Jagwa Music - "Mpango Mzima" (live at Roskilde)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 141

  • @tellymapito8726
    @tellymapito8726 6 років тому +10

    Hii nyimbo munguakiendelea kunipa uhai ladhima niulidie niufanyie caver

  • @samuelmweipongwe140
    @samuelmweipongwe140 3 роки тому +9

    Mziki wa asili ndio huu sasa, huwezi kuukuta popote pale duniani zaidi ya Tanzania 🇹🇿 R.I.P Jack Simela

  • @omaryonga1776
    @omaryonga1776 3 роки тому +3

    HUU NDIO MZIKI HALISIA WA KITANZANIA.... TANZANIAN MUSIC IS VERY ATTRACTIVE

  • @josephliston1133
    @josephliston1133 2 роки тому +3

    R.I.p Jack Simelaa Tanzania to the world

  • @banzijunior2807
    @banzijunior2807 10 років тому +14

    I just love Eem Jagwa music i'm proud to be Tanzania

  • @ramadhanmuhuro1853
    @ramadhanmuhuro1853 11 років тому +8

    ijagwa is best nature music of Tanzania. i like so much this music.

  • @jahabdallah1829
    @jahabdallah1829 5 років тому +2

    Daaa baria wetu mungu hakusame zambi zote hii ni kwajiri ya mabaria waishiao south Africa bado tuko nawe we love you jack simela rest peace m south Africa jah

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 роки тому +3

    Hatari sana 😭 R.i.p home boy, Kino nyamala aminia

  • @jhoevicdonatenkova870
    @jhoevicdonatenkova870 7 років тому +27

    Mziki wao unanipa sana hisia za nyumbani kwetu Tanzania

  • @jumanyanda9740
    @jumanyanda9740 7 років тому +6

    Jamani huu mziki wetu uliishia wap tz ingezangazw sana kptia huu mzki

  • @matekerekurwijira3175
    @matekerekurwijira3175 6 років тому +7

    nawakubali sana jagwa mnapiga mambo ya asili tuko pamoja

  • @moulyidabdallah7223
    @moulyidabdallah7223 4 роки тому +2

    Daaah Mungu akulaze Maala pema Jack simela Daah inauma Sana kila nikiona hi video nakumbuka Sana🙏😔😥😫

  • @daudimaniseli759
    @daudimaniseli759 6 років тому +3

    Allah akusamehe ulipo kosea tulikupenda sana unajua mziki jagwa imepata wakat mgumu sana Allah awasameh mlipokosea.

  • @PhilomenaSteven-tq2tx
    @PhilomenaSteven-tq2tx Рік тому

    Daaah mungu akupungu adhabu ya kaburi good song unanikumbusha mbali sana navyosikiliza jagwa😭😭😭

  • @brunofernandez6608
    @brunofernandez6608 2 роки тому +2

    Wazungu wanacheza ww nani mpaka usiimbe from 🇹🇿🇹🇿

  • @jacksontesha7997
    @jacksontesha7997 3 роки тому +7

    Maisha ni mazuri na Mziki wa nyumbani....Nabaki Afrika, nabaki Tanzania siku zote.

  • @athumaniomary1245
    @athumaniomary1245 6 років тому +17

    09/12/2018 IT'S AN ACCEDENT TOOK OUR TRANDITIONAL ARTIST...JACK SIMELA...R.I.P...FROM TANZANIA SORROW

  • @kherisalum6304
    @kherisalum6304 3 місяці тому +1

    2024 still 💥

  • @donaldmartin-ps2ig
    @donaldmartin-ps2ig Рік тому +3

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 rip jack simela dah rip juma mpogo maisha ni mafupi Sana 😭😭😭😭😭😭 today 2023

  • @bridgeofsand
    @bridgeofsand Рік тому

    Peak. The human spirit in living form. Greatful.

  • @godfreyngowi6434
    @godfreyngowi6434 7 років тому +6

    Hawa jamaa nawakubali sana...hasa wanayoipaisha nchi yetu ugenini.....kuna kitu serikali inatakiwa kufanya katika mziki huu

    • @doyjack95jack39
      @doyjack95jack39 6 років тому +1

      Godfrey Ngowi Ndio ameshafariki leo Jagwa daah Rip

    • @donaldmartin-ps2ig
      @donaldmartin-ps2ig Рік тому

      ​@@doyjack95jack39unaposema jagwa unazungumzia kundi huyu ni jack simela waliunda band ya jagwa music band pamoja na akina juma mpogo wote ni marehem kwasasa

  • @hamisimatondo4411
    @hamisimatondo4411 9 років тому +6

    Love you jagwa music, live band its real cool,,,,,,, nice performance

  • @upendasana7857
    @upendasana7857 8 років тому +6

    This is just amazing,it looks like such fun.

  • @ahmedmohammef5118
    @ahmedmohammef5118 7 років тому +8

    nawakubali sana mimi wabongo wenzangu

  • @Project1986p
    @Project1986p 6 років тому +6

    Rip to the front man of the band🙏🏽..died in december 2018🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @Oscarmakobo-l7e
    @Oscarmakobo-l7e 7 років тому +1

    Jagwa mnakimbiza hata wcb wakasome...mziki wa uswazi aminia cheki mizungu mnavyo irusha aminia jagwa music tanzania stand-up..@sekunde master..

  • @Project1986p
    @Project1986p 9 років тому +6

    Pamoja sana wazee wa kazi..hii ndo culture yetu ya uswazi..mmetisha👏🏾👌🏾

  • @deejayph5822
    @deejayph5822 Рік тому

    Incredible uwezo

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 Рік тому

    Hapa Canada wanaupenda sana huu music

  • @eddyeddy2907
    @eddyeddy2907 4 роки тому +5

    Ndio mana ukaitwa mnanda vinanda vyake vinaleta hisia na msisimko flan ukivitegea sikio kwa umakini sana kama vinaleta maumivu flani hivi moyoni.. R I P Jack Simela

  • @RutayisireJ
    @RutayisireJ 10 місяців тому

    Respect sana 😢😢tuta kuku mbuka daima❤❤❤

  • @mbondokambi8053
    @mbondokambi8053 6 років тому +7

    R.I.P Simela mwamba wa kinanda,,M/Mungu amekuhitaji hakuna namna

    • @tzatza255
      @tzatza255 6 місяців тому

      Duuuh, aliumwa??

  • @zakayojeremiha9661
    @zakayojeremiha9661 3 роки тому +1

    Mwamba nlikuwa namuelewa sana R.I.P jack.

  • @stewartkilewo4433
    @stewartkilewo4433 6 років тому +1

    inanikumbusha mbali hizi nyimbo only in Tanzania

  • @richardyusuphmsongolomakat2049
    @richardyusuphmsongolomakat2049 6 років тому +2

    Nakubali nakubaliiii 2018 still watching

  • @JumaRashidi-e2v
    @JumaRashidi-e2v 5 місяців тому

    Jagwaaaaa❤❤❤❤

  • @shafiichusi1897
    @shafiichusi1897 Рік тому

    2023.... mziki mziki jagwa..R I p.. Jack simera..😭😭😭😭😭

  • @mhinatumba4460
    @mhinatumba4460 4 роки тому +1

    Daah huundio mzikiwangu halisi....
    R.i.p. mwamba

  • @madarakaempire4744
    @madarakaempire4744 2 роки тому

    Mpaka Leo 2022 nasklza jagwa music. Mchirku mzk alisia Tanzania flavour za nyumban

  • @nickklaus2644
    @nickklaus2644 8 років тому +5

    mzuka amazing music

  • @amanda90131
    @amanda90131 12 років тому +2

    Amazing!!

  • @marcianophilipo9478
    @marcianophilipo9478 6 років тому +13

    Daah umeondoka ndio unakumbukwa ....inasikitisha sana tulishindwa kumpatia heshima yake yungali hai.

    • @omarymgeruka9345
      @omarymgeruka9345 6 років тому

      Good msg bro

    • @johnbosco2024
      @johnbosco2024 5 років тому

      KBS bro

    • @modycombo7421
      @modycombo7421 3 роки тому

      Kweli kabisa kabisa

    • @garsonmolaric603
      @garsonmolaric603 Місяць тому

      ni kweli ila sasa kipindi hicho wote ndio tulikuwa tumeingia mjini Daresalaam,tunapambania, anyway Mungu ailaze roho yake peponi

  • @richardyusuphmsongolomakat2049
    @richardyusuphmsongolomakat2049 5 років тому +2

    Natokwa na machozi nikicheki hii video R.I.P Jack Simela

  • @khamiskamtoi5480
    @khamiskamtoi5480 2 роки тому +1

    Rest In Peace 😭

  • @ireneaugustinokalinga9507
    @ireneaugustinokalinga9507 6 років тому +3

    Mjinga awez kuelewa mzik wetu (stupid does not understand this muzic) waoooo big up jagwa

  • @micagabriel2982
    @micagabriel2982 6 років тому +4

    REST IN PEACE JACK SIMELA

  • @abuumngoya
    @abuumngoya 4 роки тому +1

    Mziki mzuri mafanikio kwao ilikua ndoto wamepigwa sana pesa hawa watu

  • @shaabannyuge6857
    @shaabannyuge6857 6 років тому +8

    Rip Jack simela tutakukumbka daima

  • @Fogaster1
    @Fogaster1 12 років тому +10

    huu ndio mzk wetu

  • @ahmedykisuse7708
    @ahmedykisuse7708 8 місяців тому

    Udongo umezaa wengi😢😢

  • @lomesh108
    @lomesh108 11 років тому +3

    Maad! Prague is looking forward

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 7 місяців тому

    Jamani Mungu😢😢😢

  • @fatumabakar5694
    @fatumabakar5694 6 років тому +1

    😭😭😭tutakukumbuka milele

  • @jonesgeorge3152
    @jonesgeorge3152 4 роки тому +1

    Amazing

  • @tatoosaleh5781
    @tatoosaleh5781 6 років тому +4

    Yaani nailudia adi laaa

  • @SagaMasaru-sl7qd
    @SagaMasaru-sl7qd Місяць тому

    Jagwa mzika❤ 2:12

  • @agestatsega
    @agestatsega 3 роки тому

    Looks Fun.

  • @Informationtz
    @Informationtz 3 роки тому +1

    Jack simela pumzka kwa amani my brother 😭🤲namungu akulaze maahali pema peponi amee🙏 Jack simela king music 🔥R.I.P

  • @petermim
    @petermim 6 років тому +4

    R.I.p bro# baba dulla

  • @salamanderxx9659
    @salamanderxx9659 10 років тому +3

    Wanawakilisha uswazi

  • @gospelsquard3123
    @gospelsquard3123 3 роки тому +1

    Mziki mtamu Sana, kuna haja ya kujenga kumbukumbu yake

  • @mauaebby2257
    @mauaebby2257 6 років тому +4

    R.I.P MUNGU AMPE KAUL THABITI

  • @allankashoro2077
    @allankashoro2077 8 років тому +8

    Mchiriku makini sana

  • @markkayuni9775
    @markkayuni9775 7 років тому +4

    mziki makin sana

    • @mambojambosarakasi5813
      @mambojambosarakasi5813 6 років тому

      this real music from Tanzania. more life my people, keep going my people

  • @allykitwana8578
    @allykitwana8578 6 років тому +3

    R.I.p jack simela

  • @isharazahoro2445
    @isharazahoro2445 7 років тому +2

    Dah raha sana

  • @aleeyfani8
    @aleeyfani8 5 місяців тому

    Namuona salehe akipiga vigoma mtoto wa kawe daah mchiriku ulimpeleka ulaya

  • @charxsymon1954
    @charxsymon1954 6 років тому +3

    Rip simela

  • @awadhishembilu9565
    @awadhishembilu9565 3 роки тому

    Asili yetu tanzania

  • @bashirumandwanga130
    @bashirumandwanga130 5 років тому

    2020

  • @renatusjohb9949
    @renatusjohb9949 8 років тому +3

    Baba dura hohoho ninoma

  • @hamadyndembo7152
    @hamadyndembo7152 4 роки тому

    Vyanyumbani vizur hadi raha

  • @mukakathejoker6504
    @mukakathejoker6504 5 років тому

    Baba dulllah oooooooooh
    R.i.p jack

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 4 роки тому

    Aiseee ni noma

  • @deedee3614
    @deedee3614 4 роки тому

    mie ni pale 4.16 mpaka 4.30 weeeee

  • @peacechodile8578
    @peacechodile8578 5 років тому

    Yes Rasta R.I.P simela

  • @hamadiabdallah3906
    @hamadiabdallah3906 3 роки тому

    RIP
    Jack simela

  • @abuukulunge230
    @abuukulunge230 6 років тому

    R.I.P Dogo Jack Simela,Daaah very Sad

  • @ramadhanichambuso6508
    @ramadhanichambuso6508 12 років тому +7

    daa yani hapa nipo nyumbani kabisaaa....daaaa nayakosa mambo haya huku EUROPE hakuna...

  • @saludermyder6816
    @saludermyder6816 4 роки тому

    Jack Simela...
    hakika kila nafsi itaonja mauti...

  • @nellxoxoxo9966
    @nellxoxoxo9966 7 років тому +2

    Haina Kutiri tiri wanangu kazeni tuuu

  • @rajabukoo2058
    @rajabukoo2058 6 років тому

    Baba dulla ohhhhhj

  • @lamlaissa7726
    @lamlaissa7726 7 років тому +1

    good

  • @jumarswedi943
    @jumarswedi943 3 роки тому

    🥰🥰

  • @jifunzeteknolojia9304
    @jifunzeteknolojia9304 6 років тому

    Mziki mtamu huu

  • @kilingechasimulizi2072
    @kilingechasimulizi2072 2 роки тому +1

    Nataka mtu apost video ya wasanii pendwa tz( kina mondi, kiba , hormo na wengine) akiwachezesha wazungu na kuwaimbisha tena wakiwa wamejaa ukumbi namna hii. Hawa watu wanatakiwa wapewe heshima yao

  • @jomawazo2475
    @jomawazo2475 6 років тому +1

    R.i.p dogojack

  • @mwinyimaulid595
    @mwinyimaulid595 4 роки тому

    Ha ha haaaa mpaka wazungu wanaimba

  • @salumumkumbalu4032
    @salumumkumbalu4032 6 років тому

    r I p fogo jack

  • @jumannemzee6546
    @jumannemzee6546 5 років тому

    Baba gora sijakuona kwenye jukwaa

  • @danielyared4880
    @danielyared4880 5 років тому

    2019_6

  • @christopherbenjamini8943
    @christopherbenjamini8943 4 роки тому

    Christopher

  • @ayshaommy8700
    @ayshaommy8700 8 років тому +3

    jmn uwiii adi midadi

    • @Twalibuidd
      @Twalibuidd 6 років тому

      Aysha Ommy naipataje hii nyimbo ya hawa watu jmn

  • @zawiyatasha5098
    @zawiyatasha5098 6 років тому

    😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @aminamwangile1047
    @aminamwangile1047 6 років тому

    Rip

  • @godfreyleonard9674
    @godfreyleonard9674 6 років тому

    2018

  • @saidimautanga6363
    @saidimautanga6363 10 років тому

    nice

  • @jumannemzee6546
    @jumannemzee6546 5 років тому

    Ama ukwenda

  • @TerahuAlkasin
    @TerahuAlkasin 10 місяців тому

    HUKUMA

  • @rashidimatumla1344
    @rashidimatumla1344 5 років тому

    jack simela ndo yupi apo