Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Poleni Sana nyote Mwenyezi Mungu awalinde awatunze na kuwadia nguvu vyema Kwa yote katika Jina La YESU Kristo aliye Bwana na Mwokozi wetu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Waoo jamani mwalimu wangu mwalimu Maro ni miaka mingi sana nimefurahi kukuona, poleni sana kwa kumpoteza mwalimu mwenzenu
Iki kitu cha mtu kutokuongea kuwa mkimiya , huwa nimbaya sanaaaaaa , daaaah mungu tujalie mwisho mwema ,
Enock saimon polen sana pia hongera umepiga hatua toka big star had wasaf fm
Duu Mungu atusaidie
Mwanaume analima bustani mwanamke anafundisha shida ilianzia hapo
Polen sana.pole mkuu chuomate wangu jmn
Daaaah!!!!
Hatari sana mambo yamekuwa mengi sana
Shida ni nini?
Poleni sana
mwandishi sauti🔥🔥🔥
Sana
Ok
😭😭😭
Mwandishii anasaut kama ablah mwaipay
Ofcourse au sio🤣🤣🤣🤣🤣
Dahhhh
Huyo jema ni yupi sio niliesoma nae mana nilisikia ni mwalimu
jema wapo zaidi ya bilion moja dunian na unaweza ukawa ulisoma nae na akawa sio yeye pole sana
This world 🌎 is not our home
Ni kweli wakorofi wengi mikoani ni wageni mfano unguja sasa tumeanza kupokea matokeo ya mauwaji sana na mambo ya ajabu kwa sababu ya ngosha
Tanzania siku hiz hapan kwa kweli mmh ni nataman nihame hii nchi sijui niend wap
Nenda Mogadishu 😆😆😆😆
Nenda sudan dada wasikusumbue
Pumzika Kwa amani mwalimu huyo mabula kanichafulia CV
Inyala ikombeya vijijini
Masikini
Duu nihatarii Dunia shuka nipite
Inyala ipi mbona hamtoi maelezo maana mbeya Kuna inyala mbili
Inyala nyingine iko wapi
Inyala iko moja
Inyala nyingine iko Iyunga Maeneo ya Ikuti ndio maana tunataka kujua ni Inyala gani
@@zeranchimbi2808 asnt kwa kuwaelewesha mpnz
@@faridaissa2588 Ila kwa maelezo haya na ukiangalia picha inaonekana ni Inyala hiyo ni ile nyingine kwasababu hako kamtaa kadarajani Inyala ile ya Ikuti hakuna huo mtaa halafu ille shule ya Inyala imepakana na shule ya Ikuti
We sio mwalimu mama Mwalimu lazima ajue matatizo ya mwalimu mwenzake
RIP

We sio mwalimu mama
Mwalimu lazima ajue matatizo ya mwalimu mwenzake
RIP
RIP
😭😭😭