Darassa feat Alikiba - BreakDown (Track No.4)
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- Music by Darassa featuring Alikiba performing "Breakdown" (Track No.4 from the Album) Take Away the Pain, (c) 2025 exclusively licensed under CMG.
Stream/Download Album:ziiki.media/Da...
TAKE AWAY THE PAIN is an album with a theme that serves as a real weapon for the artist, using music to heal, entertain, and transform challenges into victories. This project is not just music; it is a mission to turn all negatives into positives. That’s why it is called Take Away The Pain by Mr. Burudani in English Mr. Entertainment.
Listen to Darassa on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/...
Apple Music: / darassa
Boomplay:www.boomplay.c...
UA-cam: / @darassamusic
Spotify:open.spotify.c...
Connect with Darassa on Social Media:
Instagram: / darassacmg255
Facebook: / darassacmg
Twitter: / darassa_cmg
Connect with Alikiba on Social Media:
Instagram: / officialalikiba
Facebook: / officialalikiba
Twitter: / officialalikiba
Snapchat: / officialalikiba
TikTok: / officialalikiba
Written & Performed by:Darassa
+For More Information Booking Darassa:
Contact:Darasa.classic@gmail.com
+For More Information Booking Alikiba
Contact:emailalikiba@gmail.com
©2025 CMG.All Rights Reserved
#Darassa #Alikiba #BreakDown
King kiba serekali isipo fanya mpa lijengwe sanam lako pale bungeni basi tutaandamana lijengwe ikuru watake wasitake 🙌🙌🙌
Mda wakuanda mana m ntakuja na bulldozer 😅😅😅
Mimi nabeba roller tunaua@@OscarlucasKagombogombo
Hivi kiba ni msanii mbona simjuiiiii
Kiba alichomfanya darasa humu ndani mungu tu ndo anajuaaa🙌🙌🏃🏃🏃🏃
When 👂that sound🙌🙌🙌🙌🙌
LIKES ZA KIBA APAAA
Mgongo kama vile unakanda chapati ...Alikiba asee ✌️✊
King wewe 🔥🔥🔥🙌🙌🙌
Alikiba umeshindikana unabadilika kama kinyonga
Darasa kamfanya King wetu leo ka rap humu ndani ❤❤🎉
Alikiba mhmhmh🔥🔥🔥
Na hii tena na DARASSA &KING KIBA👑
#Breakdown🎵❤️🔥🔥🔥🔥
❤❤
Salute king darasa upo vizuri🎉🎉
😀 Respect king kiba ametisha sana ni 💥 💥 💥
Can't wait to hear this collaboration of two king's from 🇨🇩
"wananiita masai wa mjini wakiona Simba wananipigia MIMI"
🔥🔥
Code hy
Alikiba mbona hueleweki kweny MAPENZ nouma nyimbo za kudance nako noumaaa daaaa
NAITWA MAJINA#UFALME NI HESHIMA# ila Ally 👑 🎉🎉🎉 daaaah.
Woow kiba umeuwa bro what a verse ❤🎉
King 👑
King 👑 got z lyrics 🔥🔥
Alikiba the king kataisha san
Ohooo hit ii hapa 🔥 🔥
King kama King kaanza💖💖💖🙏💐💐🙌
Alikiba is the king 🤴 YES
King kiba and King classic
+254 nipe tap tap! 👊🔥🔥😊
Alikiba ameaua sana 🎉
Darassa na king mmetisha sana❤🔥
Kiba For life🎉
MAMIYAKE ALIKIBAAAA NI KWEREEEEE😅😅😅😅😅
Proud of you King Kiba x Darassa 👑 kings music forever
Alikiba he never disappoints 🎉🎉
Ali ameshindikana jmn amuelewi
Kiba bhana, huyu jamaa atakuja kutuuwa❤❤❤❤
Motoooooo🔥🔥🔥🔥🔥
Tunaosubiriii Umafya Wa King 👑 Kiba Tujuwane Hapa❤🎉❤🎉
Kaka alikiba tusamee sisi
Darasa katika colaboration zote ulizoachia hii ya Kiba ndo pekee katisha sana. Katendea haki kinoma. Wengine umewaua,
No no no alikoba noma sanaa ✌🏽✌🏽
Ukishikwa ta! lazima ugeuke 😂🙌🙌🙌😂
King umeua mzeee
King kibaaa....
Nawapenda Nyie MAHANSBOY
Alikiba Alikiba Alikiba 🎉
Kibaaa🎉 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Let call him King of Bongo flavour respect 🫡 Alikiba
🎉
Iliiiiiiii kibaaaaaaaa sio pow
Boss wa mistari darassa
King ni king wewe alikiba noma sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Boy from mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mfalme huyo 🎉🎉
King kiba never disappointed 🎉🎉❤❤
King kaua
Ufalme ni heshima
Another hit Song Feb
Kutoka Congo 🇨🇩 tu like hapa je suis en RDC précisément à BUTEMBO Nord Kivu.
🔥 king kmmmmmmke
Noma sana mwanangu daaah
Jamaa noma hashikiki
King Kiba"Wengine wananiita maasai wa mjini wakiona simba wananipigia mimi" Hii kauli lazima uumize kichwa ndo uelewe
Alikiba kashindikan asee
Leo wakwanza kutoka Drc 🇨🇩🇨🇩 na omba like zenyu njamani 🙏🙏
Oya kiba hatariiiiiiii
King kama King ni Zaid sana, fundi wa kupitiliza.
KING 👑👑👑 KIBA 🔥🙏
👑 kiba
Yaaaaaah
From🇰🇪kitu noma
King 👑
King kauwa tena 🔥
Mr Burudani 🎉
nomaa sanaa ,,,much love from kenya
Hatariiii
jamma kiba anaweza ad anakera
Kiba sio mtu mzuli
King Kiba always on top🔥🔥🔥🔥
Darassa atengwe🙌🙌😂
Alikiba kashindikana
Huyu kiba nyieeh
MO fayaaaaaaaww
Hit Song ni fire
Wa kwanza Mwetu Kaka Kiba Kahuwa kinyamwezi
Hatar king kauwa sana humu❤
Kiba noma saaaana
Alikiba ❤❤❤❤
My number One sonG, ALIKIBAA ALIKIBAAA ALIKIBAAAAAA😩😩😩😩😩😩 ur the best 🔥🔥🔥🔥🔥
Alikibaaaaaaa
Sucesso sempre darassa
That beat 💓
Nan amerudia more than 3 times
iko motoooo
Alikiba Hajawahi feri
Wangapi wanasema imeweza show likes zako❤❤🎉😂🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉weweeeeeee dude eee hiloooo
Babaa ngoma la kwendaa🎉🎉🎉 mfalmee
😍😍🙌🙌🙌
Wow kingkiba
Mad chune 🔥🔥🔥
King Kiba🙌🔥
King kiba 💥💥💥💥💥💥💥💪🙏🇨🇩 Unastaili mauwa Yako Mfalme wa Bongo Flava ♥️
I'm going to comment every songs so that uelewe kma nimeisikiliza album yote❤
wario irudiiiaaa hiii ilipoisha tujuane
❤❤❤😊
Ila Alikiba eti wakiona Simba wanampigia KING 👑 nimchokozi duu etii
Iyooo...❤
😂😂😂😂😂