Je wafahamu kuhusu jamii ya Wabulushi nchini Kenya ?
Вставка
- Опубліковано 1 гру 2024
- Wabulushi ni watu wa Asia kutoka mataifa ya Afghanistan, Pakistan na Iran ambao wamekuwa sehemu ya jamii ya waswahili wa Mombasa, Kenya na Afrika Mashariki. Fahamu historia yao kupitia video hii ya DW Kiswahili.
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
You can still wear your traditional clothes in Kenya.
Kuna wabulushi wa Tanzania huku, wao ndio wamesambaratika Tanzania nzima tutafurah tukipata historia yao nao wamefikaje huku, wametokea mombasa au nao walikuja kuwatoa wajerumani
wako wapi huku tanzania?
@@mariambintsaid3814 Mbeya na Iringa na Tanga na Bagamoyo na Zanzibar
Vpi wamesambaratika hawathaminiwi au hawapewi haki zao
Angalau mabulushi wa kenya wanajitambua,Maashaallah, lkn mabulushi wa Tanzania wengi hawajitambui,wala hawakutaki kwao kwa asili Baluchistan,wao wanajiita ni warabu, tena ni al baluchi,na wanasema wao warabu na wanatoka Oman,ukitizama huko Oman kuna biladi zao yaani vijiji vyao na asili za watu wao
Walifika pia visiwani Zanzibar wakati huo walipofika Mombasa...
Baluchistans
Sasa utawala wa sultan umekwisha ..rudini nyumbani balochistan
Maneno ya aibu. Yataka asie muislamu kusema hivo
😂😂
The balochis
Baluchistan, no burushi