Mbarikiwa ampinga Lusekelo kusema sio mwanaharakati au Jumapili sio siku ya kusali ila Jumamosi.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 233

  • @danielfidelisnzalanga9039
    @danielfidelisnzalanga9039 7 місяців тому +6

    Mtumishi tunakuelewa sana na kukuombea utufungue zaidi. Mbele kwa mbele nyuma mwiko. Ubarikiwe sana

  • @obadiambilinyi27
    @obadiambilinyi27 7 місяців тому +8

    Hii definition ya kusoma nimeipenda sana. Kusoma ni kutafuta kujua walio na akili walifanya nini. Hii ni kweli kabisa💯✅✅✅

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 7 місяців тому

      Kusoma ni kuelimika., kujitambua na kuweza kuyamudu mazingira yako yanayokizunguka

  • @AntonyKawage
    @AntonyKawage 5 місяців тому +1

    Barikiwa sana wewe mtu wa Mungu

  • @beathapontian2187
    @beathapontian2187 7 місяців тому +2

    Mungu akubariki sana mtumishi simama utete injiri🙏🙏

  • @kamandapendo802
    @kamandapendo802 7 місяців тому +7

    HUUUUU!! PASTOR MBARIKIWA WEWE NI ELIYA KWA WEWE AHABU ATAKIMBIA
    WE LOVE U DADY❤❤❤❤❤

  • @DONALDMTOWE-u9g
    @DONALDMTOWE-u9g 7 місяців тому +3

    Mlevi huyo ,humjui?,sisi tunamjua,God bless you,Mbariikiwa.

    • @johnkaliwanje434
      @johnkaliwanje434 7 місяців тому

      mzee lusekelo ni kama boya ( hana madini ya kimungu), nashangaa sana wanaomfuata, kumfuata lusekelo ni kupotea, na kutojielewa

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 7 місяців тому

      Umeonaeee.

  • @edengospeltv4395
    @edengospeltv4395 7 місяців тому +13

    Mtumishi unanifurahisha sana unaposema kwamba kusema kweli au kukosoa watu makosa yao ni kazi ya kila mhubiri wa injili ila tu wahubiri wengi wameingia mtini maana kukosoa ni kifo.....Ubarikiwe kwa sababu hii kauli yako ni ukweli mtupu

    • @makakasebele3661
      @makakasebele3661 7 місяців тому

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊0

  • @ngelelanangale6798
    @ngelelanangale6798 4 місяці тому

    Hongera kuwapasha ukweli wanaojipachika utumishi wa Mungu. Wakati hawalijui vizuri neno la Mungu

  • @YonaNjowela-dp2cr
    @YonaNjowela-dp2cr 7 місяців тому +4

    Nakupenda sana baba

  • @DodomaTanzania-r5z
    @DodomaTanzania-r5z 7 місяців тому +1

    Ukiona mtu anapingwa sana ujue yupo katika haki piga kazi mtumishi

  • @joelking3692
    @joelking3692 7 місяців тому

    Barikiwa Mtumishi wa Mungu Mbarikiwa tunaokusikiliza na kutendea kazi unayoyasema tunaona mambo mazuri ya KiMungu, ni lazima kukemea dhambi kwa nguvu zote hamna namna ni kukemea tu ili mtu akibadilika ni thawabu kwa Mungu

  • @princenelsonsinko5237
    @princenelsonsinko5237 7 місяців тому +3

    Lusekero kapwaya sana hajielewi

  • @sofiaamuri4995
    @sofiaamuri4995 7 місяців тому +2

    Uko sahii saaaaaaana kabisa mchunga wetu mbarikiwa mwakipesile kwamujibu wabiliya. Mithali 27. 17. Mungu wetu muhumba mbingu Nanchi azidi kukutiya nguvu ayakutuelimisha zahidi. Katika duniya hiii Asante

    • @SelijusiMalambo-q2u
      @SelijusiMalambo-q2u 7 місяців тому

      Sabato ni amri yangapi ,acheni porojo jibu sabato niamri yangapi ,

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 7 місяців тому

      ​@@SelijusiMalambo-q2uSabato ni matendo ya kumuazimisha MUNGU kila siku/ kukicha na kila saa.

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 7 місяців тому +1

      ​@@SelijusiMalambo-q2uSabato ni kufanya MATENDO MEMA yanayompendeza Mwenyezi MUNGU, na hiyo ndo sabato yako.

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 7 місяців тому

      ​@@SelijusiMalambo-q2uSabato ni kufanya matendo yanayompendeza MUNGU. na hiyo ndo amri ya MUNGU.

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 7 місяців тому +1

      ​@@SelijusiMalambo-q2uSabato ni kufanya matendo yanayompendeza MUNGU. Na hiyo ndo amri ya MUNGU.

  • @ExaudLupenza-qu1xu
    @ExaudLupenza-qu1xu 5 місяців тому +1

    Mzee wa upako upako imeisha imeisha zimebaki polojo tu tuendako tutawajua kwa matunda yao

  • @jonathankessy9615
    @jonathankessy9615 7 місяців тому +2

    Brother nakuelewa sana

  • @eliamtanzaniaog6380
    @eliamtanzaniaog6380 7 місяців тому +2

    Nakupenda saana.baba

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 7 місяців тому +2

    Yesu kufa msalabani ni harakati za Mungu kumkomboa mwanadamu

  • @ramadhanishabani9264
    @ramadhanishabani9264 7 місяців тому

    mzee wa upako yupo sahihi. wakristo isomeni biblia muijue kwa udani mpate kujitambua msiwasikilize wasomaji wenu mtachelewa kiyama kinakuja mtavuna mabua, hongera mzee wa upako kwa kusema iliyo kweli,

    • @krispinkomba4606
      @krispinkomba4606 7 місяців тому

      Hapo ulipo endelea kushikilia mpka upotee

  • @StevenMutale-xt9yj
    @StevenMutale-xt9yj 5 місяців тому +1

    Amen how are you doing today

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 7 місяців тому +1

    WELL SAID MTUMISHI WA MUNGU

  • @estambuya3901
    @estambuya3901 7 місяців тому +2

    Mchungaji uko sawa.

  • @ExpeditoFataki
    @ExpeditoFataki 7 місяців тому +3

    Lusekelo hajui anachoongea Kina lengo gani kwa watu ndio maana ni rahisi kuyakana maneno yake

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 7 місяців тому +3

    Hata Yesu alikuwa mwanaharakati

  • @simonjohn2784
    @simonjohn2784 7 місяців тому +3

    Wasio kuelewa mbarikiwa yani ata aje Yesu hawata muelewa pia

  • @TheLastMinuteMessages
    @TheLastMinuteMessages 7 місяців тому +5

    Kutoka 20
    Ikumbuke siku ya SABATO uitakase siku sita fanya kazi utende mambo yaote lakin siku ya saba ni SABATO ya Bwana MUNGU wako ...

    • @shangwefisima3993
      @shangwefisima3993 7 місяців тому

      Swali siku ya sabato ni ipi????? Na nahitaji andiko linalo ainisha jumamosi ni siku ya saba

  • @MichaelDonaldnchingaMichaelDon
    @MichaelDonaldnchingaMichaelDon 7 місяців тому +1

    Antoni Lusekelo naona amezeka vibaya Daudi aliabudu mara saba ila siku Yesu anaulizwa baba zetu waliabudu katika milima Ile nanyi usema yelusalemu ndipo mahali patupasapo kuabudia Yesu anajibu saa unakuja nayo saa ipo ambapo amtamwabudu Mungu katika Roho nakweli Hatuabudu siku tunaabudu katika Roho na kweli by pastor Mikael

  • @EsterbernardoVumo-kn2xv
    @EsterbernardoVumo-kn2xv 7 місяців тому

    Amina Mbarikiwa Ni Mchungali Jasili Sana.

  • @jeanbaraka1008
    @jeanbaraka1008 7 місяців тому +2

    Huyo Baba je akili yake ua ipo timamu? eti mzee wa upako, li freemanson likubwa sana Tz.

  • @fkirumba1463
    @fkirumba1463 7 місяців тому +4

    Kwani kuhubiri na kufundisha ndio siku ya ibada???
    Kwani AMRI ya nne ninyi mnaielewaje???
    Je YESU alipopaa mbinguni wanafunzi hawakusali siku ya sabato???
    Je sabato mbinguni ipo au haipo???
    Je sabato unaijua ya siku ya saba na sabato zingine kama zinavyosemwa kwenye Biblia???

  • @yesuyuhaipectv9176
    @yesuyuhaipectv9176 7 місяців тому +1

    Nimekuelewa Mungu anakulinda Endelea kusema kweli Zaburi 91:10-11

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 7 місяців тому +1

    Huyu Lusekero ni wakupingwa kabisa tena bila uoga

  • @enezermwafrica7443
    @enezermwafrica7443 7 місяців тому

    Kweli wanapuna tu Sadaka

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 7 місяців тому

    Lusekelo kasha iacha Imani
    Kabisa

  • @hezekiamtera3559
    @hezekiamtera3559 4 місяці тому

    Huyu mzee wa upako alishaacha imani siku nyingi.Lakini bado ana nafasi ya kumrudia Mungu tena.

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 7 місяців тому

    Mm namuona mbalikiwa ni mtumishi mkubwa sana ila iko nguvu unashindana nae lakin Mungu atamchekecha.tu

  • @hubman6780
    @hubman6780 7 місяців тому +2

    Hilo la kusali jumapili hajakosea.Mwaka 1924 calendar ya Gregorian ilipitishwa na ikaamriwa watu kusali jumapili na shughuli zikaanza kuratibiwa kiserikali na kijamii kutumia mpangilio wa calendar Ile.Hapa mtu anatakiwa kufuatilia kazi nzuri zagalileo kuhusu muda siku na mpangilio wa tarehe.Kiufupi Dunia inaendeshwa kutumia Babylon system.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 7 місяців тому

      Hakuna mahali popote kwenye biblia panaposema siku ya kuabudu ni jumamosi,

    • @elicknyega7317
      @elicknyega7317 7 місяців тому +2

      ​@@FridayMwassakasome walawi 23:1-3, luka 4:16, matendo 16:13

    • @aaaaaah290
      @aaaaaah290 7 місяців тому

      HIVIIII,,, kusali JMOSI na kusali kila cku wee UNAONA LIPI NI SAWA 🤣🤣🤣

  • @adonaiastoni1703
    @adonaiastoni1703 7 місяців тому

    Ameen Baba Hata baba zetu woote kwenye biblia walikua wanaharakati wa kutaka usawa!

  • @Magufuli.
    @Magufuli. 7 місяців тому +1

    Duuuh! Kweli lusekelo ni bonge la lihuni, yaani ni bonge la fisi kaah!!!

  • @SamSuma-v5l
    @SamSuma-v5l 7 місяців тому +1

    Jumapir yupo kusaka hera kwa jinga

  • @nicholaswaemmanuel7221
    @nicholaswaemmanuel7221 7 місяців тому +1

    Mmmmh.. ukweli usiopingika hata kidogo. KUKOSOA NI KIFO NA UADUI MKUBWA ZAIDI. NI JUKUMU LETU SOTE KUIWEKA DUNIA SAWA ILA MIDUNIA NDIYO MINGI INAYOJIFICHA KATIKA JINA LA YESU. MUNGU AKUTUNZE MZEE. AMEN.

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. 7 місяців тому +1

    KAMA HUIELEWI WAKOLOSAI 2:16 BASI HUFAI HATA KUWA MCHUNGAJI WA KANISA LA KRISTO.
    INATIA AIBU SANA.😊

  • @SamSuma-v5l
    @SamSuma-v5l 7 місяців тому +2

    Jumapir nisiku ya papa mnafanya ibada kwa papa token chap ufunuo18:3:4

    • @nemeskulaya3962
      @nemeskulaya3962 7 місяців тому

      Upeo mdogo wa kufikiri. Nyie ndo wale mnaoamini kusali ni hadi uende kanisani! Kusali ni sehemu yoyote tulivu icyo na kelele na ni cku yoyote! Narudia tena, cku yoyote utakayoona kwako ni sahihi, muda wowote utakoona kwako ni sahihi! Acheni ushabiki wa kidini itafuteni toba ya msamaha na muache dhambi mpate wokovu!

    • @nemeskulaya3962
      @nemeskulaya3962 7 місяців тому

      Hakuna cku ya papa cku zote ni Mungu baba aliye juu. Na Mungu hakuumba cku, huo ni utaratibu aliojiwekea mwanadamu. Mungu aliumba ucku na mchana tu, suala la cku na majina yke alileta mwanadamu. Na sio sahihi kumpangia Mungu cku ya kusali, wakristu muongozo wetu ni biblia inasema kusali ni kila siku! Uckaririshwe maisha ndg yangu soma biblia.

  • @asteriusmsani6176
    @asteriusmsani6176 7 місяців тому

    Mt Mungu akutunze kwa ukweli

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 7 місяців тому

    Ubarikiwe

  • @MrMachume
    @MrMachume 7 місяців тому +1

    Watu wanafunguliwa na MUNGU bado hawataki wanaendelea kukaa hapo kufungwa ufahamu.

  • @EdwardMwasyamula
    @EdwardMwasyamula 7 місяців тому

    Ambaye siyo mwanahalakati ni mtu aliye lala yaani amekufa maana ya kusema makosa ya watu ni Moja ya kujua makosa tusikosee na tusipite mahalo ambapo alipita Alie kusea hapo kupita BABA UBALIKIWE SANA

  • @dottokibiki8984
    @dottokibiki8984 7 місяців тому

    Amina mchungaji

  • @makaotagspiritualhealing5287
    @makaotagspiritualhealing5287 7 місяців тому

    Heri wenye moyo safi maana hao watamuona Bwana, na SI Kila mtu aniambie Bwana Bwana ataingia katika ufalme wa MBINGUNI bali yeye ayafanyaye mapenzi ya Mungu

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn 7 місяців тому +2

    Hakika Msekelo usha kuisha kuipata thawabu yako ulio kuisha kusudia kuipata.
    Umeamua kulipotosha Neno la MUNGU kiasi hiki, katimize haja ya moyo wako; lakini " thawabu " ya dhamili ya moyo wako ulishakuisha kuipata.
    Unaisaliti HAKI Duniani kwa Vibaasha Vibaasha.( Unamsaliti mwana wa Adamu kwa vipande vya Vibaasha Vibaasha ).
    HAKI Itaendelea kusimama siku zote za milele yote.

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 7 місяців тому +1

      Lusekelo kilichokufanyaga kanisani kwako kipindi cha kutoa sadaka, kuanzia 5000/= mtu anakushika mkono,
      Na chini ya hapo ya Elfu 5000/=, mtu anatoa sadaka bila kukushika mkono.
      Hiyo sheria/ kanuni uliitoa wapi?. au hiyo ndo jumamosi yako?.
      Lusekelo ujaanza leo kuliogopea Neno la MUNGU.
      Ndo maana nakwambia "thawabu" yako ulishakuisha kuipata.

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 7 місяців тому +1

      Alie Umba siku ya kwanza, ndo alie Umba siku ya pili na alie umba siku ya pili ndo alie umba siku ya tatu na alie umba siku ya tatu ndo alie umba siku ya nne na alie umba siku ya nne ndo alie umba siku ya tano na alie umba siku ya tano ndo alie umba siku ya sita na alie umba siku ya sita ndo alie umba siku ya saba. Kwahiyo siku zote ni sawa mbele za BWANA. Amina.
      Na Siku zote zipo kwa ajili ya kumuazimisha Bwana MUNGU wa Majeshi yote. Amina.
      Kila Siku na kila saa Imetupasa kumuamudu MUNGU katika Ibada. Amina.

    • @Revelation1412.
      @Revelation1412. 7 місяців тому

      LUSEKELO KASEMA UKWELI.

    • @Revelation1412.
      @Revelation1412. 7 місяців тому +1

      MBARIKIWA KIWANGO CHAKO CHA UFAHAMU JUU YA BIBLIA NI KIDOGO SANA... KWAHYO NAKUSHAURI ACHA USHUPAVU KAA CHINI CHUNGUZA MAANDIKO KWA MAOMBI SANA.
      MUNGU HANA KIGEUGEU HADI ABADILI SIKU YAKE YA IBADA...ITADUMU MILELE.
      TUMIA HEKIMA PIA KUWASILISHA HOJA MAANA UNATUMIA MANENO YENYE HASIRA KILA WAKATI KANA KWAMBA UNAPAMBANA WEWE NA SIYO YESU.
      NARUDIA TENA , ALICHOKISEMA LUSEKELO NI UKWELI MTUPU NA UTAKAPOMWOMBA MUNGU ATAKUONESHA.NA. KUKUFUNDISHA UELEWE.
      UWE NA TAFAKARI NJEMA MJOLI WA BWANA ...MBARIKIWA.

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 7 місяців тому +1

      @@Revelation1412. Ndio kasema Ukweli LUSEKELO kwa Kuhisaliti HAKI Duniani na kwa kumsaliti mwana wa Adamu.

  • @kamandapendo802
    @kamandapendo802 7 місяців тому +1

    LEO NIMEKUJUA KWA SURA NYINGINE BABA BY MWANAO ISACK SHITINDI KAHAMA

  • @musajulius3667
    @musajulius3667 7 місяців тому

    MUNGU akutetee ktk huduma yako sema kweli daima watu wapone siohawa wanaovurugha watu eti kuabudu siku flan Mimi siungi mkono kabisaaaa

  • @mestonisimzosha203
    @mestonisimzosha203 7 місяців тому +1

    😂😂😂kwahii aina ya viongozi wa dini kama rusekelo😢 kwakweli waumini Tumepigwa na kitu kizito ati yeye hataki kupigwa mawe!na anasali jumapili ila moyoni anaikubali j,mosi du

  • @meshacknditimye1883
    @meshacknditimye1883 7 місяців тому +1

    Kwa nini watu wanatakiwa waabudu jumamosi na siyo jumapili hujaeleweka Mchungaji. Siku ya kuabudu ni Jumamosi, hata Mchungaji Lusekero amekiri hivyo. Mengine umeyafafanua vizuri.

    • @BethiGody
      @BethiGody 7 місяців тому

      Nyie muiabudu sku sie tunamuabudu Mungu bba ambae Hana sku wala saa sku yoyote ukimuabudu anapatikana

  • @Samwelilubeleje
    @Samwelilubeleje 7 місяців тому

    Wote ni wahuni tu wapigaji,mbarikiwa na lusekero acheni ubabaishaji

  • @yohananyonyoma1289
    @yohananyonyoma1289 7 місяців тому

    Umetukuka sana mwakipesile

  • @SemuAmini
    @SemuAmini 7 місяців тому

    Tena ni upuuzi kusimiliza mlevi

  • @SamSuma-v5l
    @SamSuma-v5l 7 місяців тому

    Wew ndo mwenyeshida

  • @fkirumba1463
    @fkirumba1463 7 місяців тому +1

    Hoja inatakiwa ijibiwe kwa Neno,hapo ingetakiwa ushahidi uletwe hapa kwamba alichosema ni Cha kweli au uongo huku Biblia ikitumiwa kama muongozo mkuu.
    SIKU MOJA UKWELI UTADHIHIRIKA NA UTAKUWA WAZI LAKINI TUSIPOANGALIA TWAWEZA TUKAWA TUMECHELEWA SANA

  • @dsgroup6093
    @dsgroup6093 7 місяців тому

    Siku zot uongo haudumu bado sjaona jibu sahihi kuhusu sabato mchngj lusekelo yuko sahihi

  • @Uhuru-s8c
    @Uhuru-s8c 7 місяців тому

    Yupo kupuna tu watu😅😂

  • @aaaaaah290
    @aaaaaah290 7 місяців тому

    Me ntasali kila cku,, ikiwemo na Jmosi,, msinisumhue huko 😁😁😁

    • @BARAKANHANDI
      @BARAKANHANDI 7 місяців тому

      Hiyoo swa kabisaaa wasitusumbue popote kambi Kama unapata neno vizuriii ❤❤❤😂😂😂

  • @STEVENKAJUMBA
    @STEVENKAJUMBA 7 місяців тому +2

    nakuelewa sana mbalikiwa

  • @BethiGody
    @BethiGody 7 місяців тому

    Sas kama anajua sku yakusali ni jmos yeye anafanya nn kusali junapili kama sio utapeli unamsumbua alaf viroba sjui vimempanda kichwani uyo lusekelo

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 7 місяців тому

    Simu zote mbili ni takatifu mbele za Mungu sabato imetakaswa jumapili imetakaswa ma'ana ilionekana utakaso dunian kweli mauti.haituachi.watumishi wote ilimuacha.yesu.tu.ukiangalia.kila mtumishi ndani ya huduma yake ipo mauti na haimuachi tuombeane sana mwisho wetu.mwema

    • @dsgroup6093
      @dsgroup6093 7 місяців тому

      Tupe ishahidi wa biblia kuwa Mungu alitakasa siku mbili juma mosi na jumapili

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 7 місяців тому

      @@dsgroup6093 nilijua.tu kwamba hamsomi biblia.ndio ma'ana mnaongea mambo ambayo hata.binadamu asipoyafuata hayamuathiri ma'ana yeah ndio bwana wa sabato na binadamu ni zaidi ya sabato inatakiwa ajichunge yy kama yy subiri nikutumie.liko.kwenye.hesabu tena limeandikwa siku.zote mbili ni takatifu mbele za bwana na nawashauri wanadamu acheni ushabiki mwenye maandiko tamani.kutaka watu.wamjue.Mungu sio wawajue nyie

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 7 місяців тому

      @@dsgroup6093 msisome biblia.neno Moja mpate kushindanashindana Mungu hapendi imeandikwa.haki yenu isipowazidi waandishi na mafarisayo hakika.hamtaingia.mafarisayo walijaribu kusema yesu hashiki sabato hawezi kufanya miujiza ya kiMungu saizi watu washoga walawiti uganga umejaa.mikopo ya liba mpaka makanisani mnaacha kuongelea hayo mnasema.sabato sabato kwani kwA nuhu.sabato haikutakaswa sodoma haikutakaswa kipindi cha.Elia haikutakaswa kemeen dhambi watu sabato mpaka sasa yesu anaitunza na wazee.ishirin na nne mbinguni ipo hata wanadamu wasipo itunza

  • @davidmdadila4080
    @davidmdadila4080 7 місяців тому

    Mmmh huyu mtu mi namwacha ivi kwanini asihubiri tu INJILI? Mi nilimpenda alipoanza kuimba yaani saivi sijaelewa

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. 7 місяців тому +2

    ALIYEMUUA YESU NI WEWE MBARIKIWA NA DHAMBI ZAKO SIYO WASABATO, DHAMBI ZAKO NDO ZILIMUUA YESU USISINGIZIE WASABATO WAKATI WEWE NDIYE ULIMGONGOMELEA MISUMALI KWA DHAMBI ZAKO.
    MAMBO HAYA MBONA SIMPLE TU, UNAKWAMA WAPI MBARIKIWA??

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 7 місяців тому

    Kwani utatu wa Mungu baba mwana roho mtakatifu, sio makosa,

  • @adamsonkyando-l4i
    @adamsonkyando-l4i 7 місяців тому +2

    Sasa kama kusali nijumamosi kwanini asisali jumamosi? Huu ndo unafiki

  • @evaristkobelo3936
    @evaristkobelo3936 7 місяців тому

    Hinaona mzee unaelekea kuchoka kihuduma tulikuaamini lakini unapotosha wasiojua majora yakuabudu

  • @jamsebiruta1128
    @jamsebiruta1128 7 місяців тому

    Siku zote ukweli unauma , lusekero wala haja lazimisha Mutu isipokua kila Mutu ajisomee bibilia aone ukweli upo wapi bs.

  • @hubman6780
    @hubman6780 7 місяців тому +1

    Lusekelo hajawahi kunyooka.Kisiasa Huwa anatumika hasa likitokea jambo hulipinga au kuliongelea kwa faida ya watawala na si waumini

    • @ezekielndaraba7221
      @ezekielndaraba7221 7 місяців тому

      Kitabu cha mwanzo sijaona Mungu anapotaja siku ya Kwanza wala yasaba Ila ametoa amri yakuwa tufanye kazi siku sita siku yasaba tupumzike

  • @danielsinda
    @danielsinda 7 місяців тому

    Uache kufanya ibada jumapil na siku haikupeleki mbinguni

  • @adolphmshiu7410
    @adolphmshiu7410 21 день тому

    Mwili wangu ni nyumba ya sala na ni hekalu la Roho mt mtu Alozaliwa mara ya pili haishi ye

  • @PascalShiganga
    @PascalShiganga 7 місяців тому

    Hili taifa linapokwendea nipabaya sana.

  • @SemuAmini
    @SemuAmini 7 місяців тому

    Amelewa msishangae anapiga konyaji

  • @yonathanimdollo3701
    @yonathanimdollo3701 7 місяців тому

    Mimi ningeomba kujua hapo kwenye MUNGU MMOJA au nafsi tatu za MUNGU🤔🤔🤔

  • @AwiloNtemi
    @AwiloNtemi 7 місяців тому

    Lusekelo kafirisika kiroho
    Akumbuke alipoanguka akatubu

  • @joelking3692
    @joelking3692 7 місяців тому

    Hakuna siku maalum ya kusali, kila siku ni njema mbele za Mungu, ilimradi mtu ana ibada ya kweli takatifu ndani yake kwa sababu Yesu ndio Bwana wa Sabato

    • @elicknyega7317
      @elicknyega7317 7 місяців тому +2

      Unapotosha sabato ya siku ya saba ni siku pekee iliyobarikiw na kutakaswa labda unipe andiko kuwa siku zote zilibarikiwa na kutakaswa

    • @JoelKaholwe
      @JoelKaholwe 7 місяців тому +1

      Ubarikiwe mtumishi kwa kumsaidia ndg yetu Joel King

  • @dsgroup6093
    @dsgroup6093 7 місяців тому

    Kama alifumua utaratibu kwahyo tuseme amri ziko 9 na sio kumi tena?

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x 7 місяців тому

    Jamani wachungaji hubirini Injili.Injili ni habari njema kwa watu,yaani hubirini upendo,msamaha,kuvumiliana,hubirini watu wamwamini Mungu,sio kukosoa madhehebu mengine wanakosea(wengine wanadiriki kusema eti wanaomini utatu Mt.ni mawakala wa shetani),hubirini injili si masengenyo

    • @denismlwati3285
      @denismlwati3285 7 місяців тому

      ana mhubir lusekelo aache uovu na kuacha uovu wake ndio injili sikilza tena utaelewa alivyo sema

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 7 місяців тому

    Siku.zote mbili ni takatifu mbele za Mungu jumamosi na jumapili imeandikwa

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 7 місяців тому

    Lusekelo ikiwa unakunywa Wayne utashindwaje kusema jumapili siyo sabato?

  • @IbrahimMorris
    @IbrahimMorris 7 місяців тому

    Wewe ni mfano wakuingwa sio 🇹🇿 Tanzania ty

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 7 місяців тому

    SAWA MBALIKIWE

  • @EmmanuelMikael-in1ej
    @EmmanuelMikael-in1ej 7 місяців тому +1

    Huyu mtumushi huwa ana maneno machafu sana.anaongea ukweli ila dah

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 7 місяців тому

      Nenda kasome mathayo 23:23,uone kama maneno ya Yesu yalikuwa matamu kwa waovu

  • @aqcqpissa6887
    @aqcqpissa6887 7 місяців тому

    Kama kuna watu bado wanasali kwa lusekelo ni huzuni ameshapotea waumini amkeni 😮

  • @godsonanthonymshairi-tanza4088
    @godsonanthonymshairi-tanza4088 7 місяців тому

    Mbarikiwa Lusekelo yupo sahihi,kaa chonjo Sabato Ni jumamosi siyo jumapili.

    • @godsonanthonymshairi-tanza4088
      @godsonanthonymshairi-tanza4088 7 місяців тому

      Ni kweli kumwabudu Mungu Ni kila siku ila amri inasema Kutoka 20;8 Kutoka 20:8 Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
      Kutoka 20:9 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
      Kutoka 20:10 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
      Kutoka 20:11 Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.

    • @godsonanthonymshairi-tanza4088
      @godsonanthonymshairi-tanza4088 7 місяців тому

      Yesu mwenyewe aliishika siku ndugu.....Luka 4:16 Akaenda Nazareti, hapo alipolelewa; na siku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama ili asome.
      Desturi ni tendo la kawaida Christian Mlelwa

  • @Steven-y8h5g
    @Steven-y8h5g 7 місяців тому

    Yuko sawa lusekelo kusema siku ya kusali ni jumamosi acha wivu na uongo mbarikiwa hata moyo wako Unajua

    • @AjiaMohamed-rt5pb
      @AjiaMohamed-rt5pb 7 місяців тому

      Kwa hyo ww unapingana na andiko linalosema kusali kila siku na wapi biblia imesema sabato ni jmamosi isipokuwa siku ya7 Bwana aliacha kufanya kazi na kustarehe.ss mbna nyinyi mwajisumbua na kusali kwann msiende mbugani mkafurahie

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 7 місяців тому +1

    Mungu siyo kama ninyi juu ya kusali jpili au jmosi aliona mbali soma kutoka 12:16

  • @leonardjamson-tb4jj
    @leonardjamson-tb4jj 7 місяців тому +1

    Kwani huyu lusekelo ni msabato nini mbona kakazia sana kwamba kusali ni jumamosi?

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. 7 місяців тому

    LUSEKELO KAWACHAKAZA WALOKOLE 😂😂😂😂
    MTAELEWA TU, SENTI ILIYOPOTEA

    • @BethiGody
      @BethiGody 7 місяців тому

      Afanye afanyalo awez kututikisa wala jpili tutasali mtake.msutake na ingekua iyo jmos ndo ukimuomba Mungu anakujibu apo Sawa Lakin Ata iyo jpili tukiomba Mungu anaskia ko amna sku maalumh yakumuabudu Mungu

    • @Revelation1412.
      @Revelation1412. 7 місяців тому

      @@BethiGody Shida Siyo kuomba rafiki, ila Tunazungumzia siku maalum kwaajili ya IBADA KWA MUNGU...harafu kama Siku zote ni IBADA kwanini mnaenda Jumapili tu??
      Haijawahi kutokea mkasema Ibada zetu tutafanya jumatatu badala ya Jumapili Lakini naona Jumapili ndo mnaipenda lakini hamjui.kuwa ni Siku iliyoanzishwa na Mwanadamu aitwae KONSTANTINO MFALME WA ROMA

  • @JacksonYesu
    @JacksonYesu 7 місяців тому

    Kwahiyo anafanya dhambi kwa sababu ya kuogopa watu

  • @daudimwita-bk6mg
    @daudimwita-bk6mg 7 місяців тому

    Ikumbuke siku ya sabato uitakase sasa wewe mbarikiwa, tangaza pia kuhusu utunzaji wa sabato, maana hata wewe inaonekana unasali ila hata, utaratibu wa MUNGU wa ibada huujui.

  • @MrMachume
    @MrMachume 7 місяців тому

    Eti hawajui biblia, siku ya kusali ni jumamosi na si jumapili. Sasa hapo ameshajianika yeye si mtumishi wa MUNGU kwasababu yeye ibada zake ziko lini, hapo si ni jumapili ibadani na anawaambia hivyo!!! Siku zote ni za MUNGU, siku zote zina MUNGU, na ukifanya ibada siku yoyote katika roho na kweli, ibada yako inapokelewa 100%.

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 7 місяців тому

    WALIANGAIKA KWA SABABU YA MASLAI

  • @SaleheKijazy
    @SaleheKijazy 7 місяців тому

    Andiko kama mungu ni mwanaharakati lete andiko sio utoe maneno yako. Hapo ndipo mnapo feli

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  7 місяців тому

      Kwa hiyo wewe imefaulu hivyo ulivyo? Ikiwa huwezi kuelewa Kiswahili cha duniani kwenu waweza kuelewa na kulikubali andiko? Ikiwa maandiko yaliyotolewa ndani ya clip husika hayatoshi unataka tukusomee wapi?

    • @SaleheKijazy
      @SaleheKijazy 7 місяців тому

      @@Mbarikiwa_Mwakipesile ww ume ona katoa andiko gani hapo kama mungu ni mwana harakati w ume ckia hapo. Na mungu hawezi kuwa mwanaharakat yeye c mwanadamu. Cc ndio tuna fanya harakati sio mungu mungu yeye hana harakati zozote yeye ana tamka tuu neno lake Aki sema kuwa kitu kina kuwa sio mpk afanye harakati Kama Mimi na ww. Sasa Kama una andiko mungu NI mwanaharakat litoe tulie.

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 7 місяців тому

    COMMON SENSE

  • @SamSuma-v5l
    @SamSuma-v5l 7 місяців тому

    Someni vitabu arichokisema kikosawa kabisa atakaye bisha nimwongo

    • @shangwefisima3993
      @shangwefisima3993 7 місяців тому

      Siku nikija kujua kwenye biblia Kuna neno juma tatu juma nne jumatano alhamisi ijumaa jumamosi na jumapili...halafu ikaainishwa kuwa jumamosi ndio Saba hakika nitageuka nyuma na kubadili mtazamo....kinyume na hapo naamini hayo ni mapokeo tu

  • @mganyizirubogorwa6932
    @mganyizirubogorwa6932 7 місяців тому

    Tunapaswa kuelewa kwamba alikuwa anazungumzia nyinyi mmechukua kipande cha clip mnajadili, kwani luekelo

  • @elicknyega7317
    @elicknyega7317 7 місяців тому

    Nipe andiko kuwa Yesu aliuliwa kwasababu ya siku