Huyu Mhe Lissu ni kiboko.Urais anachukua kila hisi. Kura zake Na mpya ndiyo nyingi kuliko alizopata.2020. Mambo mazuri kwa mheshiwa Lissu mapema magagoni Tutakunywa nae chai ya asubuhi.
Mwenyekiti haya mambo ya migogoro na vijembe kw sasa nahis hayana tena nafasi..kazi y mbele yko ni kuponya maumivu na kusafisha mfumo.. sio kendeleza mijadala ya tabia za watu kw vijembe nahis unaifanya suluhu kua ngumu ndan y chama. hayo ilikua tena uachane nayo usongembele
Hakuna Lugha yenye staha kwenye kupigania haki kila linalokugusa inakuwa ni Lugha isiyo na stahaa yule mwenyekiti wa awali alikuwa na Lugha ya staha lakini matendo sio ya kistaha
Mwenyekiti, unachokisema ni kweli, tusijisifu sasa, tuende kwa tahadhari kubwa, kikubwa tuwe pamoja kwenye kakabili yanayokuja tukizingatia ahadi tulizowaambia wananchi.
Karibu Tanzania kiswahili tu ni issue pole hakuna mtu alishabikiwa kama lowasa hakuna mtu alishabikiwa kama mrema wako wapi Sasa we mjaruo haya endeles kutamba kwenye nchi yeti karibu
Hili ni lile kundi la wahaini waliotaka kufanya mapinduzi mbowe alipokuwa magereza sasa wameshinda wanatoa siri nje za vikao vya mtangulizi kwenye hadhara kwa kuropoka ropoka nje ya ofisi. Hatari mbele. Kumbukeni A. Mrema Tanga na Sharifj Hamadi na Lipumba yanayoendelea ndiyo haya yajayo! Mbowe hakika ulikuwa kiongozi bora chama kikawa bora hukuwa mropokaji
Yuko safi huyu jamaa
😅Naam ukimvimbisha kichwa baadae inabidi uwe chawa ..usikosoe usifu tu
Huyu Mhe Lissu ni kiboko.Urais anachukua kila hisi. Kura zake
Na mpya ndiyo nyingi kuliko alizopata.2020. Mambo mazuri kwa mheshiwa Lissu mapema magagoni Tutakunywa nae chai ya asubuhi.
@@gatuna6 unampenda Lisu hadi mpe urais sahau kabisa
Umepewa sasa, fanya kazi acha maneno mengi yasiyo na maana
Sasa vijembe vya Nini?
Yah kila jambo na wakati wake mzee
Hapa ni Tanzania sio kenya Bora ungegombea kenya
Ushaakua kiongozi acha kurudia Mambo yaloisha onesha UONGOZI kwa vitendo acha maneno
Tunakuombea kwa muumba wako akupatie ulinzi wake mzazi mtakatifu popote pale utakapo kanyaga,mana shetani nae yuko macho,,yy peke ndo akawe mtetezi na nguzo ya moto mbele yako Amina
Huyu naye ni binadam kukosea kupo, ila pia anajua anachokifanya!
Mimi ni mwana wa mungu Niko TAnzania naomba tuwasiliane nikwambia Niko wapi
Cm nikirudi kwa cbu ya magu ila mungu akampenda zaidi, kwa Sasa narudi Tena kwa peoples
Uko vizur sana kiongozi
Twaha mwaipaya ni team lissu
Mweshimiwa zingatia kauli alizokuambia mweshimiwa mwenyekiti mstaafu, ya kuunganisha wanachama wote bila kuangalia Makundi.
Ninashauri kisu sasa aachane na hizi stori za jinsi ilivyokua yeye sasa affocus jinsi atakavyoendesha sera za chama na kuunganisha watu
Naungana na mwnyekiti lisu nakukubali
Ila akisimama makonda kugombea kiti naweza rudi
Huyu mwamba nimemuelewa vzr
Viva Lisu mwenyekiti
Gd leader
Nimekuelewa kaka kaza
Mwenyekiti haya mambo ya migogoro na vijembe kw sasa nahis hayana tena nafasi..kazi y mbele yko ni kuponya maumivu na kusafisha mfumo.. sio kendeleza mijadala ya tabia za watu kw vijembe nahis unaifanya suluhu kua ngumu ndan y chama.
hayo ilikua tena uachane nayo usongembele
Mweshimiwa izi habar zitagawa chama chetu saiv Jenga chama na week falsafa zako mwenyekiti
Hakuna Lugha yenye staha kwenye kupigania haki kila linalokugusa inakuwa ni Lugha isiyo na stahaa
yule mwenyekiti wa awali alikuwa na Lugha ya staha lakini matendo sio ya kistaha
✌️✌️✌️✌️✌️✌️🔥🔥🔥
Hakika chama dola ilipanga kukimaliza CHADEMA
Lisu nilevo za kimataifa
Mwenyekiti, unachokisema ni kweli, tusijisifu sasa, tuende kwa tahadhari kubwa, kikubwa tuwe pamoja kwenye kakabili yanayokuja tukizingatia ahadi tulizowaambia wananchi.
Karibu Tanzania kiswahili tu ni issue pole hakuna mtu alishabikiwa kama lowasa hakuna mtu alishabikiwa kama mrema wako wapi Sasa we mjaruo haya endeles kutamba kwenye nchi yeti karibu
Wewe Nan unaongea Ivo Kwan hata walioshika madalaka wakowap kama kufa kila mtu anakufa usitushe watu Acha watu wafanye kaz
Viongozi wa CDM waliozingua kazi wanayo, Lissu hana simile
Sasa CCM inahusishwaje. Tukutane Oktoba.
Haya sasa mwamba huyo
Kweli
Mwenyekiti tafadhali usifukue makaburi tafadhali anza na endeleza mapya yako yaliyopita sii ndwele tugange yajayo samehe mara kumi sabini
Km risasi zile za tembo hukufa ni hakika, mungu ana jambo lake na ww
Sasa lugha ya kijaruo punguza hii ni Tanzania sio kenya
Hakika TAL umeongea vyema
Umeanza utaingia kingi tu.
Muende mkamuhoji mutungi maoni yake kuhusu uchaguzi wa chadema.yeye akiwa kama mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi.
Nilikuwa najua Mutungi ni msajili wa vyama kumbe ni mwenyekiti wa tume ya uchaguzi.
Mh mtanzania ni mtanzania mbowe angaweza lakini wewe ni issu pole endeles kujifunza kitanzania
Hili ni lile kundi la wahaini waliotaka kufanya mapinduzi mbowe alipokuwa magereza sasa wameshinda wanatoa siri nje za vikao vya mtangulizi kwenye hadhara kwa kuropoka ropoka nje ya ofisi. Hatari mbele. Kumbukeni A. Mrema Tanga na Sharifj Hamadi na Lipumba yanayoendelea ndiyo haya yajayo! Mbowe hakika ulikuwa kiongozi bora chama kikawa bora hukuwa mropokaji
Trump afukuza mashoga jeshini
MGOMBEA URAIS ANAJULIKANA MBOWE
Nawewe umeanza kufukua makaburi fukia yamepita
Pipooooooooz
Uyu alifikili pamoja nakumbukana Mbowe atapata kura zote kumbe kaponea Chupchup
We ungepata ngapi?
Mbowe ni nani
Ndo kashinda hivo na ana trend 😂😂😂😂😂😂
Na bado utaumia kwel
Umenirudisha Tena kundini kamanda
X
Nimependa falsafa yako.