NANI ANASTAHILI KUWA MVP? AZIZ KI AU FEI TOTO? | MJADALA MZITO TAKWIMU ZIKIFUNGANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 4 місяці тому +2

    Kauli ya Ali kamwe amesema Kagera ni team pekee ndo haijafungwa na yanga,we Oruma acha kuzungusha maneno,kauli zenu zote kuiponda yanga hata huoni aibu kusema FEI kumfananisha na Aziz we huongelei mpira mpuuzi chuki dhidi ya yanga.

    • @Yangadamu
      @Yangadamu 4 місяці тому

      Halina akili hili jamaaa silipendi kama nn

    • @chng1990
      @chng1990 4 місяці тому

      Hawa wanatengeneza kik story ya chama na pacome now kimya wamedandia Sasa aziz duh

  • @Yangadamu
    @Yangadamu 4 місяці тому +1

    Kocha tigana namkubali sana huyu mwamba hana unafiki kama hao wengine

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 4 місяці тому +1

    😂😂😂mliomuona oruma alivyomind his own business kipnd uyo wa kofia abduzaka anasema kuhus aziz ki ni mm tu ama kuna mwingine😂😂😂oruma akuna mtu alishagaongea fei ajui mpira ata sisi yanga uongo uo sema maneno aliyokua anaongea ndo tulikua atutaki ila wanaojua mpira awakusema fei ajui uache unafiki

  • @ladislausriwa7768
    @ladislausriwa7768 4 місяці тому

    Kipa aliyeachwa na Aziz K ni Diara Msheri na 😢😢

  • @abrahamabinala5250
    @abrahamabinala5250 4 місяці тому

    Wa cost azizi ajamfunga

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 4 місяці тому

    FEI TOTOOOOO

  • @jumanneenos2481
    @jumanneenos2481 4 місяці тому

    Kama ametoka kwenye mbio za ubingwa anakuwaje MVP sasa

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 4 місяці тому +1

    Hata ukifuatilia magoli ya Azizi sio ya kuokota okota,hata wanavyomkaba Aziz na FEI tofauti Aziz wanamkamia mno

    • @StoryTellersTZ
      @StoryTellersTZ  4 місяці тому

      Duhhhhh

    • @StoryTellersTZ
      @StoryTellersTZ  4 місяці тому

      Kwanini wanamkamia?

    • @selemanmcharazo
      @selemanmcharazo 4 місяці тому

      Hujui kwann,ni mchezaji Bora

    • @jumanneenos2481
      @jumanneenos2481 4 місяці тому

      Azizi ana vitu vingi sana mbali na magoli na assist zake, amewezesha yanga kufika robo fainali CAF, amewezesha timu yake ya taifa kuingia robo fainali, Fei hana hata moja

  • @issaramadhani9141
    @issaramadhani9141 4 місяці тому +1

    Nani amevielewa vigezo vya Oruma?😂😂😂 kazi tunayo kwa wachambuzi wetu. Kwamba fans base ni kigezo😂

  • @jumanneenos2481
    @jumanneenos2481 4 місяці тому +1

    Aziz Ki haina ubishi

  • @wazirimahamudu3878
    @wazirimahamudu3878 4 місяці тому

    Huruma mi huwa simuelewagi.umeulizwa swali unazunguka zunguka tu.

  • @OmanOman-iu7jf
    @OmanOman-iu7jf 4 місяці тому

    Aaaaah feitoto .ndio mshindi

  • @winiejohn7020
    @winiejohn7020 4 місяці тому +1

    Azzi k❤