SHANGWE LA CLEMENT MZIZE AKIIMBA SINGELI/ALLY KAMWE AINGILIA KATI/"NIMEIBIWA MTU WANGU"
Вставка
- Опубліковано 7 лис 2024
- Leo Mei 13 2023, katika Dimba la Azam Complex Chamazi Wananchi Yanga SC wanamenyana na Walima Zabibu Dodoma Jiji,Mchezo wa ligi kuu ya NBC,Unaopigwa Saa 10 Jioni.
Endapo Yanga SC wakishinda Mchezo huo na kufikisha Alama 74 ni rasmi watakuwa Mabingwa wa Ligi kuu ya NBC Msimu wa 2022-2023.
sheikh waalid mzizeeeee💛💚💛💚💛💚💛💚
Wonder kid halafu very innocent
Siwezi kusema nina furaha kiasi gani lakini nina furaha
Kijana aendeleee atafika mbali sana ana uwezo
Kumbe huyu walidi mzize anacheka pia niseme ukweli sijawahi muona clementi akicheka km hiv Wallah ten leo ya kwanz 😂😂😂
Raha sana yani
Uyu mdada anaipend yanga mpenja uyu dada umemuandaa vzr atakuwa kam aziz aluwatn
Mzizeeeeeee.....😂😂😂😂
😂😂 ana vibe balaaa
Ahsante Mungu Kwa Kumuonesha Mwanga Nzinze.
Nime penda sana
Kumbe mzinze Ni chizi eeeh, hahahaaaa
Tunawakelaaaaaaa makolokolo
Furaha kitu chengine bwana .
Naona Uzi dizaini mpya WA mwakani toka Ally kamwe
Furaha kuuuubwa
Huyu jamaa namuona EPL
HUYU MTANGAZAJI WA MPENJA NDIO CHUMA CHENYEWE CHA ALIKAMWE...SHIKENI MANENO YANGU.
Duuuh kumbe sio mpira tu hadi kuimba anajua jaman yanga hii rah sana 😂😂😂😂
Safi sana
Presenter name ni yanga
Maskini mula sukar atakua anateseka aje😢😢😂😂😂😂😂😂😂
akajinyoge na sukari laje uko akayataka mwenye ameshiba sukari
Angekuwa amepata ubingwa mara ya pili
Ubigwa uwooo
Alikamwe ashapiga wine utamwambia nini sasa 😄 🤣 😂 😆 😄
Mbona bado mnamuita Clement wakati kabadili jina?
Kabadili jina lakini kwenye walaka wa kijamii Na Vyeti Vya Kuzaliwa Jina Lake ni Lile Lile Ndugu
❤❤❤
Pombe sio uji kamwe ww
Tutawakera sana
Utopolo tambeni tu lakin huu ndo msimu wa mwisho🙁😏
Kunywa panadol na maji mengi
Kumbe nyi mupo😅😅😅
Tafuta Dr wa kikutibu haya maumivu mfulilizo mamaa maana ndo tumeanza rasmi😂😂😂
💛💛💛💚💚🔰🔰🔰
Alio gundua pombe aandaliwe pepo yake spesho🤒🤒
💚💚💛😂😂
Nani kamuona Ali Kamwe alivyotukana 😂😂😂
pombe so chai
dah kamw
😂😂😂😂kwel katukana
😂😂mm
Katukanaje hapo? "CHUMAAAA" "Chumaaa kimenikimbiaa" ???
😂😂😂😂