CCM imekununua kwa shilingi ngapi? lisikie jibu la Mtatiro akihojiwa na Azam TV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • CCM imekununua kwa shilingi ngapi? Ni moja ya maswali aliyoulizwa Mtatiro, haya hapa majibu yake
    Mmoja ya wakuu na mwanachama mashuhuri zaidi wa Chama wa Wananchi, CUF, Julius Mtatiro, alitangaza siku ya Jumamosi kwamba amejitoa katika chama hicho na kuamua kujiunga na CCM. Leo amezungumza na Azam TV na kuweka bayana “mbivu na mbichi.’
    Mtatiro alichukua uamuzi huo akiwa katika nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati ya uongozi ya chama hicho chini ya Maalim Seif Sharif Hamad.
    Wakati anatangaza uamuzi huo alitaja sababu kadha, moja ikiwa ni kuwatumikia waanchi tofauti na angekuwepo CUF, nimezungumza naye katika mahojiano maalum.

КОМЕНТАРІ • 181

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 6 років тому +10

    Charls unafurahisha kwa masuali yako ni kweli wewe ni mmoja kati ya wachache sana katika Tanzania . Ukweli ni silaha katika kila nyanja ya maisha yetu. Hongera.

  • @mooking7913
    @mooking7913 6 років тому

    Je na masuala ya watu kupotea na wengine Kukutwa kwenye fukwe za Bahari ni yamekwisha? Au watuhumiwa wamepatikana?

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 6 років тому

    Mungu atujalie watanzania na Tanzania yetuuu.

  • @bonifacebenny2733
    @bonifacebenny2733 6 років тому

    Azam nawakubali sanaaa

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork 6 років тому

    Swali la mwisho jibu limeonyesha utata. Unaposema chama kikipitisha jambo unakwenda kuliongelea kwa mujibu wa chama (this means wananchi mnaotakiwa kuwatumikia wapo out of equation for that time, kwahiyo wanaweza kudanganywa tu as to benefit your political party, au unaweza sema ambacho deep inside hukiamini lakini utafanya nini sababu unatakiwa uwakilishe chama…) #Politics

  • @allahuakbarmuhammadrasulul9835
    @allahuakbarmuhammadrasulul9835 6 років тому

    Un points

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 6 років тому

    Ok

  • @lelomsechu7569
    @lelomsechu7569 6 років тому +2

    Mmmhhh!! Sura tuu inaonyesha haupo sawa

  • @soccertv293
    @soccertv293 6 років тому

    Kwann usifanye maendeleo ukiwa cafu Na Mkuu kashasema maendeleo hayana chama?

  • @daudimkwela
    @daudimkwela 6 років тому +2

    Charles Up Vizuri sana, yani Swali fupi ila linamchukua jamaa muda kujibu.

  • @peterfumbuka4104
    @peterfumbuka4104 6 років тому

    the guy is right

  • @ismailhassanaly5420
    @ismailhassanaly5420 6 років тому

    Duh.....siasa za njaa hizi ni shida sana

  • @hassangaudence1814
    @hassangaudence1814 6 років тому

    njaa

  • @sirajiabdulnuru6885
    @sirajiabdulnuru6885 6 років тому

    Saf bro

  • @magembeedward9483
    @magembeedward9483 6 років тому

    Mtatilo njaa inakusumbua,Mungu anakuona

  • @goodluckymakere9023
    @goodluckymakere9023 6 років тому

    nlikua Namuona Mtatiro Wa Maana Baada ya Kufika Bei Nimemdharau Sana Uyo Mbwa Mshenzi.

  • @elirehemaissangya4785
    @elirehemaissangya4785 6 років тому

    Mungu tupe nguvu, MUNGU tizama Tanzania, tunaenda wapi ee Mungu??

  • @AliAli-xi3hu
    @AliAli-xi3hu 6 років тому

    Wakati wa uchaguzi kina lowasa na wengine waliotoka CCM walinunuliwa na wao?

  • @jagarforever4201
    @jagarforever4201 6 років тому

    Bange mbaya sana mtatiro

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 6 років тому +7

    Kama uliaga bac much respect kwako coz kuhama sehemu kisha ukaaga majirani ni jambo jema hata ukikutana nao njiani hawata kuchukia. Kuhamia chama yoyote ni haki ya mtu yoyote ila kwa wenye kutafakari siasa watakuona hauna msimamo wa kweli coz ni ww juzi tu ulilaani sanaaa serikali hiii hata miezi haijapita leo waisifu utafikiri inaongozwa ni malaika hhhhhh wanasiasa nyie Mungu awaona.

  • @chambimagele6726
    @chambimagele6726 6 років тому

    Safi kuhama chama ni democracy na Haki yako kikatiba asiyependa akanyeeeeee....

  • @musarichard2934
    @musarichard2934 6 років тому +1

    from now onwards sitaipenda tena siasa ya kibongo...upuuzi mtupu

  • @williamkivulenge3081
    @williamkivulenge3081 6 років тому +16

    usicheze na njaa bhana, inaweza kukupeleka popote pale. ndo kilicho mkuta

  • @jonsonsamweli865
    @jonsonsamweli865 6 років тому

    Njaaaaaaa

  • @alimauld7733
    @alimauld7733 6 років тому

    Political is a business like other business that uses policies to get their archivement

  • @karemozil2923
    @karemozil2923 6 років тому

    Atatudanganya sisi tu ila ukweli anao mwenyewe Mimi nasema huyo ni mnafik na atakwenda chomwa ameshapoteza watu wengi alishawapotosha

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 6 років тому +8

    Me nilijua we ni mwanasiasa imara sana tangu mwanzo!! Ila sasa nimejua kwamba ( Usimwamini Mtu)..🏌🏽‍♂️

    • @mohammedsalim6398
      @mohammedsalim6398 6 років тому

      noel bryson Hakuna mwanasiasa anaefanya Siasa pasipo na pesa Siasa ni kazi tu kama zingine, ni kama katoka kampuni moja kahamia kungine, kama chars Hilary ulivyotoka BBC, kuhamia Azam, mtatiro uko sahihi hakuna aliechangia karo yako SHULE ni wazazi wako tu. Hongera Sana

  • @MrSoftBrains
    @MrSoftBrains 6 років тому

    Fursa, safi!

  • @samsonmwijage1602
    @samsonmwijage1602 6 років тому

    Godfrey Mbwambo uko sahihi kabisa.

  • @thetreasure2230
    @thetreasure2230 6 років тому

    Kwa msioelewa sanaa ya kIvita, Mtatiro angekuwa mtu mbaya kwa CUF, angebaki CUF kisha aitumikie CCM akiwa CUF...

  • @arttilioemiliam2419
    @arttilioemiliam2419 6 років тому

    Uko sahihi Mtatiro.. nakuunga Mkono N.a. ninaamini CCM watakutumia vizuri CHIN YA JEMBE JPM

  • @aloyceiluminata3650
    @aloyceiluminata3650 6 років тому

    we mwongo bana!!!,,,,,,,,,,wanasiasa wa Tanzania hawaaminiki pumbavu!!!!

  • @jumbeojaso5767
    @jumbeojaso5767 6 років тому

    Mtatiro nimekuelewa ,naamini umechukua uamuzi sahihi kutokana na kile unachokiamani ,na hiyo ni haki yako ya kikakatiba.Niwaombe wale wanaokubeza na kukutukana wakuache ukatekeleze wajibu wako wa kikatiba,kwani hata RED CROSS, na Madaktari wasio na mipaka wanapinga vita ,lakini wakati wa vita wana shiriki kwa kuwatibu majeruhi wa pande zote vitani ,na kwa kufanya hivyo ,wanaokoa maisha ambayo wasingeyaokoa kama wangepinga vita ile huku wakiwa ,,wanapiga kelele wakiwa majumbani,.Naamini hawa wanaokutukana wanaweza kuwa ni majeruhi katikati ya vita ,na wewe ni RED CROSS,AU DAKTARI usiye na mpaka ambaye unaenda kuokoa maisha yao katikati ya vita na kwa sababu wa namajeraha wataona thamani yako mwisho wa vita.Kuwa mweledi na mwaminifu na Mungu atakutangulia Mtatiro.

  • @ebitariho9720
    @ebitariho9720 6 років тому

    Wewe sema tu ukweli kuwa njaa imekuingia kichwani ukaona bora ukatafute cheo kama cha kafulila. Acha kutukana chama kilicho kutowa matongotongo utapata laana bora uondoke kimya.

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 6 років тому

    Yaani kama kina martin luther Nyerere, nkrumah, mandela wangekuwa na akili KM zetu nafikiri ukombozi mpaka leo ungekuwa bado

  • @salmadalaquimane5303
    @salmadalaquimane5303 6 років тому

    Ongera kka

  • @mfubwakilua5380
    @mfubwakilua5380 6 років тому

    Mm mwenyewwe nimecheka sn

  • @brassbandnbb4855
    @brassbandnbb4855 6 років тому

    Azam two, rusheni matangazo live maana Chanel nyingine hazionekani

  • @hamadshein935
    @hamadshein935 6 років тому +5

    Kama kwake hana maendeleo.ataweza kuleta maendeleo.kwa watanzani zaidi y milion 50.

    • @ugaboy4736
      @ugaboy4736 6 років тому

      weee uliisha tukana sana hakuna chance kuwa mpole tu

  • @frankzominister1473
    @frankzominister1473 6 років тому

    Huyu mwandishi wa habarivni mzuri sanaa

  • @salumrashidi216
    @salumrashidi216 6 років тому

    Jamaa mnafiki kweli

  • @eradmdage8504
    @eradmdage8504 6 років тому

    Njaa mbaya

  • @mussamwalimu4192
    @mussamwalimu4192 6 років тому

    Mmhhh mbona muhongo sana ina maana CCM walistuka na walikuwa hawajui chochote duuuh uhongo huo kaongope milembe wanaweza kukuelewa

  • @kitelaleonardleonard7588
    @kitelaleonardleonard7588 6 років тому

    Umbongo wako hauko sawa, ww ni kigeugeu

  • @stanleymuhimbula5590
    @stanleymuhimbula5590 6 років тому

    Mbona umekonda sana Mura?!. Kweli hukuwa na jinsi aisee!

  • @arttilioemiliam2419
    @arttilioemiliam2419 6 років тому

    na hata hivyo unachelewa sana.

  • @francisa.masawe5099
    @francisa.masawe5099 6 років тому

    Njaa tuu, itakua hana hela huyu.

  • @kadozawakadoza5955
    @kadozawakadoza5955 6 років тому

    hunalolote ushapewa mlungula kwani.siwewe uliesema.ccm.naserikali kwaujumla wananunua.madiwan nawabunge.sasa 2taaminije.kua hujanunuliwa?

  • @Ba63828
    @Ba63828 6 років тому

    MASWALI MENGINE BHANA HAYANA TIJA UR WELCOME NDG ITATIRO

  • @hashimumsilamgunda3636
    @hashimumsilamgunda3636 6 років тому

    Mtangazaji uko vizur hukwepeshi

  • @sarababi3560
    @sarababi3560 6 років тому

    Njaa imekuondoa CUF, acha kudanganya umma. Nawashauri CCM wasiwaamini watu kama hao.

  • @stephenmalilo9833
    @stephenmalilo9833 6 років тому +2

    I hate politics, I hate politicians......

  • @bakarali8075
    @bakarali8075 6 років тому +6

    Ata sura ishageuka ni dalili za unafiki

    • @BGHaule
      @BGHaule 6 років тому

      bakar ali
      nimecheka sana,hata sura imebadilika

  • @destiny4life439
    @destiny4life439 6 років тому

    ivi ninyi mnaponda hamjui maana ya chaguo ccm ni chaguo lake kama nyny manavochagua wake wengine mbwiiru lakini mmewapenda alllllaaaaaaaaaaaa

  • @mikajohn1229
    @mikajohn1229 6 років тому

    Moja kwa moja ili uweze kushiriki kikamilifu??????

  • @adijamwampulule6947
    @adijamwampulule6947 6 років тому

    umenunuliwa shingapi? jibu

  • @petermasele4686
    @petermasele4686 6 років тому

    jiamini mwenyewe mm siwezi kkuamini tena.

  • @goodluckymakere9023
    @goodluckymakere9023 6 років тому

    Mpinzani Wa Kweli Amebaki Mbowe na Tundulissu Na Chadema Yenyewe

  • @aronbanda4484
    @aronbanda4484 6 років тому +2

    Njaaa bwana

  • @alexjosephat9030
    @alexjosephat9030 6 років тому

    Huyu jamaaa anamswali hadi Raha😁😁

  • @kanyatilawanafiki1694
    @kanyatilawanafiki1694 6 років тому

    Ujasiri wote kwisha. Ongea yako tu ni ya kinafiki. Taarifa za wewe kuhamia CCM zilishavuja hata kabla hujaongea na waandishi wa habari.

  • @alikhalfan9551
    @alikhalfan9551 6 років тому +8

    Kala milioni mia Tatu cash na ubalozi kaahidiwa wacha aende ndo maisha IPO siku tutafika inshallah

    • @margarethsolomon9823
      @margarethsolomon9823 6 років тому +1

      Ali Khalfan Alikuwepo nanyi lakini hakuwa wakwenu. Angelikuwa wa kwenu angeliendelea kubaki kwenu. Kama ni msomaji mzuri wa magazeti. Soma gazeti la mwananchi la Jmos 09.5.2015 ISSN 0856-7573 Na.5401. Uk 28,29... Utamjua Julius Mtatiro ni nani na wajibu wake ni upi. Hana njaa kama watoa maoni wengi wasemavyo. Kila jambo na majira yake.Ninaamini ktk hilo.

    • @buguzangunura8157
      @buguzangunura8157 6 років тому +1

      Ali Khalfan kuwa upinzani sio kazi nyepesi. hao kabila la wandengeleko siku zote awaaminiki mtulia yuko wapi

    • @yasinikimbega5730
      @yasinikimbega5730 6 років тому

      Aliwah kusema wanachama wananunuliwa kwa vipande vya sh, je yeye amenunuliwa kwa vipande vya Dora ngap?

  • @muhangwatv8580
    @muhangwatv8580 6 років тому

    Njaa inasumbua tumbo la mtatilo

  • @staywar85
    @staywar85 6 років тому +2

    Alikuwepo nyerere Akipigania haki Uhuru na umoja na bado hakuwa Amepeleka watanzania wanapo takiwa kuwepo Utakuwa wewe na kauli zako za kinafiki
    Fata njaa yako
    Fata ahida zako
    Fata maisha yako
    Tanzania itakuwepo tu wote mtapita hata mfanyaje Hakuna mwenye kuishi miaka 60 mbele
    Tunaamini ipo siku atakuja kiongozi mwadilifu atakaye tatua shida za watanzania kama mzazi anavyo tatua shida za watoto aliyo wazaa mwenyewe

    • @kagomaeliezer5126
      @kagomaeliezer5126 6 років тому

      Raid asimpe cheo hiyo jamaa, ameletwa ccm na njaa, ccm inawatu wengi wenye uwezo wa uongozi zaidi yake

  • @tumainrenatus9733
    @tumainrenatus9733 6 років тому

    Mtatiro nyamaza tu!! Maana unatia kichefuchefu

  • @wrghkjdghklljg3819
    @wrghkjdghklljg3819 6 років тому

    njaa mbaya jamani

  • @mundhirhamad6595
    @mundhirhamad6595 6 років тому

    😀😀😀😀wewe ni matatiro hatukujua kama unanjaa kiasihichi niaibu

  • @rashidihamis6202
    @rashidihamis6202 6 років тому

    kwahyo angepata ubunge angejiuzulu tu na uchaguz ungerudiwa na jimbo lingerudi kwa ccm uchaguz wa marudio

  • @saidpolenikwamsbakinidi6232
    @saidpolenikwamsbakinidi6232 6 років тому

    Hakuna mkate mgumu mbele yachai hhh njaa mbaya sana subir upate utezi wako baba

  • @makalamkumbo954
    @makalamkumbo954 6 років тому

    Kwanini mtu akiomba kuhamia chama fulani huwa hakataliwi?

  • @barakalukumay
    @barakalukumay 6 років тому

    Njaa mbaya sana kesho utakua mkuu wa wilaya njaa njaaa njaaa njaaa njaaa njaaa njaaaa loooooo hata wewe!

  • @Ishengoma1
    @Ishengoma1 6 років тому

    Njaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa banaaaa

  • @abuuhafsah9630
    @abuuhafsah9630 6 років тому

    Hivi mbona sisiagi wanasiasa wa kimarekani wakihama vyama vyao...kunani bongo.....

  • @donaldnelson9226
    @donaldnelson9226 6 років тому

    Huyu ukikanae mahali ukamuomba kitu Fulani kwa utaratibu atakupa.

  • @frankzominister1473
    @frankzominister1473 6 років тому

    Ni njaa tatizo

  • @DeusNchembah
    @DeusNchembah 6 років тому

    Karibu CCM huku hatuna matatizo utakayokaa nayo.

  • @abuuhafsah9630
    @abuuhafsah9630 6 років тому

    Ila wanasiasa wa tz asiewajua atawauliza ..hakuna lolote zaidi ya njaa

  • @hamzasaidi3055
    @hamzasaidi3055 6 років тому

    Nae alikuwa kiongoz sasa kwanin akimbie..

  • @emmanuelhaule4410
    @emmanuelhaule4410 6 років тому

    Mwee elimu yetu na wasomi wetu bora uwe mbumbumbu!!!

  • @myself4128
    @myself4128 6 років тому

    Tanzania hakuna Upinzani, njaa za wasaka Tonge tu! CCM haiwanunui ila wanajioeleka wenyewe sababu hawakuwa wapinzani tokea mwanzo ni wasaka tonge tu

  • @rabielulomi8607
    @rabielulomi8607 6 років тому

    Napata shida, Maneno yote yale yenye msimamo Wa MTU anaejua anachokitaka hasa kuhusu haki za wanyonge yalikuwa maneno tu?

  • @milimomashini9432
    @milimomashini9432 6 років тому

    Kiapo cha mwenye njaaaa hakidumu..nadhan ndio muhimu kujifunzaa hilo

  • @marymahimbo7089
    @marymahimbo7089 6 років тому

    mpinzani wa kweli nliyebak n mm tu

  • @costacosta3247
    @costacosta3247 6 років тому

    Mbona ulisema wengine walinunuliwa tunakuamini vp juu ya hilo!!!!!!!!??????????

  • @emanuelimaiko8740
    @emanuelimaiko8740 6 років тому

    Nimemtowa thamani buibui uyu yumeamgaika naye sana leo amenda kikeni tuwache wanaume tuko powa

  • @khamisali4552
    @khamisali4552 6 років тому

    karibu nyumbani kaka wewe sio jembe,wewe nimpini hasa uko vizuri ccm ndio chama sahihi kwa wakati tulionao,upo sahihi.

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 6 років тому

    Mumuache aingie apendapo ccm msimkatae

  • @makalanikweli9383
    @makalanikweli9383 6 років тому

    pesa bwana

  • @abuaymanalshirazy2472
    @abuaymanalshirazy2472 6 років тому

    Tulikuwa tunajua fika

  • @jaliabahati39
    @jaliabahati39 6 років тому

    Ha ha ha ha ha huyoni ndina

  • @calvinamon4125
    @calvinamon4125 6 років тому +1

    haya bhana hameni tu kisanga kitaonekana

  • @shekhekassim6402
    @shekhekassim6402 6 років тому

    Wasalimie

  • @karemozil2923
    @karemozil2923 6 років тому

    Wewe sio kati ya wanaume mtatiro bwana mwanaume akimbii matatzo anakabiliana nayo wewe sawa na wakina shilole

  • @danielmwampondele9913
    @danielmwampondele9913 6 років тому

    Nyinyinyinyi mnaohama hayaa

  • @makalejr1360
    @makalejr1360 6 років тому +6

    Huna lolote tamaaa 2

    • @emmanueltarimo892
      @emmanueltarimo892 6 років тому

      Prince Makale kwaiyo unataka kutuambia lowassa na sumaye wana tamaa pia?maana nao wana tamaa pia

  • @selemanimdabwa1967
    @selemanimdabwa1967 6 років тому

    Chizi huyo

  • @mahrooqsuleiman7216
    @mahrooqsuleiman7216 6 років тому +3

    Bora utapewa uwaziri

  • @yesgood3491
    @yesgood3491 6 років тому

    Mhhh!!!ulijiunga na siasa utendendewe na CUF au uitende Cuf!! inakuweje mwanamume kupenda mazngira yaliyo andaliwa badala kutaandaa mwenyewe?et waenda ccm kwa kuwa ndo kuna fursa ya kuongea,kwa nini usipambane ili upande wenu na nyie kama oposistion kupata fursa ya kutoa ushaur au misimamo yenu!! How a man can a ma by being a woman?

  • @bushrahusban5210
    @bushrahusban5210 6 років тому

    Wamekununua shingapi unatia aibu mtatiro

  • @pastorgodsonjohn8562
    @pastorgodsonjohn8562 6 років тому

    Mtatiro amefanya maamuzi mazuri ila mazungumzo yake hayavutii kumwamini wanaccm tujiridhishe kwanza na huyu MTU sina historia yake Kwa kina ispokuwa sijamridhika najua mtanielewa fatilia majibu yake