TANASHA na DIAMOND wafumaniwa CHUMBANI na MAMA DANGOTE Utapenda TANASHA Ashindwa kujizuia DIAMOND

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 жов 2023
  • #diamondplatnumz #tanashadona #bongompyatv

КОМЕНТАРІ • 21

  • @rahmasalim1989
    @rahmasalim1989 9 місяців тому +3

    Hii ni ya zamani sana acheni ujinga

  • @aminaawadhi1537
    @aminaawadhi1537 9 місяців тому +4

    Hawana jipya, kwakweli yaani! Upuuzi mtupu huu!

  • @user-qk4gt3dw6m
    @user-qk4gt3dw6m 9 місяців тому +2

    Na huyo unaimuona sio NJ 😂😂😂 wambeya kwa kutengeneza hadisi duh mahodari

  • @rsfdzxzx2274
    @rsfdzxzx2274 9 місяців тому +1

    Ampa nizamani

  • @mariabikyeombe9050
    @mariabikyeombe9050 8 місяців тому

    ❤❤

  • @sweet16honey75
    @sweet16honey75 9 місяців тому +2

    Video za kitambo hizi jamani

  • @mariakalama3014
    @mariakalama3014 2 місяці тому +1

    Anaficha dhambi

  • @HalimaHalima-jv5fz
    @HalimaHalima-jv5fz 9 місяців тому +1

    Yakitambo hiyo

  • @patriciambuvi8233
    @patriciambuvi8233 9 місяців тому +1

    Kwa hivyo NJ ni wa kitambo? Mna wivu kweli! Hii ni ya wakati huu wako TZ mezeni wembe basi team wivu wachawi wa roho

  • @user-mk1ug4qh3g
    @user-mk1ug4qh3g 9 місяців тому +1

    Muna Kazi 😢

  • @aystv5998
    @aystv5998 9 місяців тому +1

    Wanamrusha roho zuchu...

  • @user-qk4gt3dw6m
    @user-qk4gt3dw6m 9 місяців тому +2

    Duh nyinyi waongo sana mnatiya vidéo za zamani ili kusema kuwa Tanasha amefumaniwa chaneli yenu fake kweli hata hamuoni haya ikiwa hamna cha kutangaza ifungeni hamna jipya
    Mitandao huunganisha picha kuna picha za juzi NJ akiwepo na baba ake wameunganisha na vidéo ya zamani Tanasha alivyo tambulishwa kwenye familia kumbe hamuelewi technologie
    😂😂😂😂 lol

    • @patriciambuvi8233
      @patriciambuvi8233 9 місяців тому +1

      Kwani NJ Ni wazamani Na unamuona Yuko umri Gani hapa? Wacha wivu hii Sio Ya kitambo meza hiyo!!! Hii Ni vedio Ya jusi wakiwa Tz

    • @user-qk4gt3dw6m
      @user-qk4gt3dw6m 9 місяців тому +1

      Vidéo za Tanasha na Diamond ni za zamani hamna aliyo sema kuwa NJ kwa Diamond ni vidéo ya zamani
      Zimeunganishwa tupo 2023 jamani amkeni kila kitu kinawezekana

    • @user-qk4gt3dw6m
      @user-qk4gt3dw6m 9 місяців тому +1

      Ilikuwa Tanasha alivyo tambulishwa na familia mimi wivu wanini mkiangalia vidéo safisheni macho duh😂😂 au tafuteni miwani

    • @user-qk4gt3dw6m
      @user-qk4gt3dw6m 9 місяців тому

      😂😂 kuna panik ya kitambo vidéo

    • @user-qk4gt3dw6m
      @user-qk4gt3dw6m 9 місяців тому

      Mtaongea bado