SIKIA MKIKIMKIKI WA HOJA YA MAHINDI NA MAJIBU YALIYOTOLEWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 чер 2023
  • MAWASILIANO
    +255746568552 WhatsApp/Call
    #kenya #kenyadigitalnews #ktnnews #ntvnews #ruto #raila #odinga #kenya #kenyadigitalnews #ktnnews #ntvnews #ruto #raila #odinga
    #kenyapaliament #kenyanyoutuber #ktnnews #kenya#kenya #kenyadigitalnews #ktnnews #ntvnews #ruto #raila #odinga #kenya #kenyadigitalnews #ktnnews #ntvnews #ruto #raila #odinga
    #kenyapaliament #kenyanyoutuber #ktnnews #kenya

КОМЕНТАРІ • 50

  • @barnabasmsamwel4292
    @barnabasmsamwel4292 Рік тому +2

    Safi sana mh bashe

  • @laindukai7437
    @laindukai7437 Рік тому

    Hongera sana mh.mbunge wangu wa kiteto mchapa kazi hodari tupo pamoja na wewe

  • @ezrayjesus
    @ezrayjesus Рік тому +1

    Kumshinda bashe kwenye hoja uwe umekula kweli ✊

  • @albertchubwa2546
    @albertchubwa2546 Рік тому +1

    Msukuma hongera

  • @edwardmagige3187
    @edwardmagige3187 Рік тому +1

    Mtu ananunua mahindi akifika njiani anazuiliwa Hadi mahindi yanaoza mnatupa hasara kweli

  • @ismailkidongo9384
    @ismailkidongo9384 Рік тому +1

    Masikini kuendelea kazi Lima bei upangiwe viongozi wasiolima

  • @laindukai7437
    @laindukai7437 Рік тому +1

    Hata mimi nawapongeza yeyote anayesema tufunge mageti maana jamani kuna watu wa hali ya chini vijijini kwahiyo tuangaliye

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 Рік тому

    Ndiyoooo baba bashe waambie hapo wakenya wamezoea vibaya wakati hao hawawezi wala kukubali kununua mahindi hovyo

  • @williamtiba1356
    @williamtiba1356 Рік тому

    Kakoso uko vizuri

  • @MaryMadaraka-fo6cx
    @MaryMadaraka-fo6cx Рік тому

    Msipange Bei nyinyi sisi wakulima ndo inatakiwa tupange coz tunaumia

  • @shabanimohammed919
    @shabanimohammed919 Рік тому

    Nyie waheshimiwa mmewasahau walaji ndani bei ya chakula iko juu sana na kuna baadhi ya mikoa kama mara haikupata mvua za kutosha lakini pia wananchi wengi vipato vyao ni vya chini hawawezi kununua debe la mahindi tshs 22500/=kwani ndiyo bei inayouzwa huku mara.

  • @edwardmagige3187
    @edwardmagige3187 Рік тому +1

    Wewe umekula pesa za Dubai kula wewe tuache sisi machinga wa mahindi tufanye kazi kwa uhuru msukuma nilikua nakukubali sana lkn kwa hili wewe ni hopeless sana

  • @deogratiasmwandu55
    @deogratiasmwandu55 Рік тому +1

    Msukuma leo umeniboa

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 Рік тому

    mnadanya wakulima mnatetea wafanyabiashara mkulima

  • @saramwanagamilo4429
    @saramwanagamilo4429 Рік тому

    jamani hadi mahindi yatakuwa bandari😢🎉

  • @photonatuschacha6958
    @photonatuschacha6958 7 місяців тому

    Tusemeeni sisi wakulima ili tunufaike nas

  • @MoiniElly-yu6zr
    @MoiniElly-yu6zr Рік тому

    Nimeipenda mchango wa Msukuma

  • @esautimotheomashausi7690
    @esautimotheomashausi7690 Рік тому

    Mm bwana wabunge wetu mkulima huyu jamani watoto wa mkulima wanalala pabaya ijapo ni mkulima wanakula chakula si salama sana wasaidine hao wakulima

  • @zawadisisto8188
    @zawadisisto8188 Рік тому

    Watanzania sijui wanataka nini mahindi yakipanda unga umepanda

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 Рік тому

    Enzi za waziri mungai

  • @user-nb7od3eu8x
    @user-nb7od3eu8x Рік тому

    Nilikuwa nasubiri hoja yako mh kusukuma wengine hao nifuata upepo hatuwezi tukamaliza shakula serikali isimamie hili swala

  • @josephlugala3182
    @josephlugala3182 Рік тому

    Hivi kumbe wabunge wetu wapumbavu kwa kiwango Cha juu hivi daaah

  • @GilesKhamis
    @GilesKhamis Рік тому

    WAZIRI BASHE unataka kutuuwa Wakulima,shida yako ni nin?

  • @MichaelLyeme-hh1pk
    @MichaelLyeme-hh1pk Рік тому

    Rejea Tamko la MH.Rais kule MWanza!Je?mlikuwa wapi?kabla ya msimu wa mavuno!

  • @rehemakarafuu-xi1py
    @rehemakarafuu-xi1py Рік тому

    msukuma unalima mda wote upo bungeni

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 Рік тому

    Palipo na vikwazo ni sawa na kuzuia

  • @samwelimilinga6429
    @samwelimilinga6429 Рік тому

    yani wa kuisemea ruvuma hayupo dah kweli kazi ipo

  • @KahezaKaheza-zd2kg
    @KahezaKaheza-zd2kg Рік тому

    Wacheni wakulima wauze mazao bila mipaka mnapowabana wakulima mnaenda kukiuwa kilimo mfanye kilimo vijana wakipende kiwe na tija

  • @allykingu6954
    @allykingu6954 Рік тому

    Wabunge mmeonyesha uwakilish wenu serkal hainunui mahind

  • @GilesKhamis
    @GilesKhamis Рік тому +1

    Kijiji cha Kataz kata ya katazi Tarafa ya Mwazye wilaya ya Kalambo Mkowa wa Rukwa,tuna ghala kubwa sana ambalo linatunza gunia zaidi ya elfu 10000 tunaomba Nfra katika kijiji cha KATAZI

  • @kudraahmad5670
    @kudraahmad5670 Рік тому

    Wewe msukuma ndio mchaw wa wakulima wa rukwa tumeanza kukugundua ,wewe una dhahabu unataka tuje tukulishe kwa sh 50000 kwa gunia?

  • @AdbulKhamis-wi1cu
    @AdbulKhamis-wi1cu Рік тому

    Mbona korosho mtuachii tukauze wenyewe

  • @judithmwamukinga4448
    @judithmwamukinga4448 Рік тому

    Hivi nyie mawazi mna akiri mkulima anagunia tano apeleke nje

  • @PauloolekooiLaizer-ho7sm
    @PauloolekooiLaizer-ho7sm Рік тому

    Ashe kimbelembe

  • @jeremiahkavakule8354
    @jeremiahkavakule8354 Рік тому

    Hili lisukuma

  • @josephlugala3182
    @josephlugala3182 Рік тому

    Mimi naunga mkono hoja ya Bashe sababu Hali ya bei ya mwaka Jana ilikua mbaya sababu ya uratibu mbaya wakenya walikua wananunua mahindi yakiwa shambani hivi bei Gani halisi utakayodhibiti hapo acheni ushabiki wa kijinga wabunge nyie

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 Рік тому +1

    Msukuma ovyo.

  • @jameslukumay495
    @jameslukumay495 Рік тому

    Bashe uko visuri

  • @MoiniElly-yu6zr
    @MoiniElly-yu6zr Рік тому

    Serikali imechukua hatua nzuri ili Bei ya mahindi ishuke. Mahindi ni chakula sio kila mtu ana uwezo wa kununua kwa Bei ya laki Moja. Jamani wabunge kumbukeni kipindi kirefu Cha kiangazi. Baa la njaa ikiingia mtaanza Tena kulalamika.

  • @furahapatson5630
    @furahapatson5630 Рік тому

    Sasakwanini hiomipangomsifanyehivotangumapema mnatuumiza wakulima

    • @2003hintay
      @2003hintay Рік тому

      Andika vizuri hujaenda shule

  • @GilesKhamis
    @GilesKhamis Рік тому

    WAZIRI tunaomba kituo KATAZI

    • @ismailkidongo9384
      @ismailkidongo9384 Рік тому

      Wewe msukuma mbona kimbelembele we mwizi sio mfanya biashala

  • @nabii-zc1hm
    @nabii-zc1hm Рік тому

    Msukuma hamna lolote mafanyabiashara magaidi ndiyo yanayotusaidia wakulima Wacha tuuze mahindi hulia acheni tamaa za kijinga

  • @user-bx3kp9cg2h
    @user-bx3kp9cg2h Рік тому

    Hivi kama hamja funga mipaka hujui kama Watu wa chini wata kufa njaaaa muogopeni sana Mungu Magufur Ali funga mipaka ili chakula Tanzania kipungue bei ilimradi tu Ata mtu wa hari ya chini Nae apate chakukilaa

    • @aymanmangube4092
      @aymanmangube4092 Рік тому

      kwaiyo mm nilime kwa gharama halafu bei anipangie mtu mwingine!?

    • @avilanicholaus6602
      @avilanicholaus6602 Рік тому

      Unaumwa nni WW mm nilime halafu WW upange bei