Mwarobaini wa upungufu wa sukari wapatikana, Uingereza waja kuwekeza kiwanda kikubwa cha sukari
Вставка
- Опубліковано 26 сер 2024
- Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Kampuni ya Sukari Kilombero Sugar, Balozi Ami Mpungwe amesema, uamuzi wa wawekezaji kampuni ya Uingereza, Associate British Sugar kuja kuwekeza nchini Tanzania, ni kielelezo sahihi cha imani waliyonayo katika mazingira ya uwekezaji huku akiiomba serikali na taasisi husika, kuendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji hasa katika uzalishaji wa sukari nchini.
Tanzanian ndio ndio nchi pekee duniani ambayo viwanda hata vikiwa vingi mahitaji ya bidhaa hayakidhi mahitaji na hao wenyewe ndio wanaongoza kuficha bidhaa ili vitu vipande bei sion kama vina umuhimu sana pumbuvu kabisa
Uwekezaji unakua lkn wafanyakazi wa viwanda malipo yao ni unyonyaji mtupu
Let’s go samia
Yes
Ok