RAIS SAMIA AINGIA NA KOMBATI ZA JESHI UWANJANI ULINZI MKALI KILA KONA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 43

  • @agnestemu8382
    @agnestemu8382 3 місяці тому +1

    Nimeona hz nguo nikamkumbuka uncle magu😢😢😢 mwenyezi Mungu akuweka mahala pema peponi km utafufuka ufufuke tena na uwe rais wa tanzania tutakulinda😢😢😢😢😢❤❤

  • @tatutumbi4640
    @tatutumbi4640 3 місяці тому

    Rais umenifurahisha, Hapo kwenye Salute, hongera sana. Pia umependeza sana na combat. Mungu azidi kukutangulia. 🙏🙏🇹🇿🇹🇿

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 3 місяці тому

    Salute ya Maana kabisa...

  • @godluckharuna7192
    @godluckharuna7192 3 місяці тому

    Hongera sana mama yetu kwa kazi nzuri unazoendelea kuzifanya kwamaendeleo ya nchi yetu.

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 3 місяці тому

    Hongera sana dada Mungu anajuwa zaidi Kwa nini wewe .Allah akuzinduwe uikumhike Ahera yako mpendwa

  • @MathiasVicent-z7s
    @MathiasVicent-z7s 3 місяці тому +1

    Hongeraa Amiri jeshi mkuu wetu na rais wetu

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 3 місяці тому +1

    Rais samia uko vizuri hajisifu na ni mkweli hana siasa za kujisifu

    • @willsonmsuya9261
      @willsonmsuya9261 3 місяці тому

      Tembea uone mabango ndo utajua kujisifu ni nini unaongelea

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 3 місяці тому

      Kweli yy vitendo tu kelele zimepitwa na wakati..!😅😅😅

  • @BarakaMgendi-w8t
    @BarakaMgendi-w8t 3 місяці тому

    Mama yetu umetisha kinomanoma

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 3 місяці тому

    Mungupaji hayo majaliwa yako Munguvakuiumbushe Ahera yako mpendwa

  • @piusrweyemamu3900
    @piusrweyemamu3900 3 місяці тому

    Mbona M.C ni kama anaelekezwa kuhamasisha kwa nini asingehamasisha huyo anaemwelekeza kama ni hivyo,
    Sauti zinasikika!!!!

  • @brendasamson2086
    @brendasamson2086 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤ TANZANIA YETU

  • @johnraphael-lh9dm
    @johnraphael-lh9dm 3 місяці тому

    mungu akulinde mama president wetu

  • @RAPHAELMASUKAMasuka
    @RAPHAELMASUKAMasuka 3 місяці тому

    Mama umependeza.unafaa kuwa rais na Amiri jeshi mkuu

  • @airforce3343
    @airforce3343 3 місяці тому

    Samia ndani ya Combat tena❤!

  • @SifaEmma
    @SifaEmma 3 місяці тому +1

    Kunguru ndani ya CCM Wanasapoti Harmonize kuharibu kazi za Wasanii wa WCB na Diamond Platnumz kwenye youtube na uchawi...Aibu Tz❌😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👑👑👑

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 3 місяці тому +3

    Tuwe tunapata marais daima kutoka zanzibar sababu wanahofu ya mungu.

    • @Wachoraji
      @Wachoraji 3 місяці тому

      ACHA KUTUGAWANYA,TANZANIA NI MOJA

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 місяці тому

      ​@@Wachorajikwa kauli yako hiyo hivi kati yako wewe na yeye ni nani anayewagawa watanzania kama si wewe?! Shida hapo ukabila umekujaa ndo maana alipoitaja Zanzibar umemaindi... 😂😂😂

  • @archbordygodfrey2614
    @archbordygodfrey2614 3 місяці тому +1

    Mh anapiga kazi sana

  • @ZakayoJoseph-g5p
    @ZakayoJoseph-g5p 3 місяці тому

    Hongera sana Tanzania jamani ❤❤❤

  • @GodfreyMhando-gn7ok
    @GodfreyMhando-gn7ok 3 місяці тому

    hongera sanaaa Raisi

  • @champion-dz6kr
    @champion-dz6kr 3 місяці тому

    Mchawi sniper apo Amna jipya 😅 kuna Engle nyingi ziko wazi kitalamu unazingua 😅😅😅😅

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee 3 місяці тому

    JKT ndo shangwe ilipozaliwa na Kukulia kabla ya kwenda kutafuta Maisha huko Kwingine

  • @GodfreyMhando-gn7ok
    @GodfreyMhando-gn7ok 3 місяці тому +1

    Mama unajuwa sanaaa

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 3 місяці тому

      Uchawa sasa

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 місяці тому

      ​@@kassimrajabu7805Vipi tako linakuwasha nini?! unaihitaji jela ukafyokolewe au siyo?! Lete upimbi wako tu, siyo mgambo hao na wala wanasiasa hao, shauri yako?!

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 3 місяці тому

      @@rayisadesigns2646 ww umpeleke nani jela matako ww?? Unamtisha nani kwa mfano?? Duniani namuogopa Allah pekee...ww unanijuwa mm ni nani??Unajipendekeza kww binadamu mwenzio mpaka unapitiliza pimbi ww...Fara kweli ww aisee...unanitisha jela mimi??

    • @GodfreyMhando-gn7ok
      @GodfreyMhando-gn7ok 3 місяці тому

      @@kassimrajabu7805 sawa

  • @GodfreyMhando-gn7ok
    @GodfreyMhando-gn7ok 3 місяці тому

    hongera Mama

  • @kainimlowe9646
    @kainimlowe9646 3 місяці тому

    Upuzi tu

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 3 місяці тому +1

    Kodi

  • @m.shamis
    @m.shamis 3 місяці тому

    Safi

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 3 місяці тому

    Kikwete alikuwa mwanajeshi ila hajawai kuvaa combat hata siku moja kwenye utawala wake, lakini wale ambao hawajawai kupata mafunzo ya mgambo ndio wanazipenda vitenge balaa

    • @enocksilungwepondajr9707
      @enocksilungwepondajr9707 3 місяці тому +1

      Yaaaa kwasababu alivaa sana jeshini

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 місяці тому

      Wenyewe wanakusikia unavyoziita sare za jeshi vitenge, kwa hiyo unachomaanisha hayati Magu alipovaa kombati naye alivaa vitenge au siyo?! Ndugu, hivi kwa upuuzi huo uliousema kwani vipi tako linakuwasha nini?! unaihitaji jela ukafyokolewe au siyo?! Lete upimbi wako tu, siyo mgambo hao na wala siyo wanasiasa hao, shauri yako?!

    • @seneu.2128
      @seneu.2128 3 місяці тому

      @@rayisadesigns2646 acha kuhangaika fala wewe unazungumzia Tako au ndio mambo yako? Magu alipitia jkt makuyuni angalau ana mafunzo

    • @seneu.2128
      @seneu.2128 3 місяці тому

      @@rayisadesigns2646 vitenge ndio aka ya nguo za jeshi mbwa wewe kumbe hata hujawai pitia JKT

  • @DeusMichael-h7l
    @DeusMichael-h7l 3 місяці тому

    hakika ulinzi umeimalika

  • @NyamtigaIbrahim
    @NyamtigaIbrahim 3 місяці тому

    Mc Kapoa Kama Nini Hata Mzuka Hana

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 3 місяці тому

    Uko ndo kunakokufaa sim kulea ichi shida zawana inchi usikii wenu dikiteta kweli wewe

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 місяці тому

      Vipi tako linakuwasha nini?! unaihitaji jela ukafyokolewe au siyo?! Lete upimbi wako tu, siyo mgambo hao na wala siyo wanasiasa hao, shauri yako?!