UCHAWI WA SINZA EP. 4

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 69

  • @chigomedia2024
    @chigomedia2024 4 місяці тому +8

    Sema hii movie ni ya moto sana tuache unafiki

  • @Wamanyafu
    @Wamanyafu 4 місяці тому +4

    Bomba sanaaaa edit zimepoa kinyamwez🎉

  • @AllyahKaseka-hq4fv
    @AllyahKaseka-hq4fv 4 місяці тому +6

    Jaman nimeangalia had mwisho ni nzuri sana❤❤❤

  • @VedastoBucha
    @VedastoBucha 4 місяці тому +5

    Kazi nzur Sana 👏👏👏

  • @WensBend
    @WensBend 4 місяці тому +5

    Hongeleni sana

  • @agustinomkoma2080
    @agustinomkoma2080 4 місяці тому +4

    Niko baharini nawafuatilia sana 😂😂😂 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @SharlineNaswa
    @SharlineNaswa 4 місяці тому +4

    Wa kwanza kutoka kenya ,nipee lukes

  • @SamsonSando
    @SamsonSando 4 місяці тому +9

    Anaemkubali pasta gonga like

  • @BonfaceNjeru-z3q
    @BonfaceNjeru-z3q 4 місяці тому +7

    Wa sita leo🎉🎉🎉🎉

  • @chigomedia2024
    @chigomedia2024 4 місяці тому +17

    Huyu dada kafanana na Paula kweli!!! Ambaye kagundua kama mimi gonga like hapa! 😅😅😅

  • @datiusludovick8469
    @datiusludovick8469 3 місяці тому +3

    Yesu awape roho wa uweza ongeza urefu wa episode 😊😊❤

  • @AnnastaziaVicent
    @AnnastaziaVicent 4 місяці тому +2

    Kazi nzuri sana

  • @MercyJason-v6v
    @MercyJason-v6v 4 місяці тому +4

    Afu msikawie sana 👨🏻‍🦼

  • @devonteke039
    @devonteke039 4 місяці тому +9

    Wa kwanza ❤

  • @AllyMateka-e1o
    @AllyMateka-e1o 4 місяці тому +2

    Wameupiga mwing Sana 🎉🎉🎉

  • @coolboymicky3651
    @coolboymicky3651 4 місяці тому +4

    Nzuri

  • @thinkwithshamimwhatwouldyo3642
    @thinkwithshamimwhatwouldyo3642 4 місяці тому +5

    Safi sana

  • @AllyMateka-e1o
    @AllyMateka-e1o 4 місяці тому

    Wapo vizur sana wameupiga mwing sana🎉

  • @MercyJason-v6v
    @MercyJason-v6v 4 місяці тому +3

    Afazari nimewaona❤❤

  • @RamsoJackson
    @RamsoJackson 3 місяці тому

    Wameshiba tayari hela kazi hua hazitaki mambo mengi wanazingua sana

  • @ZinzaNgeleja
    @ZinzaNgeleja 3 місяці тому +1

    Kazi zenu nzuli kazeni buti

  • @SeverinLuoga
    @SeverinLuoga 4 місяці тому +1

    Mwendelezo msichelewe

  • @FestiaKihanza
    @FestiaKihanza 4 місяці тому +2

    Paster yupo makini mungu amtangulie ktk kuiokoa sinza

  • @neemamichael-iv3jp
    @neemamichael-iv3jp 4 місяці тому +4

    Nmewah

  • @LUCYKHALAI
    @LUCYKHALAI 4 місяці тому +2

    Nimeipenda mauwa yenu iyo❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @Bintnailah
    @Bintnailah 4 місяці тому +2

    Mbona sasa mnatupa kionjo tu jaribuni basi kuongeza dakika🎉🎉🎉🎉

  • @SharlineNaswa
    @SharlineNaswa 4 місяці тому +3

    Eiiii hatari hii

  • @raphaeltanzania
    @raphaeltanzania 3 місяці тому +1

    Mungu awajalie sana maana ni waigizaji wachache wa naichezaje film zenye kuabudu hongera sana kwa kazi nzuri

  • @AMMY_TONYofficial
    @AMMY_TONYofficial 4 місяці тому

    Kazi iko p aisee 💥

  • @mfyujicreater
    @mfyujicreater 3 місяці тому +2

    Nice one huyo paula ni copy kabisa mmetisha sana❤❤❤

  • @yohanaluhende8517
    @yohanaluhende8517 4 місяці тому +5

    Yani kipande kingine kutoka mwaka hadi mwaka, mmeshindwa kaz nyie

  • @GoodyNgowe
    @GoodyNgowe 4 місяці тому +1

    Nzuri san ❤

  • @MercyJason-v6v
    @MercyJason-v6v 4 місяці тому +3

    Nilikuwa nangoja ule hayo matunda ningekudifua😂😅alafu sinza nakuja nitawapelekea moto nyinyi,i don't want peace i want problems

  • @JimmyCharo-g9z
    @JimmyCharo-g9z 3 місяці тому

    Kaz nzur❤

  • @marangonafula3417
    @marangonafula3417 2 місяці тому

    Kazi nzuri

  • @JoyMutanu-rj6mb
    @JoyMutanu-rj6mb 3 місяці тому +5

    ❤❤❤wakenya goga like

  • @JeskaMringo
    @JeskaMringo 3 місяці тому +1

    Watumishi wa Mungu wanaogopa nini sasa jaman

  • @Issackmakobogo
    @Issackmakobogo 3 місяці тому +1

    good job 👍👍👍👍🎉🎉🎉🎉🎉

  • @LUCYKHALAI
    @LUCYKHALAI 4 місяці тому +3

    Next plz

  • @PaulaElias-l1y
    @PaulaElias-l1y 3 місяці тому +1

    Hongera sana class mate wangu❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 mauwa yako hayo

  • @Eunicemakokha-gc9ss
    @Eunicemakokha-gc9ss 3 місяці тому +2

    Team pasta mko wapitumshikie imani asije kutengwa na majaribu

  • @RachaelKioko-qo7mg
    @RachaelKioko-qo7mg 4 місяці тому +1

    Nzuri na fupi sana

  • @AllyahKaseka-hq4fv
    @AllyahKaseka-hq4fv 4 місяці тому +3

    Hatar😂

  • @EliasGwimo-gd8de
    @EliasGwimo-gd8de 3 місяці тому

    Welldone

  • @mariakisinza
    @mariakisinza 4 місяці тому +5

    Jamani hata mm nimempenda hesamu napataje namba yake mm ni msanii wa asili kutoka simiyu naitataji tufanye kaz nak yeye naitataji namba jamani mhusika wa hii chaneli

  • @cowboycleiz3672
    @cowboycleiz3672 4 місяці тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @datiusludovick8469
    @datiusludovick8469 3 місяці тому

    I like it

  • @MussaChimbilimana
    @MussaChimbilimana 3 місяці тому

    😁🤣mbona uyu wamupya nimoga uyu wabibiriya ana uhoga

  • @thinkwithshamimwhatwouldyo3642
    @thinkwithshamimwhatwouldyo3642 4 місяці тому +3

    👏

  • @MpashiKennedy
    @MpashiKennedy 3 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @EhrustineZ
    @EhrustineZ 4 місяці тому +1

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @LilianAchieng-j3x
    @LilianAchieng-j3x 3 місяці тому +1

    Penda hìi

  • @yohanaluhende8517
    @yohanaluhende8517 4 місяці тому +5

    Mjue nyie mnaboa sana, kazi zenu nusunusu halaf zina chelewa kutoka. Hivi kwa nini msiwe na msimamo mkamalìza kaz moja kwanz kabla ya kuleta nyingine. Kati ya chanel inayopost kaz nusunusu hii inaongoza asee acheni ushamba wa kazi eboh!😮‍💨

    • @ZinzaNgeleja
      @ZinzaNgeleja 3 місяці тому

      Unafikili hiyo ni kazi nyepesi igiza we tukuone utakv toa kazi fasta

    • @yohanaluhende8517
      @yohanaluhende8517 3 місяці тому +1

      @ZinzaNgeleja Mim Kueleza hivo si kwa ubaya, bali ni kuwafahamisha wahusika kuwa wanatuboa mashabiki zao. ILI KAZI YAO IKUE ni sisi mashabiki kuwapa SAPOTI na KUWAKOSOA inapobidi ili kuboresha kazi yao na kuongeza ushindani.

    • @ZinzaNgeleja
      @ZinzaNgeleja 3 місяці тому

      @@yohanaluhende8517 ndio lakini unaanglia na aina ya kazi yenyewe ok ucjali

    • @AllyahKaseka-hq4fv
      @AllyahKaseka-hq4fv 3 місяці тому

      Ucjal litakaa sawa​@@yohanaluhende8517

  • @Teamviral007
    @Teamviral007 3 місяці тому +2

    Together 🎉 tunawakilisha
    @tibasco
    @tibaburudani
    @T-password 🎉

  • @AllyMateka-e1o
    @AllyMateka-e1o 4 місяці тому +3

    Wameupiga mwing Sana 🎉🎉🎉