chura baba yako na ukoo wako
@@LatifaCharlesBado hamjasema 😂😂😂
Poleni sana jamani
Pole sana kaka
Mbona kama wamepanga tu yakuongea hawa nimeanza kupata mashaka
Wanaroho ngumi sanaa
Kumamamke watakuja bongo wataona😊
Bora make kimya mshasahau vile mlishazivaa jezi zao hapo mshakuwa ma afisa habari unavua viatu afu eti umeibiwa uto bana
Msifiwe kwa lipi mlilofanya halafu hao mazembe rafiki zenu si walikuja kujifunza kwenu sasa mnalia nini
Poleni sana
Askari warundi na wacongo ndio zao wanawajal wapenz wao
Kongo sio sehem salama waulizeni madeleva
Priva kawambwa kofi 😂😂😂
Poleni saaana mungu hatashughulika nao
Nyie mashabiki wa mpira hamuwezi kuelewa wakongo wanaroho mbaya Sana sisi madereva tunawajua
si huwa mnawashobokea wacongo na kuwapokea airport wakijaga Tz kucheza na simba, acha tuu yawakute UTOPOLO na bd 😂😂😂
Mishabiki ya simba mingi mivuta bangi kama hili
Upumbavu waliofanya wakongo ni wizi na unyang'anyi, wasichukuliwe poa kama washabiki wa mpira. Hawa ni vibaka. Poleni waliokumbana na kadhia hii!
Ka mdomo😂😂😂😂😂tatizo mlijifanya kihelehele sana
Na kisugu alivyopigwa congo alikua na kiherehere Gani .?..acha ubwege
Poleni sana wananchi wenzetu.
😂😂😂 utaingia wp. Nani awasifie munabuluza mkiaa
Poleni Ndugu zetu Haya nyie NI mashabiki wa mpira Kwa Sisi Madereva wa Maroli ambao Kila Siku tunakuja Congo Shida tunazokutana nazo izo zenu ni ndogo
Hiyo ndio Congo baba,sisi tuliotembea tushakutana nayo sana
Congo hamna serikali kwa nn cafe Wana ruhusu mechi kuchezwa congo
Mmh poleni watani hao manyani VP tena
Mkifanya fujo mtaigharimu timu acheni hayo ya kisasi mtafungiwa
😂😂😂😂 acheni kelele mnaburuza mkia mtawin hao wengine wamekufa au? Mendeni uko utopoloooooo
Utateseka sana endelea kuuguwa tu robo mtatuona mtashangazwa na mungu nanyie mtakaa chini yetu sema ameni
Huyo pliva kan'goa macho Mzee
Mumepigwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
mmepigwa kwa ulevi nyie wenyewe mnaonekana mmekunywa mnapaswa kwel kichapo
Msishangae Sana Hao wacongo wao kwa wao wanauana
Mimi ni simba damu damu na nimefurah nyie kupata sale na lengo niliombea mfungwe ila haya mlio fanyiwa kufanyiwa vurugu sijapenda ,hakika hili limeniumiza sana😢😢
Subirini na nyinyi kwa mile gaiwa goli siku ya Leo subirini mwende kwao kama hamkurudi na maiti
@IbrahimBinbenya daaa na kwakwer sio kupewa goli ila Kaz Hipo kwa hawa majamaa labda wafungiwe kuingza mashabiki
Alafu wamemuhonga
Max iliasicheze vizuli ila yanga hawamtegemei max tu wajiangalie
Waongo hawa wanalitengeneza hili kila mmoja kwa aina yake 😂😂😂
Kwauwezo wa M/Mungu watalipa tu Inshaallah
Kwann wamewapiga wakati munabuluza mkiaa😂
Jamani poleni
jamani poleni sana insikitisha sana
Jaman poren Sana watan
Poleni sn ndugu zangu
Awo wanafurahi yanga walivyofanyiiwa Mungu yupo atalipa kwa hili na wanafurahi milembe moja yapelekwe
Sema vizuli umeibiwa viatu pekeyake au navitu vingine
Mimi nisimba lakini nimeumiya Sana Jamanii
Acha shobo
@@mussangalawa2403 kwa hiyo hutaki tuumie?
Yani pamoja na biashara ila mungesitisha malori yasiende congo wao ndio watapata shida zaidi, maana hii sio sawa, lakini huyu balozi kwanini hazungumzi na serikali kuhusu hii hali
Yanga waishtaki CAF, wasikae kimya! Huyo wakili mzubaufu achangamke na kama hawezi fukuzeni!
SASA HIYO NDIO CONGO DRC
Jaman poren Sana watan duuuuuh
Siku nyingine mkienda ugenini mkate tiketi vip
Priva dinyo amewambwa Kofi paaaaa hadi anashindwa kuongea, poleni sana ndugu zetu ndo ukubwa huo Ila wakija dar achaneni nao akili ielekezwe kwenye peach baada ya point 3 ndo kipigo kifuate.
Duuh pole watan hii nchi ya congo wabaya sana tumefikia pabaya
Nyinyi waongo hamjapigwa hata Kofi
@@JumaSalimin mpaka upigwe wewe?🤣🤣🤣🤣
Nyie mlikuwa hamwajui kongo polisi wanateka wananyanganya wanabaka kwanza bahati yenu hamjabakwa
We si umesema kuwa simba wamefanya vurugu wakat unaona kabisa wachezaji waarabu ndo walianza kumvamia refa ikabid watanzania wajitetee
Duhhh poleni Sana nyuma mwiko kwa yale yalio wakuta mollah awafanyie wepesi Inshallah ila povu laini kwa wachambuzi wetu wa bongo 😢
Duuh poreni sana 😂😂
Wafungiwe Bora tungeenda kucheza Sudani tuu kieleweke.
Poleni.mungu.atawaon
MIMI KAMA MWANASIMBA LAKINI KWA HILI NIKO PAMOJA NA WATANZANIA WETU❤❤❤
Si mazembe walikuja kujifunza yanga ndo Elimu mliowapa mjipange hii michuano imejaa ubaya ubwela kila kona