Jamani apo sasa mambo mto wow!!!!napenda hiki kipande kiukweli. Sema tu mda mudogo. Natamani kuhamiya Tanzania niwe naangaliya Kapuni jamani heeeeeeeeeee
Hi mm niko Kenya na nimekipenda sana hi tamthilia nauliza nitakitizama vp kwajili kwa ya youtube yaonesha dakika kidogo sana kama dakika mbili hadi tatu
kaeni na vipande vyenu huko sisi acha twendelee kula utamu wa sili za familia mana tulisha waomba sana hii movie mnashinwa hata kutuwekea hata episode za nyuma zilizopita
Koku tuliya kwa Max pleas. Dakika kidogo tunakuona tena kwa Jordan jamani Koku ebu muoneye basi huruma mtoto wawatu Max ndo anakupenda wengine hakupendi niwewe unajipeleka kwao ila Max anamapenzi ya dhati nawewe ujuwe mwisho wasiku utajuta wewe ujuwe.
Gabo Dady Unafeli wpi Tena babaaa 😍M/Mungu wallah azidi kuing'risha nyota yko nakukubali Mzee babaaa
Jamaniii Dora nakupenda buleee💓💓😍😍
Robert he's soo handsom
Huu mziki wenu WA mwisho nakupenda kinyama.. Safii Sana bongez lamovie
Jamani apo sasa mambo mto wow!!!!napenda hiki kipande kiukweli. Sema tu mda mudogo. Natamani kuhamiya Tanzania niwe naangaliya Kapuni jamani heeeeeeeeeee
Les et le m
Le virement est fait de la société qui est à votre 😮😊🎉
Hi mm niko Kenya na nimekipenda sana hi tamthilia nauliza nitakitizama vp kwajili kwa ya youtube yaonesha dakika kidogo sana kama dakika mbili hadi tatu
kapuni ni tamthilia inaoneshwa dstv kila jumamosi na jumapili na marudio ni jumapili saa saba mchana
@@barakabaruti9732 ok asante
Angalia dstv chaneli 160 jmos na jpili saa tatu usiku
Koku😂😂😂😂😂..Mr Brown haamini macho yake😍😍😍😃
Mko 👍🏻👍🏻♥️♥️♥️
Robert na recho nawapendaga sana
💯✅
Nice 👌
Weee iko kali sana
Naipenda
Yaan doctor kakaa style ya kuamua maan anajua n action tu hapo 😂😂😂
Igzo n poa sana lakn vpande havielewek kip kinafuata havna namba mnachanganya sana
Umeona eeh hawafanyi haki
Mashaallh
Jaman Robert polee
Wow
Yajayo yanafurahishaa kapuuu limenoga
Patamu hapo yani Face to Face duuh,Mr.brown aongeze Ujambazi.
Bwana wee mwanamuke akipenda umuona fara akicukiya ugehuka cuyi nahakuna aliye kuwa namoyo wahuvumilivi kama mwanamuke
Nawapenda wote wasani walio hum kwenye mov kaka gabo namin natak kuingiZ Jam naomba mzanin
Nawapenda sana wote
🔥🔥🔥
kaeni na vipande vyenu huko sisi acha twendelee kula utamu wa sili za familia mana tulisha waomba sana hii movie mnashinwa hata kutuwekea hata episode za nyuma zilizopita
Ccyuu tz kuna ingine inaitwa maneno ya kuambiwa ni tam hatareee yan unaangalia haf roho inatuliaa
Khaaa taus umejua kunichekesha🤣🤣🤣
Daah Robart
Jaman kapu limenoqa tupen laha msitubanie muendelezeo
Ukiona chanini wenzako wasema watakipata lini
Kweli kabisa
Duu koku jeuri imemwishia
Yaaani mnatuonjesha tu, kama vile umchezee mwanamke, sasa ukifika muda wa kuhondomolana mwanaume anakujibu tutafanya kesho
Hahaaaa umetisha
Asha b 😂😂😂😂akili huna
😂😂😂😂😂una matatizo wewe daaah
😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu mieeee
😂😂😂😂😂😂😂
wa nane leo
First
Mtuwekeye
Tausi 🙌😂😂😂
Brown kabakia kutoa macho tu! Km mjusi kabanwa na mlango!!
hapo patam mwendelez bas
Tatizo Koku huaminiki mamaaa 🤣🤣🤣
TAILLE du mois utayarishe 😂
Duh yaani koku koku kwl
Jamani jamani Patamu hapa si vuti pc ijayo itakuwaje
Weeeee
Koku unanichanganya😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Asant San
Kok kwishneh
Koku dah
kokuuuuu
koku leo kavaa dela
😂😂😂😂😂😂😂ndyo tena na mtandio juu😂
Robert na Rachel oaneni basi
Brown vuta bangi nitalipa hasira zilipuke
Jmn mbona mwatuonjesha tufupiiiii ivyo jmn
Mhh Joseph ww kitale kakuchanganya
jamani mbona fupi sana... apa patam nitaipataje muendelezo wakee
Wewe patam apo
Yani mimi unilie mke wangu lazima nife na wewe
Mhmmmm
Koku kiranga mwana kuyapata
Mwana kuyatafuta maana kuyapata😂😂😂
hay sas ndo mapenzi, Jennifer,,, brown acha hasila kazike kwanz...... 😂
tunaomb mpangilio mzur gabo safar hii umekwama wap mbon mkude simba amekuacha mbal wakat ulikuw motoooooo turudishie heshma yetu
Brown udhani yeye ndie mwanaume tu Racheal deserve better husband not you she is happy with Robert sasa wewe rundi kwa Joyce
Kabisa yani
koku kaiva sura jamanii......
taus anavunja mbavu.....hahahahahaha mbona furushi....
Brown hapa lazima ujambazi uzidi
Tupeni yote
fupiiiiiiiiiii
Wanakera hawa wanaweka fupu
Koku jaman ata huo msamaha anaigza tu huyo mwanakwnda
Noma sana
Ila mama mfiwa kabugi jamani,mtt hata kuzika bado loooooooo minaona wamekutana kizibo na mfuniko waki
😂😂😂😂
Koku tuliya kwa Max pleas. Dakika kidogo tunakuona tena kwa Jordan jamani Koku ebu muoneye basi huruma mtoto wawatu Max ndo anakupenda wengine hakupendi niwewe unajipeleka kwao ila Max anamapenzi ya dhati nawewe ujuwe mwisho wasiku utajuta wewe ujuwe.
Fupiiiiiiiii
Robert na recho nawapenda sana
Wow
Mambo 💥 💥 💥 💥
jaman kapuni nzur I wish ningekuwa tanzania jaman brown kunywa pombe upunguze hasira taripa
Yaan ww acha tu hii kapuni tamu sana mtuwekee ijayo