AFUNGA NDOA HUKU JENEZA LA MAMA YAKE LIKIWA PEMBENI/NAKUSHANGILIA KWA FURAHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 367

  • @dianamsigazi1219
    @dianamsigazi1219 4 роки тому +32

    Its an act of respect🙏...wametimiza hamu na furaha ya mama yao,hata kama amelala.Mungu awe mfariji wao mkuu..

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 4 роки тому +4

    Innallillahi wainnaillaihi rajiun. SubhanaAllah. Kwakweli yote kupenda kwake Mola. Hao waliofiliwa na wanandoa Mola awasimamie kwa hayo. Mungu anasababu yake nasi binaadamu tuna sababu yetu. Mjuzi zaid ni Mola M.Mungu

  • @ibel4lf
    @ibel4lf 4 роки тому +10

    Huuu ni msuli wa imani hakuna shida yeyote kiimani nimewapenda hawa watu hakuna dhambi zaidi katika hili Mungu akawe nanyi katika ndoa yenu awafadhili na kuwabariki na kuwaangazia nuru ya uso wake

    • @priscarkasitu8101
      @priscarkasitu8101 2 роки тому

      Kwa Mungu zote ni sherehe Imani .Imani ni kuwa na hakika.ila ni ngumu kuvumilia

    • @pendoyese4452
      @pendoyese4452 2 роки тому

      Mama anauma jamani tumwachie mungu yote

  • @christinamvula8459
    @christinamvula8459 Рік тому

    Poleni.hongera wewe.kaka kwa kujikaza.ingekuwa mke km unavyojua isigewezekana .ingekuwa kulia mpk kupoteza fahamu.yy kajikaza kutimiza husia wa mama yake.bila hivyo wangesogeza mbele.wengine wanafichaga siri.tofauti wao.hakuficha tu.walikuwa wanalia rohoni.

  • @tausingomeni2568
    @tausingomeni2568 4 роки тому +35

    Hakuna maajab jmn, ni makubaliano yao, kila kitu hupanga Mungu why mama atake cku yke ya kuzaliw ndio afange ndoa, na mama Ha kujua kama iyo cku hata kuw hai, kinachotakiw ni kushukur kwa yote tu

  • @tunkuh661
    @tunkuh661 4 роки тому +1

    Pole sana Mr Mtatiro Mungu akawe mfariji wako ktk haya nakuona kwa mbali unavyoshuhudia kwa utulivu sherehe ya mwisho ya mkeo na sherehe ya pili ya mwanao... Mungu ampe pumziko la milele Mrs Mtatiro Nawatakia wanao kila la kheri ktk ndoa yao.

  • @mrsochu-hv7bm
    @mrsochu-hv7bm 4 роки тому +8

    Subbhana llah......da Geah ata uku kwetu kuna baba alikua ana umwa mda mrefu, sasa mtoto wake wa kike alikua ametolewa mahali na tareh ya ndoa ikapangwa ucku wa ndoa ndo cku yule baba akafari na ndoa...ilifungwa kama kawaida

    • @khadijaomari9344
      @khadijaomari9344 4 роки тому +1

      mh

    • @latifamkulazi8378
      @latifamkulazi8378 4 роки тому +1

      Hii inafaa uliyoina wewe dini inaruhusu
      ilahuyukaka kakoseakidogo

    • @subiraomari5908
      @subiraomari5908 4 роки тому +1

      Inafaa

    • @hasnakimaro7250
      @hasnakimaro7250 4 роки тому +3

      Kiimani tena kapevuka kwa maana ndoa ni ibada na kidin kukiwa na msiba na ndoa. Ndoa inafungwa then mazishi yanafuta ila sio haruxi mambo ya sherehe hapana

    • @munawwarabeid8634
      @munawwarabeid8634 4 роки тому +2

      Hasna Kimaro upo ryt

  • @abuibra
    @abuibra 4 роки тому +5

    Hongera sana, na mama yako kafurahi sana na anako kwenda huko ndio atafurahi sana, zaidi wanajua ma'askofu wao na familia yao.

  • @yusuphiddy2093
    @yusuphiddy2093 4 роки тому +23

    Hii media yako inapenda Sana Jambo kukupeleka negative ..ili swala ukilifatia kwamapana uamuz walochukua Ni sahh Sana coz lip lianze while mama amefia kwenye send off yetu...lazma mama ashiriki nasi angali si hi lakin tunaamin uwepo wamwili wake pamoja nasi nijambo jema kuliko kumwacha mochwari😭😭😭

    • @happymsata4364
      @happymsata4364 4 роки тому +2

      Ndio maana huwa Nasema watoto wa kiume hawanaga upendo wa moyon,hiv angekuwa ni Mama wa huyo bibi harusi angeweza kweli kusimama na kufunga ndoa? Tusibadilishe uhalisia binadamu siku zote thamani yke hailinganishwi na kitu chochote kile.

    • @mcnyawanda7971
      @mcnyawanda7971 4 роки тому

      Hakika wako sahihi kabisaa

    • @latifachilala2015
      @latifachilala2015 4 роки тому

      Kweli alipenda mama ake ashuudie😭

    • @evodiaalex6559
      @evodiaalex6559 Рік тому

      Ndy poleni sanaa

  • @teddyoscar6876
    @teddyoscar6876 4 роки тому +8

    Yote heri kwani mama pia alimuhusia mwanawe aowe tarehe aliozaliwa yeye, na mama siku hiyo hiyo akafariki basi bora wafanye vyote ndoa na mazishi 🙏🏼🙏🏼

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 4 роки тому +44

    Kwa waislam ni kitu ambacho sio cha ajabu
    Mtu akifa azikwe upesi
    Mtu akitaka kuoa /kuolewa basi ifanyike upesi
    Na pia mtu akitaka kuslim aslimishwe upesi
    Sijaona tatizo ila inataka moyo sana

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому +12

    Kama mama ndoalisemaa hakuna shidaa hiyo imepenyaaaa🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @hawasuleiman3159
    @hawasuleiman3159 4 роки тому +4

    Katika uislamu mambo matatu hayatakiwi kucheleweshwa 1. Ibada ya Ndoa 2.ibada ya kuzika 2. Kusilimisha (mtu kuingia katika dini). Mi nahisi maharusi wako sahihi kwakua Ndoa na maziko vyote ni vya muhimu

  • @zuusalum2020
    @zuusalum2020 2 роки тому

    Hakuna Cha ajabu hapo dada hayo yoote ni Mambo ya mungu ...ndoa Jambo la mungu na kufa pia Jambo la mungu .. hzo zoote NI ibada ...hKuna Cha ajabu hapo dada kawaida tuuh ata mungu ameruhusu

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 Рік тому

    Hiyo sio dariri nzuri kabisa

  • @oscaroscaroscar7974
    @oscaroscaroscar7974 4 роки тому +4

    Mungu Saidia ivi Vituko visije Tokea kwa Familiy yetu .Dunia ina Zidi kuwa na Vituko vya Ajabu

  • @elizabethkisogole34
    @elizabethkisogole34 4 роки тому +3

    Nawashangaa mnaolaumu kwanini anafunga ndoa msibani skilizeni vzr Bwanaharusi alifanya patano namama Yake kuwa aowe siku yakuzaliwa mama Yake nandio siku aliyokufa so ametimiza makubaliano acheni lawama.

  • @nahimanajo8993
    @nahimanajo8993 Рік тому +2

    Iyo ina ni kumbusha mengi kwakweli na mimi ile nikuta baba yangu kafariki mtoto wa mama yangu mudogo mudogo wa mama yangu waukweli alidi funga doa siku baba yangu ame fariki nili mushukuru Mungu tu kwakweli yote ni mapenzi ya Mungu sote ndo njiya yetu akuna kitacho baki ni ku homba Mungu atupe mwisho mwema tu

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 роки тому +2

    Aaaaaa, kakaangu hiyo yako ni kali, ungemzika mama kwanza badae mufunge ndoa maana mzazi ni MUNGU wako wa pili😚😚😚🇰🇪

    • @janeangoche4464
      @janeangoche4464 4 роки тому

      Nasikia eti mama alikuwa amemwamuru mwanawe afunge doa tarehe iyo kwani ilikuwa birthday yake kwa hivyo huyu jamaa alikuwa anatimiza agizo la mama yake ajiepushe maybe na laana kutoka kwa mama.

    • @mwanaishahussein2635
      @mwanaishahussein2635 4 роки тому

      Uongo hebu pafirie hapo,huyu jamaa alikua hampendi mamake ingawaje alimzaa.😏😏😏

    • @marykarebeti9410
      @marykarebeti9410 Рік тому

      Alitaka mamake ashuhudie kabla hajafukiwa

    • @EmilianaCharles-yt4vt
      @EmilianaCharles-yt4vt Рік тому

      Kweli kabisa

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 4 роки тому +17

    Mimi nisingewe kwa kweli Mama anauma sana R.I.P Mama pumzika kwa amani tupo nyuma

  • @hafsasaif8004
    @hafsasaif8004 4 роки тому +11

    Jaman nilijuwa Uwongo wa mitandao

  • @bkimaro3235
    @bkimaro3235 Рік тому

    Watoto wa kiume wanaweza!! Lkn so wote!! kwani baadhi yao ni marafiki wakubwa kwa mama zao, lkn hats ivo hiyo nguvu unaipata wapi?mama anaumaaaa...
    Poleni sanaa wapendwa

  • @shamsalulanje4151
    @shamsalulanje4151 4 роки тому +6

    yote kheri mungu anawaongeze kwenye harusi yao pia mungu ampe kauli sabit mama

  • @husnakussila693
    @husnakussila693 4 роки тому

    Duuh! Pole kwa msiba wapendwa

  • @jacquelinemathias325
    @jacquelinemathias325 Рік тому +1

    Sijaona Cha Ajabu ..Umetimiza Kile Mama Yako Alichokuambia

  • @godliverchristopher1591
    @godliverchristopher1591 Рік тому

    Kubwa ni kumshukuru mungu mungu kwa kila Jambo maana Jambo lolote likitokea liwe zuri au baya ni mungu karuhusu kwa kusudi mungu aibariki ndoa yao

  • @simphoslyvia2570
    @simphoslyvia2570 4 роки тому

    Katimiza ahadi , Mbingu pia zimemsikia ,pole kwa msiba ,Mungu akulinde kila uendapo nawatakia maisha mema ya ndoa yenu Mpya.

  • @esterpius7423
    @esterpius7423 Рік тому +1

    Poleni sana maharusi. Mungu awaimarishe na roho ya mama ipumzike kwa amani

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 Рік тому +3

    Mtoto wa kiume!! Ukweli ki binadamu ni ngumu mnooo!!
    Lkn kila mtu ana jinsi ya kulipokea jambo! Dunia hii!!

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 Рік тому

    Sio mbaya kama wameweza kujikaza maana hata ss waislamu ikitokea ndoa na msiba Allah katutaka tuanze na ndoa kwasababu aliye kufa kasha funga hesabu zake.kwakuepusha zinaa inakua ni bora ndoa ipite ili waziifazi nafsi zao🤲🤲Hongereni napoleni kwa msiba

  • @sebonikegobi6244
    @sebonikegobi6244 2 роки тому +1

    Hili jambo kwangu ni gumu kwakweli naomba Mungu lisitokee kea wanangu niwe mkweli kwakweli nimeumia sana harsi kwa wakati mmojai na msiba

  • @khadijayusuph2634
    @khadijayusuph2634 Рік тому +1

    Ushauri wangu" Bibi harusi ukawe mtiifu kwa mme wako umuheshimu na ujitadi uilinde ndoa yako idumu

  • @childofgod4412
    @childofgod4412 4 роки тому +25

    Wow hii kali hiyo nguvu unatoa wapi Mungu wangu🙆‍♂️

  • @matswelopelemphela261
    @matswelopelemphela261 Рік тому +1

    Hongera sana pumzika kwa amani mama.

  • @hildadaniel4892
    @hildadaniel4892 4 роки тому

    Yale maswali anayouliza Mch ningemchanganyia adi angekoma uwiiii MNA ujacri ndg zanguni hongeren

  • @farhatfarhat3816
    @farhatfarhat3816 4 роки тому +6

    Wapo sahihi ata dini ya kiislam inaruusu wazike mukirudi mufunge ndoa ila inataka moyo maana mama mchungu

  • @gloriouskwekas8041
    @gloriouskwekas8041 4 роки тому +2

    Yan wewe dada nilikuwa nakupenda sana kwa kipindi chako cha heka heka, ila kwa ulivyoiweka hii story nimeona kuna uwezekano story nyingi zinapikwa kuvutia watu tu ila ukweli hautafutwi,

  • @carolmuchiri9921
    @carolmuchiri9921 4 роки тому +5

    Hiyo tokeo inastahili iyandikwe kwenye Kitabu cha Guinness World of records ama Galileo big picture 🤗👍👍🌹

  • @johnshechambo5397
    @johnshechambo5397 Рік тому

    Dada gea, niwatu wa dini hao... Mama alikuwa ni wa furaha na amanii ndio maana walimshukuru Mungu na kuendelea na ratiba.....kwahiyo kwa Mungu yote yanawezekana

  • @aisiamtui5037
    @aisiamtui5037 4 роки тому

    Polen sana maharus na hongeren kwa ujasir wenu

  • @joharikitundu
    @joharikitundu 4 роки тому

    Hapo hapo alizaliwa asubuhi wamsitiri mama ktk nyumba yake ya maisha.kisha jioni wafunge ndoa ktk uislam tumerusiwa .Na huko nyuma iliisha tokea sana.acheni kukuua vitu

  • @mcnyawanda7971
    @mcnyawanda7971 4 роки тому +4

    Walifanya kitendo cha kiungwana sana. Mungu awatie nguvu hakika wamempa heshima kubwa sana mama yao. Ninyi mmeangalia upande hasi...

    • @khadijamatili4343
      @khadijamatili4343 Рік тому

      Lakini huyo mwanamke angekuwa mama yake mzazi angekuwa na ujasiri ?twende mbele na kurudi nyuma

    • @tumuanzali
      @tumuanzali Рік тому

      Mmmmh wee mama muchungu Sana R.I.P mama😭😭

  • @naomiabel9929
    @naomiabel9929 4 роки тому +1

    Kwann wasisubili wazike kwanza utafanyaje msiba na Arusi we una machungu unaweza kufunga Arusi kwa raha gani

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 4 роки тому +2

    Kikristo msiba nisherehe tena kubwa hutakiwi ata kudondosha chozi ila unatakiwa kufurahi na kuimba na kucheza kwa sababu tunaamini karudi nyumbani ila kiubinadam hatuwezi kuvumilia na kuelewa na kikawaida binadam anasherehe tatu kuzaliwa,ndoa,kufa so apo kunasherehe mbili someni Bible jmn

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 4 роки тому

      kumbe unajuwa vizuri duniani raha ya mtu iko katika mambo matatu ahsante ila kifo ndicho marafiki hulia maadui wakisherehekea

  • @stellamwakatulile3202
    @stellamwakatulile3202 3 роки тому

    Poleni kwa msiba hongereni kwa arusi

  • @duasufiani2782
    @duasufiani2782 2 роки тому

    Kama wataishia kanisani bila sherehe ukumbini akuna mbaya lakini kama wakimalizia ukumbini watakua wamemkosea mungu maana kwenyemsiba hakuna furaha maana ukumbini ni sehem ya sherehe na sherehe ni furaha ila nawapa pole Sana mungu awape nguvu maharusi

  • @zainaabdallah809
    @zainaabdallah809 4 роки тому +2

    Mungu pia amefurahi🙏 hayo ndio mambo ya haraka yanayotakiwa kuwaishwa ndoa na mtu akifa vifanyike kwa haraka

  • @dullahjuma6137
    @dullahjuma6137 4 роки тому +1

    Mrs dulah au zena kihondo. Lakn mama atafarjka kazkwa akiwa na aman nayenye furaha ndan yake akaishi maali pema pepon amen no. Kulya apa faraja tuuuu.

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 Рік тому +1

    Hata asingefunga ndoa sikuhiyo mamake asingefufuka. Na sherehe muhimu katika maisha ya mwanadam Ni 3 tu. Siku Ya kuzaliwa. Siku Ya kuoa au kuolewa. Na siku Ya kufa. Kwahiyo msiba na harusi viote ni sheree. Na MUNGU amewapa kubali. Ss Ni Nani hata tutunge stori zingine??

  • @rechombaga5872
    @rechombaga5872 4 роки тому +11

    Mmh ila mtoto wakiume wakiume tu sidhan kuwa huyo dada ndo angekuwa amefiwa mamaake asingevaa shela 😭😭😭😭😭

    • @jeniphajeremiah8008
      @jeniphajeremiah8008 Рік тому +1

      Zote ni shere ndowa ni furaha poa kifo ni fuhara

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Рік тому

      hatari sana

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Рік тому

      @@jeniphajeremiah8008 furaha kwasababu si mama yako 😂

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 4 роки тому +5

    Nilivyosikia. Siku ya send off. Marehemu alikuwa na furaha kupindukia. Sasa wakati wakiwa ukumbini mama akapika vigeregere sana mpaka umauti umemkuta. Kwa hiyo mtoto kaona kwa vile mamaye alikufa akiwa akishangilia. Basi azikwe siku wakiwa wanamuaga. Ilaa pooo sina moyo huo mie

  • @d.a.t3383
    @d.a.t3383 4 роки тому +7

    Ni sawa tuu wa kwenda kaenda wa kuoa kaoa yote Heri naona

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 4 роки тому +2

    Wamefanya kitu cha kishujaa sana hongera bwana harusi

  • @ShekhahamedMuhsin
    @ShekhahamedMuhsin 10 місяців тому

    Rip mama. Hongera maharusi naikubuka sikuhiyo

  • @esterelias8189
    @esterelias8189 4 роки тому +2

    Mama amelala katika Bwana..Hongera sana bwana harusi...

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 Рік тому +1

    Haya ni mauzauxa neno kifo ni jambo haluna mazowea, ni zito wallah hii ni laana tu badala ya kuomboleza mnasherekea kweli!!? Yadunia yamekua mengi sijaelewa siamini

  • @mineaminea3151
    @mineaminea3151 2 роки тому +1

    Jamani ata ofu ya mungu haipo kwasasa

  • @irenediemond368
    @irenediemond368 4 роки тому +2

    Wakristo tunasemaga Kuna sherehe kuzaliwa kufanya ndoa na msiba zote Ni sherehe

  • @jlyimu1990
    @jlyimu1990 4 роки тому +2

    Mungu ampokee jaman alitaman kuona mwanae kaoa

  • @jestinaluvanda-jm4tc
    @jestinaluvanda-jm4tc Рік тому

    Huyo biharusi angekuwa mama yake mzazi angekubali narudi iendelee??? Mama wa mwenzio ni WA mwenzio😅😅😅😅😅😆

  • @chainbre275
    @chainbre275 4 роки тому +2

    Silaaju sana ila inahitaji moyo kwn hata kwan mtu akifaa hatupaswi kuwa wanyonge Bali tufurahie n'a kumuombea

  • @nyamkamawanjara29
    @nyamkamawanjara29 4 роки тому +1

    Huu mwaka 2020 umekuwa na matukio mengi magumu, Corona, wanaume kuua wake,na hili dah hatari mi sijawahi kuona ila mhh siwezi kujua maamuzi

  • @gloriouskwekas8041
    @gloriouskwekas8041 4 роки тому +26

    Hao washenga uliwaona wapi geah? Maana waliovaa sare ni ndugu wa mume tu, jaribu kufuatilia mambo pande,zote, lakini pia unasema bwana harusi alikuwa anaongea kwa furaha kabisa, mbona mimi nilikaa mbele na nilimuona alikuwa analia?, mwanzo mwisho pale mbele bibi harusi na bwana harusi walikuwa wanalia wewe hiyo furaha mwanzo mwisho sijui uliiona wapi, alafu matendo ya huzuni yote naona umeyatoa, Ongera dada, ila jua tu hawa watu wameumia sana, na wamefanya hivyo kwa nia njema kabisa, wewe ndo unalifanya lionekane negative

    • @happypa2027
      @happypa2027 4 роки тому +1

      Nilazima waumiye sema uyo mutangazaj ametaka kubifanya kama yaajabu

    • @najmaawadh1359
      @najmaawadh1359 2 роки тому +2

      @@happypa2027 usishangae pia lkni... Kma mwenye katangulia kujitambulisha mbeaa nawajua wambea wanaongea yaliyomo na hayakuwepo ilmradi kufanikisha mambo Kwa anavyo taka yy

    • @mwanahamisbwanga1184
      @mwanahamisbwanga1184 Рік тому +1

      Kwani umemsahau geah alvyo muongo

    • @sarafinamsigwa1585
      @sarafinamsigwa1585 Рік тому

      Watu wapo kazin ukumbuke nae ndo liziki yake apo

  • @patelokoh5828
    @patelokoh5828 Місяць тому

    Mmmmmh mengine ni magimu saa harusi na msiba

  • @Amina-bq2xe
    @Amina-bq2xe 4 роки тому

    Wedding special. Sad and happy 🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭😫😫😫😫subuhanallah 2020 inakuja kinamna yake.

  • @grolyjason1955
    @grolyjason1955 4 роки тому +1

    Mh jamn....Wanaume wanajitahid ila sio sisi wasichana hatuwez kuvumilia Jamn😥😥😥

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 4 роки тому +10

    Wameeshim kauri ya mama wala jamii hisiwanukuu vibay

  • @happynessmrema2077
    @happynessmrema2077 4 роки тому

    unasema hujui alaf bado unaendelea kuongea vibaya...walichofanya ni sahihi kabisaa wala hmna ubaya..kwanza hujui tu mtu akifa the same date alozaliwa ni direct kwa Mungu...Binadamu ana sherehe 3 tu dunian kuzaliwa kuoa/kuolew na kufaa acha kupotesh umma

  • @winniegama7189
    @winniegama7189 4 роки тому +13

    MUNGU atunze ndoa yao R. I. P momy

    • @linahsemindu4261
      @linahsemindu4261 Рік тому

      Jmn hata wao hawakupenda itokee hvyo" Ila marehem alisema ndoa ifungwe siku yake y kuzaliwa" lait angeumwa hapo sawa wangeongea n marehem atengue kauli yake kwanza wamuuguze lkn ndoa z kikristo tar ikipangwa imepangwa" mm nakumbuka nilifunga ndoa yangu tumezika leo kesho kanisan tr ilishapangwa bd tunamaumivu makali y wifi yangu" nae alitoka iringa alikuja kwenye ndoa yetu morogoro 😭

  • @neyjohn923
    @neyjohn923 Рік тому

    Kwani lazima lazima wachanganye mazishi na harusi?

  • @ashurar2721
    @ashurar2721 4 роки тому +1

    Mm naona watuwengi T unafanya polojo tuchukuwe uhalisia kama ww NDIO mama yako utaweza

  • @kassimmanaramalika8592
    @kassimmanaramalika8592 Рік тому

    Hakuna laa ajabu hâta waislaam wanafunika kwanza maiti harusi inapita kwanza alafu mnaenda kuzika ,vyote ni mipango ya Mungu ,labda mnastaajabu kwasababu biharusi kavaa shela,🤔Lakini ndio mambo Ya Mungu

  • @joycejohn7754
    @joycejohn7754 4 роки тому +15

    Faten maandiko ndicho walichofuata hawa

  • @roseallen7198
    @roseallen7198 Рік тому

    Huo nimpango mungu tuu iwe hivyo maana yeye anajua rstiba zetu

  • @fidesbenard2836
    @fidesbenard2836 4 роки тому

    Mimi siwezi fulstop

  • @mligosandrah7851
    @mligosandrah7851 4 роки тому +1

    Ni ngumu ila hakuma maajabu mana ameumaliza mwendo salama alishasema afunge siku yake ya kuzaliwa so huwa haijirudii mpaka mwakani.Ila.wanaume pia wapo tofauti na sisi.Mi ningezimia hapo

  • @patrickkansonso4506
    @patrickkansonso4506 4 роки тому

    Tamaa ni mbaya

  • @veronicanzowa5484
    @veronicanzowa5484 4 роки тому

    Lkn apo wanaumia jmn walipo beba jeneza Kaka ongera kwa kujikaza duuuuh anamoyo kwa kweli daaaah

  • @frenkkabaisa5976
    @frenkkabaisa5976 Рік тому

    Mbona kawaida iyo jaman mama yangu mkubwa alifaliki siku yalusi arusi iliyendeleya badaye tuliyenda kuzika mbona kawaida2

  • @fatumadugulu351
    @fatumadugulu351 Рік тому

    Hii mpya kwakweli,,khaa,napata wapi ujasiri huo mie,,watu nyie mna moyo sana aisee,siwezii

  • @petermichael593
    @petermichael593 4 роки тому +2

    Kwanza mm nawpongeza wamejawa na imani xa
    xana...

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 роки тому

    Niambieni tu jamani hawa watu baada ya ibada walielekea ukumbini au makaburini na mapumziko yao wamefurahia lipi ktk maisha yao ya baadae kumpoteza mama au kuowana jibuni chapuchapu aisee nimeumia sana

  • @dafrosamsonge2007
    @dafrosamsonge2007 3 роки тому

    wanaosema hamjui kifo n Sherehe ya mwisho y maisha n Sawa tuu km nguvu zipo, kwani walienda ukumbin

  • @asnathmwaipopo6877
    @asnathmwaipopo6877 4 роки тому +1

    Yote yanawezekana kwa MUNGU ! Kikubwa tumuombee. Na MUNGU awatangulie kwenye ndoa yenu. Mzae matunda mema

  • @MaryMallya-kh9md
    @MaryMallya-kh9md Рік тому

    Nuujingaaa angempumzishaa mama yakee kipenzii then ifuatee ndoa huo siii upendoo hapoo nivituu viwilii rofauti

  • @adelaidapeter1796
    @adelaidapeter1796 4 роки тому +5

    Ole wenu,mvunje hiyo ndoa,marehemu atafufuka

    • @bobg611
      @bobg611 4 роки тому

      Very true she has witnessed the wedding break it then u will be cursed...

  • @naimarrashid1023
    @naimarrashid1023 4 роки тому +1

    Me naona Kama Watu wamekuja kuwashangaa bwana na Bibi harusi tu hapo hawawaelewi yan

  • @RithaCephas-xt8io
    @RithaCephas-xt8io Рік тому

    Sio mbaya mbona

  • @aishaanthony4508
    @aishaanthony4508 4 роки тому

    Mm siwezi kabisa hatanguvu nitazipata kweli

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 4 роки тому +3

    Moyoni atakuwa amesema acha wafu wamzike wafu🤣🤣🤣🤣 hii dunia Ina vituko Sana hii ,R.I.P MAMA😭😭😭😭

  • @MakirinaKomba
    @MakirinaKomba Рік тому

    Kwel sijawah kusikià kwel kilà watu na màmbo,yào duuu hiyo ñi kàl

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 Рік тому

    Wangefunga tu ndoa siku hiyohiyo halafu wamzike mama sherehe wafanye hata siku ya nne!

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 4 роки тому +1

    Mi Naona Ni Sawa tuu walichoamua kukifanya Na familia ikilidhia pia Mambo hayavurugiki

  • @majabumbaga2349
    @majabumbaga2349 4 роки тому

    Mungu ni mwema
    Yeye ndiye tunayemtegemea
    Binadamu hatujui lolote

  • @HerenaMoyo-dx7vc
    @HerenaMoyo-dx7vc Рік тому

    Mhh yataka moyo R,I,P mama sili unayo wew

  • @kilungodionizi1865
    @kilungodionizi1865 4 роки тому

    Mmmmnh mmmmmh balaaaa zito me nicngeweza

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 роки тому

    Inna lillahy wa inna illayhi Rajioun, Yataka Moyo Harusi,Mazishi Kwa Wakati 1,Maajabu.

  • @hildadaniel4892
    @hildadaniel4892 4 роки тому

    Mimi nimefiwa na mama angu najaribu kukumbuka ile cku nilivoipokea wakat tupo kanisani tukifanya ibada MTU angenambia na harus ni siku hiyo nahisi hata mchumba ningemwambia Mch simuoni naefunga nae ndoa

  • @rosadinahjoseph9137
    @rosadinahjoseph9137 Рік тому

    Huyoo uchawiii wed

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 4 роки тому

    Zote ni sherehe . Maana mwanadamu Ana serehe tatu . Sema hiyo ya mwisho watu husherehekea kwa kilio maana hawataiona Tena hiyo nafsi., Segerea Dar es salaam,mama mmoja alialika matarumbeta na watu walishangila n avigelegele kwenye msiba wa binti yake.