Katika moja ya watu ambao huwatumia mmoja wao ni wewe Rose, hakuna nyimbo unaimba isiniguse kwa namna yoyote huwa ni lazima uguse maisha yangu, Mungu aendelee kuujaza moyo wako unyenyekevu kumtumikia yeye Amen
Naipenda wimbo sana kwa kuitiya jina la Yesu,na composition nzuri.Naliwazia sana efatha ulio imba na kitimtim kwaya kumbe iii mpya.Kasoro kwenye wimbo huu kwangu Mimi,yaani kuhusiana na mimi;ni unenaji tu kwa lugha, kwenye wimbo wowote nachukia
Hallelujah hallelujah nabarikiwa sana na huu wimbo mungu akuinue viwango vya juu malikia 🌹 ooh power ful keep 🔥🔥 burning 254 mko wapy let's appreciate our queen much love from
Sauti kali na message kubwa. I was just watching her interview part 1,2 & 3 ya global tv with Lilian mwasha karibu nilie.mum am your great fun from Tharaka Nithi county-Kenya. Love you so much mum.
Rose Muhando fan base Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🥳👏👏👏 Ooh Mama Rose the anointing you have, hakika uliponywa umtumikie mungu. This is powerful 🙏🙏🙏 Kwa jina la yesu niwe mzima. Amen Love you Woman of God 😍😍😍
Nikisikia nyimbo au jina tu "Rose muhando", huwa namkumbuka sana mama yangu maana alikuwa very interested na nyimbo zako yaani huwezi kumkuta akiliza radio bila playing your songs, ilikuwa ni full nyimbo zako tu jamani namimi nikajikuta nakupenda hadi leo co'z you were my mom's favorite artist since long time ago but now my Mom is dead daaa RIP my Mom 😭
WATANZANIA TUNAKOMENT WAPI JAMANI KABLA YA WAKENYA HAWAJATUFUNIKA MAANA TANZANIA TUNATIA AIBU EE MUNGU TUPONYE WATANZANIA JUU YA MAMA ROSE MUHANDO (Hakika nimekua mzima) 😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
This is a talented soul!! Truly when the battle is big the destiny is usually too big. My sister, you are blessed indeed and you have blessed many people through your music
The Holy Ghost is working with this Woman of God. All her songs are drawn from verses in the Bible! So touchy and God promised that every single word of his will come to pass, even the commas n full stops!
Ohhhhh hallelujah hallelujah hallelujah, this great, a message by God's time, for sure neno la Mungu halianguki Bure, me nimesikia kifarijika.....God bless you maam
Wow, through rose muhando gospel songs my faith renews day by day,, blessed be you mamaaa,, Ile sauti ya yesu,, ilipokwabia mimi ni yesu nimekuponya inukua ukanitumikiea ,, aki uliinuka na usirundi nyuma,, kunayo taji juu mbinguni,,
Katika moja ya watu ambao huwatumia mmoja wao ni wewe Rose, hakuna nyimbo unaimba isiniguse kwa namna yoyote huwa ni lazima uguse maisha yangu, Mungu aendelee kuujaza moyo wako unyenyekevu kumtumikia yeye Amen
She's the greatest singer..mama we love u
Bonge la wimbo aiseeee jembe layesu linafunguliwa #justin moshi
Naipenda wimbo sana kwa kuitiya jina la Yesu,na composition nzuri.Naliwazia sana efatha ulio imba na kitimtim kwaya kumbe iii mpya.Kasoro kwenye wimbo huu kwangu Mimi,yaani kuhusiana na mimi;ni unenaji tu kwa lugha, kwenye wimbo wowote nachukia
Leta nyimbo zingine kumi huu mwezi.Nakuombea mungu akujazie aman yake uwe Mzima.Maureen from Kenya
Mimi lazima ntasimama niede uu mwaka kwa jina la Yesu 🦸♀️🏃♂️
Hallelujah hallelujah nabarikiwa sana na huu wimbo mungu akuinue viwango vya juu malikia 🌹 ooh power ful keep 🔥🔥 burning 254 mko wapy let's appreciate our queen much love from
Hakika Mungu aliekupa kipawa hiki hakusea umekuwa balaka kwa watu watu wanabalikiwa kupitia huduma hii
Ujumbe wenye unabii ndani yake..Efatha,,inuliwa zaidi
Enenda na amaani yako qwa jina la Yesu, Efatha Efatha, yaan huyu mama anaimba Bibilia tupu
Our Mum on it again,u never dissapoint our motivational Mum through songs,KENYA TWAKUPENDA SANA❤❤❤🌹🌹🌹🌹💓💓💓💓💓🌹🌹🌹🌹,be BLESSED🙏🙌
Hallelujah ❤️❤️ Yani Kali ya mwaka hii mummy🥰🥰
Sauti kali na message kubwa. I was just watching her interview part 1,2 & 3 ya global tv with Lilian mwasha karibu nilie.mum am your great fun from Tharaka Nithi county-Kenya. Love you so much mum.
Rose Muhando fan base Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🥳👏👏👏
Ooh Mama Rose the anointing you have, hakika uliponywa umtumikie mungu. This is powerful 🙏🙏🙏
Kwa jina la yesu niwe mzima. Amen
Love you Woman of God 😍😍😍
Kwa jina la Yesu tuwe wazima from Tanga We love you Rose Mhando be blessed.
Aminaaaaa
Wow wow malkia ameingia kazini 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🙌🥰
Uzima ni sehemu yangu! Kwa jina la YESU 💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾
Wahoooo utukufu Kwa Mungu malkia wangu yesu akutunze nabii wa mataifa wimbo mzuri asante Yesu Kwa kazi yako
I can't sleep without listening 🎧 this song woooow mama hii wimbo in Ina neema yake.....🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amen
Nikisikia nyimbo au jina tu "Rose muhando", huwa namkumbuka sana mama yangu maana alikuwa very interested na nyimbo zako yaani huwezi kumkuta akiliza radio bila playing your songs, ilikuwa ni full nyimbo zako tu jamani namimi nikajikuta nakupenda hadi leo co'z you were my mom's favorite artist since long time ago but now my Mom is dead daaa RIP my Mom 😭
🙏🙌Mungu akutetee
Pole lkn hajafa ni amelala tu km lazaro
@@WiselightOfficial
@@WiselightOfficial
💗💗🙏🏾
WATANZANIA TUNAKOMENT WAPI JAMANI KABLA YA WAKENYA HAWAJATUFUNIKA MAANA TANZANIA TUNATIA AIBU EE MUNGU TUPONYE WATANZANIA JUU YA MAMA ROSE MUHANDO (Hakika nimekua mzima) 😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
Tupo
Oh yes FUNGUKA kila kinapo nivuta nakifunguke katika jina la Yesu
Funguka kwa jina la YESU inuka kaangaze wewe efatha 🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺raha jaman duuuuuu uyo ndo MALKIA ROSE MUHANDO
Thanks Rose! Funguka Kbs! Asante Kwa Wimbo Huu! Hapa Rwanda We Love you🥰💞💞💞🥰🥰🙏
Glory to God,nainuka nipokeee mhujiza wangu.Amen
My mother has DROPPED AGAIN, Rose Mhando aka God's general .
Nimebarikiwa sana Mumy😍😍😍💪🏿.niko tayari KUFUNGUKA niwe mzima. Aminaaa🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Efatha🔥♥️. Jesus Christ of Nazareth reigns 🙌🙌🙌🙌
Mummy thanks for music 🎶 gospel song thx²🇹🇿🇦🇪 am here Dubai
Kwa Jina la Yesu simama Uende. Amen
Amina mwanangu ubarikiwe sana mtoto wangu
Through your gospels rose muhando my faith renews day by day
Yani Kila siku nakuja hapa kuskiza huu wimbo🥰 we are now waiting for the video..barikiwa kwa huu wimbo mzuri mummy ❤️🙏 love you 🙏# TRM!!
So talented my favourite singer of all time.... Tanzania still love u coz u are our woman
Mama huu wimbo .... Siku niandike nin maana nimebarikiwa mnoo maana umeniijia wakati sahihi unabii kwangu Amen #TRM🇰🇪🇹🇿🙏🙌
Ubarikiwe mwanangu mungu akuinue moyo wako
Niko apa wa kwanza malkia
🔥🔥
Your also blessings to me @MamaAfrika looking forward for collabo yako na Rose.
Barikiwa mamangu mungu azidi kukupa ujasiri tuna barikiwa saan
Aminaaaaa mwanangu mpenzi àsante kunitia moyo,nakupenda mno
Nice song everything that is behind my future is now ended God take over in Jesus name
Asante mama kwa wimbo safi. Zidi kumtukuza mungu. Nakupenda. Natokea Kenya
Uwepo wa mungu upo hapa
Hongera sana Rose...Mungu akuinue viwango vya juu zaidi kila unapobariki mioyo ya watu namna hii!
huwa nakuelewa sana
Mungu aendelee kukupa kibari
This is a talented soul!! Truly when the battle is big the destiny is usually too big. My sister, you are blessed indeed and you have blessed many people through your music
Kwa Jina la YESU tu!☝️ hallelujaah 🙌🔥🔥#TRM
The Holy Ghost is working with this Woman of God. All her songs are drawn from verses in the Bible! So touchy and God promised that every single word of his will come to pass, even the commas n full stops!
The queen never disappoints 🤗🥰Kwa jina la yesu naamuru uzima kwangu na familia yetu🧎🙌
❤❤❤❤❤ nimepokea mjiza wangu ,nimefunguka
Aminaaaaa
Ah. Moto kama injili. Tamu kama upendo wa Yesu
Mungu akutunze mama Rose Mhando kuna mahali naenda, nikifika nitakuita mahali hapo kwa Gharama yoyote uje siku ya ushuhuda wangu.
Amina mwana wa MUNGU
Ubalikiwe sana
Daaah hizi ndizo songs zinanibariki kwa Kweli.
Ubarikiwe Sana Malkia wa Gospel
AMINA mwana wa MUNGU
Napenda nyimbo zako mommy nikisikia tu rose muhando, mimi nyimbo zako ziniguza sana
One of the greatest Gospel singer. Garacha la kike la Mziki wa Injili Nchini Tanzania na Afrika
I connect with the annointing in this song, o speak to every chain dragging me and my loved ones behind to break loose and let me GO
Hakika mbingu zilikuaminia.
Weka tafsiri ya kiingereza walau watu wengi wa mataifa makubwa wanakufatilia nyimbo zako acha kujibanabana wewe ni international gospel singer
Amina mtu wa MUNGU aliye juu
This is so sweet mommy...inapendeza snaa na ninahisi kubarikiwa Sanaa na wewe mam...nakupenda sana na
Awwwwwwwww nice song I love your songs so much🥰🥰🥰much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Barikiwa sana mama Rozi from Congo 🇨🇩 🏃🇹🇿
Very powerful song ..amazing👏👏👏be blessed. kwa jina la yesu tutasimama
Let's show love to Rose 🇰🇪
Anointing above anointing....ehhhhhhhhh uwe mzimaaaaaa....love it
Amen mum unazidi kung'ara 🌹🌹🌹🌹
Hallelujah hallelujah may the lord continue giving you dhat renovation 🙏🏾 mum rose muhando keep up the good work
Huyu ndie Rose tunaemjua, gonga like hapa👍🏿
Amina mwana wa MUNGU mkuu
My all time gospel artist malikia rose muhando all the best
Gloryyyy☝️ hallelujaah 🙌 Sauti inapasua ulimwengu uuuuiiii 🔥🔥#TRM💪
Kabisa Amen yaan kama ananiimba moyoni
Amen malkia mom Rose Muhando ukwel radha hii 🍇 ubarikiwe nimekumbukwa kwa wimbo huh wimbo unanipanga nguvu maana ni ombi kwetu🙏🙌#TRM ooooh babaa....
Rose muhando my favorite artist, God bless,
Asante sana dada Rose... Mungu akubarika dadangu
Ooohhh another hit 🎯 from God's lover our one and only Rose. God bless you
Amen, forever you will remain my favorite gospel artiste Mum Rose...God continue using you.
A nice one mama
Congratulations mama, amen
Amen nainuka nakua mzima
Kwa jina la Yesu simama uendee 💯🔥🔥
Niliisubiri kwa hamu hili jiwe LA kufunga mwaka
Amen amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏 nainuka katika jina LA Yesu kristo
Kenya Tuko Nyuma Yako Sana Mama💪💪
Ooooooo simama kwa jina la Yesu 🔥🔥🔥🔥🔥
Courtesy of East African queen Rose Muhando.. You not only a life inspire but a life changer too through songs..Go go go mama😍😍
Hakika funguka uende🙏🙏🙏🙏
Haleluyah, tunakupenda sana Rose Muhando karibu nyumbani kwetu Tanga. Mungu akubariki na akutie nguvu tunabarikiwa sana kupitia nyimbo zako.
Another blessing from mom
Ohhhhh hallelujah hallelujah hallelujah, this great, a message by God's time, for sure neno la Mungu halianguki Bure, me nimesikia kifarijika.....God bless you maam
Pokea muujiza wakoooo.....uweee mziima
@@jumaephraim5949 🙏
Soooooo touching what a song
Watch another Rose Muhando hit ua-cam.com/video/oX2g0FWNYi4/v-deo.html
Can't get enough of this song🥰🥳 TRM hoiyeee🥳❤️
Ameeen nimebarikiwa na wimbo mzuri. barikiwa sana mtumishi wa MUNGU🙏
Wow, through rose muhando gospel songs my faith renews day by day,, blessed be you mamaaa,, Ile sauti ya yesu,, ilipokwabia mimi ni yesu nimekuponya inukua ukanitumikiea ,, aki uliinuka na usirundi nyuma,, kunayo taji juu mbinguni,,
Ameeen
This is fantastic thanks again,Mum twende twendete nayo nayo
Here in Kenya we love your work.
Messegi iko shabambaa kabisa
🔥🔥🔥🔥🔥
God blessed you rose muhando
1st one to be here 🔥🔥🔥
It's her real calling, she was born to sing n bless souls, A golden voice indeed be blessed.
Mungu hakubariki darosa 🙏
Thanks for showing people way of God bless you abundantly mam
I already love this song mama
Amen amen utukufu Kwa Mungu.. huu wimbo umenibariku mno
Hallelujah!!! Efatha funguka
Mungu akubariki sana mama Rose muhando
Amina, Mungu akutangulie kwa kila atua mama 🙌🙌🙌😍😍🙏🙏
Wow🔥🔥🔥🔥waiting may God bless you abundantly mommy I love you so much Ur songs makes me stronger n strive for God
from washington DC
Mungu akusaidie sis Rose🙏🏽
Queen 👑 Rose muhando mama yao you're an angel 😇, many have come to Salvation through your songs.
Barikiwa sana