MRADI WA KAMBI YA UJASIRIAMALI - CHUO KIKUU MZUMBE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • Tazama makala maalumu ya Uzinduzi wa mradi wa KAMBI YA UJASIRIAMALI ( ENTREPRENEURSHIP CAMP) mradi ulioanzishwa na Chuo Kikuu cha MZUMBE, unaolezewa kuwa ni tumaini na suluhisho la tatizo la ajira kwa wahitimu wa Elimu ya juu nchini katika siku za usoni

КОМЕНТАРІ • 6

  • @nasrammomy4120
    @nasrammomy4120 7 років тому +2

    it was very interesting.. Thank you a lot

  • @magabilomasambu446
    @magabilomasambu446 7 років тому +1

    Hongereni sana kwa utaratibu huo, wakuwawezesha kimawazo wajasiriamali I will join you

  • @tungupaschal1340
    @tungupaschal1340 6 років тому

    hongeren sana

  • @bonnynicola2571
    @bonnynicola2571 7 років тому +1

    I wish to study there

  • @alikhamis3723
    @alikhamis3723 5 років тому

    Wanamzumbe Pemba ipo fursa ya kielimu hakuna vyuo vya elimu ya juu vizuri njoni muewekeze huku kwa maendeleo ya Taifa

  • @alikhamis3723
    @alikhamis3723 5 років тому

    Nimeipenda sana natamani ningekuwa miongoni mwao