RAIS SAMIA AMPIGIA SIMU WAZIRI SILAA KANISANI kwa SUGUYE - SHANGWE LALIPUKA - ATOA ZAWADI ya PESA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 21

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  10 місяців тому

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @k.k9366
    @k.k9366 10 місяців тому

    Hongera sana , sote Watanzania sote Ndugu

  • @AminaKiboma-fr9eh
    @AminaKiboma-fr9eh 10 місяців тому

    Rais ni wa wote Wapendwa.Mungu Amtunze Rais Dr.Samia Suluhu Hassan

  • @deogratiaskatinda9232
    @deogratiaskatinda9232 10 місяців тому

    Siasa na dini havichanganywi kadiri ya viongozi wa Serikali, lakini wao wenyewe ndio wanaokwenda kinyume na wasemacho.
    Hii ni kuchuja mbu na kumeza ngamia!😢😢

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 10 місяців тому

    Hivi samia akifa sasa hivi ataenda sehemu gani mimi uingozi wa kikafiri sitaki

    • @flavianajohn5250
      @flavianajohn5250 10 місяців тому

      We mwenyewe umedhihirisha ukafiri wako 😃😃😃😃

  • @MariaKitundu-l1m
    @MariaKitundu-l1m 10 місяців тому

    unauliza Samia akifa ataenada wapi wewe utaenda wapi ukifa

  • @mustaphersamson6174
    @mustaphersamson6174 10 місяців тому

    HAHAHAHAHAHAHA, HONGERA SANA MH RAIS, SAFI SANA.

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 10 місяців тому

    kama wa kanisa zima wagawiye wapate ya sikukuu😂

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 10 місяців тому

    Mama mchngaji anachekea juju anajua pesa ya mawigi ishapatikana

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 10 місяців тому

    zawadi yenu hiyo ikifika kwa mama dastibin ipo wapi pwaaa zawadi gani iyo 😂

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 10 місяців тому

    Mke hawara wakristo hamna ndoa

    • @NM-yl2uw
      @NM-yl2uw 10 місяців тому

      waislam ndo mnandoa hongereni

    • @meshackthomas1341
      @meshackthomas1341 10 місяців тому

      Usiniambie et nawewe Unamweshim Mungu ikwa binadamu unaowazalau. Nimali ya Mungu wa kwel kama ulivyo wewe. Bibilia haijahalaliasha. Kama wislam ulivyo. Ikianza skuku unao ikiiasha mmnapeana taraka. Bibilia haihalalishi taraka Maja Wala tatu endelea kujifunza nasio kukalilishwa vinginevyo. Utasumbu taifa kuhangaika na panya rodi na wavutabangi ilioshindwa kuwapa malezi mazuri

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 10 місяців тому

      ​@@meshackthomas1341muongo wewe hatuowani kwa sikukuu kuowana kwetu lazima na nyinyi zinaa imehalalishwa kwenu kuowana silazima mukikaa usiku mmoja keshakuwa mke na mume ndo mana munauwana kila siku

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 10 місяців тому +1

    Ukafiri mtupu

    • @NM-yl2uw
      @NM-yl2uw 10 місяців тому

      ukafiri ni mzuri ww kinakuuma nn

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 10 місяців тому

      ​@@NM-yl2uwni mzuri ukafiri mana upinde mpaka kitabuni sasa