UNATAKA KUONA MALAIKA WANAKUHUDUMIA??OMBA MAOMBI HAYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @rosenyange4559
    @rosenyange4559 3 місяці тому +4

    Naomba malaika wawe pamoja nami mwaka huu 2024 nipate kazii serikalini in the mighty name of Jesus

  • @dianamisigaro9994
    @dianamisigaro9994 3 місяці тому +5

    MUNGU nisaidie usiku wa leo wa kubadilisha matokeo Friday 13, september 2024. Watume malaika wako wanisaidie uchumi nisiaibike mimi Jehova🙌😭 I need a miracle today GOD🤲

  • @ericamugomoke2952
    @ericamugomoke2952 3 місяці тому +3

    AMEN asate Yesu

  • @beatricejohn3668
    @beatricejohn3668 11 місяців тому +2

    I activate my Angels right now mkashughulike na kazi yangu,Biashara zangu,Mahusiano yangu katiyamimi na Andrew yazae yawe Ndoa,Uchumi wangu,Huduma yang,mafanikio yangu na Maadaui zangu wote

  • @LyimoMaggie
    @LyimoMaggie 3 місяці тому +4

    Mungu naomba habari mjema kabla 15/9/2024❤

  • @juliekahambu7474
    @juliekahambu7474 10 місяців тому +2

    Mungu tuma Malika zako kwakazi yaleo batulinde balete watenja walete barakazangu zaleo

  • @tinatarimo9996
    @tinatarimo9996 4 місяці тому +4

    Leo 14/8/2024 malaika naomba uwe mwanzo mpya wa biashara yangu na biashara yangu ipate kibali huku online wataja wamiminike na wanunue yaan malaika mkanipe kibali cha biashara na kiabali kisichozuulika na wateja wakaongezeke zaidi kwenye biashara yangu ya vipodozi na ya happy home store tiktok nipate kibali na wateja wakanunua Amen

  • @helenachoma5679
    @helenachoma5679 9 місяців тому +2

    911 Malaika nihudumieni
    Nisaidieni
    Bless my family

  • @SafariSphere101
    @SafariSphere101 2 роки тому +8

    Malaika wakanisimamie kwenye procedure yangu December hii na kila kitu kiende sawa, Amen.

  • @upendomahenge-i6h
    @upendomahenge-i6h 8 місяців тому +4

    Ee malaika wa mungu naomba leo tar 19.2024 nikajifungue salama,mm na mwanang tunaenda kuwa wazima.ameen

  • @emmasamson5010
    @emmasamson5010 6 місяців тому +3

    Eeh Mungu naomba nifanikiwe kupata kazi na kuanzia kesho tarehe 1/07/2024nikaitwe kuanza kazi nilipo enda kufanya interview kwa jina la Yesu Amen🙏

  • @albinnaleodgard6853
    @albinnaleodgard6853 2 роки тому +3

    Baba katika jina la Yesu chochote nilichoibiwa na shetani na wajomba wake katika roho na katika mwili kitu chochote nilichopoteza, watu wa baraka kwenye maisha yangu niliowapoteza Kwa jina la yesu Wakarudishwe kwangu Baba nikapate urejesho

  • @TumainiChoir-cj7rs
    @TumainiChoir-cj7rs 10 місяців тому +2

    Malaika nisaidie mahali popote nguo yangu yeyote
    Kiungo changu chochote ktka mwili kazi yangu nafasi yangu virudishwe usiku huu Kwa jina la Yesu niguse Yesu nioneshe uhalisia na Jinsi ya kukabiliana nao
    Nipe kufanikiwa Yesu ...irehemu familia yangu na watoto wote wakiongozwa na moureen Amen

  • @juliekahambu7474
    @juliekahambu7474 10 місяців тому +2

    Malaika wote muende tanguliya iyi dossier ya Kikule kabla hajasema uweumeendawafumba midomo watakaoamuwa uwaweka maneno Mazurie kwaajiliyake

  • @miraclesmercyandgrace
    @miraclesmercyandgrace Рік тому +2

    I connect in Jesus Christ name Amen
    Naamini. Malaika nisaidie nilipokwama.

  • @beatricejohn3668
    @beatricejohn3668 11 місяців тому +4

    Malaika Simamieni Kazi Yangu Vuteni wateja waje 31/01/2024 Niingize Faida Kwanzia Mil 4...na kuendelea Kwa Jina La Yesu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @Bellus-luxury
    @Bellus-luxury Рік тому +2

    Malaika nisaidie kupata kazi sehemu nyingne

  • @dianap9591
    @dianap9591 Рік тому +2

    Najiungamanisha na maombi malaika wanisimamie kwenye changamoto inayonikabil kazin

  • @beatricejohn3668
    @beatricejohn3668 11 місяців тому +2

    Mungu Nakabidhi Kazi yangu mikononi mwako na promotions itakayoanza kuanzia tarehe 20/01/2024 ili Kabla ya Mwezi wa 20/04/2024 niwe nimefungua biashara yangu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @HappyUtago
    @HappyUtago 2 місяці тому

    Amen 🙏… I activate my angles n every part of mylife 🙏🙏🙏

  • @beatricejohn3668
    @beatricejohn3668 11 місяців тому +2

    Mungu naomba Habari Njema Kabla Ya Tarehe 18/01/2024 Kuisha Malaika Wangu naomba mnisaidie

  • @BeathaNdomba
    @BeathaNdomba 6 місяців тому +1

    YESU naomba utume Malaika wako asimamie biashara ambayo nimeanza 21/6/2024. Malaika wako wafanye kituo katikati ya biashara yangu na maisha yangu.

  • @HenerycoMalima-ky4rs
    @HenerycoMalima-ky4rs Рік тому +1

    Malaika akanisimamie ktk maisha yangu na wanipe Kila hitaji naloitaji ktk jina la yesu kiristo amen

  • @hellleinpaul1262
    @hellleinpaul1262 3 місяці тому +1

    Malaika wakaweke ulinzi kwenye afya ya mama yangu ,malaika wakamsaidie Benson augustino muhuwa kwenye uchumi ,malaika wanisaidie kibali cha wateja kesho 14.09.2024

  • @irylicious
    @irylicious Рік тому +2

    I activate angels in the mighty name of Jesus Christ!

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 роки тому +2

    Nakuhitaji Roho Mtakatifu kwenye biashara yangu

  • @deboraurio1861
    @deboraurio1861 8 місяців тому +2

    Malaika naomba naonekanie kwenye uchumi nipate hela nijenge, malaika fanya kazi kwenye mahusiano yangu, malaika fanya kazi yako kwenye huduma yangu ya uimbaji na kazi yangu,, Malaika fanyakazi kwa divine helpers kwenye uchumi nijenge kwetu

  • @qauthaldenis6575
    @qauthaldenis6575 Рік тому +2

    Enyii malaika naomba mkasimame nami kila kona.onekaneni nyumbani kwangu,kazini kwng,na njiani niwapo safarinirrr

  • @ministerHappyAllan
    @ministerHappyAllan 2 роки тому +1

    Amen amen..Thank you JESUS

  • @irenenjiu5568
    @irenenjiu5568 3 місяці тому +1

    Malaika niongoze kwenye International Organization

  • @anjelamtowe
    @anjelamtowe 8 місяців тому +2

    Malaika wanihudumie 911 mpk tarehe 23/4/2024

  • @frolahfortunatus
    @frolahfortunatus Рік тому +1

    Najiungamanisha na madhabahu hii ya heart of worship ninaomba malaika mkashughulikie mahusiano yangu yazae ndoa, biashara,kazi na afya yangu na maadui zangu wote

  • @FelisianaKavikule
    @FelisianaKavikule 2 місяці тому

    Amen maisha yangu yatasaidiwa na malaika Kwa jina la Yesu

  • @huseinabuu5498
    @huseinabuu5498 2 роки тому +2

    Amen🙏 Thank you Jesus❤

  • @venerandammasi
    @venerandammasi 11 місяців тому +2

    Thankyou God i believe it is happening now Amen🙏

  • @edinaelias5321
    @edinaelias5321 7 місяців тому +2

    Malaika leo hii 04/06/2024 naomba ufute mashtaka haya na kunisaidia kubaki salama kazini kwangu! Uje wew malaika useme juu yangu katika Jina la YESU🙏🏽

    • @jackmahowtobecomeamilliona3990
      @jackmahowtobecomeamilliona3990 6 місяців тому

      MALAIKA WA MUNGU ATAKAA NA WEWE SIKU ZOTE WALA USIOGOPE

    • @edinaelias5321
      @edinaelias5321 6 місяців тому

      Narudi Eeh bwana kwa moyo wa shukrani maana umeonekana na umenitendea mambo makuu na ya Ajabu sana😭🙏🏽 sina kesi na aliyeleta yeye mwenyewe kafuta kwasababu amenisingizia maneno ya uongo! Malaika wamenipigania na niko salama kazini kwangu! utukufu na ukuu una wew bwana hata milele na milele Amina🙏🏽🙌🏽

  • @moniquemonirozy872
    @moniquemonirozy872 4 місяці тому

    Yesu asante kwasababu ya lucia mashaka 🙏🏼❤️

  • @AnithaStanslous
    @AnithaStanslous 9 місяців тому +2

    Malaika nawaita kwenye kazi yangu nfoa yangu na kila kinachonihusu na kila anaenihusuuu🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @jedidaemil2064
    @jedidaemil2064 Рік тому

    Hallelujah thank you JESUS CHRIST HALLELUJAH AMMMMMMMEEEEEEEEEEEEEEEENNNNNNN 🙏

  • @juliekahambu7474
    @juliekahambu7474 10 місяців тому +1

    Malaika washuke wanileteye watenja ilikaziyangu isongembele. Amen. Naamini malaika wanazukunguka kututendeya mema nakuleta baraka zetu

  • @beathassey6317
    @beathassey6317 Рік тому +1

    God bless you

  • @rachelmaungo5709
    @rachelmaungo5709 3 місяці тому +1

    Malaika wamlete mtu atakaenisaidia kulea mwanangu🙏

  • @GabriellaFaithMaenda
    @GabriellaFaithMaenda Рік тому +1

    I active my Angels right now, wakanitengenezee nafasi kule kwenye destiny yangu 🙏

  • @enrighton9768
    @enrighton9768 3 місяці тому +1

    Baba Tuma Malaika mtu sahihi maishani mwangu anitafute mwenyew

  • @qauthaldenis6575
    @qauthaldenis6575 Рік тому +2

    Naomba malaika wanifungulie wateja wengi kazini kwng na invoice zangu zipande kiwango zaidi ya nipatazo

  • @venerandammasi
    @venerandammasi 11 місяців тому

    Thankyou Jesus

  • @Neema-cv5ds
    @Neema-cv5ds 8 днів тому

    Naomba Makaika wako Bwana wanisaidie nisiaibike juu ya GBS nisaidie Mungu wangu sina mwinine🙏

  • @enrighton9768
    @enrighton9768 3 місяці тому

    Eeh Lion of Judah waruhusu mailaika wako kumuondoa huyu Mwanaume katika Maisha yangu nipate uhuru wa kukutumikia 🙏🏽 Uchawi wowote alihusika kuufanya juu yangu uaibishe sasa 📌🙏🏽

  • @gabriellafaith6128
    @gabriellafaith6128 3 місяці тому

    Malaika popote mlipo na wa activate, mkashughulikie kila kilichokusudiwa nijibiwe ndani ya mwaka huu 2024, vyoteee vinaenda kuwa halisi kwangu ndani ya mwezi huu wa 9, nitaona progress na nitavuka for the glory of GOD.💯🙌👏 AMEN 🙏🎉 IT’S DONE ✅💃🏻

  • @Agatha_152
    @Agatha_152 Рік тому

    Thank you Mom

  • @endierjames7331
    @endierjames7331 3 місяці тому

    Baba asante kwa kuondoa aibu kwetu

  • @yusterwilliam
    @yusterwilliam 3 місяці тому

    Mungu nisaidie Malaika zako waniletee wateja wanizidie

  • @enrighton9768
    @enrighton9768 3 місяці тому

    MUNGU wangu Malaika wako wasiniiache 🙏🏽🙏🏽 niambie maana ya ile ndoto

  • @priscaibrahim4535
    @priscaibrahim4535 Місяць тому

    Malaika wa dharula naomba muende na mkaniletee habari njema kwenye uchumi wangu , bysiness and my career life.

  • @qauthaldenis6575
    @qauthaldenis6575 Рік тому +1

    Najiunganisha na madhabahu yk malaika wore naomba wamsaidie kaka yng baraka madafu atoke gerezaniiii

  • @estherdeborahsabuni9835
    @estherdeborahsabuni9835 Рік тому +1

    Malaika wa kunisaidia, muende mkaniletew wateja

  • @Bellus-luxury
    @Bellus-luxury 3 місяці тому

    GOD HELP ME TODAY NISIABIKE 911 MALAIKA WAKANILETEEE KIBALI CHA KUPATA FEDHA NILIPE MADENI OHH LORD

  • @jescanicodemus
    @jescanicodemus Рік тому

    Ameeen Ameeen

  • @PiliMayala-t2m
    @PiliMayala-t2m Рік тому

    Mama. Naombo. Niombe

  • @manbelami
    @manbelami Рік тому

    Ameeen

  • @anjelamtowe
    @anjelamtowe 8 місяців тому

    Mungu naomba nisaidie niondolee aibu hii

  • @ruthwagwene4550
    @ruthwagwene4550 2 роки тому +1

    Oh Lord hizo strange encounters zisinipite...

  • @irenekupaza6987
    @irenekupaza6987 2 роки тому +1

    malaika mkaanze kazi katika jina la Yesu.

  • @mamaziada134
    @mamaziada134 10 місяців тому

    Naomba malaika wanisimamie wasiniache nipo kwenye maji marefu

  • @faridadauda3227
    @faridadauda3227 Рік тому

    Amen 🙏

  • @afyatanzania4354
    @afyatanzania4354 4 місяці тому

    NAWATUMA MALAIKA RIGHT NOW WAENDE KUSHUGHULIKIA EMERGENCY YANGU KAZINI

  • @FelisterMashiku
    @FelisterMashiku 5 місяців тому

    Malaika wakanisaidie mwenzi huu mzima wa 8🙏🏿

  • @irenenjiu5568
    @irenenjiu5568 3 місяці тому

    Malaika naomba mniongoze kwenye Kila jambo

  • @DrbeforeMrs
    @DrbeforeMrs 5 місяців тому

    Malaika naomba mnionekanie siku ya kesho nikapate kupata visa yangu🙏🙏🙏

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 роки тому

    Amen Amen

  • @marryfatmachaulla417
    @marryfatmachaulla417 Рік тому

    Malaika wanisaidiee kwenye uhamisho wangu

  • @LyimoMaggie
    @LyimoMaggie 3 місяці тому

    Malaika nisimamie kwenye kodi yangu

  • @janerohgy9174
    @janerohgy9174 Рік тому

    AMEN

  • @joanngasa1600
    @joanngasa1600 2 роки тому

    Amen

  • @ElizaBeth-m2c8z
    @ElizaBeth-m2c8z 2 дні тому

    6/1/2025 AMEN 🙏

  • @TumainiChoir-cj7rs
    @TumainiChoir-cj7rs 10 місяців тому

    Kila kitu changu kilicho chukuliwa malaika wangu walinzi nisaidieni

  • @happykayabu7161
    @happykayabu7161 Рік тому

    Karibu malaika walinzi mkaniondolee uchawi na vifungo vyote

  • @manbelami
    @manbelami Рік тому

    Malaika wasimamie passport na visa zetu

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 роки тому

    Malaika wasimame kwenyaye biasharya yangu wakivuta wateja

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 2 роки тому

    Hivi mkiongea tena mwajisikiliza kweli

  • @luckymbezi8622
    @luckymbezi8622 2 роки тому +2

    Ameen

    • @christinasamwely4120
      @christinasamwely4120 Рік тому

      Malika Wakuongezeka wanitembele leo niongezeke kwenye uchumi Amen 🙏🏽

  • @allexandermselle5564
    @allexandermselle5564 2 роки тому

    Ameeeeeeeeeeeeeeen

  • @DEBORAHMASANJA-yz3go
    @DEBORAHMASANJA-yz3go 4 місяці тому

    Mtumishi naomba kuongea na wewe

  • @estersamson5019
    @estersamson5019 2 роки тому

    Ameen

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 роки тому

    Amen Amen Amen

  • @alphakimario263
    @alphakimario263 2 роки тому

    Amen

  • @epray6031
    @epray6031 2 роки тому

    Ameen

  • @beatricekateule8480
    @beatricekateule8480 2 роки тому

    Amen

  • @sophiamsafiri8827
    @sophiamsafiri8827 Рік тому

    Ameen

  • @albinnaleodgard6853
    @albinnaleodgard6853 2 роки тому +1

    Amen

  • @antonetamngulwi7727
    @antonetamngulwi7727 2 роки тому

    Amen

  • @lepa3tv832
    @lepa3tv832 2 роки тому

    Amen

  • @pilishabani6928
    @pilishabani6928 Рік тому

    Amen

  • @magogelameck1501
    @magogelameck1501 Рік тому

    Amen

  • @priscakenedy5336
    @priscakenedy5336 Рік тому

    Amen

  • @bonamrema120
    @bonamrema120 Рік тому +1

    Amen

  • @moniquemonirozy872
    @moniquemonirozy872 Рік тому

    Amen

  • @rashidkati
    @rashidkati Рік тому

    Amen

  • @PamelaHaule
    @PamelaHaule Рік тому

    Amen

  • @annawambura5175
    @annawambura5175 11 місяців тому

    Amen