Apokea povu zito baada ya kumwambia mpenziwe kuwa si mwanamke mrembo zaidi duniani ila anampenda tu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 42

  • @adbellar338
    @adbellar338 2 роки тому +15

    He said the truth. If most men could be as honest.

  • @BHTV-ly4jf
    @BHTV-ly4jf 2 роки тому +18

    kaongea ukweli kunawarembo kumzidi nawenye akili kumzidi ila kamchaguwa yeye

  • @saidahamad5920
    @saidahamad5920 2 роки тому +14

    Nilichojifunza hapa ni kwamba uongo unapendwa sana kuliko ukweli!!

  • @benedictomb
    @benedictomb 2 роки тому +11

    Jamaa hajaandika makosa, kwani duniani kote hakuna mwanaume ambae ana ana mwanamuke mzuri ao mwenye akiki kuliko wote.

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 2 роки тому +11

    Mbona jamaa yuko sawa tu sioni makosa yake tatizo watu wanapenda kuongopewa tu

  • @morrisalascas5124
    @morrisalascas5124 2 роки тому +10

    Wapumbavu tu ndio wanamkosoa lakin hajakosea chochote kabisa

  • @rebeckyusuph8058
    @rebeckyusuph8058 2 роки тому +3

    Kaandika vizuri Sana kunakitu kwenye maandishi ndani yake nimemuelewa hakuna bola zaidi ya mwingine

  • @africanproudly4004
    @africanproudly4004 2 роки тому +4

    Tunazidiana kwa kila nyanja na hakuna aliemzidi mwenzake haya ndio maajabu ya alietuumba
    For me he is so right take me as I am

  • @blessingbagio4857
    @blessingbagio4857 2 роки тому +4

    He is an honest man. Bad thing people want to hear what they wanna hear. And all they want is lies. She's beautiful but not most beautiful 👌

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 2 роки тому +5

    Who came up with the standard of beauty? Were all beautiful each in their own ways.

  • @adamyasin4089
    @adamyasin4089 2 роки тому +7

    He is right by the way

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 2 роки тому +4

    😀😀😀😀😀🤣🤣sasa kakosea wapi yeye anaempenda ndo kaongea ivyo wao from no where unaponda 2 jmn

  • @kibandachasimu
    @kibandachasimu 2 роки тому +7

    Hii dunia inawapumbavu wengi kuliko Wenye Akili zaidi So sishangai walimwengu Kumshangaa uyu jamaa nini kaandika.

  • @b.chantal5831
    @b.chantal5831 2 роки тому +5

    Hehehe 🤣🤣🤣
    Nakumbuka kijana alivyoniambia"wewe siyo mulembo sana lakini nitakuwowa kwa sababu una roho nzuri".Nilimuacha, ..and it was very dramatic...,,he didn't believe.

  • @nadiaamisha2958
    @nadiaamisha2958 2 роки тому +3

    Jamaa kaongea ukweli 💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽

  • @mildredajiambo7835
    @mildredajiambo7835 2 роки тому +4

    But amesema tu ukweli waja hawapendi ukweli

  • @capteinchuimchafu7894
    @capteinchuimchafu7894 2 роки тому +3

    Mjuba kajiripua😂😂😂😂😂

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 2 роки тому +1

    Ila akumbuke sisi wanawake tunapenda kudanganywa angemsifia tu nazani Ata uyo mwanamke atojisikia vizuri na atakua kashapunguza asilimia fulani katika moyo wa uyo mwanamke kama amempenda mtu basi ulichompendea ndio uwo uzuri wake kwahiyo tuelewane kwamba Ata kama mwanamke anajijua yeye si mrembo ukimwambia mrembo uwa a nafurahia Ata mwanamke ni mrembo ukimwambia sio mrembo Ata kama anajijua yeye ni mrembo atachukia sisi wanawake tunapenda kusifiwa Ata mkeo usipomsifiasifia siku akikutana na kijana anamsifia aisee unaweza kusalitiwa Ata kama una pesa za aje kwahiyo wanaume muwe makini na sisi msituchukulie poa sisi ni viumbe tunaopenda sifa

  • @shadyandizeye9453
    @shadyandizeye9453 2 роки тому

    I'm so proud of him 🤗 mi nimchana ila nimependa san alicho kifanya ,co's sipendi kudanganya😊

  • @queentoto3878
    @queentoto3878 2 роки тому +2

    But she's beautiful everyone has her own beautiful it's not jus a out this man his so rude 💔 and hi not proud of her girlfriend 💔💔💔💔💔💔💔💔💔

  • @allymachejo2996
    @allymachejo2996 2 роки тому +1

    Iyo ilibd ibak iwe siri yake sio kusema hazaran baharia mwenzetu kafel kinoma

  • @rjb31
    @rjb31 2 роки тому +1

    Sns please,
    Just check
    An bring it up
    #wajakoyah
    Lookalike
    The kenyan
    Presidential
    Contestant

  • @ellybrown5989
    @ellybrown5989 2 роки тому

    It's ridiculous 🥺, indeed.Siyo kwamba wanawake tumezoea kuongopewa hapana,
    The beauty is the eyes of the beholder,kwahiyo hataki kumsifia sababu gani!mi nadhani mwanaume huyo ana inferiority Fulani ndo sababu Kaamua kuua confidence ya mrembo wa watu.
    Laiti tungepata nafasi ya kumuuliza mrembo huyo kwamba na yeye kampendea nini huyo mwanaume maana na wanawake nao Wana vigezo vilevile 🤔.
    Asituchoshe!🥱🥱🥱🥱.kama vipi angekaa kimya Tu.

  • @makondefinest
    @makondefinest 2 роки тому

    That’s true

  • @najuf8021
    @najuf8021 2 роки тому

    Kaandika point

  • @nelsonmatiku5862
    @nelsonmatiku5862 2 роки тому

    Hapa mwendo wa uongo tu 😄😄

  • @muddyshaka9017
    @muddyshaka9017 2 роки тому +1

    Mmh

  • @pastorteddywaziri5754
    @pastorteddywaziri5754 2 роки тому

    Mbona jamaa hajakosea popote.Ni kweli hata biblia ilimsema Raheli kuwa ni mzuri lakini Leah alikuwa na chongo ndio maana YAKOBO alifanya kazi kwa mjomba wake Laban miaka Saba Ili amuoe Raheli.Cha ajabu alibadilishiwa mke akapewa Leah kwasababu desturi Yao ilikuwa ni haiwezekani mtoto wa kike mdogo aolewe kabla mkubwa wake hajaolewa kwahiyo ilimlazimu YAKOBO kufanya Tena kazi miaka Saba mingine jumla ikawa 14 Ili amuoe Rachel na kweli akamuoa Rachel ambaye ndio alikuwa chaguo lake.Kaka yuko sawa kwamba wanawake tunazidiana.Huyo dada ukimpanga na Cleopatra yule malkia tunayemsomaga kwenye vitabu vya historia hawezi mfikia.Au TU tumlinganishe na baby sky wa kaka yetu Fredrick Bundala mbona huyo dada anapigwa mbali Sana🤣🤣🤣🙌

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 2 роки тому

    Hajakosea hata kidogo wapuuzi watamuatak

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 2 роки тому

    😔

  • @yeunhiasrwetze8377
    @yeunhiasrwetze8377 2 роки тому

    🔥🔥🔥🔥

  • @Masokabya08
    @Masokabya08 2 роки тому +1

    uyu kaka akili zake azina akili.

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 2 роки тому

    Is ridiculous

  • @MK-bk9ww
    @MK-bk9ww 2 роки тому

    This is worse than the PANDEMIC 🤮🤮🤮