DUUH HII HATARI ANA MIAKA 28 ILA ANAONEKANA MTOTO WA MIAKA 7 | MSAKO WA PARIMATCH BINGWA - DAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 сер 2024
  • Kwa story zaidi za kimichezo, matukio, vicheko na vilio vya kispoti tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii :
    ►JOIN OUR WhatsApp Group: chat.whatsapp....
    ►SUBSCRIBE: / @tv3tanzania
    ►Instagram / tv3tz
    ►TikTok / tv3tz
    ►Facebook / tv3tanzania
    ►Twitter / tv3tanzania
    #Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha @startimestz CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)

КОМЕНТАРІ • 74

  • @elidifridajingu3153
    @elidifridajingu3153 Місяць тому +28

    Hao wadada washamba sana. Kwa yeye ndo wakwanza kuwa hivyo? Jiweke sasa ndo mdogo wako anachekewa kama mlivyomcheka huyo kijana, mnatia aibu sanaa. Mwombeni msamaha huyo kijana

    • @nugwiziwe7577
      @nugwiziwe7577 Місяць тому

      @@elidifridajingu3153 uposahihi wanatakiwa wamtake radhi

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 Місяць тому

      @@elidifridajingu3153 hapana anaonekana katoto hata mm nisingeamini wallah wakati anahojiwa WASAFI MM NIKAJUA MTOTO

    • @tanzaniantraveller
      @tanzaniantraveller Місяць тому

      @@elidifridajingu3153 nafikiri hawamcheki wanamshangaa

  • @HappyKitindi
    @HappyKitindi Місяць тому +7

    Hawa dada Mungu awalaani wapate watoto kama hivyo, maana hilo swala sio la kucheka. Kuna mama mmoja alimkejeli albino na sasa watoto wake wote wanne ni albino. Mungu ndo mwny kuumba kwa makusudi yake

    • @mapishiyetumazuri2312
      @mapishiyetumazuri2312 Місяць тому +1

      Kweli sio vizuri hujafa hujaumbika pia mna vizazi wacheni ujinga mnakera

  • @lilyrose7983
    @lilyrose7983 Місяць тому +6

    Yamekaa tu hapo makujishauwa ma nn.😏Na mauzungu ya kulazimisha ovyoo 😏

  • @roi2554
    @roi2554 Місяць тому +6

    Sio vitu vya kucheka ivi jaman😢

  • @user-jt5we5hg4v
    @user-jt5we5hg4v Місяць тому +4

    Mm niliacha kufwatilia tv 3 kwasababu ya hao wadada huwa wananiboa sana sijui kwann..

  • @jokhaali5893
    @jokhaali5893 Місяць тому +3

    Assalamu alaykum, sio ajabu huyu kuwa na umri mkubwa lakini muonekano ukawa kama huo alionao. Lakufanya nenda hospital yeyote kwa matibabu ya PITUTARY GLAND ambayo imefumaa haifanyi kazi yake ya kawaida. Utatibiwa dawa muda wa miaka 2, Utatibiwa kwa dawa inayojuilikana kwa jina SOMATROPIN. Utapata kimo cha kawaida. Shukran

    • @christinamgaya6852
      @christinamgaya6852 26 днів тому

      @@jokhaali5893 jmn lkn muhusika hajaipata ujumbe huu ,msaidieni jmn

  • @abelmwakipesile9868
    @abelmwakipesile9868 Місяць тому +5

    Sio vyema hivyo mnavyocheka! na kwa nini mnacheka? Kwani hayo si maumbile tu, achen hzo mambo

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 Місяць тому +2

    Mnacheka kwa kejeli inashangaza nyinyi ni wanawake mnawaza kubeba chochote katika matumbo yenu hakuna aliechagua kuubwa 😢

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 20 днів тому

    Mwenyez Mungu ni muweza wayote usimcheke yeyote

  • @user-zl5mt6lk4n
    @user-zl5mt6lk4n Місяць тому +5

    mnatoa wap nguvu ya kucheka hvo mbele yale hv mnafkir anajisikiaje? kwan yeye ndo kaomba awe hvyo? nyie wenyewe warefu tu lkn akilikhuyo mnaemcheka anawarhinda wote

  • @movierecapmagic
    @movierecapmagic Місяць тому +3

    Nina mjua huyu jamaa anaishi Mbezi makabe

  • @user-yd3hz6hq6q
    @user-yd3hz6hq6q Місяць тому +3

    hao wadada watafanya watu wasiangalie maana wanaleta ulimbukeni kweny kioo. shenz

  • @enockm6101
    @enockm6101 19 днів тому

    Tukiambiwa na sisi waafrika ni wabaguzi wakubwa utasikia "umelogwa wewe nini? sisi hatujawahi kuwa wabaguzi". Ubaguzi ni ubaguzi tu haijalishi ni wanini rangi, maumbile , kabila nk. Tuna tabia mbaya sana ya kuwacheka watu walivyo tena hadharani bila hata aibu, na hamna mtu anayekemea hizi tabia. Shame on you guys nilitegemea mwisho mmwombe samahani kaka wa watu na bila aibu mnaiweka hii online???. Brother nimekukubali jinsi ulivyokeep kiprofessional zaidi. Wala hujachukia na kufanya wanayokuuliza nimependa tabia yako. Mungu akusaidie ufike mbali!

  • @TwalibTwaha
    @TwalibTwaha Місяць тому +6

    Vicheko vya kejeli kbx

    • @nugwiziwe7577
      @nugwiziwe7577 Місяць тому

      Washenzi Hawa

    • @Shuu.A
      @Shuu.A Місяць тому

      Mijuso imewakaa kama nguruwe hawafai kuwekwa hapa na huyo alowaeka kwani haoni mjinga mwenzao

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 Місяць тому

      @@nugwiziwe7577 Na kujifanya kuongea Kiingereza cha kunywea maji.Washenzi hawa 😏

  • @livinjohn9526
    @livinjohn9526 Місяць тому +2

    Mwanetu huyo kuhusu age yake ni kwelii

  • @hamzamohamedKeslivol
    @hamzamohamedKeslivol Місяць тому

    yani hii hapa ni zarau ya hali ya juu kwa kweli kutoka kwa hao wadada. wamefeli kuwajibika kiutendaji. na hili linathibitisha kuwa hawapo kikazi wapo kupoteza muda wa kazi waliopewa

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 Місяць тому +3

    Gara B ndio mwenye akili hapo. Hao wadada vibuyu mnacheka nn sasa?

  • @sitihussein8898
    @sitihussein8898 Місяць тому +1

    Hujafa hujaumbika, jinsi walivyomdhalilisha daah yaani inakera sana.

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 Місяць тому

      Hapana hawajamdhalilisha ila hata mm nilidhani katoto kamezamia show kabisaa

  • @HadijaHamisi-ec3cm
    @HadijaHamisi-ec3cm 29 днів тому

    Mmekosea mnacheka sana nini Cha kicheka

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Місяць тому +1

    mbona kawaida

  • @EmmyJerremiah
    @EmmyJerremiah Місяць тому

    Jmn huyu ni Harrison na ni jirani yangu namjuaaa ni kaka kwangu

  • @AdelaideZacariasZacarias-hp8gs
    @AdelaideZacariasZacarias-hp8gs Місяць тому

    Hila sijui ndo nn jamani yajikuta nina mapenzi sana na Son mdouth

  • @RechoYohana-i4h
    @RechoYohana-i4h 24 дні тому

    Sasa hao wanacheka nini ni kipi kinacho chekesha apo

  • @tinajoe5487
    @tinajoe5487 26 днів тому

    Kwani shida ni nini?

  • @sisifaty9183
    @sisifaty9183 Місяць тому

    Hawa wa dada wafukuze kazi sio majaji waungwana

  • @emmanuelbenson6149
    @emmanuelbenson6149 24 дні тому

    Acheni upuuzi kinachowachekesha ni nini sasa

  • @rauhiaiddi8049
    @rauhiaiddi8049 Місяць тому

    Ni kama dora tu mbona hata dora anasaut km mtoto mbona

  • @stewartmdebe4314
    @stewartmdebe4314 Місяць тому

    Mbona wako wengi sana

  • @djfiremoto3429
    @djfiremoto3429 28 днів тому

    HAO MADEMU WASENGE SANA

  • @naomiisaya441
    @naomiisaya441 Місяць тому

    sasa nyie kinachowafanya mcheke ni nin? mnamkosoa Mungu uumbaji wake or? ujafa ujaumbika ngoja na nyie Mungu awape uzao huo ndo mtaacha kucheka alfu watoto WA kike mnaojiita mama mnacheka bila woga loooh!haya Mungu anawaona

  • @user-sc9zl2hx1c
    @user-sc9zl2hx1c Місяць тому

    Ao wadada waache upumbavu wanacheka niini kwanini wanajiri watu wasiokuwa na akili wamekka kama machangudoa wanacheka nini wapumbavu ao wanaalibu kipindi mda wa siliasi ni kuwa siliasi sasa uyo mkaka anajisikiaje apo sijapenda malaya ao

  • @NewNew-ep5dq
    @NewNew-ep5dq 21 день тому

    Sasa nyie wa dd kinachowachekesha nini kam vile mshamaliz huzazi

  • @EstherYoram
    @EstherYoram Місяць тому

    Kumkagua Tena na kumcheka Sijapenda

  • @annesmatemu4264
    @annesmatemu4264 Місяць тому

    Sasa wana heka nini kama wazembe hapo utajisikiaje angekuwa mtoto wako je wanawake ujinga tu

  • @evalinemalole6709
    @evalinemalole6709 Місяць тому

    Kinachochekesha ni nini sasa hapa jaman ama me ndo sina bandama aiseee

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 22 дні тому

    Acheni kucheka dogo langu lipo silias

  • @nepomcenaugustine8335
    @nepomcenaugustine8335 Місяць тому

    Hawa wadada mbona wanakosa maadili! Kipikimewachekesha?

  • @ramlatshabani5235
    @ramlatshabani5235 Місяць тому

    Sasa mnajichekesha nini kaa mijinga 😏😏😏 hovyo kwan hamjui kam watu kama hao wapo hovy 😏

    • @WinnieIkwisa-ts6bz
      @WinnieIkwisa-ts6bz Місяць тому

      Ndo hapo sasa..yaani wanaweza mfanya mtu ajisikie vibaya..cha ajabu kipi?
      Au wenzetu wamezaliwa leo hawajaona watu kama hao..wanakera sana

  • @Immahjr
    @Immahjr Місяць тому

    Ningekuwa mm ningetoka tu sasa wanacheka nn hapo au ujinga mkichwa

  • @QusayQusay-ci4np
    @QusayQusay-ci4np Місяць тому

    ujinga huuuu loooo

  • @Williamsalum-n1z
    @Williamsalum-n1z Місяць тому

    Cly qny ao

  • @AshaMwamba
    @AshaMwamba Місяць тому

    Kinacho wachekesha sasa hao wa dada ovyooo

    • @Shuu.A
      @Shuu.A Місяць тому

      Malaya hawa wanawashwa tu

  • @annamutarodwa669
    @annamutarodwa669 Місяць тому

    Guys so kwamba wanamcheka bali wako exited hawakumdhania

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 Місяць тому

      Hakuna cha dhana wala nn ni dharau tu mbwa hawa.Na kujifanya uzungu mwingi nyau hawa

  • @Zuu673
    @Zuu673 Місяць тому

    Mimi wananiboa sana mbwa izi sasa munacheka cheka nn?

  • @Shuu.A
    @Shuu.A Місяць тому

    Nyie wanawake acheni ujinga kinakuchekesheni nini na hayo mambo ya Mungu hujafa hujaumbika kwanza nyie mmejiona misura yenu ilivokuwa mibaya kwanza hayo mliojitia marangi ndio yaliokustirini mbwa koko nyie mlokosa haya wala hachekeshi mnawaswa tu malaya nyie

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 Місяць тому

    Mnashangaa nini?? Mbona washamba hivyo?? Kwani si maumbile hayo??

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 Місяць тому

      Wamezingua kweli tatizo la watanzania ushamba mbn kwa wenzetu wapo lkn wala ila ss km ma paka tyu

  • @Official83640
    @Official83640 Місяць тому

    Na nyie mapovu ya nn c km act tu hizo au hamuoni BSS vituko tele c ndy km hii tu sasa mmemaind mtasema hamjawahi kukutana na jokes km hizi

    • @user-zl5mt6lk4n
      @user-zl5mt6lk4n Місяць тому

      @@Official83640 kwa hapo sio jocks usitetee ujinga ndgu yangu......mtu ana msihani huo na yupo hapo unajifanya unashangaa na unacheka ndo masikhara? sio busara lazima kwenye moyo wake amejckia vbaya ila nikwasababu tu ndo hvo anajitafuta atafanyaje

  • @SamwelMbaga
    @SamwelMbaga Місяць тому

    Malaya ao

  • @user-pp7ug2bc1y
    @user-pp7ug2bc1y Місяць тому

    Pumbavu sana. Whats for funny

  • @SharifaOmary-ui8vs
    @SharifaOmary-ui8vs Місяць тому

    Mnacheka kimalaya fala nyie

  • @dannyismael2613
    @dannyismael2613 Місяць тому

    Wapuuz kabisa mnacheka kisen*** umemaliz kuzaa ma*** ya nyie

  • @esterpaul5856
    @esterpaul5856 Місяць тому

    Hao mabibi wanacheka cheka nn kama wauza bar? Wajinga nyie mnazani alipenda kuwa ivyo?

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 16 днів тому

    Subirin mkitombwa nyie wte mimba zenu mtazaa wtt hawana miguu kabisa mie niko hapa nimekaa mbwa nyie hapo chakuchekesha nikipi hasa
    Kama hamuamini umri wake simumanue huko kuchafu kwenu muone atakachowafanyia nyani nyie

  • @user-ii6gs2jg4g
    @user-ii6gs2jg4g Місяць тому

    Madada mbwa kabisa hao na washamba. Sasa kinachowachekesha hivyo ni nini badala ya kushangaa