TAMU YA SHEMEJI |EP 3|

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 28

  • @maigu
    @maigu  2 місяці тому +8

    HABARI NDUGU ZANGU MUHUSIKA ALIYECHEZA KAMA SHEMEJI KWENYE EPISOD ZILIZOPITA ATUTOKUWA NAE KWASABABU ZILIZO NJE YA UWEZO WETU, HIVYO TUMEWALETEA SHEMEJI MWENGINE ANAENDELEA PALEPLE ALIPO ISHIA YULE MWENGINE, MAIGU FAMILY INAOMBA RADHI KWAUSUMBUFU ULIOJITOKEZA
    ASANTE🙏

    • @SalumSafkim
      @SalumSafkim 2 місяці тому

      Ww sema tu km ushamfukuza usiseme km nje ya uwezo wenu

    • @Pili-n3l
      @Pili-n3l 2 місяці тому

      Mm haswa kupumbazw na bongo move sitaki

    • @rizikishoo9084
      @rizikishoo9084 2 місяці тому

      Maigu ongeza dakika bhana izo dakika 11 ni chache sana,fanya hata ziwe dakika 25 au zaidi

    • @esterkimalio8846
      @esterkimalio8846 2 місяці тому

      We maigu mbona umekatisha ile ya mimba jamani??

    • @abdulwahidmsellem1998
      @abdulwahidmsellem1998 2 місяці тому

      Tunatka muendelezo wa ile mimba

  • @ErickMgaya-f8q
    @ErickMgaya-f8q 2 місяці тому

    Sema dada uyu wa sasa yupo vzur sana maigu🎉

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 2 місяці тому +2

    Daaah ukiwa na dada kama huyo umeisha, hata wanaume mmewe na msimamo jmn make mmmh

  • @JoviniRaphael
    @JoviniRaphael 2 місяці тому +1

    Maigu move nzur Hutoi muendelezo kwanini

  • @JosephDismas-f7w
    @JosephDismas-f7w 2 місяці тому +4

    ❤❤❤❤❤ namba 1 leo mapema2 weka like apa tafadhali kama unamkubali bwana maigu 🎉

  • @evelynoscar5104
    @evelynoscar5104 Місяць тому

    Mdada wa kwqnza nilikua nampenda jmn msingembadilisha

  • @NuruenezaJosephEnock
    @NuruenezaJosephEnock 2 місяці тому

    Hongera sana kwa kazi nzuri Maigu

  • @EmmiologistJaqienemmiolo
    @EmmiologistJaqienemmiolo 2 місяці тому +1

    Mzee nakukubali

  • @anthonymbusiro7768
    @anthonymbusiro7768 2 місяці тому +1

    mbn dada mtu kabadilishwa

  • @AnitaVictor-nb3oh
    @AnitaVictor-nb3oh 2 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉🎉 from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @SamuelYawa
    @SamuelYawa 2 місяці тому

    Maigu unapenda sana kula za watu

  • @JapharMakame-ex9lh
    @JapharMakame-ex9lh 2 місяці тому +1

    ❤❤❤

  • @JapharMakame-ex9lh
    @JapharMakame-ex9lh 2 місяці тому +1

    Nice

  • @ShabanRamadhan-z8i
    @ShabanRamadhan-z8i 2 місяці тому +1

    Afu mboda wametudanganya dada mwingne uyo

  • @samizura4217
    @samizura4217 2 місяці тому

    Nakubali

  • @husnaabdullah3009
    @husnaabdullah3009 2 місяці тому

    Mbona huyu mdada sio wakwanza kabadilishwa😢

  • @Pili-n3l
    @Pili-n3l 2 місяці тому

    Kwaiy Ile ulopata ujauzito ndo haipo tena

  • @isakashega6056
    @isakashega6056 2 місяці тому

    Maigu nataka kuigiza na wewe

  • @wavinonoclassic1274
    @wavinonoclassic1274 2 місяці тому

    huyu shemej wa sasa anatako kubwa

  • @hamisimakati1354
    @hamisimakati1354 2 місяці тому

    Mbona dada mtu sio uyo au watakuwa wapo wa 3

    • @maigu
      @maigu  2 місяці тому

      @@hamisimakati1354 HABARI NDUGU ZANGU MUHUSIKA ALIYECHEZA KAMA SHEMEJI KWENYE EPISOD ZILIZOPITA ATUTOKUWA NAE KWASABABU ZILIZO NJE YA UWEZO WETU, HIVYO TUMEWALETEA SHEMEJI MWENGINE ANAENDELEA PALEPLE ALIPO ISHIA YULE MWENGINE, MAIGU FAMILY INAOMBA RADHI KWAUSUMBUFU ULIOJITOKEZA
      ASANTE🙏