ZAKA ZAKAZI: "YANGA SIO BINGWA MARA 30" | ADAI NI UBINGWA WA 23 | ATOA DARASA KWA WADAU WA SOKA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 122

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 4 місяці тому

    Zaka uko vizur saaanaaa

  • @RashidiWhite
    @RashidiWhite 4 місяці тому +3

    Azam FC sio timu ya ushindanii. Ni yamatsngazo ya bidhaa za. Azam. Juisi. Ngano. Mikate

  • @EnockSDady
    @EnockSDady 4 місяці тому +2

    Matango pori

  • @JohnMagofi
    @JohnMagofi 4 місяці тому +1

    hana jipya huyu kolo wizard🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ibrahimandrew848
    @ibrahimandrew848 4 місяці тому +1

    Na AZAM FC Ni Ubingwa wenu Wa ngapi huu??.Ujinga tu ongelea Gundu lenu Sio Ubingwa Wa wanaume wenzio.Tengenezeni Timu ACHENI uswahili Na ubaguzi wenu hapo Azam.

  • @idrisahamimuhasani5717
    @idrisahamimuhasani5717 4 місяці тому +3

    Zaka 1919ulikuwepo au nawewe umekuwa kama semaji la CA f kutulisha matangopoli

  • @CharlesAmos-k3o
    @CharlesAmos-k3o 4 місяці тому +1

    Wakati simba anachukua ubingwa mara nne mfurulizo mbona hukuyasema haya? Au yanga inakuuma sana kuchukua ubingwa

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 4 місяці тому +1

    Kuna taifa stars, kuna zanzibar heroes, tueleze Zanzibar ni ya ngapi kwa viwango duniani na Afrika?.

  • @FundyDizaina-wi7lq
    @FundyDizaina-wi7lq 4 місяці тому +1

    Zaka umezaliwa mwakagani nampira ulianza kuufatilia mwakagani wacha kuwaongopea watoto wadogo wasioelewa

  • @RajabuSikabwe-rp1lj
    @RajabuSikabwe-rp1lj 4 місяці тому +1

    Kunasiku nilisema zaka nimmanyema mukabisha huyujama hajuwi istoriya yampira watanzania katokakongo atajuwaje mpira wa tz

  • @sadih5333
    @sadih5333 4 місяці тому

    Huyu jamaa ana hoja yenye mashiko sio hawo wengine ni mavuvuzela.

  • @danielbenard9053
    @danielbenard9053 4 місяці тому +1

    Unagwango wewe jamani

  • @ahmedjeizan4431
    @ahmedjeizan4431 4 місяці тому +2

    Chizi huyu aende TFF aka akaangalie Rekodi huyu kenge anajuwa nini

  • @VictorBugobola
    @VictorBugobola 4 місяці тому

    Sawa sio mabogwa mara 30 haya tuambie 😂 n mabigwa mara ngp😂...? Bongo unafiki sana yanga inagika mara 25 hadi mara 29 mnakubali n mabigwa leo kafka mara 30 et hmn huo ubigwa wa 30 hahahah

    • @AthumanRamadhan-h5e
      @AthumanRamadhan-h5e 4 місяці тому

      Unaumia ubingwa wa Yanga mara 30 ukiwa wapi?

    • @nelsonneeson620
      @nelsonneeson620 4 місяці тому

      Fungua kichwa chako sikilza mpaka mwisho judge halafu andika

    • @VictorBugobola
      @VictorBugobola 4 місяці тому +1

      Nd nlisha jaj alaf huyu n chawa 😂 Kama chawa limekaa kiwivu wivu Sana na YaNGa ypo kuongelea YaNGa vby

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 4 місяці тому +7

    Zaka za kazi una akili sana,kweli ww ni ofisa habari wa timu kubwa na bora AZAM FC💪💪💪

    • @DinoOneTouch7626
      @DinoOneTouch7626 4 місяці тому

      Yani kumbe nyie kolozidad bana hamna akili kweli kama huyu na timu lake bovu duuuu kama sio 30 basi mara tatu hatrik kataa basi

    • @VictorBugobola
      @VictorBugobola 4 місяці тому

      Et team kubwa na Bora Azam n team kubwa ya wp team Bora ya wap 🤪 weee kolo acha kujifarij kwa huyu lopokaj limekaa na wivu tu huyu nd alisema derby ya smba vs yanga ilikuwa mbovu ajawah kuona dab mbv Kama hii

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 4 місяці тому +3

    ZAKA ZA SIMBA umia sana Tena umia sanaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Bado sana utaumia kuliko, maana mmejaribu kutuchangia mtu na shangazi yake lakini mmekula bakora kama kawaida. 🤣🤣🤣🤣🤣 ZAKA ZA SIMBAAAA

  • @SimbabweSaid
    @SimbabweSaid 4 місяці тому +2

    Wewe mtoto hujui kitu fala wewewajuzi tu acha

  • @raybirry3816
    @raybirry3816 4 місяці тому +1

    PRINCE DUBE ALISEMA UKIIFUNGA SIMBA,KUNA WATU WANAUMIA KWENYE UONGOZI WA AZAM😂😂😂😂 SASA CHUKI ZA ZAKA ZA KAZI KWA YANGA ZINATEGUA KITENDAWILI!

  • @jeremiajohn4388
    @jeremiajohn4388 4 місяці тому +1

    Mtibwa alicheza na akashindwa kusafiri akafungiwa.acha kupotosha

  • @DrjosephKingo
    @DrjosephKingo 4 місяці тому +1

    We kima hsta kama ameshinda mara tatu wewe umeshinda mara ngapi pimbi sana wewe

  • @emmanuelcalist954
    @emmanuelcalist954 4 місяці тому +4

    Amna shida kaka zaka zakazi tufanye yanga ni bingwa mara tatu na ni bingwa pekee wa NBC PREMIER LEAGUE...Hii ni tatu bila

  • @mshua337
    @mshua337 4 місяці тому +2

    Nilikuwa nafikiria sana kwann Azam wanafeli kumbe wanaongozwa na watu ambao hawana akili.zaka anachofeli ni kutokujua Ile ligi ambayo anasema ilikufa ndio imerudi Sasa kama walikuwa wanahesabia na ubingwa Muungano hiyo idadi ndio inatakiwa kutolewa sio ya mashindano ambayo yapo.haijalishi bingwa wa bara alikuwa anashiriki mashindano Gani lkn ndio alikuwa bingwa sasa.mbona hesabu ndogo sana hizi kiongozi wa timu kubwa anashindwaje kuchanganua?

    • @nelsonneeson620
      @nelsonneeson620 4 місяці тому

      Anachoongea kwa wewe uliye na D moja huwezi kuelewa kabsa.

  • @FrankSamhenda
    @FrankSamhenda 4 місяці тому +1

    Hana lolote huyo anawaza ubingwa wa yanga badala awaze wa azam

  • @isacklyanga5835
    @isacklyanga5835 4 місяці тому +1

    Kila nchi INA bingwa wa kiistoria mpaka Ulaya, mfumo wa uendeshaji haubadilishi kubeba kombe.

  • @YusuphSaid-do1yg
    @YusuphSaid-do1yg 4 місяці тому +1

    Acha ujinga ww kwani Zanzibar sio Tanzania?

  • @DanielBururyo
    @DanielBururyo 4 місяці тому +1

    baada yakuangalia timu yake ana jadili timu zingine ajiulize kwann anadugwa na timu yakina chasambi

  • @ThomasGai-kz5cu
    @ThomasGai-kz5cu 4 місяці тому +3

    Zaka anasema Yanga wanajipa takwinu, ni kweli kuwa Yanga ndo wanajipa takwinu. Zaka ana historia kuliko Kibaden au Sunday. Punguza wivu kwa Yanga Zaka,

  • @clausemsemwa297
    @clausemsemwa297 4 місяці тому +1

    MANENO MEEEENGI UTADHANI ANAJUA

  • @zephaniasirikwa7495
    @zephaniasirikwa7495 4 місяці тому +1

    Zaka za kazi,wewe ni mjinga tu.huna lolote,zaidi ya kutafuta ujiko.sema usemalo,Yanga wataendelea kukutesa sana !ngombe wa jembe.

    • @AthumanRamadhan-h5e
      @AthumanRamadhan-h5e 4 місяці тому

      Aendelee kukazana na hao Wala urojoooo na si kuifuatilia Yanga yetu

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 4 місяці тому +3

    Mbona last year hawakusema ilipochukua trophy ya 29 ? Hili la 30 kelele zimekuwa kubwa

    • @austorb.nyondo2708
      @austorb.nyondo2708 4 місяці тому

      Alisema na aliandika, sema wewe hukusikia. Hata wewe ulitaka uongo ugundulike lini?

  • @titobernard383
    @titobernard383 4 місяці тому +1

    Mtakufa na Wivu

  • @minaniormar5841
    @minaniormar5841 4 місяці тому +1

    WEWE NI kolo

  • @OlivaMHANDO
    @OlivaMHANDO 4 місяці тому +1

    Uso mzito,moyo mgumu na akili zake mavi, DU Huyu msemaji wa Azam walimkuta wapi..

  • @denisshimela169
    @denisshimela169 4 місяці тому +1

    Acha ujinga inafafanua upuuzi tuuuu unaumia sana yanga kuwa bingwa kwan wewe timu yako imechukua mara ngap

  • @jankenkasambala7687
    @jankenkasambala7687 4 місяці тому +1

    Kila mtu ahesabu ubingwa wake

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 4 місяці тому +1

    Wewe chaujinga ulitakiwa uwe mwigizaji kama mlinzi, akili kisoda

  • @allyzaidi5707
    @allyzaidi5707 4 місяці тому

    Kwani sasa hivi pamoja na kuitwa TPLB (Tanzania Premier League Board- Bodi ya Ligi kuu Tanzania) Je, TPLB inajumuisha kuendesha na ligi ya Zanzibar? Jibu ni hapana… basi waache Yanga wahesabu na ule ubingwa wa bara pekee wa kipindi hicho cha zamani sababu ni ukweli wao ndio waliokuwa mabingwa wa bara wakati huo na mpaka sasa bado ligi wanayocheza Yanga ni ligi ya Bara kwa timu za bara kama ilivyo huo ubingwa wa zamani wa bara unaoukataa. Kwanini wasihesabie? Hoja ya kwamba kulikuwa na ligi ya muungano ni hoja dhaifu, haiondoi kwamba Yanga alikuwa bingwa wa bara. Mwaka huu 2024 ligi ya muungano imerudi na Simba ndio mabingwa mbona haujakaa ubingwa wa Yanga wa mwaka huu 2024 kwenye hesabu zako?

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 4 місяці тому

    kweli kabisa uzaka zakazi , kwani utopolo wao wanasemaje 😂😂???????ubingwa Mara 23 siyo 30

  • @JamesMakweta-sj1dy
    @JamesMakweta-sj1dy 4 місяці тому

    Huyo Zakazakazi asisifiwe kwenye ujinga kama anahoji idadi ya ubingwa kwa yanga kuwa sio huo kwa ground anazo zitumia je mbona hahoji kwa simba hizo 22 maana zote zinahesabiwa kutoka ligi imeanza na washiriki ni hao hao. Hivi anadhani vipngozi wa simba ambao ndo mahasimu wa kubwa wa yanga wangekubali TFF watoe idadi takwimu za uongo. Pia ajue kuwa hao viongozi wa TFF ndo hao hao mashabiki wa simba na yanga.

  • @YussufKhamis-n4c
    @YussufKhamis-n4c 4 місяці тому +1

    Kalewa Bangi huyo

  • @Benjathekingofficialtv
    @Benjathekingofficialtv 4 місяці тому +1

    R madrid ina vikombe vingap vya champions league au tuseme bado ana vikombe 8 maana vikombe vya nyuma haikuwa champions league ilavyote vinaesabika , iyo wivu kwa yangu 😂

  • @muharamiamiri9750
    @muharamiamiri9750 4 місяці тому

    Huyu kilaza hiyo hoja yake aipeleke TFF ndio wenye dha,mana ya mpira wetu na wao wanathibitisha hiyo mara 30

  • @ommyjuniorjumbe3328
    @ommyjuniorjumbe3328 4 місяці тому

    We Zaka ni fala mmoja tu..katafute kazi za kufanya mpira hufanani nao..una chuki na visasi visivoishi..kauze mikate na maandazi

  • @sulehamad8700
    @sulehamad8700 4 місяці тому +1

    huyu toka ale tatu na simba bado hajawa sawa

    • @AthumanRamadhan-h5e
      @AthumanRamadhan-h5e 4 місяці тому

      Naomba TU kama tukikutana nae fainali tumgonge Tena ili atuheshimu

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 4 місяці тому +3

    Kaliwa na nguruwe fc 3

  • @ChiliHelman-yv4re
    @ChiliHelman-yv4re 4 місяці тому +3

    Halafu yapunguzwe yaje kwenu au

  • @ElishaMwenga-ti7of
    @ElishaMwenga-ti7of 4 місяці тому +1

    Umefilisika hoja

  • @SharifuBakari-tr7hd
    @SharifuBakari-tr7hd 4 місяці тому +2

    Sasa hiy itakusaidia nn ikiwa wew unakikomb kimoj t pumbu wew

  • @isacklyanga5835
    @isacklyanga5835 4 місяці тому

    Zaka usijishushie hadhi yako,Yanga ni bingwa Mara 30 ,acha maneno ya wivu.

  • @alexchiwenda9540
    @alexchiwenda9540 4 місяці тому +1

    Kwani TPLB ilisajiliwa mwaka gani kama chombo rasmi cha taifa la Tanzania ? Kwa vyovyote vile hilo unalosema Zaka haliondoi ukweli kwamba Yanga ndiye bingwa wa kihistoria iwe kwa mara 23 au 30 haina maana. Kama Yanga akiwa na 23 nyie wengine mtakuwa na ngapi ?

  • @leonardsasita4634
    @leonardsasita4634 4 місяці тому

    Kutoka kuwania ubingwa Hadi kuwa mwanahistoria WA ubingwa

  • @AdamChuma-vb6ef
    @AdamChuma-vb6ef 4 місяці тому +2

    Ww zaka choko huna lolote

  • @mohamedmichonjo5077
    @mohamedmichonjo5077 4 місяці тому +2

    Wacha simba akupige 3

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 4 місяці тому +3

    TATIZO LA KUCHELEWA KUZALIWA UKIWA MBISHI

    • @wimranpatrick
      @wimranpatrick 4 місяці тому +1

      Makolo akili visodaaaaa mnaumia kutoka wapi

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 4 місяці тому

    Utokwinyooo wote hawajui mpiraaa"ni manyumbu fc

  • @jankenkasambala7687
    @jankenkasambala7687 4 місяці тому +1

    Zaka bado hujasema

  • @raybirry3816
    @raybirry3816 4 місяці тому

    UKIFIKA UMRI FULANI,KUNA BAADHI YA VITU LAZIMA UWACHE KUVUTA.

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 4 місяці тому +2

    ZAKAZAKAZI USIKU ATAISALIT AZAM,HUYU NI YUDA ESKARIOTI

    • @AbdulazizSuleiman-g6u
      @AbdulazizSuleiman-g6u 4 місяці тому

      Acha upuuz wko unatumalizia bandle zetu mjinga wew! Ina maana wew na tff nan anajua records

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 4 місяці тому +2

    Zaka acha ujinga

  • @DoryGeorge
    @DoryGeorge 4 місяці тому

    Nasmba anay mangp kama yanga ana23

  • @AbisinaRashidi-wg5jt
    @AbisinaRashidi-wg5jt 4 місяці тому

    Yanga kutojielewa TU uongo tu sio mala 30

  • @mariammbwana9018
    @mariammbwana9018 4 місяці тому +1

    Nawashauli azam mambo ya mpira achaneni nayo tu bakini kwenye uzamini na kuuza visimbuzi ngano na ice cream ila timu ya mpira vunjeni tu

  • @rasakakaombwe
    @rasakakaombwe 4 місяці тому

    Kwani Azam nitimu au nikiwanda😅

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 4 місяці тому

    Yanga ni figisu figisu kadi 2 nyekundi zikafutwa marefarii wamefungiwa figisu wachezaji kuhama figisu wamefungiwa hamna kusajiri figisu oooh mara 30 wamechukua kombe figisu kila kitu figisu

  • @alfredbowa9677
    @alfredbowa9677 4 місяці тому

    Azam kichaka cha ndundu

  • @omanbarka1588
    @omanbarka1588 4 місяці тому +1

    Sasa hili linatakiwa uchambuzi zaidi naliwekewe printi kuna kizazi cha Leo hatuya jui hayo mwandishi wa habari karifikishe hilo

  • @KasimuRamadhani-x7d
    @KasimuRamadhani-x7d 4 місяці тому +1

    Kwa hy ni mabingwa Mara ngap

  • @mohdyussah825
    @mohdyussah825 4 місяці тому +1

    Kilaza

  • @b.warron4631
    @b.warron4631 4 місяці тому +5

    Huyu nyie amuoni kama kichwa chake Akiko sawa...

    • @austorb.nyondo2708
      @austorb.nyondo2708 4 місяці тому +1

      Huna data huwezi kumkosoa kwa lolote. Simba na yanga ni waongo waongo sana

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 4 місяці тому +1

    Ni kweli sio ubingwa wa 30 Uko sawa kabisa ni Takwimu mbovu Tu zilizopo

    • @CastoryMlenge-ef9xn
      @CastoryMlenge-ef9xn 4 місяці тому

      Kila kombe Lina hesabiwa kivyake yeye ndio kachanganya aweke mdahalo ni muelimishe vzr maana kama muungano wameweka yanga kachukuwa mara6 sambamba na Simba yy anaa galia kutambulika na cuf😂😂 hapo yanga wanasema wamechukuwa kombe la Bara ×30 Babu kipala anang'ang'ani kutambulika na cuf na fifa😂uzee shida sana aiseee😂😂

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda 4 місяці тому +1

    Huyu jamaaa msenge shoga wa Azam

  • @mathiasmichael9132
    @mathiasmichael9132 4 місяці тому +1

    Ww nimwehu

  • @VenaceBoniphac
    @VenaceBoniphac 4 місяці тому

    Ukweli unauma, hapo Sasa yanga watamtukana sana

    • @yakobokuzenza6837
      @yakobokuzenza6837 4 місяці тому +1

      Tutamtukana yy pamoja na ww.Kuma la mama yako

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 4 місяці тому +1

    Hata LIVERPOOL makombe ya nyuma hawayatambui😂😂😂,safi sana zaka za kazi😊😊😊

    • @fredylucas2484
      @fredylucas2484 4 місяці тому

      Akili kama za Manchester United wanadhani Ligi ilianza wakati wa Premier League mwaka 1992😂🎉

  • @nestorymasale2714
    @nestorymasale2714 4 місяці тому +1

    Samahani zaka mashindano ya muungano ni kutafuta mwakirishi ktk uwakiririshi wa caf ili ushiriki haya mpaka uwe bingwa wa nchi sasa hapo alifikije kama hakuwa bingwa hesabu tuu na kataa kuwa mwaka fulani hakuwa bingwa acha porojo dogo yanga ni bingwa mara 30 umetaka hutaki

    • @hassankalombo5037
      @hassankalombo5037 4 місяці тому

      Sawa mzee Sasa Kwa Nini znz nao wanacheza club bingwa ya Africa inakuwaje

    • @SalvatoryMtunga
      @SalvatoryMtunga 4 місяці тому +1

      Bwegeeeeee huyooooooo.

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 4 місяці тому +1

      Kumbe wewe zakazakazi ni mpumbavu sana. 1965-81 timu za visiwani zilikuwa zinashiriki? Nini tofauti ya TFF na ZFF?

  • @paulokenedy4090
    @paulokenedy4090 4 місяці тому +1

    HUJAWAHI KUIKUBALI YANGA TULIA MKUU HANGAIKA NA TIM YAKO WEWEE

    • @bigjizee4130
      @bigjizee4130 4 місяці тому

      Zaka ni shabiki lia lia wa simba, ataikubali vipi Yanga

  • @ZaniaMohammed
    @ZaniaMohammed 4 місяці тому

    Huyu hata huko azam kaenda kimaokoto tu lakini hili ni kolo Lialia ngurue fc lazima liikatae yanga

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 4 місяці тому

    Naomba TFF wapeleke FIFA hilo pendekezo la kurekebisha haya makombe😂😂😂

  • @mwidinikiombile4494
    @mwidinikiombile4494 4 місяці тому

    Zungumzia ubovu wa azam fc yako. Acja ujonga mbwa wewe @zakazakazi

  • @EssanPius
    @EssanPius 4 місяці тому +1

    Duuu

  • @SamsonTanzania
    @SamsonTanzania 4 місяці тому +1

    Zaka zakazi 👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 4 місяці тому

    Hii elimu vijana hawawezi wakakuelewa,especially mashabiki maandaz

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 4 місяці тому

    Safi sana kuwanyoosha waandishi wambeya

  • @TelesphoryMisana
    @TelesphoryMisana 4 місяці тому

    Hakuna Dunia zote kaka ,Dunia ni Moja tu😊😊😊😊

  • @EnockSDady
    @EnockSDady 4 місяці тому

    Tuambie sasa mpaka sasa bingwa mara ngapi?

  • @DONALDYOWAS-rr7tz
    @DONALDYOWAS-rr7tz 4 місяці тому

    Zaka zakaz kaka unajua kuuongea nice

  • @JosephLamau-yq1lx
    @JosephLamau-yq1lx 4 місяці тому

    zaka umesema kweli hongera sana Mimi napenda Mtu anayesema ukweli yanga hutoa takwimu za uongo.

    • @OS-pf6op
      @OS-pf6op 4 місяці тому

      Tff hawalijui hilo? Unajua merging iliofanyika?

  • @EnockSDady
    @EnockSDady 4 місяці тому

    Matangapo pole

  • @mathiasmichael9132
    @mathiasmichael9132 4 місяці тому

    Zaka hana akili ni wivu tu anaionea gele yanga