Kila mtu na kitu na anachokipenda ukisimama na msimamo kila alichokua hajafanya mtume kwako ni kharamu, basi utakuta, ata kupanda gari ni haramu kwako. Ila sisi tunasikiliza mashairi na watu wa mashairi walikuwepo tokea enzi... nitafte niwaeleze.. wazee wa ushahidi...
❤❤❤❤❤mola awaongoze ❤❤❤❤❤❤❤thanks
Mashallah napend san dhikir
❤❤❤❤❤❤ 😂 mashAllah kombo vikoti, kombo kikoti
Dhikri pozo la ndani
Mashalla
Mashallah
Mashaalah
Mashalah
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Swahib nac playing zikri
Madhalla
❤😂❤😂🎉
Hii ni burudani ya nyoyo
Wanazomeana au
Hapo msomi kashaelewa kinacho elezewa nini ambae hajakaa chuoni hawez kuelewa
Ahahaha
Vita
Huu muda wengeutumikia kwa mawaidha na ilmu kwenye madraasa ingependeza
pumbavuuuuuuuuuuuuu kwamba labda ww ndo unaijua sana dini ama acheni kuvunja watu moyo
Acha ufala kwaio wee ndio unajua dini zaidi ama vip
ww huna unacho juwa kwahiyo tafuta mahali utulize kelele
Nani kawafundisha haya je wema waliotangulia walilifanya hili ?tuogope uzushi katika dini n jambo hatari sana
Kwenda zako uko boya ww
wewe unatumia simu vipi wema waliotangulia walitumia?
Wasinge fanya ila wanayo dadali ya hilo kwahiyo usiwakashifu
twambie kwanza elimu yako kabla hujafundishwa
sasa jamani hii ndio nini ?
Wanasema wanamsifu mtume . Lkm hio njia sijui nani ktk wema walopita walikuwa wakifanya hivi.
Hicho ni chakula cha roho huwezi jua mpaka Allah akufunulie.
Mwambie aande zake achana nae
Kila mtu na kitu na anachokipenda ukisimama na msimamo kila alichokua hajafanya mtume kwako ni kharamu, basi utakuta, ata kupanda gari ni haramu kwako. Ila sisi tunasikiliza mashairi na watu wa mashairi walikuwepo tokea enzi... nitafte niwaeleze.. wazee wa ushahidi...
Wapenadisha majini
Mashallah