Charity with due respect huyo mwanaume Kama ni ukweli alitusi mum please leave that man he married you just because of his child.munaweza achana but mum hamtaachana na wewe coz u don't have any blessing kutoka kwa mzazi.Ua mum love .
As a kisii living abroad I remain mesmerized till now why some people back keep on thinking negative about kisii.I wish this girl have the best life the mother to see
Just concentrate on positive energy Charity. You have tried everything possible to mend things with your mum. May God cover your marriage and live stress free ❤
I'm going through the same hell. Huyu mama na wazazi wangu hakuna difference. Let parents learn to accept their children's decisions and respect them. This is very unfair. We love our parents but they can be stubborn and nagging at times. Mungu awasamehe.
Kuna my sister aliolewa na jamaa flani , my dad alikataa hiyo marriage but my sister alikataa, , after kumzalisha watoto wawili ndo my sister alikuja ku realise huyu msee ako na bibi na watoto watatu, , so huyu dame asikilize mama yake kabsa walai, so huyu jamaa anatesa sister yangu sana , ,sister yangu amekonda kama mtu ako na ukimwi , , walai kuna wanaume wanatesa wanawake hapa njee
Waaaaa,wamama wengine ni stress......but so long as Charity hajamkosea,aendelee kuishi life yake akimuombea mamake one day she will face the consequences
Sorry mum don't cry, in my l hate kisii men niliolewa 12 years ago niliteswa na huyo mwanaume sitasahau, niko na wasichana wawili but huyo jamaa ni 48 amechukua kasichana ka class 8 nilimwambia huyo msichana na yeye wacha aendeleshe life penye niliachia but is gonna regret and she will find is too late.
@@maryannmwauravlogs9970 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣na kujifanya mzuri aki, but nimeelewa kumbe sio mamake charity real mother, angekuwa real mother love ya blood inge concur hizo hasira, because mtoto wako akianzaa kulia utaguzwa hadi roho.
I second you sweetie huyu mama is a devil kuna wamama hata wajui maana ya kuwa mama ya mtu most of the mothers wanathanianga kukuzaa nkitu kubwa sana hata happiness ya mtoi wako you cant consider
Mm pia naunga mkono Ww huyo mama nibure kabisa coz cherity hakuna laana hapo kabisa mtoto hujamkosea Na ndoa hailazimishwi kabisa ndoa Ni ya mtoto mwenyewe kujichagulia Sio mama aobaba uforce msichana
Hiyo part yakumujemshia maji aoge .awe msafi ...staki kuongelea sana nachia hapo..charity piga hesabu yako poa usiwe mtu wa kuzaa sana ...open ua eyes all 'll be well
huyu mama ako after money let charity enjoy her marriage with peace if she is not comfortamble to leave with married that why she decide to get married to someone else
Mimi ni mzazi kama charity ila,laana za bandia haziwezi faulu kwa maisha ya charity,anaonekana anapendelea sponsor wa mwanae.Mama charity,ukimfungia bwanake charity ni wewe utakuwa umejifungia.Regesha moyo kwa ajili ya uzao na ukoo wa mwanao.Mwanao charity yuko mikononi mwa muumba wake.
Nachokielewa hapo mkisii atoi hela kwa mama ka ule wakwanza, usisangae mama cku moja utapata matatizo uyo uyo kijana akusaidie ila Mbona msamaha ni Bure wee mama mungu anakuona
Mama roho chafu charity huyu angekua mamako angekusamehe Pole Sana kwa kupoteza wazazi Stay with your hubby na mung u awabariki Mama roho ngumu Hi yo Shane on her
My conclusion to this case is, Charity's mum is like any other kenyan parent, where they prefer a man who has money so they can benefit. Its very immoral. Charity, live your life with however u want. Hawa wazazi are after money. They don't care if u are suffering as long as he's helping them. If the man u are with now was rich, your mum would welcome him with open arms. Shame on our kenyan parents
Aggy cherry. Hahaaaaa!!! Mama Akinetta alete hapa maombi ingine Tena . Akha khamama ni khafisi kweli. Waahh!! Nimecheka yangu yote. Listening from Bahrain.omwana wa Ingo.
I salute you Gidi,,,,tell that woman we don't have to leave in past,,forgive and forget,,,Charity pray,,,prayers zita heal everything,fast and you gonna see the results from our Heavenly Father.....pray my sister ,
Huyu mama ni mluhyia😀😀😀😀😀wamekufulinga nguo😀😀😀😀😀😀but mum you can't allow your daughter to break someone's marriage kama ni wewe utajisikiaje mwanao ako 22 that man was 40 aiii wazazi lets respect our daughters
This mother is a disgrace to her family. My advice to Charity is to live her life and try to be happy with her husband and kids. I hate this mother big time even if i don't know her XXXXXX
We need only to respect our parents not to worship them when it comes to marriage decision make your independent decision don't make your parents to decide for you
Mbona huyu Mama aliletewa Police ?the way she talks shes not a good mum.mtoto wako ako happy ma life yake na Mama hayuko ready to accept very sad.peace be with you charity you have tried to bring peace between you and your mum but kaa hataki basi ni mungu tu
Akiona huyo mtu atakufa,🤣🤣🤣🤣🤣mimi siezi taka maneno kaa hii aki with parent namwacha tu ,a man is not worth ,mi naachana na yeye narudi kwetu na mimi siezi olewa ever nakaa hapo na asiulize
Hi, kuchukua bwana wa mtu na kumfanya bwanako..kwanza fikiria tofauti ya bibi wa kwanza na wewe ni gani? ?mamayako anakuonya na ww unaendelea utajuta mwenyewe
Redio imalise shipindi yake mama luhyia phoooo. Jifunze kusamehea we mama . charity you have played your Role God has already forginen you .wachama na huyu mama focus ahead. God will bless you
Really? A mother who give birth to a child and throw the child in a pit and the one who comes and get the child off the pit ,nurse her, clothe her, educate her to the point men start admiring you, now you want her to be forgotten just because of a stupid, confused and sexmaniac man, my sister i cant agree with your opinion kindly rethink yourself. Charity would have brought the man to mama again and tell mama that the another guy we are not moving on well due to his wife, therefore ,this one might be my okoa jahazi if anything goes wrong, mama could have know the guy, but this scenario of just running away with someone daughter with ego, and courage of sending police to your mother in law is a stupidity of the highest order.
Devil is a liar eeeish so sad mother is unforgiving and she's mad that her daughter did not continue with the married man mwenye alikua anawa support sad! .. soo sad. Charity contue with your life God will give you peaceful life.. love ur husband and don't let the devil steal your marriage joy.
Eeeh huyu mama hatakii Charity mazuri yuko baada ya pesa za ule sponsor. Let Charity leave her life anataka arudi atafute sponsor wa kumfanyia shopping she should style up si mambo na ukabila.
Hi charity. Paka kupenda maziwa na mbwa hupenda nyama. Mama yako anapenda pesa. Sio lazima ununue sofferset. Mtumie pesa kidogo kidogo kwa mpesa na hata mkisii amtumie na atabandilika. Kuongea tupu haitabandilisha yeye. That is how she is. They are all different.
😂😂😂😂😂😂Aky waluhya mtanimaliza jamani nakumbuka siku yenye nilichapwa n mama yngu juu ya chali mwenye hataki io tribe ilibidi niachie wenye mapenzi my adult age Nko tu nategea God's time😃😃😃😃
Pole sana charity hapo hakuna shinda juu mama yako inaonyeshana wazi ni heli uvuje ndoa ya mwingine juu ya vituzile alikuwa ana patiwa .hii nimaisha yako na wamuzi niwako you are an adult she has to understand that
king Ak fitness nop my bro king mama nikila kitu kweli bt Sio kwa kukupoteza isitoshe pia hawana nafasi ya kukuchagulia mume ao mke coz utakae enda kuishi katika hio ndoa Ni ww Na ukisha kuoleka ruhsa yako Ni kutoka kwa bwana yako Hata mama akufe ama dad akufe kuenda kwa masishi bila ruhsa ya mume itakua nidhambi nakule kuenda huko bila dhini waeza sababisha mzazi akaingia jahannam Na kule kutoenda ukasubiri idhini ya mume humfanya mzazi akaenda peponi so Na pepo ya mwanamke iko chini ya munewe
*Mzazi akikataa jamaa hio come we stay uwa hainanga baraka, my sis same case she converted to Islam from christianity that made mum the saddest mum in the community her marriage was Mateso kulala bila food na watoto...kutoka kwa come we stay akirudi it was just sad even for me to see the suffering but she loved him untill her death caused by depression Waleo she slept 4ever.Will never forget her beauty and humble spirit* To make it worse NO female attended her burial cos Muslim tradition women are not allowed for burial...that did hurt us much as family, like she was buried in a mass grave *Like we all know makaburi za waislamu buries different than Christians* Nway...let me stop it here before I write a book. *Sorry for those who are in such situation I pray strength for all in Jesus precious name*
Wah noma,But mi huwa naona ukiwa kila siku unafata mambo ya mama,Aki huezi olewa kweli charity uamuzi n wako,Plz kama unampenda huyo jamaa endelea na maisha yako achana na maneno ya mamako
Kwani wakisii mnaletea mama mkwe mapolisi saa nane usiku😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mama anaogopo mapolisi usiku😂😂😂😂 according to me huyo mum ana roho ngumu na Charity hamtaishi na huyo mtu kwa amani na mathe analia machozi😥😥😥😥
Mother Charity this is your daughter forget about money and material things from the other man. Forgive her and support her in anyway you can. Money is not everything in this world.
Kukula tuu anaongea vibaya ......hii ni moto waluya wamenilemea aky nimesemako ivyo iyo ni chakula yake .....uyu mama hana heshima bt mungu amusamehe plzz...
Hapo kwa huyo mwanaume kuletea mama askari usiku sujafurahia kabisa! Charity alikataa huyo mwanaume wa kwanza juu ako na bibi alafu ameenda kuoleka kwa mwenye ameachiwa mtoto kijana hapa kuna cat panya game.
Charity,enjoy your marriage life. Msaidie mamako kama anataka kusaidiwa! Kama hataki well and good. You have done your part.
very true. .Juu uyu mama ni fisi sana
True
THIS MADE ME CRY...I WISH I HAD MY MUM STILL...May her soul rest in peace. Mama is life, Mama is Happiness, Mama EVERYTHING 😢
Pole Sana pia pole kwa Charity Mungu awe nanyi
Charity with due respect huyo mwanaume Kama ni ukweli alitusi mum please leave that man he married you just because of his child.munaweza achana but mum hamtaachana na wewe coz u don't have any blessing kutoka kwa mzazi.Ua mum love .
As a kisii living abroad I remain mesmerized till now why some people back keep on thinking negative about kisii.I wish this girl have the best life the mother to see
Juu ya uchawi mwingi ukisiini.
@@bobbykibe8693 even your name ni ya waganga na ushirikina
@@bobbykibe8693 jibu na uulize tena mavi hii
@@bobbykibe8693 kuja tukuroge 😂
They fast to judge! Lakini Tari mang'ana
Pole sana dada..hakuna laana hapo as long as umemuomba msamaha hata God anajua...mamako saa hii anakula bonus wewe usiwache bwana yako🤔🤔
Charity hapa hauna laana yoyote coz u did the right thing coz mume wamwenziyo si wako God will bless you with your Man
Charity don't cry,hauna makosa you did the right thing.hawa wazazi pia wanapeda pesa.
May God grant my mum long life, she is one in a million
Charity lakini chali mwenye haeshimu mzazi wako is a NO
Just concentrate on positive energy Charity. You have tried everything possible to mend things with your mum. May God cover your marriage and live stress free ❤
I'm going through the same hell. Huyu mama na wazazi wangu hakuna difference. Let parents learn to accept their children's decisions and respect them. This is very unfair. We love our parents but they can be stubborn and nagging at times. Mungu awasamehe.
Kuna my sister aliolewa na jamaa flani , my dad alikataa hiyo marriage but my sister alikataa, , after kumzalisha watoto wawili ndo my sister alikuja ku realise huyu msee ako na bibi na watoto watatu, , so huyu dame asikilize mama yake kabsa walai, so huyu jamaa anatesa sister yangu sana , ,sister yangu amekonda kama mtu ako na ukimwi , , walai kuna wanaume wanatesa wanawake hapa njee
Huy ni dadak but Huy ni charity anao uamz na lzma uheshimiwe
Mnafanya kazi kubwa kwa kupatanisha watu. Ila uchekaji wenu njo mubaya. Tafadhali kupunguza uchekaji Asante
Waaaaa,wamama wengine ni stress......but so long as Charity hajamkosea,aendelee kuishi life yake akimuombea mamake one day she will face the consequences
Sorry mum don't cry, in my l hate kisii men niliolewa 12 years ago niliteswa na huyo mwanaume sitasahau, niko na wasichana wawili but huyo jamaa ni 48 amechukua kasichana ka class 8 nilimwambia huyo msichana na yeye wacha aendeleshe life penye niliachia but is gonna regret and she will find is too late.
Who is watching with me 2020 march😁😁😁huyu mama duh!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyu mama aki ati nikikutana na huyo mtu nitakufa.
@@sarahkiama5228 mama ana roho ya shetani😁😁😁😁😁
@@maryannmwauravlogs9970 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣na kujifanya mzuri aki, but nimeelewa kumbe sio mamake charity real mother, angekuwa real mother love ya blood inge concur hizo hasira, because mtoto wako akianzaa kulia utaguzwa hadi roho.
Charity pole sana...hapo hakuna laana focus with God only
I second you sweetie huyu mama is a devil kuna wamama hata wajui maana ya kuwa mama ya mtu most of the mothers wanathanianga kukuzaa nkitu kubwa sana hata happiness ya mtoi wako you cant consider
@@lucywamboi818 huyu mama ni bure kabisa.......Shida yake ni dooh....but atajua hajui
Mm pia naunga mkono Ww huyo mama nibure kabisa coz cherity hakuna laana hapo kabisa mtoto hujamkosea Na ndoa hailazimishwi kabisa ndoa Ni ya mtoto mwenyewe kujichagulia Sio mama aobaba uforce msichana
Pole charity kabisa focus with you life
Huyu sio mama mzuri ako tuu after pesa, bless ur daughter and let her enjoy her marriage
Ukweli coz mbona waharibu nboa ya mwanamuke mwingine
Happy time patia hapa usikie suponsa anapelekwa kwetu, huyu mama kweli hatari
achana na mabwana za watu, you see, depression.
Sad and Very complicated case. Mama kama unampenda mwanao mpatie baraka aishi kwa Amani.
Alikukosea lakin hakukosea kuamua hivi.
Charity Mungu akurinde mwana hakuna kitu mbaya itakukuta
Trust in God and God will protect you and your children
Hiyo part yakumujemshia maji aoge .awe msafi ...staki kuongelea sana nachia hapo..charity piga hesabu yako poa usiwe mtu wa kuzaa sana ...open ua eyes all 'll be well
Charity kako na sauti poa😍
huyu mama ako after money let charity enjoy her marriage with peace if she is not comfortamble to leave with married that why she decide to get married to someone else
👍👍
Hiki kipindi kimenijenga sana.gidy i realy love u
Mimi ni mzazi kama charity ila,laana za bandia haziwezi faulu kwa maisha ya charity,anaonekana anapendelea sponsor wa mwanae.Mama charity,ukimfungia bwanake charity ni wewe utakuwa umejifungia.Regesha moyo kwa ajili ya uzao na ukoo wa mwanao.Mwanao charity yuko mikononi mwa muumba wake.
Ongereni sana kwa kazi mnayo ifanya Mungu awabariki.
Hawa ni wale wamama roho chafu ...wenye wanabomoa nyumba zao na mikono yao.... Charity may God bless you....na utafanikiwa
I support u Mum....Charity u'll regret, bibi mwenza yuko ukumbuke
Even the other one alikua na bibi mwengine ...wee skiza hii story poa
Wah! I almost cried hapo mwanzo akiongea na mama yake...
Nachokielewa hapo mkisii atoi hela kwa mama ka ule wakwanza, usisangae mama cku moja utapata matatizo uyo uyo kijana akusaidie ila Mbona msamaha ni Bure wee mama mungu anakuona
Mama roho chafu charity huyu angekua mamako angekusamehe
Pole Sana kwa kupoteza wazazi
Stay with your hubby na mung u awabariki
Mama roho ngumu Hi yo
Shane on her
Mam Ni mama heshimu mama wanaume ni marafiki tu ,mama muhimu sana kuliko anything 😍😍😘😘 love my mom
ETI mama nanii ndio aliniombea nikiwa karibu nikufe the mother is funny 😁😁😁😁😉😉😂😂😂😂😂
😁😁😁😁mama agneta
Hehehehehe
😂😂😂😂😂 huyu mathe ni funny
Huyu mama akona roho chafu na anataka kucontrol mtoto wake. Some parents, smh.......
My conclusion to this case is, Charity's mum is like any other kenyan parent, where they prefer a man who has money so they can benefit. Its very immoral. Charity, live your life with however u want. Hawa wazazi are after money. They don't care if u are suffering as long as he's helping them. If the man u are with now was rich, your mum would welcome him with open arms. Shame on our kenyan parents
Haki huyu mama anapenda sponsor, hataki mme halali wa mtoto,eei uluhya yawa....linda mberio....mama Agineta leta maombi hapa tena😂😂
Aggy cherry. Hahaaaaa!!! Mama Akinetta alete hapa maombi ingine Tena . Akha khamama ni khafisi kweli. Waahh!! Nimecheka yangu yote. Listening from Bahrain.omwana wa Ingo.
Waaahhh....pure kapisa akha khamama .khakwende uko. Charity senseless na maisha mungu atamsamehea.
Baluya bandu babi hehehe
Mama queen yatsia hena ahulire kanoo
Exactly walaai alaniwe
Mama ulishi maisha yako... wacha wengine waishi...
I salute you Gidi,,,,tell that woman we don't have to leave in past,,forgive and forget,,,Charity pray,,,prayers zita heal everything,fast and you gonna see the results from our Heavenly Father.....pray my sister ,
Mzazi akikuambia skia ata Mimi najutia nilikatazwa sikuskia sahii napitia
So angekaa na mume wa mtu?? Ndio apate baraka kutoka kwa mamake be serious
This is pure curse from all the tears the first wife went through akichapwa na bwana.. Ya dunia ni hapa hapa
Huyu mama ni mluhyia😀😀😀😀😀wamekufulinga nguo😀😀😀😀😀😀but mum you can't allow your daughter to break someone's marriage kama ni wewe utajisikiaje mwanao ako 22 that man was 40 aiii wazazi lets respect our daughters
Hahahaha mum kutoka kkmg
Very true, ni laana kubomoa ndoa ya wenyewe
This woman is wicked..and she's putting some course on her,wah Mungu tusaidie
Huy Mama ANAKOSEA sana
This mother is a disgrace to her family. My advice to Charity is to live her life and try to be happy with her husband and kids. I hate this mother big time even if i don't know her XXXXXX
Ai huyu mama Mbona anaingilia marriage ya msichana is not fair. As long as isn't my biological mother let her go bora Amani. The rest achia dunia
We need only to respect our parents not to worship them when it comes to marriage decision make your independent decision don't make your parents to decide for you
Mbona huyu Mama aliletewa Police ?the way she talks shes not a good mum.mtoto wako ako happy ma life yake na Mama hayuko ready to accept very sad.peace be with you charity you have tried to bring peace between you and your mum but kaa hataki basi ni mungu tu
Akiona huyo mtu atakufa,🤣🤣🤣🤣🤣mimi siezi taka maneno kaa hii aki with parent namwacha tu ,a man is not worth ,mi naachana na yeye narudi kwetu na mimi siezi olewa ever nakaa hapo na asiulize
Who is watching 2020, aki pole charity, u r so innocent
Mkisii alianza ndoa na madharau na kuongea mbaya. Lakini Mama awasamehe tu.
Young generation endeni polepole. Some things are very painful to parents.
Pole San charity ur mam n Mpenda pesa San if u r confortable with the gal continue with him
mama charity barikia mwanao ndoa
utajiri utoka kwa mungu
Aky wazazi wengine how ken u advice yo dota akae na sponye kuliko umuadvice atafute huzy wake
Waaa huyu mama nikichwa ngumu huyu mschana ni Mungu tu atakaye msamehe tu
Wa mama wengine jamani parents should jst stop this thing of making decisions for their kids
Hi, kuchukua bwana wa mtu na kumfanya bwanako..kwanza fikiria tofauti ya bibi wa kwanza na wewe ni gani? ?mamayako anakuonya na ww unaendelea utajuta mwenyewe
Hutu mama weeh mungu atusaidie haki
Woiye pole charity omba mungu ndie ana neno la mwisho huyu mama aliona pesa hatakula pesa tena
Upuuuus mama hiyo tabia sio nzuri huoni watu wanauliwa mfano Obado style up mapenzi yaingiliwi nkt
😂😂😂 nikiona huyo mtu naeza kufa
Redio imalise shipindi yake mama luhyia phoooo. Jifunze kusamehea we mama . charity you have played your Role God has already forginen you .wachama na huyu mama focus ahead. God will bless you
Huyu Mama anasikia sana mambo za jamii na Familie yake hataki kuchekwa inamuuliza sana
Mama always are mercyful. If you can't forgive it because you are not the real mother.
Really? A mother who give birth to a child and throw the child in a pit and the one who comes and get the child off the pit ,nurse her, clothe her, educate her to the point men start admiring you, now you want her to be forgotten just because of a stupid, confused and sexmaniac man, my sister i cant agree with your opinion kindly rethink yourself. Charity would have brought the man to mama again and tell mama that the another guy we are not moving on well due to his wife, therefore ,this one might be my okoa jahazi if anything goes wrong, mama could have know the guy, but this scenario of just running away with someone daughter with ego, and courage of sending police to your mother in law is a stupidity of the highest order.
😢😢😢😢some parent lol wacha dam aolewe
Devil is a liar eeeish so sad mother is unforgiving and she's mad that her daughter did not continue with the married man mwenye alikua anawa support sad! .. soo sad. Charity contue with your life God will give you peaceful life.. love ur husband and don't let the devil steal your marriage joy.
The mother is a devil wacha akufe na wivu yake. Anataka tu pesa.
uyu ni kama mama yangu aki very cursing😂😂ata ningedate kabila hataki aki ningepigwa na mbao☺lol...rip mum
Pole
🤣🤣🤣🤣Aki wamama
😂😂nimekwama hapo kwa kuombewa na mama ghinet karibu nikufe
Second to comment
Hehehehe
😂
Huyu mathee roho ngumu kweli,all juu ya doo
Maurice Mukiri 😂😂😂😂
Eeeh huyu mama hatakii Charity mazuri yuko baada ya pesa za ule sponsor. Let Charity leave her life anataka arudi atafute sponsor wa kumfanyia shopping she should style up si mambo na ukabila.
Wazazi wa siku izi NKT. pathetic.. Wacha maringo mamah😬😬😬
I wonder where such a mother came from which planet
to be sincere uyu mama anafikiria biashara lakini na mtoto wake in which nimakosa na mungu amuonekanie charity
God will bless your marriage charity
Hi charity. Paka kupenda maziwa na mbwa hupenda nyama. Mama yako anapenda pesa. Sio lazima ununue sofferset. Mtumie pesa kidogo kidogo kwa mpesa na hata mkisii amtumie na atabandilika. Kuongea tupu haitabandilisha yeye. That is how she is. They are all different.
How can this mother be after money and abandon her daughter? i have felt for this gal.
Uyu mathee anakaa shosho yangu😂😂😂what the hell
She isn't even speaking like a mother btw what do you expect from a single mother God bless my mother❤️😊
😂😂😂😂😂😂Aky waluhya mtanimaliza jamani nakumbuka siku yenye nilichapwa n mama yngu juu ya chali mwenye hataki io tribe ilibidi niachie wenye mapenzi my adult age Nko tu nategea God's time😃😃😃😃
Waaah pole
😂😂😂😂😂
Pole sana charity hapo hakuna shinda juu mama yako inaonyeshana wazi ni heli uvuje ndoa ya mwingine juu ya vituzile alikuwa ana patiwa .hii nimaisha yako na wamuzi niwako you are an adult she has to understand that
This is a very selfish woman
Huyu mama ni fisi ako after money
Aki
Mama ni muhimu kuliko kila kitu, mama akikuambia fanya ivo hata kama ni mbya ufanye
@@akdebrownskinofficial7665 hatahuyu si real mum wake
king Ak fitness nop my bro king mama nikila kitu kweli bt Sio kwa kukupoteza isitoshe pia hawana nafasi ya kukuchagulia mume ao mke coz utakae enda kuishi katika hio ndoa Ni ww Na ukisha kuoleka ruhsa yako Ni kutoka kwa bwana yako Hata mama akufe ama dad akufe kuenda kwa masishi bila ruhsa ya mume itakua nidhambi nakule kuenda huko bila dhini waeza sababisha mzazi akaingia jahannam Na kule kutoenda ukasubiri idhini ya mume humfanya mzazi akaenda peponi so Na pepo ya mwanamke iko chini ya munewe
Sana ak walaai mother mchafu sanaa
Charity cv yako imeharibika unapenda mjulubeng sana🤣🤣🤣🤣
Pole sana kwa charity but she should think twice.kwa maoni yangu tu.
Huyu mama ako after money.... Musiele uno yalamwa
Ni mungu alikubariki wakisii ni hatari Mzee ya mwenyewe hapana nilaana hata kwa mungu
Wamama wengine what happened to loving your kids and wish them well. Charity pia hii ni life yake amwache afanye yake in peace wah!!!!
*Mzazi akikataa jamaa hio come we stay uwa hainanga baraka, my sis same case she converted to Islam from christianity that made mum the saddest mum in the community her marriage was Mateso kulala bila food na watoto...kutoka kwa come we stay akirudi it was just sad even for me to see the suffering but she loved him untill her death caused by depression Waleo she slept 4ever.Will never forget her beauty and humble spirit*
To make it worse NO female attended her burial cos Muslim tradition women are not allowed for burial...that did hurt us much as family, like she was buried in a mass grave
*Like we all know makaburi za waislamu buries different than Christians*
Nway...let me stop it here before I write a book.
*Sorry for those who are in such situation I pray strength for all in Jesus precious name*
Wakisii utesa mabibi lol😂😂😂 huyu mama anapenda pesa sana na anaforce vitu
Na ni wagumu na pesa.😄😄😄. Nami ni mkisii tu lol
Wah noma,But mi huwa naona ukiwa kila siku unafata mambo ya mama,Aki huezi olewa kweli charity uamuzi n wako,Plz kama unampenda huyo jamaa endelea na maisha yako achana na maneno ya mamako
Alisa Ali's, my cuzo came Kwa introduction na hubby wake mum wake akamkataa, till now hajawahi olewa na Ako 55yrs now. So uamuzi ni wa mtu binafsi.
Charity achana na huyo mama tengeneza nyumba yako
Samehe mtoto wapatie baraka
Wah! Kesi ngumu kwelkwel
Mungu ongoza hii familia!
Huyo mama ako after pesa ..juu jamaa wa kwanza alikua anawasaidia whaaa
Wacha redio imalize shipindi yake😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mum ako after money ...hatakii mtoto wake mazuri
Kwani wakisii mnaletea mama mkwe mapolisi saa nane usiku😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mama anaogopo mapolisi usiku😂😂😂😂 according to me huyo mum ana roho ngumu na Charity hamtaishi na huyo mtu kwa amani na mathe analia machozi😥😥😥😥
Huyu mama balaaah tupu😅
bibi wa kwanza dio bibi hata haishi wapi wapili ni maid😆
Kwenda uko Qatar maid n ww
hata wakiwa Mia Yule yuko kwa Boma ndie wife.
Wakisii hutesa mabibi,,piga like kama unamini kama mimi
fuck
b mature young man... ukabila inatokea wapi?
Huyu mama hapewi pesa that's aki bitter. Such kind of mother ajibebe siwezi achana na mtu napenda
Mama wacha za ovyo
Mother Charity this is your daughter forget about money and material things from the other man. Forgive her and support her in anyway you can. Money is not everything in this world.
Waluhya na Tumbo😂😂😂 sasa analia nini huyo mama
🤣🤣🤣 huyu ni mama tamaa
Kukula tuu anaongea vibaya ......hii ni moto waluya wamenilemea aky nimesemako ivyo iyo ni chakula yake .....uyu mama hana heshima bt mungu amusamehe plzz...
@@edinahmoraa1289 mama ni mbaya lakini nikuulize uzuri wenu ni nini ?
Owa wote shida hiko wapi hata mama na mschana wake kipadacho roho dawa mwaa
Hapo kwa huyo mwanaume kuletea mama askari usiku sujafurahia kabisa! Charity alikataa huyo mwanaume wa kwanza juu ako na bibi alafu ameenda kuoleka kwa mwenye ameachiwa mtoto kijana hapa kuna cat panya game.
na mama ameona
Lakini mama ndio Kila kitu rudia mamako tafadhali mume Ni rafiki tuu
Waah!!! Ni huzuni,aki hadi nmekuhurumia Charity😓😪 pole aki