Waziri Mchengerwa awatembelea Temba, Chege na Nature (TNC), walikuwa hawazungumzi kwa miaka 10

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 13

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 Рік тому

    Safi sana mhe Mchengerwa kwakuonyesha ujana wako napia umoja wako,ww kweli kiongozi napia ww kweli mtu kati ya watu.Nakuombea daima kwenye uongozi wako.Hakika

  • @nyandamisana3630
    @nyandamisana3630 Рік тому

    Hongera p majani

  • @edwinjohn6334
    @edwinjohn6334 Рік тому +1

    Safi sana wazili hilo ni jambo jema

  • @godsson5954
    @godsson5954 Рік тому +1

    WAITWE DIAMOND,ALIKIBA,HARMONIZE,RAYVANNY,NANDY,ZUCHU,RUBY,BARAKA THE PRINCE NA OMMY DIMPOZ IT WILL BE MORE THAN EPIC WITH LOTS OF VIEWS TENA IKIWEZEKANA IWE KAMA MFUMO WA BIG BROTHER HOUSE WAKAE HATA SIKU TATU TU WAKITENGENEZA WIMBO MMOJA AU MBILI🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 Рік тому

    Safiiiiii ila wakongwe jaribuni sana kwenda na wakati beat za kisasa flows zitakazobeba lika zote

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 Рік тому

    tanzania are blessed

  • @alimkumbukwa8363
    @alimkumbukwa8363 Рік тому +1

    Uyu juma nature yan kama vle mgonjwa

  • @shabiruponera4323
    @shabiruponera4323 Рік тому +2

    Kaka tunaomba interview na video Queen wa nyimbo mpya ya diamond Yatapita...na ukitaka namba yake mm ninayo simple kumpata..maana kaupiga mwingi sana

  • @MrGovernor5113
    @MrGovernor5113 Рік тому

    Diamond and Harmonize will be epic better than fire

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 Рік тому

    Hili jina jipya ni baya na Wala halina hamsha ya sisi wadau wa tmk .... Ni upuuz tu

  • @iceplay18
    @iceplay18 Рік тому

    hakuna mtu mwenye anataka nyimbo za madili , hawa wakonge wapumzike tuu muda wao umekwisha pita, juma nature kuongea tuu ni shida , sauti kama chura , ndio ataweza mziki...bure kabisa