Alinitongoza Ndio Mume Wangu Akamkata Shingo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 211

  • @kindheartedcop4293
    @kindheartedcop4293 9 днів тому +14

    Sasa ataenda jela awachie wanaume huyo bibi....

  • @SophiajacksonMwashilindi
    @SophiajacksonMwashilindi 7 днів тому +6

    Mke wamtu nisumu inatisha saana😢😢😢 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @jonesnyaenda
    @jonesnyaenda 6 днів тому +4

    Wameru upenda jokes mbaya mbaya, mbaya Sana na mathushi

  • @mwangi_mwangi
    @mwangi_mwangi День тому +1

    Hasira hasara. Hapo ni Kamiti at least 20 years

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 10 днів тому +8

    Kawira anajua kujieleza vizuri

  • @ReginaFarida-ql6hy
    @ReginaFarida-ql6hy 10 днів тому +24

    This so bad na huyo mwanamke anaongea tu bila uoga anadhani bwana yake amefanya vizuri 😓😓😓

    • @mimsbaibe6mimsgul737
      @mimsbaibe6mimsgul737 10 днів тому +2

      Hatawahi jisamehea mtu amekufa Ivo tu watu wajifunze if he was his son ange feel aje hasira hasara

    • @Ann-Strong
      @Ann-Strong 9 днів тому +8

      Mko na ujinga, bwana alikua ana protect bibi yake, and that marehemu he deserves it, cz sio mara ya Kwanza, vijana wajifunze kuheshimu ndoa au Mahusiano za watu. Hii ni manslaughter, just 1 or 2yrs

    • @wilykisternasimiyu7643
      @wilykisternasimiyu7643 8 днів тому +3

      I support you 💯 💪 ​@@Ann-Strong

    • @Ann-Strong
      @Ann-Strong 8 днів тому +5

      @@wilykisternasimiyu7643 the man was a bad mannered, irrespective to villager's, mabangi mingi bila heshima

    • @wilykisternasimiyu7643
      @wilykisternasimiyu7643 8 днів тому +1

      @Ann-Strong now he's where he belong,God forgive us though

  • @Shiro254wanji
    @Shiro254wanji 3 дні тому +1

    Akufe tu hio kitu ya kusumbua bibi ya wenyewe imtoke 😁

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul737 10 днів тому +8

    Hasira ni hasara killing was not the solution uyu mama hatawahi jisamehea
    Mapenzi rest in peace

  • @annndunda3953
    @annndunda3953 4 дні тому +2

    Wueeh maneno huku ni laivu

  • @SONNIE-e2b
    @SONNIE-e2b 5 днів тому +2

    Eti akupeleke kwa kichaka 😂😂😂😂gosh

  • @jammienjogu1455
    @jammienjogu1455 День тому +1

    Meru wapi

  • @elsiekendi1792
    @elsiekendi1792 10 днів тому +8

    Ety walikuwa wamekunywa vikombe😅😅😅😅

    • @AnneWambui-ux9si
      @AnneWambui-ux9si 8 днів тому +3

      MTU anaambiwa twende nikakulape?njinga wewe

    • @harrietajiambo229
      @harrietajiambo229 8 днів тому +1

      ​@@AnneWambui-ux9si😂😂😂😂unafanya nacheka kwa matanga 😂😂😂

  • @irineadisa7289
    @irineadisa7289 День тому +1

    Kuna watu tu huku inje wanapenda wanawake wawenyewe,eti hawana gharama...phtho wacha kimtoke.

  • @gracekamunya6823
    @gracekamunya6823 10 днів тому +8

    Huyo Bibi maneno imekua kama kumeza maji kwake🙆🙆...I regret on behalf of mkufi juu he was not supposed to die na mwenye anafanya akufe ata Hana kifuniko ya mdomo

  • @Josiah-p8s
    @Josiah-p8s 9 днів тому +16

    Mimi nilimpata bibi yangu ameleta mwanaume kwa nyumba nikiwa kazini malindi Iile kitu nilifanya nilimuachia yeye sikukata mtu

    • @harrietajiambo229
      @harrietajiambo229 8 днів тому +1

      Cha msingi ni heri utoke umuachie bibi kuliko kumwaga damu ya mtu

    • @FelistersMejumaa-xi2ge
      @FelistersMejumaa-xi2ge 8 днів тому +4

      Sahii ushaowa ama bado maana mm nko na nko single wee😂😂😂😂

    • @kinara5365
      @kinara5365 8 днів тому +1

      ​@@harrietajiambo229kata kichwa ndio awe funzo Kwa wengine

    • @clintonobegi8458
      @clintonobegi8458 7 днів тому

      Wise man 🎉🎉❤❤❤

    • @clintonobegi8458
      @clintonobegi8458 7 днів тому

      ​@@FelistersMejumaa-xi2ge😂😂😂😂😂hawaombi ivo

  • @kevinmakana8289
    @kevinmakana8289 4 дні тому +1

    atafungwa lakini ametoa Mfano mzuri sana... bibi ya mtu sumu...ukiona imepabwa jua hela imetumika

  • @BensonItembe-ot7uu
    @BensonItembe-ot7uu 9 днів тому +8

    Huyu mwanamke ni ovio sana, anaongea ujinga tu,

    • @kinara5365
      @kinara5365 8 днів тому +2

      How? Unatongoza mtu na unajioa Ako na bwana?

  • @mwendenaomi33
    @mwendenaomi33 3 дні тому +1

    Atiiii😂😂😂

  • @aliaden5512
    @aliaden5512 10 днів тому +2

    Good job

  • @stephenmugendi6129
    @stephenmugendi6129 4 дні тому +1

    aki wanaume!! Ati hawezi lala mwewe!!
    na amekufa juu ya mwewe

    • @irineadisa7289
      @irineadisa7289 День тому

      Unafanya nicheke kwanini wewe😂😂😂😂😂

  • @MbulwaMunyao
    @MbulwaMunyao 9 днів тому +4

    Kweli bb y wenyewe n cmu aky poleni for loss

  • @josephmuiga-gx8vu
    @josephmuiga-gx8vu 8 днів тому +5

    Hii ni Murder case=Kifungo ni maisha.Huyo bwana aliendea panga ndiyo auwe Muthomi.😊

    • @janetkanini2233
      @janetkanini2233 5 днів тому +1

      Pia inaeza fanywa man slaughter coz he was provoked.Sio rahisi kuona MTU anasumbua Bibi yako kila siku amukule.

    • @liliangacheri9356
      @liliangacheri9356 5 днів тому +1

      To prove provocation the act must have occured in the heat of passion and the insult must have occured in his presence. Incitement by the wife cannot afford him this excuse. After all he even went to pick a weapon meaning alishafanya uamuzi wa kuua.

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 9 днів тому +7

    😂😂😂😂wakenya kiswahili yao inaniuwa haki.anataka anidhombe kwa maindi.haki poleni.

  • @jennyjano3485
    @jennyjano3485 8 днів тому +5

    Makamambia mangoje,makangoja makamaliza 🤣🤣😂😂aaah akaniambia twende kwa mahindi akanitombe 😃sasa unajua bwanako ataozea jela.ati hawezi tomba mwewe unakaa mwewe 😆😆😆n magumu haya.haya ozeeni jela sasa .walikua wamekunywa vikombe 🤣

  • @PAAKWAMEPAA
    @PAAKWAMEPAA 4 дні тому +2

    Asante

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 6 днів тому +3

    Unataka ukamtombe muke wa mutu, mamaye huyo marehemu. Aliemkata muthomi kichwa anatakikana aachiwe huru mara Moja.

    • @mwendia
      @mwendia 3 дні тому

      If he can kill because of words he doesn't deserve to walk the free society.

  • @LeahSimiyu-eg3yb
    @LeahSimiyu-eg3yb 3 дні тому +1

    Jamani uwezi ongea lugha ya heshima, eti ktmb , jamani eehhh ongea lugha ya heshima ,
    Otherwise i pity is generation and children bloodshed , bloodshed seed planted , parents think before doing something , for how long as children we will suffer and pay because of thee inquity , eii Lord have mercy.

  • @SALIMUsafuko
    @SALIMUsafuko 10 днів тому +4

    Mkewamtu ni sumu

  • @Janemuthoni289
    @Janemuthoni289 9 днів тому +5

    Weeee yaani mnaamua tu kuweka kutombwa laivu 😂😂c hata aseme tu kunilala but wa kuuliwa kama atatomba watu cha lazima mara anataka kurape mtu si akatwe juu tatomba wengi😂😂

  • @OwenNation-o5v
    @OwenNation-o5v 5 днів тому +1

    N bora ninyonge kuliko kuwawa kwa vitu vya hovyo kama hivi, kasichana kenyewe n kama hakana akili timamu 😂

  • @johnmeshack4431
    @johnmeshack4431 10 днів тому +3

    😮atii muende kwa maindi mk😊kweli umejieleza ya kutosha #mke wa mtu sumu na mume wa mtu maziwa tamaa mbaya😅

  • @JulietImujaro
    @JulietImujaro 9 днів тому +2

    😂😂😂😂 ety waende kwa maindi wamt*mbe adi mama ameangalilisha kichwa kando😅,,iyo ndo dawa ya uhanyaji,but dem pia alikosea

  • @EuniceMacharia-l3x
    @EuniceMacharia-l3x 8 днів тому +3

    Wameru sio watu ni wanyama na mahasira na makasiriko ya ujinga ukipatia njia zao wanalalamika ujinga very sad ..

  • @felixnyamache5677
    @felixnyamache5677 10 днів тому +10

    Hakuna editor akate hiyo part ya' kutomba' juu ya watoi aki?

  • @amosoluoch9770
    @amosoluoch9770 3 дні тому +1

    Waende Kwa mahindi amfanyie nini?😂😂😂😂.Huyu dem naye, si angekubali tu atombwe sasa Ona mwenzake amekufa bure.

  • @jonesnyaenda
    @jonesnyaenda 6 днів тому +1

    Ata huyu mwanamke,ni mjinga,hii ilikuwa matushi angeripoti police!!!

  • @Humble-f7x
    @Humble-f7x 6 днів тому +1

    Dunia iliisha ni vile hatujakujiwa aki

  • @ShiroNgure
    @ShiroNgure 10 днів тому +4

    huyo mme wake atazea jela hasira ni hasara ameongozwa na setani ili auwe mwenzake kicha aede jela so sad😢😢😢😢

    • @augustusokaga9365
      @augustusokaga9365 9 днів тому +1

      Self defense rule, ukienda kuchokoza bibi ya wenyewe kwake, sheria haikufuniki

  • @harrietajiambo229
    @harrietajiambo229 8 днів тому +3

    Wameru mkizidi hivi naona mkitekwa nyara nyinyi wote na na kasongo 😂😂😂😂😂😂 hii tabia yenu mnaongea kwa media maneno machafu hata bila uoga

  • @MfiriNasawe
    @MfiriNasawe 3 дні тому +1

    Kikombe cha chai?

  • @MamrF-v9v
    @MamrF-v9v 9 днів тому +4

    🤣🤣🤣🤣gai eti twende kwamahindi nikakutombe sihata ufiche kidogo 😂😂😂

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 6 днів тому +1

      Dada mwenyewe naye amepinda kidogo mukichwa wallai 😅😅

    • @mosesnjenga2767
      @mosesnjenga2767 5 днів тому

      Hao wako nyuma yake wameaibika 😂

    • @ndambuki
      @ndambuki 5 днів тому

      😂😂😂

    • @mwituamweene9850
      @mwituamweene9850 4 дні тому

      She's strong on her rights.

  • @EuniceWahome
    @EuniceWahome 9 днів тому +7

    Weeee akanitombe😂😂😂

  • @franciskiarie3396
    @franciskiarie3396 10 днів тому +2

    Ati what akanito😊

  • @Weloveactionmovies27
    @Weloveactionmovies27 9 днів тому +4

    askari walukunja bandae😂

    • @ruthmomanyi1085
      @ruthmomanyi1085 9 днів тому +1

      Umefanya nicheke kwa matanga😂😂😂😂

    • @EstherMogire-u9i
      @EstherMogire-u9i 9 днів тому +1

      Kiswahili weee😂😂😂😂

    • @MamrF-v9v
      @MamrF-v9v 9 днів тому +1

      😂😂😂😂 kiswahili shikamoo 😢😢

    • @clintonobegi8458
      @clintonobegi8458 7 днів тому

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @crimsonlovoni7949
    @crimsonlovoni7949 7 днів тому +4

    Hawa watu wasikuje western wakae tu huko meru na kisirani yao

  • @juliusotucho4436
    @juliusotucho4436 5 днів тому

    Kukunywa vikombe ni ghani tena!

  • @czarlifestyle5335
    @czarlifestyle5335 8 днів тому +2

    Jamaa alikua anasema ampeleke kwa mahindi 😂

  • @eversweedakemo
    @eversweedakemo 9 днів тому +2

    Aki mwegwe umefanya mthoni ame kufa juu ya kasusu😅

  • @Azza-o8c
    @Azza-o8c 6 днів тому

    Mwanaume mjinga sana Sasa hivi si atakaa jela bibi atatombwa kwenye mahindi😅

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 9 днів тому +1

    Mimi ni sisimi kitu, Mbona huyo Muthomi hawezi tafuta bibi yake. Pole sana kwa familia yake

    • @manasseskamau5327
      @manasseskamau5327 8 днів тому

      @@lucymwai7645
      But those are now allegations, the fact is that the husband is a murderer and he won't be able to prove Muthomi wanted to rape his wife.

  • @StellaMleba
    @StellaMleba 5 днів тому

    Mke wa MTU sumu alizaliwa naye tumbo moja uwache kua na uchungu na damu yako kafie ndan

  • @rahabwanjiku4616
    @rahabwanjiku4616 10 днів тому +1

    Wameru nakukata😮

  • @Frankline-wq1uf
    @Frankline-wq1uf 7 днів тому

    Murder case full stop kifungo ni maisha.

  • @MASUFURIAONLINETV
    @MASUFURIAONLINETV 5 днів тому

    Alaa kumbe hapa kaing'inyo😢😢

  • @augustusokaga9365
    @augustusokaga9365 9 днів тому +2

    This shows how women aren’t valued in this society; if someone keeps on harassing an innocent person, the people side with the man, whose problem is it to start saying the man is innocent?
    Now they are blaming the husband for killing the perpetrator,

    • @manasseskamau5327
      @manasseskamau5327 8 днів тому

      @@augustusokaga9365
      There are laws governing every civilized society. Other than the allegations of the woman, there's no proof that the deceased harassed her. She did not report the matter to the authorities even community leaders who would most likely have banished the man from the area. The murderer has ruined his life and the woman he killed for would most likely become another man's wife.

    • @mwituamweene9850
      @mwituamweene9850 4 дні тому

      Yes, imagine how bold this Muthomi was getting?

  • @OdiliaMaghema-bx1ff
    @OdiliaMaghema-bx1ff 5 днів тому

    Bibi pia anafaa afungwe Kwa uchochezi

  • @VioletClara-i8w
    @VioletClara-i8w 5 днів тому

    Kwanza Mimi nalaumu saana mwanamke. Wanaume wote waliubwa na tamaa. Hata wanawake wapangwe line alafu mwanaume aambiwe achague???? Atachagua na hawezi ridhika Bado atamezea wengine tu. Sasa huyu mwanamke inafaa ajue ya kwamba Hawa wanaume hutukatia tu sisi mabibi za wenyewe yes, but ni wewe mwanamke ujichunge. Unamkataza tu na unyamaze hivyo usiambie bwana yako????? Juu wanaume waliubwa na tamaa na asira mingi pia. Sasa unacheza kiwewe. Sasa vile ameuwa wenzake unadhani wewe umebaki na amani????? Uchochezi wako huo hata wewe utauwawa kwa panga juu unajifanya malaika na wewe ni binadamu tu. Hata sijafurahia kufanya mtu kupoteza uhai wake kwa ajili ya kamdomo Kako hako. Hata wewe uende jela na ndio hata huna haya kutamka mambo machafu mbele ya wazazi wako????? Shetani wewe

    • @mwituamweene9850
      @mwituamweene9850 4 дні тому

      He would have harmed her.....she had even reported a couple of times at Chuka. Muthomi was brain dead, are you too?

  • @mussasaidhamad1891
    @mussasaidhamad1891 4 дні тому +2

    midude hii hatari hata kuishi nayo kwakweli unamkata mwenzio shingo kwa mambo ya kijinga jamani bila kuwa muislamu hakuna utu

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 9 днів тому +1

    Pombe halamu na madawa ya kuleviya na Bangi

  • @happytimes9747
    @happytimes9747 8 днів тому +2

    Huyo alikua anaongea mbaya na ameshaonywa hata kama hakufaa kuwawa lkn alihitaji adabu

    • @mwituamweene9850
      @mwituamweene9850 4 дні тому

      Muthomi labda baadaye angeshika huyu kwa nguvu. Alikuwa mang'aa

  • @paulitutenzioki1857
    @paulitutenzioki1857 6 днів тому

    Sipendi mauwaji uhai ni mkubwa duniani

  • @judyokech5324
    @judyokech5324 8 днів тому +1

    Police hawafanyi kasi

  • @SimonMwita-k8s
    @SimonMwita-k8s 9 днів тому +2

    Kabila ya meru kiujumula ni mbaya wanafa kuowana wenyewe kwa wenyewe nadhani ni laana ya miraa walilaniwa Nikama kuoa worria mwanamke buree na meruu ni shidha usikubali kuoa mwanamke mumeru ni baraa.

    • @peterkariuki9073
      @peterkariuki9073 4 дні тому

      Hakuna tofauti ya Wameru na Wakuria. Ongea yao inaendana na tabia za ovyo pia na hasira za kijinga. Wote wauana kwa panga!

    • @SimonMwita-k8s
      @SimonMwita-k8s 4 дні тому

      @peterkariuki9073 Sasa wewe unaongea aje tena.wameru ni sumuu nakukatana moto wakuotea mbali

    • @peterkariuki9073
      @peterkariuki9073 3 дні тому

      @SimonMwita-k8s najua hilo na Wakuria ni kama Wameru tu na ongea yao pia inaendana.

  • @EstherMogire-u9i
    @EstherMogire-u9i 9 днів тому +1

    Uyu mwanamke apelekwe fathare 😂nkama ayuko sawa

    • @kinara5365
      @kinara5365 8 днів тому +2

      Ayuko sawa ju aliktaa kutongozwa? Wacha kurembesha umalaya

  • @mwanaishadhuluma6053
    @mwanaishadhuluma6053 9 днів тому +1

    Kawela anakataa kunyindowa

  • @McT-m1m
    @McT-m1m 5 днів тому

    Usikute na yeye huwa anatongoza wake za watu eti kazoea nimemchukia sana huyo mwanamke

  • @MureithiGithinji
    @MureithiGithinji 10 днів тому +4

    Apana cheza na bibi za watu.
    Even if she seduces you keep distance.

  • @DafeMuya
    @DafeMuya 5 днів тому

    Na nyinyi mabibi za watu, vaeni vizuri, mjiheshimu, tosheka na mumeo, ati 'twende kwa mahindi akanitoo'?

  • @felixmakinda7689
    @felixmakinda7689 7 днів тому

    😳

  • @pbac7540
    @pbac7540 9 днів тому +1

    Murume... Ngautema na fangani 🏃‍♂‍🏃‍♂‍

  • @stephenwanyeki9751
    @stephenwanyeki9751 9 днів тому +2

    pole kwa mkufi🤨na pia linet karimi amesema ukweli🤨ukweli mtupi🤨amejieleza vizuri🤨she is truthful karimi from the mountain lakini upande wa thigiriri >🐜 🤨🤨🤔

    • @mwituamweene9850
      @mwituamweene9850 4 дні тому

      Karimi will help her husband get out of this one. Muthomi ni mchokozi and a rap12t,

  • @Zachariaotieno-ru6pl
    @Zachariaotieno-ru6pl 9 днів тому +3

    Hii iwe ni funzo Kwa wenye Wana penda kuthomba bibi ya wenyewe

    • @nobaso620
      @nobaso620 9 днів тому +1

      Sikio bibi ni MBIMBI😂😂😂

    • @SimonMwita-k8s
      @SimonMwita-k8s 9 днів тому +1

      Meru na woria kuoa hizo kabila mbaya very primitive

    • @mwituamweene9850
      @mwituamweene9850 4 дні тому

      @@nobaso620 Kiswahili chako is ptthooo...it is bibi!

  • @JacintaMiringu
    @JacintaMiringu 8 днів тому +1

    Mwewe ni nn😅😅😅

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 10 днів тому +3

    Wanaume punguzeni umalaya

  • @kazungukakiyo
    @kazungukakiyo 10 днів тому +2

    Is this meru??

  • @TestTest-j3f
    @TestTest-j3f 10 днів тому +2

    Ulevi mwingi

  • @luckydubebello1131
    @luckydubebello1131 7 днів тому

    Wameru na umalaya kaa wakikuyu tuu ,poor him sad 😢

    • @babewajeff
      @babewajeff 6 днів тому

      Umalaya umetoa wapi😂

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 10 днів тому +2

    Nipo apa nasubir nijue maana ya kutomba nini! 🧑‍🦼

  • @manasseskamau5327
    @manasseskamau5327 8 днів тому +1

    Ataozea jela na huyo mke atakuwa mume wa mwingine. Madai ya mkewe haitamuokoa mahakamani.

    • @Ann-Strong
      @Ann-Strong 8 днів тому

      @@manasseskamau5327 hii ni manslaughter, hata anaeza kaa 2months or 2yrs

    • @mwituamweene9850
      @mwituamweene9850 4 дні тому

      He can claim momentary madness because Muthomi alizoea. Na walirimpoti huko Chuka

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 7 днів тому +1

    Loh

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 10 днів тому +2

    Na kukula ni nini maana yake 😂😂😂

    • @SarahKerubo-p9l
      @SarahKerubo-p9l 8 днів тому +1

      Kutomba

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 8 днів тому +2

      Oooh kumbe hatari sana 😆shikamoo kiswahili ♥️♥️

  • @abbiecox1
    @abbiecox1 5 днів тому

    Bora angemukata ile kichwa ya chini!

    • @mwituamweene9850
      @mwituamweene9850 4 дні тому

      I agree. Hiyo kakichwa small drives the big one.😂 😂

  • @dennismwangi75
    @dennismwangi75 5 днів тому

    Sasa sindio amewachia bibi wanaume, hasira hasara especially ukiwa mlevi. Wife lacks wisdom angehandle hiyo issue vizuri kama anajua mzee wake niwahasira

  • @bonfacechitechi6745
    @bonfacechitechi6745 5 днів тому

    Mwanamke kukosa akili ni kitu mbaya sana

  • @b.3940
    @b.3940 10 днів тому +3

    Eti huyu jamaa alikuwa anaitwa Muthoni? Ala, Muthoni alikuwa na mti?

  • @mwituamweene9850
    @mwituamweene9850 4 дні тому +1

    Kwani huku ni Tharaka?

  • @rahabwanjiku4616
    @rahabwanjiku4616 10 днів тому +1

    Muthomi😂

  • @DNC55-v2j
    @DNC55-v2j 7 днів тому

    Muthomi was too much 😅

  • @kennethkiprono4251
    @kennethkiprono4251 9 днів тому +1

    Ukichezea wake wa wenywe unajichwa kama kuku

  • @SaphinaSamson
    @SaphinaSamson 10 днів тому +1

    Hakiii ila Dunani kuna watu walisha kata tamaaa ya maisha wanaongea bila uoga et akasema akani.....mbe

  • @MercyWairimu-h6d
    @MercyWairimu-h6d 6 днів тому

    Ata huyo bibi wa mwenye kukatana ashikwe ni yeye ameshababisha bwana yake auane

  • @martin850000
    @martin850000 6 днів тому

    Bibi ya mtu sumu hatari

  • @alexkiteme7052
    @alexkiteme7052 10 днів тому +3

    Merians are just terrible with pangas

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 10 днів тому +1

    Chovya chovya ni sumu

  • @nicholasvundi5133
    @nicholasvundi5133 6 днів тому

    Matomoko*😂 tuende kwa mahindi afanye nini ati?

  • @josephmuiga-gx8vu
    @josephmuiga-gx8vu 8 днів тому

    Huku ni wapi ?

  • @dicksonnzau6327
    @dicksonnzau6327 10 днів тому +1

    C mfiche vikombe ju watazikinywa Tena aki

  • @kimberlytv7895
    @kimberlytv7895 5 днів тому

    Its bad to kill they may not sentence the killer because that sounds like defense out of rape

  • @valentinemtei3588
    @valentinemtei3588 10 днів тому +1

    Eneo gani huko kwenye tukio? Meru au

  • @jonesnyaenda
    @jonesnyaenda 6 днів тому

    R.i.p you . Maybe you were joking na mwamke mwenyewe ajui jokes hasira hazara