Jinsi ya kuzuiya computer au laptop kufanya windows auto update

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024
  • Kwenye video hii nitaelekeza Jinsi ya kuzuiYa computer au laptop kufanya windows auto update na hii itakusaidia kwa kiwango kikubwa kupunguza matumizi ya bando kwenye pc au computer hii ni changamoto sana kama hujazuia maana kama hauna bando la kutosha utashindwa kutumia pc yako kwa matumizi ya internet
    #Toawindowsupdate#Matumiziyabando#punguzamatumiziyabando#automaticwindowsupdate
    #windows10 #windows11 #windows #windowupgrade

КОМЕНТАРІ •