WAZIRI KITILA ASHTUKIZA KIWANDA CHA NONDO MKURANGA" TUMEAJIRI WATU WETU, WALIPE KWA WAKATI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 7

  • @jamesukombozi5216
    @jamesukombozi5216 10 місяців тому +1

    Ahsante sana serikali kwa kusimamia mipango ya maendeleo,, tunaomba serikali ipunguze bei ya bidhaa kama vile NONDO, Bati, misumari, bomba

  • @starjay3052
    @starjay3052 10 місяців тому +1

    nakubali mzee wangu

  • @KilwaStar23
    @KilwaStar23 10 місяців тому

    Waziri anasema mwekezaji ameajiri watanzania 2000, Huyo mama anasema ameajiri watu 600, uongo mwingi tu! kwann msiwe wakweli?

  • @rehemayona2223
    @rehemayona2223 10 місяців тому

    Tunaomba tupunguseni bei za nondo moja 24 jaman

  • @Space-f9y
    @Space-f9y 10 місяців тому

    Nani aliwaambia vitu vya ndani ya nchi viwe chini ya viwango? Ebu elimikeni tunataka bidhaa yenye ubora wa kimataifa

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 10 місяців тому +1

    Chuma Chuma yetu tunaanza kuchimbwa lini ?