"Ruto alituambia hakuna matajiri, lakini sasa anateua matajiri" - Wakazi wa Mombasa watoa hisia zao

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 29

  • @ritatruphena413
    @ritatruphena413 12 днів тому +4

    Jimmy Wanjigi for president.

  • @SamuelMathenge-gp6ye
    @SamuelMathenge-gp6ye 12 днів тому +1

    ICT ingepatiwa wale waliofuzu kutoka university. Imagine Kabogo akipewa hiyo kazi na mzee.

  • @stephenodundo-pi6hu
    @stephenodundo-pi6hu 12 днів тому +4

    Kasongo must go

  • @Gideon1GB
    @Gideon1GB 4 дні тому

    7:30 sense 💯

  • @SamuelMathenge-gp6ye
    @SamuelMathenge-gp6ye 12 днів тому +1

    Kwani hakuna Gen z hata mmoja

  • @franmdleleni6520
    @franmdleleni6520 12 днів тому +1

    I like these interviews where we hear voices on the ground

  • @Digitek5300
    @Digitek5300 12 днів тому +1

    Serikali ya mamabonga

  • @mercynjagi9692
    @mercynjagi9692 12 днів тому +3

    Mulima ilienda kitambo

  • @EricMuema-ko4od
    @EricMuema-ko4od 12 днів тому

    Bwana mdongo tuko pamoja🙏

  • @AnnMaina-i4v
    @AnnMaina-i4v 12 днів тому +1

    Ruto aliguza mlima lazima aishe exodus 19:12 kishamramba

  • @omarshaban4735
    @omarshaban4735 12 днів тому +1

    Ruto must go

  • @SamuelMathenge-gp6ye
    @SamuelMathenge-gp6ye 12 днів тому +1

    Na ni mzee

  • @OmarNuri-w7v
    @OmarNuri-w7v 12 днів тому +1

    Kama hii ni njia ya kubembeleza mlima let me tell mr kasongo mlima umeenda long time ago,is too late for u to recover ,You appointed those who served in government for several years u bring them back in government,while young yuth with same qualifications were sufuring due to luck of inployment, siku gani vijana watapata ajira kama wazee wenye pesa wanaenda nyumbani halafu tunawarudisha kazi tena, kwani hawa wazee wamekula vya kutosha but imagine hawashibi walafi wakubwa

  • @PaulMwangi-hw2pi
    @PaulMwangi-hw2pi 11 днів тому

    Sikio la ufa halisii dawa, Uhuru alisema tu lakini hatukusikia .
    Hii ni mitego Ruto anaitega mlima kenya,alisema hatumjui tata mjua

  • @johngithaiga8108
    @johngithaiga8108 11 днів тому

    Hao ni watu wa boda na mama mboga Dio hao sasa

  • @mikecom
    @mikecom 12 днів тому +1

    Mt kenya have gained ... I support the appointment but he must go. 2027 is gone

  • @priscillamakena3884
    @priscillamakena3884 12 днів тому +1

    Kwani Kenya doesn't have young people for these job's..... only giving job's to rich grand fathers😮

  • @OnesmusUleli
    @OnesmusUleli 12 днів тому +1

    Wanapeleka watoto wetu dubai wakakuwe watchman ili ateue wazee kuwa mawasiri

  • @TerezaBaya
    @TerezaBaya 12 днів тому

    😂😂😂 bure. If you don't register and vote enmasse come 2027 things will be hell

  • @yussufahmed136
    @yussufahmed136 12 днів тому

    Ni ukweli matajiri wako wengi kwa serikali ya ruto mali yao yote ni millions and billions na wananchi tunatestwa kupata huduma ya afya haki

  • @mikecom
    @mikecom 12 днів тому +1

    Huyu reporter should stop touching interviewers

    • @abdullmumtaz7736
      @abdullmumtaz7736 12 днів тому

      Ooh kumbe u saw it, I too don't like it, it makes me feel insecure..

  • @Bonish-j8h
    @Bonish-j8h 12 днів тому

    Jaluo n jaluo luhya n luhya only stomach nothing they're arguing about nonsense

  • @BensonMugesi
    @BensonMugesi 12 днів тому

    Wewe kofia nyeupe bure kabisaa

  • @salimmoha7962
    @salimmoha7962 12 днів тому

    Hao ulio wahoji wote ni wakikuyu

  • @tabithawambui3904
    @tabithawambui3904 12 днів тому

    Ruto must go

  • @mwanaidi444
    @mwanaidi444 12 днів тому

    Ruto must go