Mwimbaji wa nyimbo kayengeyenge anaitwa Christophe Matata. Anatokea kwenye inchi jirani ya Burundi. Na kwasababu lugha ya kiha na kirundi vina ukaribu sana, waha na warundi wanaelewana bila mkalimani. Mimi niliishi Tanzania nikiwa mkimbizi hadi mwaka 2005. Nilipenda sana lugha ya kiha. Cha kuchekesha shetani kwa kiha anaitwa kilanga. Na kilanga alikuwa mungu wa warundi wakati wa mababu.
This is very good if food is available to eat and for sale,now the government should consider the place and construct a modern market for selling food and tarmac the road.
Ukweli mkoa wa kigoma naupenda xana maana hauna njaa pia mazao yanaiva kwa sana, big up kigoma,
Kibondo hoyeeee.....kama unaikubali kb gonga like twende sawa.
Unapakubali kwakua ni kwenu
@@mohameddamka922 ulitaka niikubali kwakuwa ni wapi????
Missyoouhoom
Sweet home nitafanya fujo mikoa tofauti tofauti lakini mwisho wasiku lazima nitue home
Ngo kayengeyenge Eeeee...! Ndakila ngende kumlabha. Karibuni Kasulu.👏🏿 Umulimyi ngo ntachagulîmbuto...👏🏿👏🏿👏🏿
Mwimbaji wa nyimbo kayengeyenge anaitwa Christophe Matata. Anatokea kwenye inchi jirani ya Burundi. Na kwasababu lugha ya kiha na kirundi vina ukaribu sana, waha na warundi wanaelewana bila mkalimani. Mimi niliishi Tanzania nikiwa mkimbizi hadi mwaka 2005. Nilipenda sana lugha ya kiha. Cha kuchekesha shetani kwa kiha anaitwa kilanga. Na kilanga alikuwa mungu wa warundi wakati wa mababu.
Home sweet home ..... tuliho muhila iwachu ntanoma bhagabho mweee nikudya ibhiharage.....
Kigoma ewe kigoma leka tutigite wishavu ameneke huko ndo k wetu bhana
Tulikumwe chane ebhne wachu
Nimewakubali sababu hakuna njaa.... Kama na wewe umewaelewa tupia like apa twende sawa
Kama unapenda hm kibondoo weka like Twende home
KAMA NA WEWE UNAJUA WATU WA KIGOMA KWA UBISHI GONGA LIKE.......MTABISHANA MPKA KESHO
😁😁😁😁🤣🤣🤣
Khahhhhhhhhhhh
Pia na kusini kama wamwela na wamakonde nao kwa hubishi awajambo
Pazuri kwetu huko. Ntibhoshobhola kulimimyumbati
Kibondo Safiii! Ahsante Sana.
Kwetu kibondo,Kumshindwi ila wazaza wangu walihamia Kilimanjaro miaka ya 1989 mpaka sasa,,ila napapenda mnooo Kibondo.
Mtu wa Kigendeka upo
Hongera
Rudi nyumbani kumenoga
Hatar jomon mmh cyo kwa wekundu huo but nimepapenda 😁
Ukuje huku Chakula ni kama Uchafu tu 🥰
uzuri Wa hapo kibondo wanawake hawakatai wanaume nakavuvuuuuuuuu
Zabron Ndoroba “karibu kibondo ila FAHAMU kwamba UKIMWI UPO” kuna bango hapo linasemeka hivyo
This is very good if food is available to eat and for sale,now the government should consider the place and construct a modern market for selling food and tarmac the road.
Daah nakumbka enzi zile nasoma uko full kula mihogooo
FELISTER LUTAMBI
shule ipi.umesoma ferister0766772056
@@Mibwego_online
Nimesoma shule moja inaitwa mkugwa secondary
🙈🙈🤣🤣🤣
@@felisterlutambi9064 Ayyyye, mimi nilikua mkimbizi Mkugwa, from 2000 until 2002, been living in Sweden ever since. But sitasahau kwenye nilitoka!
@@vaestkusten6041 mimi nilikua kibondo 2009 kabla ya kwenda canada
Weuweeeeee nyumban mix xanah homer sooon
Umetisha
Mbona wimbo wakwetu burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
The Boss Lady IPUPA kwahiyo unatakaje?
@@danielelwin1778 unibebe mgongoni kaka acha roho yakuchi wewe
Tunaupenda
NAIPENDA KIBONDO MY HOMELAND,, MUNGU IBARIKI KIBONDO.
Iko vizuri bwana,kibondo,kifura,Kakonko,kasanda,kabingo etc
waha ndio wanaongoza kwa ubishi nchi hii ,kama hutaki pasuka
Ma sha allah
NAPENDA LAFUZI YA WATU WA KIGOMA SANA
TUKO PAMOJA SANA
Abhantu bhakundîbhikogwa..!👏🏿👏🏿👏🏿
Namuona jokel kaka jambaz
Kayengee yengeee
asante xana miladyayo
I'am home boy from kibondo KIGOMA ndahakunda change muhila
Watuwekee lami kwetu hapo mjini kibondo. Kanyamahela.
Subtitle ziusike kwenye watu kama hao wanao ongea kiluga me sjaelewa ata kmoja alicho zungumza uyo mze kwa luga ya kwao😩😩😩Fanyia kaz iloooh Ayo
Ndo muhila,serikali ijitahidi Sana kurekebisha miundo mbinu,itakuwa juu zaidi ya hapo kibondo kwa maendeleo ya taifa.
Mepamis sana home kwetyuuuuuuuuuuuuu
Leka dutigite, , , kibondo kitahana kwetu
Ooh jaman pamenikuza
Safi mambo mazur
home sweet home
Hommieeeeee 🤣🤣🤣🤣🤣
Biturana kibondo niho mhila tulashashe chane nmepamis kweri
iwachu umuhila. halabheleye
MILLAD AYO. KUNA MTU UMEMSAHAU. MIKE T. TUNAHITAJI KUJUA YUKO WAPI, ANAFANYA NINI, MBONA KIMYA SANA, NGOMA YAKE MPYA NI IPI. NK
daah nimemis huko kwel kibondo
aaaaaa awooote
Nyumban kwetu pazur
daah ivo vyakula mpk rahaaa
Iyo kweli mwisho wa reli
Asilimia kubwa yawatu wakigoma wanatoka Burundi Rwanda nacongo, wazawa niwachache.
J. JOSE acha usenge we unauwakika gn
Are u sure that is humiliation and violence, do u have evidence
Kwaiyo ww umetoka wapi baba yako tumempokea alafu ww unaongea
Wewe hujitambui unachochea ubaguzi wa ukabila je wewe baba yako alikwambia alitokea wapi?
Nikweli bro gonga like twende mwana wane 🇨🇩🇨🇩🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Imuhilaaa
Kibondo ya Leo kweli cyo ya kipindi cha nyumaaa
daaa, millard ayo hatarrr
Nymbn kgm ila kibondo siwez ishi Mara 100 kasul ndo pazur
Acha.kwan umelazimishwa kama sio kihele hele chako kulopoka tu
Yurabumva. Markani
vp funza wameisha uko 😀😀😀😀😀😀
Hakuna funza wewe
Hooooome
Kailibu na wilaya ya buhigwe
Majanga uo ugali wamuogoo tuu mumeniachaa mdomo wazii mee sio kwaweusii uo
Barbara hakuna hadi adivencha wamedoma kupitanjiahiyo kuja dare saalam
Kibondo..mara ya mwisho mwaka 2009 dah pazuri
Ukuje tena
Yeap
Kumbe kibondo ni ka mujii aisee na ishiaga kasulu tu safarii ntafika uko
Kwa sumu na ubishi ni hatari sn!!😀😀😀
Unauzibitisho na hicho unacho kisema
Amagambo yadyosheee
Umeonaee.
Huyoo mzee anaongeaje kikabilaaa Kati anajua Anaonekana na watu wa makabila tofaut tutafsirien asiii jaman hata sisi tukijue kibondoo
Unataka nikufundishe! Kiha
@@adrammadega5489 itapendezaa zaid ukinifundishaa
@maryam nikufndishie hapa hapa au private mfano whatsapp txt za kawaida 0624400002
Nenda na buhigwe
Vumbi sasa, duuu!!!
Ubishi sasa ndio shida
Wanaume wa kigoma wanatomba hao jmn kama ww ni mvivu usije ukakutana nae atakunyoosha ukimbie chupi mkononi
Mtangazaji rudi shule kajifunze SILABI L na R zinatofauti
Barabara hakuna
mhoza
Naikubali.
Nchi jirani
unyibhukije muhila
Budunzu niho muhila
Nyumbani
Kumbe ndio maana wakija dar hawarudi huko kwao cjui kama Tanzania huko
Yebhagamwe ahonihondakuliye ntawank'i wabhu ndahakumbuye chane
Kwann tusirud jaman wakat ndo nyumban
Wanarudi kuwekeza wewe.
Yemwe mulakose
Jaman nyumban
daaah jaman pamoja sana wanakibondo wenzangu,tulihamweee
Kibondo pazur nimepapendaa coz full mazaoo
Ego emwabaaa
Duh!! So poa
Sasaaa watu wotee mnaongea kibondoo sisi tunawaelewajee lakiniiii kwann mnakua hivoo nyie wakibondoooo
ndo uzuri wa Tz,angalau wameongea kwa kiswa...kongea kikwao,ni poa tu,ni kujivunia asili yao..ukija kwetu Bukoba je.kkkkk.lol
Hahahaaaa