RAISI MAGUFULI AZALIWA INCHINI DRCONGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @rakaieva5472
    @rakaieva5472 20 годин тому +1

    Vyema kabisa jina la MUNGU ribarikiwe saaaaaana kwa kutupatiya Papa Mutaamba 🙏🙏🙏🙏courage muheshimiwa chapa kazi Mr MUTAAMBA ubarikiwe baba .

  • @paulbernard3607
    @paulbernard3607 19 годин тому +1

    Uchambuzi nzuri sana, udps wakishikilia hilo itakuwa vyema sana, uchambuzi wa watu wazma.

  • @rakaieva5472
    @rakaieva5472 20 годин тому

    Mungu akurinde Raisi wetu Felix na pia Mungu akurinde Mr Mutamba .🙏🤍

  • @FezaLubungaMateso
    @FezaLubungaMateso 13 годин тому

    Uko mbali Sana na congo ndugu yangu Eli

  • @user-ys3fg8rf3s
    @user-ys3fg8rf3s 5 годин тому

    Magufuli, muhutu wa Tanzania. Nilimupenda sana nikiwa muhutu wa Kongo.
    Namupenda sana mutambamba.
    Atatupeleka mahali pazuri kabisa.

  • @MaombiRashidi
    @MaombiRashidi 11 годин тому

    Huyu jamaa Costa Mutamba ninamuelewa saana na nchi inahitaji kijana kama huyu.

  • @leonardmmunga2886
    @leonardmmunga2886 18 годин тому

    Ndugu Tomnson,
    Uta nisamehe bure.
    Sipendaki sauti ya huyo mtangazaji wenu wa sauti sawa inayo hingoe ndani ya mbegeti.
    Tokea nizaliwe sija sikia sauti kama hii kwenye mtangazaji.

  • @MtendeciDunia-je8ix
    @MtendeciDunia-je8ix 20 годин тому +1

    Mpeni sifa anaye stahili sifa

  • @Lax-j6w
    @Lax-j6w 16 годин тому

    Naitwa LAX MAN from TZD tupo pamoja

  • @adolphinechikwanine2958
    @adolphinechikwanine2958 11 годин тому

    Nimependa uchambuzi huu lakini hiyo sauti hapana

  • @Réverendsamy
    @Réverendsamy 11 годин тому

    Asante kwa utabiri huo.

  • @samueldagbuziza2440
    @samueldagbuziza2440 5 годин тому

    Baba Nini amefanya kabisa tungali naona vitu kawaida. Afanyanye kazi tumu samini ila kwa sasa hatuja ona kitu

  • @wikalepepesaleh1420
    @wikalepepesaleh1420 2 години тому

    Amani ya YESU KRISTO iwe nanti ! MUNGU Ali mteuwa DAUDI kwasababu maalumu, nasi COSTA-MUTAMBA leo ana sikika ndivyo sifi zina Peperushwa ulaya yote na njama zina undwa , nasi tuombe msahada kwa mzee wetu YESU KRISTO amfunike COSTA na amjaze ujasiri na nguvu kama alivyo fanya kwa DAUDI

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 5 годин тому

    Demoklasia haijawai na haitowai kuleta maendeleo yakweli africa sanasana kuwawa

  • @YalireAriane-mv9ls
    @YalireAriane-mv9ls 9 годин тому

    Pia mimi sipendake hii sauti hatakadogo inamalizaka tamaa yakufatilia mupaka mwisho

  • @JosephBilombelejosbimtungwa
    @JosephBilombelejosbimtungwa 15 годин тому

    Ila hii sauti imekaaje jaman inakera sana mbona
    Sipenda haka kasauti

  • @HeshimaAmuri
    @HeshimaAmuri 21 годину тому +2

    Ako kasauti sikapendaki wa congoma tuwe na,acha michezo

    • @adolphinechikwanine2958
      @adolphinechikwanine2958 11 годин тому

      Kweli kasauti kenyewe kanaudhi hadi anacho kisema haki pâti uzito

    • @zenngawo9469
      @zenngawo9469 7 годин тому

      Bongo yenu kabisa.
      Sauti djema kabisa,
      Sauti ya kulamucha wajinga busingizi na impact kubua sana.
      ⚠️⚠️⚠️
      Achane na ujinga wa ndungu.

  • @user-qf9uj2oc1b
    @user-qf9uj2oc1b 20 годин тому +1

    Hacheni mchezo Na nchi yetu , Mobutu alikua kibaraka alitawala miaka 32 bila mafanikio yoyote,kabila mnyarwanda alitawala miaka 18 Na Sisi wakongomani hatutaki uchaguzi tena maana felix anatufaa sn Na atatuvusha katika Haya mateso fatshi beton ❤️🇨🇩❤️🫡

    • @felicienbakulikira2076
      @felicienbakulikira2076 8 годин тому

      Tshilombo? Aturudishiye kwanza Rutshuru na Bunagana! Yeye ni mukorofi. Aliuzisha inchi. Tshilombo Bizimungu viva? Viva, viva, viva!

  • @samueldagbuziza2440
    @samueldagbuziza2440 5 годин тому

    Baba umetembeya Congo ili uhak8kishe mpaka kutabbiria vitu ambavyo bado kuona matokeo ya ku fanya tumu sami .

  • @FezaLubungaMateso
    @FezaLubungaMateso 13 годин тому

    Hivi mchambuzi unafikiri congo inaongozwa na mawazo ya wakongomani?

  • @user-qf9uj2oc1b
    @user-qf9uj2oc1b 21 годину тому

    Hata Mimi sikapendaki yani kana fanana bangi tu

  • @DavidAirtel
    @DavidAirtel 21 годину тому

    Shurani kwa mampya mu tangazaji

  • @user-uk9cz4fg5d
    @user-uk9cz4fg5d 5 годин тому

    Jambo mtangazaji mpendwa tunakufwata 5 5 kutoka bukavu sud-kivu. Mimi naomba mu 2028 fatshi béton abaki président n'a Costa mutamba kama abaki kama ministre wa justice, mu 2033 mutamba anachaguliwa kama raïs wa Congo.

  • @HeshimaAmuri
    @HeshimaAmuri 21 годину тому

    Na mu information munakuwa bumatanda?tuache michezo.

  • @MaombiRashidi
    @MaombiRashidi 11 годин тому

    WA congoman mpeni ushirikiano.

  • @JeanTujibikile-l1g
    @JeanTujibikile-l1g 14 годин тому

    Mimi Nina mwaminiya

  • @ArjunClaude
    @ArjunClaude 11 годин тому

    𝑺𝒂𝒖𝒕𝒊 𝒉𝒊𝒊 𝒉𝒂𝒊𝒌𝒐 𝒗𝒊𝒛𝒖𝒓𝒊 𝒃𝒘𝒂𝒏𝒂 𝑻𝒉𝒐𝒎𝒔𝒐𝒏.