🔴LIVE: GOOD MORNING NDANI YA WASAFI FM 17/8/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • 🔴LIVE: LIVE: GOOD MORNING NDANI YA WASAFI FM 17/8/2024

КОМЕНТАРІ • 7

  • @raheemkhalfani7209
    @raheemkhalfani7209 23 дні тому +4

    unafahamu kitu, ukifanya kazi na Mzee zembwela ujue unanenepa tu kwa maneno yake,, he is pure mswahili huwezi dhania kama huyu jamaa ni mtu wa bara na sio wa pwani kutokana na maneno yake mengi mengi lakini pia yana mshindo kila anapoyatamka.. big up kwako mzee Zembela..

  •  23 дні тому

    Karibu Mussa kipanya

  • @spantonsamba6191
    @spantonsamba6191 23 дні тому

    Kwa msimamo huo wa RPC usalama wa huyo binti upo shakani...kuna watahakikisha hatavifikia vyombo vya habari kuusema ukweli wake....

  • @amoswailesdeule6373
    @amoswailesdeule6373 23 дні тому

    Mnaupiga mwingi sanaaaaaa😅😅

  • @LuhanyaMipawantobi-pj1iu
    @LuhanyaMipawantobi-pj1iu 23 дні тому

    Kwahiyo Chaz William ameleft!!!!?

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 23 дні тому

      Yupo na awezi kwenda kwa sasa hawa mikataba yao imekuwa ya mda sio kama zamani. Mondi mjanja siku hizi unapigwa hela lkn mkataba 3/4 yrs😁

  • @elizabethhange9638
    @elizabethhange9638 23 дні тому

    Haki itendeke juu ya huyo binti