Alikiba kujieleza huwa hajui , hapo mambo ya mama wa kambo yametokea wapi hapo, baba alikua na wanawake wawili cdhan kama yalikua na nafasi sana kwenye utambulisho hapo
sema kiba unaimb sem mmb mngi upo nyuma kwa kumfikia mondi kinachtakiwa mufany kaz pmj mufik mbal zaid co mbfu mna at io timu yko haijulkn kbsa lkn wasaf nd kila kitu umoja ni nguv eken roho mbya pmbn sapotianeni tu tufik mbali nchi yet muunganish vipaj
Hongera sana kiba...ila wasanii wetu kutoka humu Kenya hujawatambilisha vyema angalau wangeongea hata neno Moja tu😢
Na basi hongera zako ni za nini?kulamba matako tu
Alikiba kwenye kujieleza hayupo vizuri kabisaa... Ila ndio tushakupendaaa❤❤❤❤❤❤❤
Anaongea kiboss huyo. Haropoki ropoki
Unataka ajieleze adje unataka apige makelele king wangu kaivyo ivyo mfalume wetu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Waaaao our Own from Nairobi...
Wakwaza leo naomba like zangu
The humble Bughaaa 😅😅
Alikiba kujieleza huwa hajui , hapo mambo ya mama wa kambo yametokea wapi hapo, baba alikua na wanawake wawili cdhan kama yalikua na nafasi sana kwenye utambulisho hapo
Haina shida,
Kumbe uliumia poleeeee😂
Ali kiba anaongea kiboss haongei kihuni
Acha manen
Raha sana
Nawapenda sàna
Jiamini kwenye kuongea msanii jiamin
Hupati😊😊
Raha wote wananidhamu sana hila wasanii wako
Mbona wageni wametoka mbali na hawakaribishwi kwenye jukwaa kuu. Huo sio uungwana.
Hapana awe peke yake kuwe na ushindani wa mziki
❤❤❤❤NYC
sema kiba unaimb sem mmb mngi upo nyuma kwa kumfikia mondi kinachtakiwa mufany kaz pmj mufik mbal zaid co mbfu mna at io timu yko haijulkn kbsa lkn wasaf nd kila kitu umoja ni nguv eken roho mbya pmbn sapotianeni tu tufik mbali nchi yet muunganish vipaj
We nae yaan tangu lini
Akili kixoda
Abdukiba kanenepa masha'allah 😂
😂😂😂kaka anahela hana njaa
Buga😂
Wagen wanatambulishwa cha ajabu hata hatuwaoni wapga picha wako ovyo san kiwango cha chin mno
❤❤❤❤
Vitu aviko kwenye Mpangilio sahihi
Ungewasaidia kuvipanga basi😂😂😂😂
😂😂😂 umepigaje hapo@@taseleli9181
@@taseleli9181😂😂😂😂
❤❤
Mambo