Mimi naomba kuuliza anae jua naomba anijibu ..... KWANINI ZANZIBAR KUNA RAHIS WAO IKIWA YOTE NI TANZANIA???NA JE WAZANZIBARI WANAMPIGIA KULA RAHISI WA HUKU TZ??
Mimi nilisema huyujamaa hatosheki na bibi mmoja,sasa ona Kindiki hamtoshelezi tayari sasa ywamezeamate upande wakina Mudavadi,,yni one team naibu wa Raisi w
Wajumbe wa mkutano mkuu wa Ccm. Karibuni kariakoo. Muone hali ya msongamano barabarani. Mhakamu uliyechaguliwa anza kazi Soko la kimataifa. Kariakoo barabara njooo upange Baba njoo ujione utalia machozi. Hatuna Amani
MWENYEZI MUNGU NAKUSHUKURU SANA MAANA UMEJUWA KUMUONA RAIS WETU AWE JUU WATU TUMEZOEA KUSEMA BILA KUKUKUMBUKA MUNGU WETU HATUJUI SAMIA UBAVU WA MAREHEMU MAGUFULI WALIPENDANA SANA AWAMU YA KWANZA HADI YA PILI AMEKUFA NAE LAKINI WATU TUNASAHAU HAYO MAENDELEO MAKAMU WA RAIS WA MAGUFULI NANI
Mpiji magole Bado tunashida ya maji Dawasa Haijafika Na Mama Tunakuomba utukumbuke kwa Ile Barabara Aliieicha Baba Magufuli ya Bagamoyo Rod kutoka Stend ya mkowa mbezi kupitia mpiji magole.
Zuchu kawambia watu wasimame mpaka viongozi na asiyesimama simwenzao wamesimama halafu hakutaka wakae mpaka rais anamuangalia Kwa hasira akaja kuwekwa kitako na mlinzi wake heshima gani hio amefeli pombe mbaya makabila kafanikiwa
Nimefurahi kumuona Mama Janeth Magufuli😍💥,,
Umependeza saaaaana mwanangu, go go girl.....❤❤❤❤❤🎉🎉🎉wenye wivu acha wafie huko
Wafie uko hasa
Safi kambisa huyo ndiyo raisi wetu kura yanqu pokea mama nakupenda sana ❤❤❤❤❤❤
Zuchu mamalao mwenyi yota samba ❤❤❤❤❤kutoka mbinguni
It's very nice song
Tunahitaji mungu atupe uamsho kwa haya makanisa yetu
Quuen zuu umependeza Mashallah na unajua sana ..pamabna achana na maneno ya watu
Mheshimiwa Christian Makonda best performing Governor Arusha in Tanzania...💪👍
Nampenda sana huyu dada anapenda kuimba live,,kapigiwa zake tu biti 🎉❤
Nampenda Sana ata mm .Allah azidi kumuepusha Aki
Nampenda sana zuchu sipendi hata wakuuzi kipenzi❤
MHE RAIS KIPEMZI CHETU WA TZ TUPO PAMOJA NA MAMA SAMIA SULUH HASSAN MITANO TENA 🇹🇿❤🇹🇿❤🇹🇿❤.
Yani n ngoma z kwetu yani kitu cha kwaya😂😂❤❤❤🎉🎉zuchu juu
Ma Shaa Allah kazi nzuri nimefurahi 😂kutoka kenya
Mimi nitakachosema TZ vija mna faa mwamke juu vimtu mingi vina liwa chini yamaji aki tuna wapeda sana tz kutoka 254🎉❤
Queen zuchu❤
Hii kazi ngumu kuna wakati unahitaji tufaraja kama hivo , hongera kwa jitahada ya kazi ya taifa
Ally ur the best 😊
My girl Zuu, a lioness❤ 🇨🇦
Wasaniii mmevaa vizurisana mwe mnavaa hivo ndo utamaduni wetu TANZANIA... MUUENZE UTAMADUNI WETU NDOUZALENDO PIA
❤❤❤❤ccm
Umependeza sana zuchu 🔥🔥🔥🔥💓💓💓
Zuch Forever Hakuwez Kabisa 💯💯
Na hawatamuweza..mambo kama haya hawaposti ..sai wamekazia kupost video nusu nusu za mond za Netflix show ili kumuumiza zuchu😮
@@RehemaKatana-m6l ooooh, vraiment ?
Namiss home me i love mr kikwete for sure
Yaan mama Janet tangu aondokewe na kipenzi chake nuru ya tabasamu imefutika usoni ee Mungu nisaidie ucjenipa ukiwa wa ujane mapema nakuomba🤲🙏🏻
Hata hapo anajikaza tu Kwa kweli,Nuru haipo kbs . MUNGU ampatie faraja japo maneno ya kumuumiza
Nikazani nandy kumb ni zuchu kiukwel umependez xan dadake honger umeimb vizur
Viva zuchu,ila sio ccm
Best voice zuchu
Mama la mamaaa❤❤🎉
Zuchu kiboko ya wambea
Zuchu wangu ❤
Zuchu kiboko 🎉🎉🎉
Zuchu unasimamisha hadi Rais sijapenda 😂😂
😂😂😂ndo kazini kwake lazma wampee nidhamu na utii
Zuchu anajuwa bn ana mshindanin
You are a destiny child, Zuuh .May God continue to bless and protect you, my love.Always on the top.❤❤❤❤
Inshallah
The Queen 🙌🙌🙌
Kenya ni tofauti kabisa
Nimepend san am good
Zuuu❤❤❤
Asante Tanzania yetu
Zuchu ukiwasimamisha waheshimiwa, ukumbuke na kuwakalisha🤔🤔
Nimefurahi kuliona bango la Lindi❤
Katoto haka kamewalazimisha kusimama zuchu kumbuka wamekukalibisha tu
Zuchu yuko vizuri
Nandy yuko wapii ??
Waoo zuchu 🔥🔥🔥💪
Hivi na mimi nikikivaa nguo yangu ya kijani nikaenda hapo Bungeni nitafukuzwa?
Mimi naomba kuuliza anae jua naomba anijibu ..... KWANINI ZANZIBAR KUNA RAHIS WAO IKIWA YOTE NI TANZANIA???NA JE WAZANZIBARI WANAMPIGIA KULA RAHISI WA HUKU TZ??
Nice
Unapendeza uwe mkuu wa Mkoa ,Rais Samia please mpe kszi huyu binti.
Mimi nilisema huyujamaa hatosheki na bibi mmoja,sasa ona Kindiki hamtoshelezi tayari sasa ywamezeamate upande wakina Mudavadi,,yni one team naibu wa Raisi w
Wajumbe wa mkutano mkuu wa Ccm. Karibuni kariakoo. Muone hali ya msongamano barabarani. Mhakamu uliyechaguliwa anza kazi Soko la kimataifa. Kariakoo barabara njooo upange Baba njoo ujione utalia machozi. Hatuna Amani
Anajua sana sana sana
Nandi aliimba?
💛💚💛💚👍
Tunamzimiaaaaaa
Mama mchapakazi
Tena mpenda haki....
Kumbe haka kawimbo aliimbaga zuchu jaman 😂😂😂
Hili jimbo kali oyaaa kalii
💃💃💃🎉🎉🎉
Yani naigaliya mara mbili mbili daa kawachezesha wa mama wote wakubwa alafu mwijaki achukuwa pesa mkono kwa kiba Hhhhh
Diamond awezi kufuta
Mama lao zuchuu
Miamia
Mama yetu
Kazi ipo
MWENYEZI MUNGU NAKUSHUKURU SANA MAANA UMEJUWA KUMUONA RAIS WETU AWE JUU WATU TUMEZOEA KUSEMA BILA KUKUKUMBUKA MUNGU WETU HATUJUI SAMIA UBAVU WA MAREHEMU MAGUFULI WALIPENDANA SANA AWAMU YA KWANZA HADI YA PILI AMEKUFA NAE LAKINI WATU TUNASAHAU HAYO MAENDELEO MAKAMU WA RAIS WA MAGUFULI NANI
Yani natamani ata nigekua ichini kwamama samia
Sijuwi nigombee ubunge siunajuwa sisi upige kula sisipige mtanichaguwa tu
Mbaya
Bs hy
Tumpe mauwa yake magufuri Rayvani tutamsifia kwa nyimbo tu si kama mashabiki ila mama tutumpongeza kwa kuendeleza kazi sgr n.k
Umependeza Zuchu 🥰🥰🔥🔥
Mpiji magole Bado tunashida ya maji Dawasa Haijafika Na Mama Tunakuomba utukumbuke kwa Ile Barabara Aliieicha Baba Magufuli ya Bagamoyo Rod kutoka Stend ya mkowa mbezi kupitia mpiji magole.
Mpiji ni pazuri saaana,tunaomba mtekeleze ahadi za chama Cha mapinduzi
❤❤❤❤❤
Shekhe leo kasimamishwa
Mama suma
Hii tabia ya Wasanii kusema asiesimama ni mchawi, analazimisha watu kusimama.
Nataka alie shika bango la TABORA 😊
😂😂😂😂
Nimependa kuona bango la mwanza
Zuchu kawambia watu wasimame mpaka viongozi na asiyesimama simwenzao wamesimama halafu hakutaka wakae mpaka rais anamuangalia Kwa hasira akaja kuwekwa kitako na mlinzi wake heshima gani hio amefeli pombe mbaya makabila kafanikiwa
Ume msimamisha raisi ww
Nyimbo haija changamka
Wengine wazeee unawasimamisha we zuchu wewe😂
Hivi kwanini wanamuziki wengi wa bongo ni machawa wa ccm?
Hapo waliokula minoti mingi pia wapo walioenda kupiga miayo 😂😂na kurudi tupu
😂😂😂😂😂
U so better
Zuchu live huiwez sauti inakwaruza sana ifanyie mazoez
Apunguze kuwachambua sauti ikawa vizuli😂
ila hakuna wimbo mkali kama aliomwimbia magufuli ile nyimbo ata nikisikia nalia maan inaingia adi koyon
Dah ni kweli kabisaa
Mh
🫶👍
Zakayo wetu hata kusapot wasanii hataki
Zuchu anajuwa bn ana mshindanin
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤
Mama yetu
❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤