JUMBA BOVU PART { 3 } FINAL
Вставка
- Опубліковано 22 січ 2024
- #bollywood #youtube #amapiano #mkojani #kivyere #clamvevo #bestfriend #bigboss #mzimu #kicheche #kichechecomedy #lambalamba #kpnazebuu #bintinyoka #stevemweusi #mwanafunzi #mchawi #bongomovie #bongotrend #newvideo #bongoseries #newseries2023 #newmovie2023 #newfilm #tanzania #zakichawi #zamajini #zamapenzi #zashule #shortvideo #shortmovies #school #directorgozi #directorgozi #dontatv #dadawakazi #kijanatajiri #penzi #sanura #majini #indianblogger #eastafricasocialtv #shadowtv #doko #mwakatobe #chumvinyingi #babajoan
NIWASHUKURU SANA WOTE MLIOTAZAMA SERIES HII FUPI TULITAMANI TUIFANYE KUWA NDEFU ILA KUTOKANA NA SABABU AMBAZO ZIKO NJE YA UWEZO WETU HAIKUWA IVO ILA MSICHOKE KUTUFUATILIA DIRECTOR GOZI FILM MAANA MWISHO WA KAZI HII NDIO MWANZO WA KAZI NYENGINE KALI ZAIDI ASANTENI MWENYEZI MUNGU AWABARIKI SANA 🙏🙏🙏
Asant
Asante kwa move nzuri naomba kuigiza nanyi
🙏🙏
❤
Pamoja kaka ila hongera kaz mzuli sana
Waooooooo Leo nimekuwa wa 5 jamaniii naombeni like zangu
🎉moves qariiii aiseee
Imeishia pazuli bora isiwe final
Tutaleta season 2
Huyo baba mwenye nyumba huo mnyoo wake si mchezo.
magolide mijino 32 akibisha mtiee doleee
Gozi unajua san 💞Mungu akubaliki sana 🙏🙏
Kipalaigwe leo anapeleka mtu jela kwa mikono yake hatak shida😂😂😂😂
Nic nizuli sana tunawafata Bd🇧🇮
Mwendelezo wa kikongwe
Nisahihi kwa vile chukba ni chake atakaa jelly mpaka ushahid ukamilike
Move taam sana tatizo mwendelezoo
Bg up sana kaz mzr
Gozi na kiparaingwe hii movie iongezewe muda akiiiii❤️❤️❤️❤️✍️
Brother GOZI hupo vizuri sana Mungu akuzidishie hongera TANZANIA.
Nashukuru sana na we pia mungu akutie nguvu uendelee kutu support 🙏🙏🙏
Hupo vzr ai upo vzr?
Kazi safi sana bro ila umetuacha hanging... ingependeza zaidi kama ungemalizia kwa kuamshwa ikawa ndoto
Leo niko wa kumi na mbili 😂😂
Ilikuwa nzuli Ila imeisha vibaya mwisho wake haukueleweka!
KIUKWELI FINISHING NI TATIZO KWA MOVE ZA KIBONGO,. ILA STORY ILIKUWA INASHIKA HASWAAAA.
Lakin shadow
Kazi safi. We support you bro. From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sonia mbona simuoni jqmani kwenye kava yupo movini hayupo😢
Sio mbaya Leo nimelikamata dimba kiungo mkabaji no 6
Good job gozi
🙏🙏🙏
Good job from drc
Mashallah, endeleeni kupambana Mola yupamoja nanyi
Gozi unajw sana❤❤❤🎉🎉🎉
Thank you 🙏🙏🙏
Kk kw hii move ilvyo kuw n nzuli nispo wapongeza ntakuw nmchoyo wafadhila .hongeren sana kwa ubola nauzul pia wakz zenu kma hii take your gift🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤🌺🌺🌺🥀🥀🌹🌹🏵️🏵️💐💐🌷🌷🌼🌼 ALL DAYS WE ARE LOVING❤❤❤
Shukran sana
Hatar
Niatar polni san🎉🎉🎉🎉🎉
Sio kilahisi ivo
Mwisho haikustahili aende jela na sio yeye muuaji😞😞😞😞😞😞
Hongereni sana kazi nzuri
Jitahidi bahana
Ameuwa uko
Mimi nakubali mnaigiza vizuri lakini sasa hamalizi vizuri mwishoni hatujui hatima ya wengeni ilikuwaje mfano aliyekuwa na mke wa doko hatuelewi ilikuwaje hatima yake tungependa kujua hata movie ya BABA ile mlimaliza hatukujua hatima ya wapendanao je walioana au la 😊
Mtuwie radhi kwenye mapungufu coz kunachangamoto ilitokea ila kazi zijazo mtafurahi Asante Kwa maoni 🙏🙏🙏
Nahs aliyeuwaw ndo mke wa doko
Atakaekua wa mwisho kutoka Duniani asisahau kuzima Taa
Sasa inakuja season 2 au? Mbona ni storry nzuri sana na wasanii wazuri sana wako suriasi na kazi. Please fanya muendelezo Mr Super Director.
Sawa tutatoa season 2
Hii movie iongezwe
Ah mnazingua bhn story mzuri mno ila mmefeli wapi finishing hvyo 😢
❤❤ kaz nzur
Dokoooo uko sawa kaka
Doko wa moto sana🔥🔥🔥🔥
1 🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤ big up broo. like zangu
Inapendeza sana buti director improve in conclusion part mungeogeza episode ingine tujue kuliendaje after Rei kupata ajali ....
Sawa
The end 😢 naaaaawh no way
much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🔥🔥
Uko gud bro sema hii naona inahityaji season ya pili kaka...tunaomba if possible
Sawa itakuja
@@directorgozi5509 🙏🙏🙏🔥🔥
Mfinanga Si mtu mzuri 😂😂
Kwema ndugu
V😭😭😭😭pole sana kak
Aaah good job ...from kenya 🇰🇪 ❤❤
Sijawah kataa kazi zako umetisha
Kazi nzuriiiiii sana
❤❤❤🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇧🇮
Mbna akuna sauti 😢
😮
Ipo mbn
❤❤❤🇹🇿
Napnda hamna ep za kihindi mpaka ep19000😮😅😅
😂😂😂 itakuja season 2
hii ilitka kufanana na ya bailamu
Muendelezo😊
Mbo na fupi hivyo
❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hatar❤❤
Broo unafel ktk kumalizia series zako yan zinaixhia vby xan xo change.
MIMI NAKUPONGEZENI SANA KWA UBUNIFU WA MAJINA YA MOVE ZENU,. ZINAMPA HAMASA MTAZAMAJI KUIFUATILIA. NAWAFUATILIA SANA KWA KAZI ZENU NZURI. MJITAHIDI KUTULIA KWENYE FINISHING
Sawa 🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤❤❤
❤
Duh
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂