BAWACHA WAAMUA KUMUONYESHA RAIS HASIRA ZAO KWA VITENDO WACHOMA VITENGE VYOTE WALIVYOPEWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 391

  • @cristinajeremiah2450
    @cristinajeremiah2450 20 годин тому +17

    Kosa lenu kuvipokea mgekataa siyo vizuri

    • @musa-v3f
      @musa-v3f 19 годин тому +2

      hakuna kosa hapo kwani Bibi Chura au maarufu kama Bibi Chinja Chinja aliwalaghai watanganyika na kujifanya ana nia njema kumbe ni Chui mla watu

    • @KaimuUlongo-p6c
      @KaimuUlongo-p6c 12 годин тому +1

      Wao mbn juzi vijana wa ccm walikuwa wanachana bendela za chadema Kwa fujo Ivo kamaa apo unapata tafsila gan selikali inabidi iwaoinye ao watu kwasabb Iko kitendo sio kizuli ata kidgo

  • @KamugishaSupe
    @KamugishaSupe 21 годину тому +5

    Ila kwa Hilo niwambie mihemuko itawaponza na wengine wanashabikia hili ila hata nguo ya maremu Huwa haifanyiwi hivi nyie wamama nyie MUNGU awasamehe nawengine hapo niviongozi lakini najua hamutendi haki ila mnajifanya kumudhihaki RAIS wetu HASIRA hasara endeleeni kuuchochea moto utawaka tu

  • @cosmasmilanzi7117
    @cosmasmilanzi7117 20 годин тому +7

    HASIRA HASARA!

  • @HALIHAMISI
    @HALIHAMISI 21 годину тому +5

    Siasa ngumu sana na ni mchezo wa zambi

  • @YusuphMdaki
    @YusuphMdaki 14 годин тому +18

    Msiwalamu kuchoma kipo chanzo unapowanyima watoto wako haki na uhuru watatafuta njia mbadala .ndo maana mtoto anayepigwa sana anakuwa katili .badala ya kuwa mwema

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm Годину тому

      Hakuna uhalali wa kufanya hivyo hiyo ni israfu hatakam umenyimwa haki na uvuk mipaka uchome nguo zako kisa mama amekunyim kula Kun mamb kimaumbil yanakataaa

  • @abdulrahmanhamza4932
    @abdulrahmanhamza4932 19 годин тому +4

    People power mandamano mwanza furahisha, ikifika viti maalum mwanza mnatubagua mnachukua mademu zenu wa kilimanjaro, arusha, manyara na dar.. muwe mnapeleka maandamano kwa wake zenu na watoto wenu, pelekeni shanga uko... yani population milion 3.8 mwanza af viti maalum mnachaguana na mademu zenu mwanza tunakosa mwakilishi. Aya atuwakamati mnataka mtengeneze huruma kwa balizi wa marekani ili iwe habari kubwa kwa vitenge vya elf 20. Mafuta ya taa ya jero na kiberiti cha 50. Af wote generation ya P DIDDY 1970 mkalee wajukuu...

  • @khassimdogoli8417
    @khassimdogoli8417 10 годин тому +3

    NIMEAMINI WANAWAKE HAWAPENDANI KABISA NI NI WANAFIKI WAKUBWA...HAPO MNAONESHA UJINGA WENU

  • @HajiMsindo
    @HajiMsindo 20 годин тому +10

    Hizi ni Dali za kukosa cha kufanya Karina siasa inaonyesha mikakati yenu imefeli

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 20 годин тому

      Kabisa , ni siasa za kijinga,,,

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 19 годин тому

      ccm ndiyo inaujinga.wajabu

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 7 годин тому

      Wao bendera za Chadema wanazoshusha kila siku huwa wanazipeleka wapi kama sio wanazichoma moto

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 4 години тому

      ​@@eliajimmy95ulishaona wanachoma bendera moto?

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 4 години тому

      @@rayisadesigns2646 tusaidie wewe bendera ziko wapi

  • @ChristinaKembe
    @ChristinaKembe 7 годин тому +3

    SIO HEKIMA HATA KIDOGO mmefanya jambo lisilowezekana na hekima kabisa

    • @leahmcharo7306
      @leahmcharo7306 2 години тому

      Nawaza tu ingekuwa ni pesa wangachoma??

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 4 години тому +2

    Ukiona mwanamke anweza kufanya hayo maana yake hata mumewe hana sauti ya kumuonya huyo mwananamke ,kwani unavyo ona mtu yuko hivyo hata nyumbani yupo hivyo hivyo, na kwa ushauri wangu mngekuwa na hekima mnge mtafuta Rais muongee nae mbona nimtu amekuwa akiwasikiliza sana na ruzuku mmepewa sasa mmepewa ruzuku mmenunua vitenge vipya mnachoma vya zamani ,ndio kweli wakupewa nchi nyie mbona mnahasira sana, nakusimaia familia zenu mmeshindwa kweli mtasimamia nchi nyie? Kumbukeni kunawakati mlimsema Kuwa Rais nimpole sana, sasa amekuwa mkali mnakasirika mnasema Rais hajali watu wanapotea ,kwani serikali ndio inayo poteza watu au niwelewa wenu mfupi , mnge tulia mpambane nauchaguzi muwe nasera nzuri watu wawa chagueni mnakuwa hovyo nani atawapeni kura ,niwashauri kitu ,ijapo mimi siko na chama chote, lakini jifunzeni kwa ccm kwani wenzenu wanabadilishana wenye viti wa vyama, Mwl nyerere akapiata nanikabila lingine, akaja Mzee Mwinyi akapita ni kabila lingine, akaja Mkapa akapita ni kabila lingine, akaja J kikwete akapita ni kabila lingine, akaja Jp Magufuli akapita nikabila lingine ,na sasa yupo Dr Samia nae nikabila lingine , nyie mwenyekiti nihuyo tuuuu ,badilisheni kwanza kwenu ndio mkabadilishe kwa wengine ,

  • @princehenry7113
    @princehenry7113 19 годин тому +4

    Duuuuuh, kw hiyo wanetu mlipewa vitenge pea mbili tu au siyo wanetu, haina nowma, kwa maigizo haya na mnataka kukabidhiwa nchi,haina nowma🚶🚶

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 7 годин тому

      Kwani wamekuomba wewe uwakabidhi hiyo nchi?

  • @Jeremiahlukumay
    @Jeremiahlukumay 13 годин тому +11

    Chomeni hizo ni Kodi zenu,anakuja kuwahonga msikubali, Big up to you our legends.

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd 7 годин тому

      Wote wanafki na mnatombw na lema.

    • @Jeremiahlukumay
      @Jeremiahlukumay 6 годин тому

      @@twalibulomy-cd4zd Wacha matusi,kama mmeishiwa na sera tafuteni sera,sio kutumia polisi kuvuruga amani ndio mseme chadema wakavufuga inchi.

  • @ramadhanhassan9308
    @ramadhanhassan9308 21 годину тому +3

    Umasikini

  • @naasibabuu
    @naasibabuu 7 годин тому +2

    ni vile tu katika uislamu ukimtukana mama wa mwenzako ni sawa na umemtukana mama yako lakini hapa naona kabisa busara hamna kwanini msiwagaiye hata kinamama wenzenu wanaokosa hata nguo za kubebea watoto wao

  • @FikiriniMwaluko
    @FikiriniMwaluko 21 годину тому +2

    Bora wabaki na ujinga wao kuliko

  • @abdulwaheedsheikh8015
    @abdulwaheedsheikh8015 21 годину тому +6

    Na bora wasikamatwe ,waachwe hivi hivo maana lengo lao kukamatwa ili ionekane wanaonewa watafute huruma ya wazungu.

  • @ChristinaKembe
    @ChristinaKembe 7 годин тому +2

    SIO HEKIMA

  • @saidymalaulau8357
    @saidymalaulau8357 21 годину тому +2

    Kumaenza kuchangamka

  • @KingMashimba
    @KingMashimba 20 годин тому +2

    Huu ni uzembe wa kulima tu

  • @BernadethaCharles-sv3oy
    @BernadethaCharles-sv3oy 7 годин тому +1

    UPINZANI wa CHADEMA ni akili ya mwendawazimu na hii inaonesha mwisho wao umefika. Wapuuzi sana hawa. Mnaonesha mlivyo wachanga hadi kichwani. Naamini kama Kuna watu wazima ndani ya CHADEMA watakemea utoto huu. Watanzania tunajua mlipokea. Kama mlikuwa na agenda ya kubebwa bebwa haipo. Onesheni uongozi mtaaminiwa ila kwa vitendo vya kitoto hivi mnazidi kuzama topeni.

  • @GraceAbraham-l9h
    @GraceAbraham-l9h 7 годин тому +1

    Dua la kuku, wamekufa ma Rais wameiacha CCM msituchoshe tuna mambo mengi tunataka sela sio lawama,na hii ni kanuni ya MUNGU kabisa hapendi manung'uniko na mambo km haya,,km mmeshindwa kuwapa wahitaji mmeona kuchoma ndo jibu mtaongoza kweli choose wisely

  • @mosesmdemwa5665
    @mosesmdemwa5665 7 годин тому +2

    Kuliko kuvichoma mngeweza kuonyesha kwa vitendo kwa kuwapelekea wazazi kule Leba ili ujumbe ufike Kuwa kwa Sasa upande huu umedharaulika.

  • @mkubwakhamis495
    @mkubwakhamis495 7 годин тому +1

    Hii laana na itakupateni mnachoma nguo wakati kuna watu wanatembea katika hali ata haistahiki. Ahh Mungu atakuoneni na atakulipeni hapa hapa duniani. Kwa nini msiviweke barabarani watu wakachukua vikawafaa ingetosha kuonesha hasira zenu za uwongo. LAANA TU LAAH. mkishindwa katika uchaguzi mtasema mmeibiwa kura. Wakati mnamuonesha Mungu hamna haja ya Rehma zake

  • @esuthoby7865
    @esuthoby7865 19 годин тому +2

    Mngewapelekea watu wenye uhitaji,ingefaa zaidi na mngetunza heshima yenu Bawacha.

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 19 годин тому +1

      Witaji wanini nibola nikanunua mtelezo inatosha

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 20 годин тому +1

    BORA MNGEMRUDISHIA ANGEWAPA WAHITAJI, MWENYEZI MUNGU ANAWAONA KWA ISRAAF HIYO MLIYOIFANYA,MH.SAMIA BADO NI RAIS WA WATANZANIA WOTE ,IN SHAA ALLAAH ATAMALIZA AWAMU YAKE YA PILI.

  • @YohanaMussa-y5h
    @YohanaMussa-y5h 14 годин тому +1

    Mmeamua kuvichoma moto!

  • @HafidhAlly-i1c
    @HafidhAlly-i1c 20 годин тому +2

    Kwa nn wasichome ayo machupi yao wanovaa wiki nzima yamechakaaa mwilni

  • @FiudiKasitu
    @FiudiKasitu 20 годин тому +1

    Kuma zenuuuuuuu

  • @abdulrahmanhamza4932
    @abdulrahmanhamza4932 20 годин тому +5

    Kibiko yenu alikua magufuli uyu mama naona anawaleya, upumbavu kama huu segerea tuliona mvi za mboe mngechoma ya magufuli mkaona bila huluma ya mungu.. midomo mngevutia ugoro... sisi wa 2003 msituchanganye na shibe zenu za ruzuku billion 2.9, miaka 30 ata umakamu wa rais mmekosa... pelekeni shanga zenu uko. ACT wazalendo chama kikuu cha upinzani 2025

    • @nabimanyafesto5014
      @nabimanyafesto5014 19 годин тому

      Mbona wao walingowa bendera zao kwani wote si watanganyika?

    • @joshuahamis2738
      @joshuahamis2738 18 годин тому

      Magufuli kiboko yao ki vp? Unapomfanyia mwenzie mabaya usifkiri wewe ni Mungu hii nchi ni ya wote sasa yuko wapi leo huyo Magufuli wako

    • @MchungajiNzelani
      @MchungajiNzelani 17 годин тому

      Ninyi vijana haya mambo ni mazito mimi namuomba mama kaa na chadema miine mnafanyaje hivi hata kuzikana itashindikana mama wewe ni mcha Mungu pia rais wetu mzuri pia mama yetu nakuomba usiwasikilize wanaojaribu kuchochea

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 15 годин тому

      ​@@MchungajiNzelanihii inaitwa ubaya ubwelaa

    • @AbuuRuqaiyyah
      @AbuuRuqaiyyah 8 годин тому

      @@abdulrahmanhamza4932 mimi naamini wafuasi wa chadema hawapo sawa kiakili.na huo ndio upumbavu kuongozwa na kiongozi mlevi mnywa pombe

  • @TeacherBoda
    @TeacherBoda 8 годин тому +15

    Mi sio ccm wala cdm lakin sijapendezwa na hicho kitendo. Badala ya kuvichoma mngewagawia watu wavae kwasababu kuna watu wana hali ngumu nyie huko mtaan yaan mngewapa hivyo vitenge wangewashukuru sana. Halafu tambua kuwa samia hizo hela ambazo zimetumika kuviandaa vitenge ni kodi zetu kwahiyo kwa kufanya hivyo ni sawa na kuharibu pesa yako ambayo umeitafuta kwa taabu. Mngewapelekea watu huko mtaani jamen

    • @AbuuRuqaiyyah
      @AbuuRuqaiyyah 7 годин тому +1

      @@TeacherBoda lini uliwaona chadema wakitoa msaada kwa raia.zaidi ya kuchumia matumbo yao kisha wanaturaghai eti wanatutetea hao ni wachumia matumbo wameifanya siasa ndio biashara msingi ni watu

    • @Mosmwampa
      @Mosmwampa 7 годин тому

      Na yenyewe ni aina ya kuandamana

    • @husseinshabani9522
      @husseinshabani9522 7 годин тому

      @@TeacherBoda Towa Upate Baraka..Kesho yako ni Muhimu Sana kuliko leo Yako.

    • @zedyabdulrwabilingo9042
      @zedyabdulrwabilingo9042 4 години тому

      Ccm

    • @deniccgabriel6153
      @deniccgabriel6153 3 години тому

      CCM wao nilini ukaona wanatoa vitu kwa watu maskini ,wakati wao ndio wameshikilia mamlakaa ,izi ni siasa usipokua mwelewa utabaki unalaumu dadekiiii

  • @chuchetresha
    @chuchetresha 8 годин тому +2

    RAISING AND FALLING OF CHADEMA BAADA YA KUKOSA SERA 😂😂SHULE ,AFYA MIUNDO MINU TAYARI ,HAWANA LA KUSEMA "THIS IS DEFINITELY SIGNAL OF FALLLING KISERAAAAA🙆🙆🙆🙆🙆😀😃😃😁😆😅😂😂😂😂🤣🤣

    • @SeverinMagwaya
      @SeverinMagwaya 7 годин тому

      Hata CCM ita fall, inaua, inateka na kubmbikia watu kesi.

    • @chuchetresha
      @chuchetresha 6 годин тому

      @@SeverinMagwaya THERES A RAISING THEN COMES THE FALLING 🎧🎧🎧🔊🎼🎵🎶🎶🎵🎵🎼ONE OF MY BEST SONG OF ALL TIME by A MUSICIAN KNOWN AS ______😆😁🤣😂😂😅😅👍👍 STING!!!!! 👍👍👍👍MBOWE KANUNULIWA KITAMBO NANI HAJUI ,THE SAME TO HIS BUDDY LISSU ""UNAJUA ALIPOTOKA BELGIUM ALIPEWA NINI ????😁😬😬😅😅😅😅😀😃🤣🤣😂😂😅🤣MAMBO NYUMA YA PANZIA !!THEY KNOW DOWN BOTTOM OF THEY HEART WHAT THEY STAND FOR ???? KINGS OF DRAMA ,😁😁I MEAN FAKE ONESSSSSS

  • @mkanjimamkanjimamkanjima2043
    @mkanjimamkanjimamkanjima2043 21 годину тому +19

    👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿 Vizuli sana wanawake wa chadema

    • @TheFire_Gamer
      @TheFire_Gamer 21 годину тому

      Wapeni mafukara msichoke mnapata dhambi

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 20 годин тому

      Akili yako haina akili

    • @Jeremiahlukumay
      @Jeremiahlukumay 13 годин тому

      achukue hizo vitenge vyake awapelekee wasiojiweza maana wapo wengi mitaani sio kuwahonga watu wenye uwezo wao,huo ni ufala.

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 58 хвилин тому

    Mwenzenu mbeya alichoma picha kapotezwa,shauri zenu subirini mtakoma

  • @IREENNTIJE
    @IREENNTIJE 21 годину тому +1

    Mmmmmmm hatari mno

  • @matalo0551
    @matalo0551 21 годину тому +3

    😂😂😂 duuh siasa bwana hatari

  • @TumainOmar
    @TumainOmar 4 години тому +2

    Samia mitano Tena mama

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles Годину тому

      Mitano kwa familia yako mitano tena unaongea kama umevutishwa ugolo

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 8 годин тому +2

    Sio sawa..kwa hili...Kunawatu wanatembea nguo zimechanika Uko vijijini...mngepeleka viwasaidie mngepata Baraka kutoka kwa Mungu.Hapa Wazazi Wangu Mmegengeuka.

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 7 годин тому

      Kwani yeye mama yenu hakuwaona hao wasio na nguo

    • @husseinshabani9522
      @husseinshabani9522 7 годин тому

      @@eliajimmy95 Ubinadam kwanza..Dunia tunapita kila kitu tutaacha...Jiandalie kesho yako..kumsaidia mtu Usiangali Nani kafanya Nini.Wangeweza kutumia Maneno kama Unayosema Mama Umeshindwa kuwasaidia Masikini Hawa Sisi tunawasaidi kwa Vitenge vyako...Ujumbe Ungefika tu.

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 2 години тому

      @@husseinshabani9522 Mama hakuwapelekea vitenge bawacha kwa lengo la kuwasaidia kama mafukara hapana ile ilikuwa ni Hadaa tu

  • @yusuphalinani5432
    @yusuphalinani5432 20 годин тому +1

    Mhhhh

  • @KhayratDubed-p8y
    @KhayratDubed-p8y 8 годин тому +2

    Sasa mkichoma hizo inamdhuru nini Dr Samia Yuko imara daima hamumuwezi Ng,oo yaone Samia oyeeeee😁

    • @SeverinMagwaya
      @SeverinMagwaya 7 годин тому

      wanaonesha hisia zao kwamba wanachukizwa naye, au wewe hujui kuumizwa?

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles Годину тому

      Nyioook 😂😂😂

  • @AthanasMsangule
    @AthanasMsangule 7 годин тому +1

    Mnachoma vitenge wakati bibi zenu wamevaa malapulapu. Samia hatoki Kwa vitendo vya kihuni, tunawaona na kuwadharau kuliko matambara ya siku zenu.

    • @Anandezi
      @Anandezi 4 години тому

      Umesema ukweli kabisa. Wangewapelekea mabibi ingekuwa vizuri

  • @adaNahimana-y7b
    @adaNahimana-y7b 20 годин тому

    Mngekuwa Na Jeuri Mngezikataa Siku Alipowaletea Masubiri Zimechoka Ndio Mnachoma

  • @AbdillahSalimu
    @AbdillahSalimu 7 годин тому

    Lakini nanyie niwanafiki kwasaab hamukuvichoma vyoteee 😂😂😂😂

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 19 годин тому +1

    Mitaani kuna mabinti wanalala vibarazani hawana hata vitenge vyakujistiri nyie mnachoma kweli. Simngewapatuu jmn.

    • @Alawsalmin
      @Alawsalmin 11 годин тому

      Mwambie mam awApelekee kwan ye hajui kam kuna watu wana uhitaj had awap chadema

  • @IsdoriBango-ke2ov
    @IsdoriBango-ke2ov 21 годину тому +6

    Yaani watu waharibifu nyie, Simngenipa tu nikashona zangu mashati. Yaani mama kawapa zawadi mnachoma.

  • @leilayathumani2295
    @leilayathumani2295 4 години тому

    Mungewapa watu wasojiweza kuliko kuchoma hizo nguo

  • @DenisonTheonest-yj3mk
    @DenisonTheonest-yj3mk Годину тому

    Mimi ni chadema ila hicho mlichokifanya sikubariani nacho mumepotoka sana

  • @MIKAMTALUMATV
    @MIKAMTALUMATV 2 години тому

    Hili taifa linakoelekea sijui. Maana tilijua wanawake ndo wapenda amani kumbe....mmmmh

  • @faridikipingu
    @faridikipingu 3 години тому

    hata mkichoma vitenge huyu ni rais wetu tunapaswa kumuheshimu kama dini inavyotufunza

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 18 годин тому

    Hawa nyumbu wenye viriba tumbo wameshakunywa ,,K VANT 😂😂Wana Shep kama miamvili☂️

  • @abdulwaheedsheikh8015
    @abdulwaheedsheikh8015 21 годину тому +1

    Uharibifu wa mali , makusudi wakiulizwa ionekane wanaonesa ,watake huruma kwa wazungu, kama mnamchukia mrudishieni ao muwape yatima na sio kufanya israaf

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 20 годин тому

      Acha upumbavu, upo uharibifu wa Mali wa kutisha kama roho za wanaotekwa na kuuwawa?

  • @musafrancis3584
    @musafrancis3584 3 години тому

    Hiyo laana itawasumbua mpk kufa kwenu nguo haichomwi hvyo kama bado nzima

  • @AbdallahAnuari
    @AbdallahAnuari 11 годин тому

    Mushamkubali nyinyi hamna lolote mulipokea muda mrefu nakuva mushavaa itawgarimu hicho mulichofanya

  • @hashimmawazo5503
    @hashimmawazo5503 20 годин тому +1

    Hawa machangudoa hawajui walitendaloo

    • @AhmedHamed-r5i
      @AhmedHamed-r5i 20 годин тому

      Kama umezaliwa na mwanamke basi na alie kuzaa nae changudoa malaya we

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 Годину тому

    Yani mm natamani kama vile anaechomwa angekua ni yeye mwnyw apo live😅😅😅🎉🎉🎉🎉

  • @AlbertAnthony-d4x
    @AlbertAnthony-d4x 3 години тому

    Et njooni hapa,,, nyie mlioonekana kwa camera 📸 kazi mnayo...

  • @OmarAme-hd3fd
    @OmarAme-hd3fd 3 години тому

    Chomeni mbio mbio munaongea sana mara Defender hiyo.

  • @ÀvelinaMchamba
    @ÀvelinaMchamba 5 годин тому

    Çhadema nyie mumetuletea Nini mbwà nyie maskini munmuchoms mama mtoke Tanzania sasa

  • @MIKAMTALUMATV
    @MIKAMTALUMATV 2 години тому

    Sasa aliye choma gazeti la kuokota kapotezwa... je waliochoma kanga mpya tena za kupewa na yeye mwenyewe.... atawafanya nini. Yangu maskio na macho

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 21 годину тому +2

    Pipooo

  • @williamkavishe397
    @williamkavishe397 33 хвилини тому

    Kwakweli Hawa Ni wapumbafu wa mwisho Sana wahitaji wapi wengine Sana kweli mnasubutu kuchoma kweli nguo huyo aliyewashauri kufanya upumbafu mkubwa kiasi hicho kweli sijui Heri mngeleta mtaani kwangu niwape wahitaji mngebarikiwa Sana na Mungu ila Hilo mlililifanya Mimi sijui?????

  • @CosmasErnest-i3t
    @CosmasErnest-i3t 3 години тому

    Hapo ndo bahati mbaya mliem2ma mafuta kaleta petroli

  • @Pentecost598
    @Pentecost598 27 хвилин тому

    Hii sio dira na maana halisi ya upinzani,mkumbuke mna wabunge wastaafu wa chdm walifanya vitu vikubwa zaidi ya vitenge na hauwezi kuona waliopewa eti wamefanya kama ninyi,

  • @Pentecost598
    @Pentecost598 29 хвилин тому

    Hiyo ndo laana ya kwanza kwa chama Cha upinzani tanzania.ikiwa hata kwenye chama chenu tu Kuna wanawake ambao hata kitenge Cha kuvaa Hawana,halafu ninyi mbachoma,Bora mngegawa tu

  • @martinmsendo9591
    @martinmsendo9591 2 години тому

    Hakuna busara kabisa kwenye tukio hilo.

  • @OscarKasalile
    @OscarKasalile 13 годин тому

    Hii sio picha nzuri kwa Taifa watu wanazidi kuichukia serikali sio mwendelezo mzuri viongozi wajitathimini upya.

  • @silvanus1990blockchain
    @silvanus1990blockchain 18 годин тому

    Hongereni bawacha ujumbe umemfikia mlengwa

  • @GangaJamna-i3l
    @GangaJamna-i3l 2 години тому

    Hamjui siasa wajinga na wapumbavu kabisa matutusa mapocho pumbavu

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 21 годину тому +2

    Hii ni dharau mngenipa mimi

  • @JevydetNyoni
    @JevydetNyoni 21 годину тому +1

    😂😂😂😂

  • @IsackJimmy-e1t
    @IsackJimmy-e1t 21 годину тому +4

    Mlipewa vtenge kontena moja 😅mnachoma vtenge doti 2 nyie hovyo kbx

  • @Neemathomas-b3e
    @Neemathomas-b3e 12 годин тому

    Kweli rais hapendwi watu wamepewa vitenge leo wanachoma jamani hiyo ni kufruu

  • @ÀvelinaMchamba
    @ÀvelinaMchamba 5 годин тому

    Mungepelekea yatima mbwà nyie ha,unaaki;i

  • @CharlesLobulu
    @CharlesLobulu Годину тому

    Kisheria hili ni kosa kuchoma picha ya rais tena ikiwa na nembo ya taifa,,, hapo hamkufikiria kabla ya kufanya hicho mlichofanya.

  • @Electri-ambi
    @Electri-ambi 4 години тому

    😂😂😂 Hawa wamama cjui wamewaza nni mlichukua vya nni au ndio uwezo wa kufikiri nimemsikia mhamasishaji nikajua TU au basi andika wewe hiyo comment unayoitaka

  • @mustafaalli4698
    @mustafaalli4698 21 годину тому +1

    😂😂...🙌

  • @RashidRashid-ie9rj
    @RashidRashid-ie9rj Годину тому

    Wote mlioshiriki kuchoma na kutamka maneno yenu ya kihanisi ni bure tu nchi hamuipati wajinga wakubwa nyinyi

  • @hassanmkwama7350
    @hassanmkwama7350 3 години тому

    Duuuu Hawa ikisha wanataka kuongoza nchi, busara ya kawaida hawana,kauli zenu mzitoe Kwa kauli ya uungwana,kuchoma moto nafikir ni upuuzi

  • @rehemakimungu6494
    @rehemakimungu6494 3 години тому

    Kwa hiyo mumepata nini au mumepunguza nini kwa kuchoma hivo vitenge? Ndo kwanza Mungu anawalaani kwa tendo hilo la kumuuzi Mungu, Kweli kosa mali upate akili

  • @shukurkatembo2807
    @shukurkatembo2807 6 годин тому

    Wanafki tu hakuna lolote mlivichukua vya nini, mlimpondea Mzee wa watu yule sasa hivi mnanafkiana.

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 18 годин тому

    Mngesaidia watu kuliko kuvichoma

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 6 годин тому

    Kuna masikini wengi mgewapa tu kuliko ivyo

  • @pancrasluoga4584
    @pancrasluoga4584 7 годин тому

    Sanaa za mjini hozooo wanajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe😅😅

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 19 годин тому

    Mmeshindwa kila idara , sasa kufanya hivyo ili iweje ???? Mafatani wakubwa njaa tupu yawasumbua

  • @franktangeki9342
    @franktangeki9342 5 годин тому

    kuna watu wanatembea uchi kuliko kuchoma mngeenda ata kugawa kwa wenye shida tabia hiyo mnayoifanya haimpendezi hata mwenyezi Mungu

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 4 години тому

    HAPA WAMEZUIWA NDO WAMECHOMA KANGA JE WANGERUHUSUWA KUANDAMANA WANGECHOMA NINI?!

  • @alsharifudaddy096
    @alsharifudaddy096 20 годин тому

    Mngezichukua izo nguo mkawapelekea watu wenye uhitaji ingekuwa vizuri sana,
    Nyie hamfahi kuwa viongozi hata wa vitongoji

  • @salumsasua9906
    @salumsasua9906 12 годин тому

    Mmepata faida ipi nyinyi wajinga kweli ukamatwe kuharibu mali

  • @LusiaThom
    @LusiaThom 7 годин тому

    Viubwa Ivo vyanamke avina akili mnaacha kuwapa wajane yatim

  • @HappinessEmmanuel-b3w
    @HappinessEmmanuel-b3w 14 годин тому

    Mbona kama hamjiamini mnaogopa mnajisimbua CCM mbele kwa mbele

  • @ahmadmasunda9892
    @ahmadmasunda9892 5 годин тому

    SAA NGAPI TUNAJIFUNIKA SHUKA KUMESHAKUCHA

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 4 години тому

    Duh Mimi sina chama lakini hiki ndo kinaitwa kufuru hata Mungu hapendi kuna wajawazito,walemavu ,hata majirani hawana kitenge kama hicho mngewapa mpate Baraka za Mungu vitenge havijui shida zenu na nahisi nyie mngeenda ikulu kama wanawake bila wanaume mngesikilizwa kero zenu

  • @elizabethizack5297
    @elizabethizack5297 2 години тому

    Mngegawa kiliko kuchoma

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 3 години тому

    Hongera sana nyie mnaojitambua

  • @salumsasua9906
    @salumsasua9906 12 годин тому

    Na spitali msiende Wala kupeleka watoto zenu na mashule watoeni zaserekali pelekeni binafsi

  • @CharlesLobulu
    @CharlesLobulu Годину тому

    Hakika hii siyo sawa mnafaa kuchukuliwa hatua kwa sababu hapo kuna picha ya rais na nembo ya taifa hivyo mnafaa kuchuliwa hatua kali za kisheria.

  • @dwasinjebele5361
    @dwasinjebele5361 20 годин тому

    Washenz nyie Kwa hyo mnafikir mnamkomesha raisi wetu

  • @Tasiana-x6i
    @Tasiana-x6i 11 годин тому

    Kuna watu hawana nguo za kuvaa kuliko kuchoma mngewagawia wahitaji Mila na desturi unavochoma zawadi ambayo uliipokea unajichoma mwenyewe Mungu atufungue wanawake

  • @BAGENIHUDUMAINFO
    @BAGENIHUDUMAINFO 5 годин тому

    Ushamba tu, mlivichukua vya nn

  • @TeloAwor
    @TeloAwor 7 годин тому

    Hapana hii siyo sahihi kuna watu wana uhitaji mkubwa wa nguo. Mimi siyo CCM lakini hii ni mihemuko. Watalipa wanachofanya. Chadema inataka kuongoza nchi. Hawa wanaharibia Chadema. Km una busara Utafikiri kabla ya kuwapa kura

  • @ayoubsalehayoub999
    @ayoubsalehayoub999 20 годин тому

    Iyoo ni hasara kwenu wenyewe
    Lakini hamjuii mlifanyalo