ALIKIBA Adai AMUELEWI ABDUKIBA anachofanya Na DIAMOND/Awatambulisha WASANII wa KINGS kwa KIKWETE....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • ...........................................................
    Contact Us : 0742447854
    -------------------------------------------------------------------------------
    Instagram www.instagram....
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Facebook / rickmediatz
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Website www.rickmediatz.com
    -----------------------------------------------------------------------------------

КОМЕНТАРІ • 12

  • @JohnLungu-y2v
    @JohnLungu-y2v 6 місяців тому +2

    AbduKiba anataka kwenda Mjini.... Alikiba ameshindwa aache SIMBA afanye kazi yake💪🦁🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @tomsijohni
      @tomsijohni 6 місяців тому +1

      Simba amekua paka kwanza kashuka kimuziki Simba amekua paka 😂😂

    • @martodedan
      @martodedan 6 місяців тому

      Eti amwache simba? Kweli king kamkaba koo??

  • @mimosapudica1894
    @mimosapudica1894 6 місяців тому

    Abdukiba aka Forever Underground 😂😂😂

  • @ZamzamYusuf-x7o
    @ZamzamYusuf-x7o 6 місяців тому

    This song sooooooo awesome yani naipendaga tu sanaa ❤❤❤❤❤

  • @aloycesteven5998
    @aloycesteven5998 6 місяців тому

    mi nilifikiri simu yangu spika mbovu

  • @almisfahcs8255
    @almisfahcs8255 6 місяців тому

    Poor voice quality - background noise imeharibu video

  • @LabanMapengu-ox8xj
    @LabanMapengu-ox8xj 6 місяців тому

    Amuelewi eti mwandishi wa habari kitaaluma kabisa!!!

  • @fadhilsalum2143
    @fadhilsalum2143 6 місяців тому

    Futeni chapu😂😂 voice ni mbaya

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 6 місяців тому +2

    Kiba kakubari yaishe ,kaanza kuiga Yale mema na mazuri ya DIAMOND PLATENUMZ,,Safi sana

    • @ahammedmahruki8708
      @ahammedmahruki8708 6 місяців тому

      ❤❤

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 6 місяців тому

      Inawezekana ndoto hiyo alikuwa nayo kabla hata Mond hajaanza kazi,Wengi tunaishi na ndoto zetu ila mitaji ndiyo kipengere kwahiyo akitoka dogo nyuma yako akafungua biashara ya ndoto yako kabla yako haimanishi ana akili kuliko wewe inawezekana anao mtaji kuliko wewe ndiyo maana kakutangulia,pili hatuishi kwa mashindano kwamba fulani kwakuwa kafanya kitu fulani basi hawezi kunizidi mimi ngoja namimi nifanye bila kujua kodi unalipaje,zipi faida za hiyo biashara na hasara zake nini?Kwahiyo matatizo yetu ndiyo yanatupelekea kufanya kazi ili tuweze kupambana na bili za maisha yetu sio kwamba kaiga hii ni biashara kama biashara zingine na musidhani Kiba kukaa kimya kutojitangaza mali zake basi mukadhani ni mjinga inawezekana anayo mambo mengi mazuri kuliko hata Mondi angekuwa kafungua radio pembeni ya Wasafi hapo mungesema anaiga!Wasafi haiwezi kuwahudumia Watanzania wote na wakalidhika na huduma bado tunahitaji ubunifu mbalimbali,taarifa mbalimbali za ulimwengu na vipindi mbalimbali,soko bado ni changa sana la vyombo vya habari mfano Mikoani bado sana kuna huitaji wa Tv na Radio na vipindi vyenye ueledi zaidi bado.Shida zako zinatakiwa zikutie akili ya kutafuta kazi ya kufanya ili uweze kukabiriana nazo hata kama utafanya kazi sawa na jirani yako hakuna shida ilimradi husimkwaze katka mambo yake kila mtu apambane na hali yake ya maisha yake,Kiba kamutanguliaMondi katika kufanya kazi ya Muziki inamaana Mondi nae kuamua kuanza kuimba muziki alimuiga Kiba?