HUZUNI: MTOTO WA MAREHEMU ALIVYOIMBA KWA UCHUNGU MSIBANI, SIMANZI YATAWALA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 155

  • @DottoManzi-nj5lj
    @DottoManzi-nj5lj Рік тому

    Wenzetu wa dini jiran mnazingua sana uzungu mwingii mtu umefiwa si utulie jaman lazima uimbe mbele za watuu sijapendaaaa

  • @felisterandrew8741
    @felisterandrew8741 Рік тому

    Mh,kwamba kiswahili hajui?

  • @felisterandrew8741
    @felisterandrew8741 Рік тому

    Mfiwa had kaweza kuweka ua kichwani akuna Cha uchungu hapo msiba haujamkolea vizuri huyo Pengine marehemu wameacha Mali anajua uhakika upo.

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي Рік тому

    😳😳😳😳😳😳

  • @fatmamussa6134
    @fatmamussa6134 Рік тому

    Jamani mbona sns walisema ni ndugu 4

  • @glorymsopa4221
    @glorymsopa4221 Рік тому

    Nimesoma coment tu jmn hivi nikwli haya

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 Рік тому +15

    Kuimba ni sehem ya kuombeleza😢pole baby mtambue kuimba ni sehem yakuomboleza

  • @rosejoseph4141
    @rosejoseph4141 Рік тому +2

    Kuna mda uchungu ukizidi inabidi uimbe..pole sana baby girl..Kristo awe faraja yako

  • @lydiahbhoke2284
    @lydiahbhoke2284 Рік тому

    Pole binti yangu you are so beautiful and God is here for you so great Dota nakupenda sana

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +14

    💔💔Ama kweli kuwa ba pesa raha sana 😢😢

  • @rodawlson8040
    @rodawlson8040 Рік тому

    Pole Sana Mungu akutie nguvu mwaya utashinda

  • @tanzaniawomenyouthempowerm267
    @tanzaniawomenyouthempowerm267 Рік тому +22

    Uzungu mwingi jaman hd tunapoteza uhalisia..
    Poleni wafiwa. Mungu awatetee katika yote

    • @sporastica7174
      @sporastica7174 Рік тому +9

      Jina unalotumia na sentence yako hata havifanani tafuta hela uache majungu

    • @saumusalimuhassan2499
      @saumusalimuhassan2499 Рік тому

      ​@@sporastica7174Nimecheka kama mazuri 😂😂😂

    • @geeva99
      @geeva99 Рік тому +5

      Mbona english ni official language ya nchi pamoja na kiswahili

    • @Juliana-fx8tr
      @Juliana-fx8tr Рік тому +5

      Kiatu cha Binti ukipewa huwezi kukivaa chagueni maneno

    • @beatricepallangyo2821
      @beatricepallangyo2821 Рік тому +4

      Mwombe Mungu Akusamehe.., hujui uchungu alionao huyu binti ndo maana unaongea tu. Hiyo tanzaniayouthempower mbona hai-reflect unachoongea????

  • @doreen9516
    @doreen9516 Рік тому +12

    Mungu baba mpe amani binti huyu katika jina la Yesu, Amen!

  • @rachellaiza7779
    @rachellaiza7779 Рік тому +4

    Wanapewaga kuimbavya nini si wakae tu jamani mchezo kufiwa jamani tena na mama bado hajaimba asubiri muda ukienda ataimba vzuri akiwa peke yake

    • @mcback4384
      @mcback4384 Рік тому

      Wewe kama nani mbwa wewe msiba ni tukio binafsi wewe unatoa maelezo ya nini ifanyike ili iweje? Subiria ufe utoe utaratibu msiba wako uendeshweje

  • @BupeFrederick
    @BupeFrederick Рік тому +1

    Huyu ni mtoto wa Dr Norah sio wa Sia

  • @ashamakwaiya8749
    @ashamakwaiya8749 Рік тому

    Unepata na nguvu ya kuimba ,naumeondokewa na watu muhimu hivyo,nimetepeta kwa kweli

  • @bellatrixblack4491
    @bellatrixblack4491 Рік тому +3

    Pole toto ila ungeimba kiswahili ingependeza zaidi huu uzungu zungu tuwaachie wenyewe wazungu

  • @annamakomele339
    @annamakomele339 Рік тому

    Duuuh😭

  • @HawaAhmed-yj8wo
    @HawaAhmed-yj8wo Рік тому

    Hivi kwanini hua wanawasumbua wafiwa hivi!😰😰😰 sasa kapewa kuimba ili !!!

    • @mcback4384
      @mcback4384 Рік тому

      Wakristo kuimba ni agizo kutoka kwa Mungu ndio maana wana nyimbo za maombolezo

    • @HawaAhmed-yj8wo
      @HawaAhmed-yj8wo Рік тому

      @@mcback4384 kumbe ndo hivyo, nlikua sijui nikawa nashangaa tu na kuhisi wanawasumbua wafiwa.

  • @neemajames9450
    @neemajames9450 Рік тому

    Daaaaaaah inaumizaaaa pole binti yangu

  • @saurasoso1543
    @saurasoso1543 Рік тому +3

    Kwanza nguvu ya kuimba anaipata wapi mwenzetu?? Alafu hajavutia kabisa mana ni kama hajui ila pole mwaya 😢

    • @rosenyato8729
      @rosenyato8729 Рік тому

      Mmmh unaona anaigiza au. Kuna wakati nyamazeni tu. Msibani huwa hatuimbi? Asante binti kumuimbia mzazi wako

    • @regnethmtemanyongo2237
      @regnethmtemanyongo2237 Рік тому

      Kweli kabisa uwezi imba

    • @spreadlove5300
      @spreadlove5300 Рік тому

      She's strong ndio maana amemuomboleza mama ake hivo 💔💔💔 kikubwa ni message sio kujua kuimba

    • @mcback4384
      @mcback4384 Рік тому

      ​@@regnethmtemanyongo2237na nyimbo za maombolezo zina maana gani?

  • @sarahminja7255
    @sarahminja7255 Рік тому

    Mfiwa Ana nguvu gani za kuimba jamani wangemzuiaga tu kwanza uzungu mwingi hakuna aliyeelewa Salama na master j wanasema ameimbe nje ya key . poleni Sana wafiwa

    • @magrethminja1309
      @magrethminja1309 Рік тому

      Mungu anawajua wake ,mwachen patano lake na Mungu ww jitahid kuwa Wa kiroho thn useme wamxuie

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 10 місяців тому

    Ujinga tu aimba nini sasa danga

  • @queenmapunda7868
    @queenmapunda7868 Рік тому +3

    Pole sana mtoto wetu kwa msiba huu mkubwa.Mungu mwema awafariji wafiwa wote

  • @mrambadiana9678
    @mrambadiana9678 Рік тому +1

    Nawaza tu alitunga saa ngap hizo verses au ilikuwa freestyle😢 Kweli ana Energy

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Рік тому

      Inawezekana ni moja ya wimbo mzaz wake alikua anaupenda

  • @MeliHyca
    @MeliHyca Рік тому +1

    Hiko Kiswahili Kingereza ...?

  • @okokaashery6286
    @okokaashery6286 Рік тому

    Pole mwanetu pole wazazi ma wote walioumia na Ndg Hawa! Mwanetu jipe moyo mkuu ,Kwani Safari Yako yamaisha haijaishia hapa,Wapo wakutia moyo lakini pia kunawanao kuumia zaidi bila kujali unalo pitia,Mtazame Mungu Anafaraja ya kweli bila unafiki !

  • @itikamlagalila1911
    @itikamlagalila1911 Рік тому +3

    Pole sana mwanangu,Mungu mwaminifu you will be fine😭😭😭

  • @annkim2690
    @annkim2690 Рік тому

    Tokea nifunze niambiwe hua hatufi mwiili yetu ndio hurudi mavumbini

  • @halimamremi5375
    @halimamremi5375 Рік тому

    Pole sana baby lkn weee una uchungu usingeimba ungewaombea MUNGU tuu jamani mtoto mzuryyMUNGU Akupe nguvuu

    • @beatricepallangyo2821
      @beatricepallangyo2821 Рік тому

      Wengine kuimba ndo kupata relief. Nakumbuka alifariki baba yangu niliimba sana ila nikinyamaza tu nalia sana. Msiba sikia kwa mwingine

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 Рік тому

    Nguvu za kuimba mi nazipata wapi? Jqman

  • @UNIQUEMASSAGEDODOMA
    @UNIQUEMASSAGEDODOMA Рік тому +5

    Mbona una tuumiza masikio sijapenta 😔😔

  • @hadijauledi6995
    @hadijauledi6995 Рік тому +6

    Poleni sana sana bint pole mwanangu 😭😭😭😭

  • @salimakuyela7813
    @salimakuyela7813 Рік тому +2

    Sasa kwani nimsanii au alimtamani Nandi kwenye msiba wa maehemu Ruger?😊

    • @aisharamadhani1948
      @aisharamadhani1948 Рік тому +1

      Jamani wewe usitake tucheke mwenzio kamwimbia mama yake huenda mana yake walikua wana tabia ya kuimbiana nyimbo 😌

    • @deborahmchona5584
      @deborahmchona5584 Рік тому

      😂Mungu nisamehe nimecheka sio vizur wewe ujue

    • @juliethndomba639
      @juliethndomba639 Рік тому

      🤣

    • @verobecamfipa8655
      @verobecamfipa8655 Рік тому

      Walai niemecheka aixeee mungu naomba unisameheeee🙏

  • @MiriamKitundu
    @MiriamKitundu Рік тому

    Pole sana mungu azd kukutia nguvu

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 Рік тому +4

    Hongera ndugu yangu kwskupata nguvu za kuonesha shepu🤔😭😭😭 mxiba mkubwa waimba jaman🤔😭😭

  • @CatherineMkuu
    @CatherineMkuu Рік тому +3

    nguvu ya kuimba kizungu kabisa

  • @GraceMwihu-pl5pj
    @GraceMwihu-pl5pj Рік тому +2

    Pole sana Binti yangu Mungu akujalie faraja ktk msiba huu.

  • @Happykiliwe
    @Happykiliwe Рік тому +1

    Jamani mie nimepitwa na mengi kwani hao marehemu waliumwa au imekuwaje

    • @aminakasim1198
      @aminakasim1198 Рік тому

      Ajali

    • @sekelajackob2905
      @sekelajackob2905 Рік тому

      Ajari ya gari ndugu wanne wa familia moja wamekufa wote wanne!but kaka yao America juzi Moshi

  • @sheilahregnus3918
    @sheilahregnus3918 Рік тому

    Poleni sana wafiwa wote

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 Рік тому +1

    Badala yakumuombea dua mama yake anamuimbia

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 Рік тому

      Di ndo ujahili huo watavuna walichopanda

    • @mcback4384
      @mcback4384 Рік тому

      Ni agizo la MUNGU kufanya hivyo
      Yeremia 7
      Imba wimbo wa maombolezo katika maeneo yaliyo wazi.

  • @Semenhahemed-lf5om
    @Semenhahemed-lf5om Рік тому

    Poleni sana

  • @Karoly.1992
    @Karoly.1992 Рік тому

    So sad!!!!!😥😥😥

  • @salummussa1139
    @salummussa1139 Рік тому

    👏👏👏

  • @gladnesswazir-zz9lk
    @gladnesswazir-zz9lk Рік тому

    😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Рік тому

    Poleni sana Mungu akawe mfariji wenu

  • @abellymwambwiga
    @abellymwambwiga Рік тому

    Mungu awatetee

  • @vero57
    @vero57 Рік тому

    Mimi sielewi

  • @laurencialaurent1640
    @laurencialaurent1640 Рік тому

    Ohh, pole toto Mungu akupe uvumilivu,una talent ya muimba ukimaliza msiba kamata talent yako,poleni sana Jikite zaidi kumtafuta Mungu, maana shetani alowaxhukua wapendwa wako kwa siku Moja Bado yupo mawindoni, usipuuze Mwanangu❤😢😢

  • @avituskatunzi1180
    @avituskatunzi1180 Рік тому +2

    Kwan tuko malekan mmmmh mbwembwe nying sa uzungu wa nn

  • @DaudiKasubi
    @DaudiKasubi Рік тому

    Pole sana kuisha bila mzazi hapa duniani kazi sana

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 Рік тому

    Mhhh ???

  • @MaryamMaryam-gi9zw
    @MaryamMaryam-gi9zw Рік тому +2

    Kwenye msiba pia bwebwe za kizungu jamani na walio kufa wote watanzania hakuna nyimbo ya kiswahili ya kuombeleza kwani

  • @mc_mrope
    @mc_mrope Рік тому +1

    Dah so sad😢

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому +2

    Poleni sana wafiwa wote. 😢

  • @jeromewilliam3009
    @jeromewilliam3009 Рік тому

    aloo
    😊
    Nyimbo nzuri

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs Рік тому

    😢😢😢😢😢😢😢

  • @WitnessMunuo-e7v
    @WitnessMunuo-e7v Рік тому +3

    umemba vizuri ila uzungu mwingi hauleti mvuto kwa sisi wabongo

  • @AnethSanga-j9j
    @AnethSanga-j9j Рік тому

    Poleni, sana, r, i, p

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 Рік тому

    Mashaka si madogo

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 Рік тому

    Nenden shule mjue ngeli

  • @elizakovaga12
    @elizakovaga12 Рік тому +2

    Bora ungeimba hata kilugha chenu bint umepuyanga hata nmeacha kusikitika

  • @scholahmwelange1406
    @scholahmwelange1406 Рік тому +1

    Pole Kwa familia 😢😢

  • @omanmobile5746
    @omanmobile5746 Рік тому

    Polr mamy😢😢😢

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 Рік тому

    Doooo 😭pole Sana 🙏rip

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 Рік тому

    😢😢😢😢😢

  • @khadija5761
    @khadija5761 Рік тому

    😭😭😭😭😭😭😭

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Рік тому +1

    Pole mtoto mzuri. Ungeeimba kiswahili tungeelewa wote. Wengine tumesikia gitaa tu.

  • @marthagabriel3417
    @marthagabriel3417 Рік тому +6

    Kwani lazima aimbeeee

  • @gracemwakibolwa7910
    @gracemwakibolwa7910 Рік тому

    Daah viatu vyenu vikubwa sana wanangu ni Mungu peke yake atawapa faraja.nimelia mama Mungu afanye njia pasipo njia dah jamaniii.tusamehe Mungu tuhurumie baba Mungu.

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj Рік тому

    Poleni sana 😢

  • @mwajumarupia2526
    @mwajumarupia2526 Рік тому +2

    Mungu awatie nguvu wafiwa

  • @salmamlokela1987
    @salmamlokela1987 Рік тому

    Wewe unaimba nini..muombee duwa

    • @beatricepallangyo2821
      @beatricepallangyo2821 Рік тому

      Mtu akishafariki haombewi

    • @mcback4384
      @mcback4384 Рік тому

      Hata aombe mpaka dunia iishe, ukurasa wake ulifungwa alipokata roho

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 Рік тому

      @@beatricepallangyo2821 wote wale wale mtu akifa aombewi sasa mnawaitaga wachungaji wa nini..

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 Рік тому

      @@mcback4384 bas kusingekuwa na ibada za mazishi kama mtu akifa hatakiwi kuombewa

    • @mcback4384
      @mcback4384 Рік тому

      @@salmamlokela1987 ibada ya mazishi ni kukamilisha taratibu tu za kiimani sababu hujui wakati wake wa mwisho alimaliza vipi na Mungu wake na binadamu hatupaswi kuhukumu sababu hiyo ni kazi ya Mungu ila uwezo wa kuingia au kutoingia mbinguni ni wa Mungu peke yake na mtu binafsi hakuna mtu wala kikundi cha watu kwa mbinu yoyote watayotumia wakabadilisha hatima yako wakati unaaga dunia.

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA Рік тому

    Mtoto wa nani kati ya hao wadada watatu

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 Рік тому

    Kwanini hawa wazikwe Dar na yule mmoja wamsafirishe moshi ??
    Nikuuliza tu sio kwa ubaya

    • @susancharles1660
      @susancharles1660 Рік тому

      Labda sababu ni mwanamme na wakike waliolewa Kwa hiyo waume zao wanachagua maziko yawe wapi?

    • @PendoPaul-jq9kb
      @PendoPaul-jq9kb Рік тому

      Nadhani wale watatu wadada walioolewa walishatoka mikononi wa wazazi Kwa desturi zetu za kiafrika maamuzi ya wapi wazikwe yanakuwa ya waume zao, yule Moja ni WA kiume maamuzi azikwe wapi ni ya baba yake mzazi na wanandugu hayo ni mawazo yang