SABI part 10- New African Movie | 2024 Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • SABI part 10- New African Movie | 2024 Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie
    SUBSCRIBE NOW / @adamleostudios
    Welcome to Adam Leo Studios UA-cam Channel.
    Stream and Enjoy Best of Swahili Movies with your favourite artists here on Adam Leo Studios UA-cam channel.
    SUBSCRIBE NOW to stay updated on all latest Swahili movies.
    DO NOT FORGET TO HIT THE NOTIFICATION 🔔 BELL ICON to STAY NOTIFIED ON ALL OUR NEW MOVIES.
    #sabipart9 #bongomovie #filamumpya #swahilimovies #2024movies #adamleo #adamleobongomovie

КОМЕНТАРІ • 403

  • @YuvistaSarimu
    @YuvistaSarimu 6 місяців тому +17

    Namim leo sijachelewa jaman naombeni like zangu kwaajili ya kaka Adam

  • @Smallybee
    @Smallybee 6 місяців тому +6

    Kama unafatilia Adam kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪njooni tumpe huyu jamaa ujio huku Kenya haswa Mjini Nairobi aje kafanyie shooting yake huku awe mwenyeji wetu

  • @Justin_Nano
    @Justin_Nano 6 місяців тому +6

    Toweni like kwajili ya bro Adam leo ,azidi kutuburudisha kwa movie zake 😂😂🎉❤❤❤ like👍👍👍👍👍

  • @AishaAishaathuman-ov5pk
    @AishaAishaathuman-ov5pk 6 місяців тому +9

    Wow, wakwanza leo naombeni likes zenu jamani

  • @simbambili3322
    @simbambili3322 6 місяців тому +3

    Uwo ujinga Adam hizi tumeztazama wapi mpaka hizo tuje watsp huna mana ww

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  6 місяців тому +1

      Usilolijua ni sawa na USIKU WA KIZA🙏🏻

  • @Naahlyan
    @Naahlyan 6 місяців тому +2

    Season tam nataman nione kitakachomkuta Adam.ila sis wengine atupo Tz tunawaombea kwamungu mzidikupanda

  • @Smallybee
    @Smallybee 6 місяців тому +2

    Sasa,Soweto kajua Sabi ana uhusiano na Kado na Jumanne.
    Adam kajua Siri kuwa Kado ana uhusiano na Sabi Kwa mjibu wa mazungumzo ya Sabi na Soweto,Jaza pia kashajua Kado yupo,Adam kashatok na Chumu kimapenzi,Cheto kamtaka Jumanne,
    Sasa vita vinanukia huko Kwa akina Sabi manake Jaza kampaleka Kado,Mjombake Sabi pia ana Siri ya ujauzito wa Sabi,Sasa hapa ni moto

  • @VictoriaNkole
    @VictoriaNkole 6 місяців тому +2

    Good job, ila ninaswali inamaan umu hamtazirusha tena mpk m2 azilipie whatsapp?

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  6 місяців тому

      Shukrani kupata muendelezo wa Episode ya 11-13 wasiliana nami kwa Whatsapp number +255652393960

  • @BintHassan-o1y
    @BintHassan-o1y 6 місяців тому +2

    Ebu ambae haja subscribe hafanye hvyo mbiooo...amuogopi kitu cha 10 kimeletwa bureee maana kaona kilio chenu amuuziwi tenaaaaaa😅😅😅😅

  • @HillaryKeraryo-yb1oy
    @HillaryKeraryo-yb1oy 6 місяців тому +2

    Sasa hapo kweny afu tano hapo😂😂😂😂😂😂nyie Adam acha kuntesa mtoto wa hillary

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 6 місяців тому +2

    hili swala la kununua epside kwa 5000 mtaniwiya radhi lakin pameishia patamu sna 😂

  • @Lucylackson-b6v
    @Lucylackson-b6v 6 місяців тому +2

    Adam Adam Adam nimekuita mara tatu litakukuta jambo wewe.

  • @Lucylackson-b6v
    @Lucylackson-b6v 6 місяців тому +2

    Adam Adam Adam nimekuita mara tatu litakukuta jambo wewe.

  • @saumJuma-q3e
    @saumJuma-q3e 6 місяців тому +2

    Kaka adamu kwa nini unatuuzia hizo zilizobakia jmn wengine hatuna uwezo

  • @LeesarLawrency
    @LeesarLawrency 6 місяців тому +2

    Kwa hiyo adam hizo 3 zipo tayri?? Yaan nikilipia nazipata kwa wakti ??

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  6 місяців тому

      Yah! Tuwasiliane 0652393960 whatsapp

  • @AminaOmar-u6t
    @AminaOmar-u6t 6 місяців тому +2

    Chado nae anatafuta mpenzi wake je atampata na akimpata Sabi nn kitaendelea

  • @AminaOmar-u6t
    @AminaOmar-u6t 6 місяців тому +2

    Soweto amekuwa jia panda hajuwi. Aende wapi sabi nae anamimba je soweto ata kubali kuowa mke ana mimba

  • @RajabwanyonyiJuma
    @RajabwanyonyiJuma 6 місяців тому +1

    Hizo episode zingine ziletwe tu UA-cam tuwatch.... Si Bado UA-cam inalipa

  • @Officialking23
    @Officialking23 6 місяців тому +2

    MNAZINGUWA MNAUZAJE SS MALIZEN MOVIE IYO

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 6 місяців тому +1

    Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai,bro Adam ushakata utepe na mtoto wa kijijini jiji sasa ushahanza kulijua 😂. Tele mbele ya green snake guest 😂.

  • @KhairatyMustapher-zp1vz
    @KhairatyMustapher-zp1vz 6 місяців тому +1

    Hahahahaha......😁😁😁jaman mbavu zangu nimecheka hapo Soweto alivomjibu kado kuhusu ugali wa muhogo et huku utauona live 🤗

  • @AbdulyRashidi-x7w
    @AbdulyRashidi-x7w 5 місяців тому +1

    Bro Adam leo umenibamba mungu awainue na awape nguvu kubwa kwenye mafanikio yenu by naitwa Deejey Khan from Kenya but naependa kufatilia tamthilia zenu mpaka sasa niko naiangalia SABI naniko Ep 10

  • @LenathaCholobi
    @LenathaCholobi 6 місяців тому +2

    Kado uskubal huy atakufanya mbaya m hata smwamn

  • @Officialrockzompa
    @Officialrockzompa 6 місяців тому +2

    Tuendelee kusapport kaz zake jamn ili asiache kutupostia huku UA-cam 😂🎉

  • @Vers456
    @Vers456 6 місяців тому +2

    Nauonaga Facebook. 😮😮
    Huku utauona live 😳😳😳

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  6 місяців тому +1

      Hahaha na huko live kweliii

    • @Vers456
      @Vers456 6 місяців тому

      @@AdamLeoStudios mungu akubarki coz unalenga zaidi kuelimish broo ila usimwache chumu pliz owa pic hiyo

  • @zuenampandeni3347
    @zuenampandeni3347 6 місяців тому +1

    Hiyo kusema tununue elfu 5 hapo ndio umeharibu wakati tangu mwanzo tumefatilia na MB zetu Adam fikiria Hilo usipoteze fans

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  6 місяців тому

      Fans wa kweli hawapotei dada! Wewe fuatilia utagundua hilo!

  • @BintHassan-o1y
    @BintHassan-o1y 6 місяців тому +1

    Adam keshakula mzigo amtaki tena chumu😅😅😅😅wanaitwa WANAUMEE RESPECT THEM😂😂

  • @Jali-et8py
    @Jali-et8py 6 місяців тому +2

    Tupe next part jamani

  • @CharoJohnson
    @CharoJohnson 3 місяці тому +1

    Adam adam ulikula tunda eden eeeh hya pmbna na kaz zako nzri nikikufuatlia nikiwa saudi❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @FakhiChapozo
    @FakhiChapozo 3 місяці тому +1

    Kado, anauliza ugali wa muogo ndio ule mweusi ? Soweto unaujua kumbe ? Kado nauonaga Facebook, soweto hapa utauona live.

  • @rahmajuma2946
    @rahmajuma2946 6 місяців тому +1

    Kaka Adam Kichupa kimejaa sio kinaitaji kupunguzwa😂😂😂😂😂

  • @KhairatyMustapher-zp1vz
    @KhairatyMustapher-zp1vz 6 місяців тому +1

    Hapo Sasa kwene ukweli huo wa Sabi kwa jumanne

  • @Ruth-cm7wr
    @Ruth-cm7wr 6 місяців тому +1

    Eeeish imekua fire,,, then itakuaje kuzipata kwa wenye tuko outside the country 🤔

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  6 місяців тому

      Nicheki whatsapp nikupe muendelezo +255652393960 whatsapp

  • @tumainlenad5141
    @tumainlenad5141 6 місяців тому +1

    Adam usitudanganye hukutegemea Kama yupo hvy kwamba umemkuta bkr sy kweli hkn bkr wa hvy asie hata na uoga afu katoka mkavu😂😂😂

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  6 місяців тому

      Hahha jamani ulitaka atoke anachechemeaa😂😂😂😂

  • @MarianaKambi
    @MarianaKambi 6 місяців тому +1

    Ex wa soeto ana hasira..had ameamua kumpeleka kado iliakaya vuruge vizur😂😂❤

  • @sandrineigiraneza
    @sandrineigiraneza 6 місяців тому +1

    My movie❤ wathing from Burundi❤❤

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 6 місяців тому +1

    Duh bando lenyewe kulipata mtihani bado na Eftano ya kulipia Sabi tena Aaa ndo mwisho wangu kwaheri but niliienjoy Sana kuingalia Sabi

  • @Munalimaboi-um5iq
    @Munalimaboi-um5iq 3 місяці тому +1

    Adam mshenzi kweli icho kichupa kijae alfu iwe kidogo apo kaka uko muongo😂😂😂

  • @AssdfAssd-g3y
    @AssdfAssd-g3y 6 місяців тому +2

    Daaah kaka Adam kichupa kimejaa waaah mdada ushamkula navunamtoloka 😂😂kweli hata mm nipeni like zangu wanaompenda adam

  • @MustafaNasibu-v6m
    @MustafaNasibu-v6m 6 місяців тому +1

    Gusema ukweli huyu mpenzi wa Adam ni mzuri hata Mimi Nishaa feel in love with her😂😂

  • @LeylaHamisi-qh3kb
    @LeylaHamisi-qh3kb 6 місяців тому +2

    Mtakaolipia mtaniadisia hali yangu ngumu bando lenyew kwa mwaka mala moja naeka inipite ty😢😢

  • @jacklinepeter4158
    @jacklinepeter4158 6 місяців тому +2

    Soweto ana wivu 😂😂😂

  • @MariaMagele
    @MariaMagele 6 місяців тому +1

    Hahahahaha adam anataka kidogo tu kichupa kimejaa litakukuta jambo shauri zako sema na upwiru wako pia j4 mboga mpya iko mbele yakotumia furusa.

  • @ibrahimassaa980
    @ibrahimassaa980 6 місяців тому +1

    Mfano mm nikija kununua iyo episode ya 11 mpk 13 alafu mm nikaja kui upload youtube nitakuwa nafanya makosa maana mm nitakuwa wa kwanza

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  6 місяців тому

      Ulipoishia kuwaza sisi tulianzia kuwaza hapo mkuu!

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 6 місяців тому +1

    Nilicho gunduwa Adam ndie anaedhani shabiki zake hivyo mimi Nita zidi kuwa shabiki wa adamuleo rk nimuhimi 😂🎉

  • @zuenampandeni3347
    @zuenampandeni3347 6 місяців тому +1

    Ila wangoni hata kwenye muvi hamuwezi kuvumilia kuona mwanamke bila kumlala🤣🤣🤣🤣adam mngoni 😁😁😁😁

  • @Almostaphiq
    @Almostaphiq 6 місяців тому +3

    Bro mm nipo kwako bega kwa bega na ninakuombea kwa MUNGU uzudi kuwa wajuu mpaka kimataifa siku zote nawapenda sana Team ADAMU LEO wote 🥰🥰🥰 napatikana ZAMBIA LUSAKA🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @HUSNANyosso
    @HUSNANyosso 2 місяці тому +1

    Adam hakika ww umeshika nafasi ya kanumba yan hadi silali nafatilia move zako hadi nihakikishe nimemaliza duh kaka fanya mpango wa episode 11 leo

  • @victoriadaizy5277
    @victoriadaizy5277 6 місяців тому +3

    Waaah kwetu 🇰🇪 huwa tunasema kwa sabi Leo kimeumana. Basi adam usitueke sana pt 11 i come haraka faster.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  6 місяців тому +1

      Karibu whatsapp kwa muendelezo +255652393960

    • @victoriadaizy5277
      @victoriadaizy5277 6 місяців тому

      @@AdamLeoStudios sawa kabisa

    • @EdithaMwanitu
      @EdithaMwanitu 6 місяців тому

      Tuleteeni 11 tuone segere linavochezwa mana hii ya moto moto ukisikia kujichanganya ndo huku sasa 😂😂😂sabi shwaaaaaaaa

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 6 місяців тому +1

    Unge iposte ya mwishw wengine tuna fatilia kwanjia ya mutandao wa you tub hatuna mativ

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 6 місяців тому +1

    Hii game kali sana na final bado hatujafikia toka semi kwaio bro tutengeneze part 11 na 12 hapo ndio final itachezwa.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  6 місяців тому

      Zipo tyr kuipata njoo whatsapp +255652393960

    • @zulachama1067
      @zulachama1067 6 місяців тому

      @@AdamLeoStudios sawa bro wajua tuko mbali sana hila twapenda vitu vikali vya kutuliwaza kama hivi,tuko nje ya nchi uhaibuni (Gulf )

  • @KhairatyMustapher-zp1vz
    @KhairatyMustapher-zp1vz 6 місяців тому +1

    Mmh...Adam una haraka wewe mh had vichakan unataka kidogo tu🫣😜🤗

  • @rebeccazagabe
    @rebeccazagabe 3 місяці тому +2

    Adam una mapanja ma zuri 😋

  • @NeemaHashim-c2p
    @NeemaHashim-c2p 6 місяців тому +1

    😢😢😢😢daah uko mbele sijui itakuwaje jaman Adam ndo hutuwekei tena hapa

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  6 місяців тому

      Muendelezo njoo whatsapp +255652393960

  • @saumJuma-q3e
    @saumJuma-q3e 6 місяців тому +1

    Huko kununua kwako ni mtihan japo nimeipenda sana bas nitaishia hiiii itakuwa c rizki kuona hizo episod nyengine

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 6 місяців тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣Ugali amezowea kuuona Facebook huku atauona live 😂😂😂nimecheka vbaya

  • @salwasuleiman3525
    @salwasuleiman3525 6 місяців тому +1

    Ugali wa muhogo ndio ule mweusii eee nauonaga face book aaa huku utauona live huyu jamaa achekesha

  • @rizikaCharo-kn7se
    @rizikaCharo-kn7se 6 місяців тому +1

    Ni nzuri na ndio yaisha haraka sana...si muisongeshe mbele kiasi🙁

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  6 місяців тому

      Ukitaka muendelezo njoo whatsapp +255652393960

  • @sifainantore
    @sifainantore 6 місяців тому +2

    adam ulimpa salam zangu kado? naw nakusalimiy from burundi

  • @FranklinemurangiriKinoti
    @FranklinemurangiriKinoti 6 місяців тому +1

    Adam mbona hivi??.tuma namba besi tununue hio part ingine

  • @KhairatyMustapher-zp1vz
    @KhairatyMustapher-zp1vz 6 місяців тому +1

    Ila haifiki mbinguni kaka kidada Cha watu umekila mzigo afu dah unakikimbia kweli ayo

  • @saidhaitham
    @saidhaitham 6 місяців тому +1

    Mmbeya wakupeleka watu kapatikan hatak ata kulaza damu😅😅😅😅

  • @KhairatyMustapher-zp1vz
    @KhairatyMustapher-zp1vz 6 місяців тому +1

    Na huyu kado nae angejua amekalbishwa na adui mwenzake mume mwenzie atamuua

  • @ishyparis
    @ishyparis 6 місяців тому +1

    Adamu ana kaumalayaaa😅😅😅 et kidgo tu kichupa kimejaaaa

  • @mohdnasser3620
    @mohdnasser3620 6 місяців тому +1

    Adam tamsilia ni Zurich sana ila unachelewa kuitowa

  • @JohnObike
    @JohnObike 4 місяці тому +1

    Kuna huyu jamaa amefika kijini hajui hata kitongoji hata moja eti anamtafuta binti mmoja jina yke sabi

  • @Jahra2023-gm1qp
    @Jahra2023-gm1qp 6 місяців тому +1

    😂😂😂Ugali wa muogo uku utauwaona live😂😂😂😂

  • @SurprisedGeyser-lx4vm
    @SurprisedGeyser-lx4vm 6 місяців тому +2

    Unahamu tena porini 😂😂😂😂😂

  • @christine7744
    @christine7744 6 місяців тому +2

    Kumekucha sabi kula chuma iko🎉🎉🎉🎉🎉

  • @herimornchriston6083
    @herimornchriston6083 5 місяців тому +1

    mm naona huyu jamaa anastari tuzo ya uigizaji bora au nyinyi mnaonaje wenzangu?

  • @1czay
    @1czay 6 місяців тому +1

    😂😂😂😂yaani sema kimeuma hapo sabi hautoboi😂

  • @AminaOmar-u6t
    @AminaOmar-u6t 6 місяців тому +1

    Jumanne. Amepewa dawa ya utajiri je ni kweli na nini kita mkuta jumanne

  • @rahmajuma2946
    @rahmajuma2946 6 місяців тому +1

    Aaa kaka Adam hebu tuletee mambo bwana mbona wataka kutunyima raha tena

  • @esthermuchiri8762
    @esthermuchiri8762 6 місяців тому +1

    Kimeumana…Adam uko makini kupata taarifa😂😂😂

  • @NaymaSeif
    @NaymaSeif 6 місяців тому +1

    Mbona fupi alafu tamu aaahhhh isingeisha jamani😢

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  6 місяців тому

      Haijaisha muendelezo njoo whatsapp 0652393960

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 3 місяці тому +1

    Ahwiii sabi umelikologa utalinywa

  • @ارينكيني
    @ارينكيني 3 місяці тому +1

    Mm nikiwa inchi za kiarabu na furahia movie za kaka adam

  • @AminaOmar-u6t
    @AminaOmar-u6t 6 місяців тому +1

    Sabi ameya kanyaga. Sasa ukweli utajulikana

  • @zuenampandeni3347
    @zuenampandeni3347 6 місяців тому +1

    Ila adam utarogwa vibaya na chum.

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 6 місяців тому +2

    baada ya adamu jumanne amecheza vizuri sna ktk hii move

  • @UmmyJumaa
    @UmmyJumaa 2 місяці тому +1

    Adam kichupa kitakuponza😅

  • @AnnahNanjala-xh6ov
    @AnnahNanjala-xh6ov 3 місяці тому +1

    Aa sabi makosa , cado yuko mdaani anasongea songea

  • @ChristopherLucky-m5h
    @ChristopherLucky-m5h 6 місяців тому +2

    jaman next plus much love from DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  6 місяців тому +1

      Jinsi ya kupata muendelezo wa Sabi episode 11-13 tuwasiliane kwa Whatsapp number +255652393960

  • @KhairatyMustapher-zp1vz
    @KhairatyMustapher-zp1vz 6 місяців тому +1

    Sasa kichupa chepesi na hatokuona tena

  • @JescaMlelwa-ww7mz
    @JescaMlelwa-ww7mz 6 місяців тому +1

    Ila adam ww una kaacha kachumu kalivo kazur hivi

  • @JohnObike
    @JohnObike 4 місяці тому +1

    Huyu jamaa ndio mshamba wakijiji

  • @MariamMwachiberya
    @MariamMwachiberya 6 місяців тому +4

    Wakwanza naombeni likes

  • @elizabethmyombe7375
    @elizabethmyombe7375 6 місяців тому +2

    Adam usimuoe huyo mdada...

  • @KhairatyMustapher-zp1vz
    @KhairatyMustapher-zp1vz 6 місяців тому +1

    Mmmmh...Adam jaman utam umeishia pazur aise daaah

  • @fatmakenya4843
    @fatmakenya4843 6 місяців тому +1

    Hii ni kama ibada, kudoz @Adamleo

  • @AminaOmar-u6t
    @AminaOmar-u6t 6 місяців тому +1

    Adam. Alipata alikuwa anakitaka.

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 6 місяців тому +2

    Kaka adam sisi ambao hatupo Tanzania utawezaje kupata vipande vilivyobaki😢😢😢

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  6 місяців тому

      Shukrani kupata muendelezo wa Episode ya 11-13 wasiliana nami kwa Whatsapp number +255652393960

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 6 місяців тому +3

    Kazi nzur sana na wochi nikiwa kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥰🥰🥰

  • @zenamalkia3868
    @zenamalkia3868 6 місяців тому +1

    Yaani Kila mtu kinamramba😂

  • @simply-kaddy
    @simply-kaddy 6 місяців тому +5

    Eeeh maendelezi mazuri sanaa adamuu🎉 .wakenya wenzangu naombeni likes.😊

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  6 місяців тому

      Shukrani kupata muendelezo wa Episode ya 11-13 wasiliana nami kwa Whatsapp number +255652393960

  • @AsmaWkrtytyo
    @AsmaWkrtytyo 6 місяців тому +1

    😂😂😂iyo sapliz sasa

  • @JasminiAdam
    @JasminiAdam 6 місяців тому +1

    Kaka adam nakupenda sana ❤❤

  • @JohnObike
    @JohnObike 4 місяці тому +1

    Hii nayo nikali kama pilipili 🎉

  • @اريناارينا-ق3ط
    @اريناارينا-ق3ط 3 місяці тому +1

    Adamu 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @rnatradingcompany-nt5en
    @rnatradingcompany-nt5en 5 місяців тому +1

    Siopoa adam naipenda sana