IBADA MAALUM YA WASICHANA: EEH MUNGU UNIKUMBUKE, UNIREHEMU NA UNIJIBU KWENYE ENEO LA MAHUSIANO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 чер 2024
  • BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika kipindi cha neno, maombi na maombezi kwa ajili ya wasichana inayokujia leo Jumapili ya tarehe 24 Juni 2024 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
    Ibada hii inakujia mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam na ina kichwa cha somo " EEH MUNGU UNIKUMBUKE, UNIREHEMU NA UNIJIBU KWENYE ENEO LA MAHUSIANO".
    Session hii maalum inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.

КОМЕНТАРІ •