Joramu Nkumbi = HATARI YA BONGO FLEVA, Fikra Tunduizi za Mlumbi, AWATIA MOYO VIJANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 28

  • @LegniberthMtega
    @LegniberthMtega 9 місяців тому +1

    Plo lumumba wa Tanzania ,, kama ulivoomba baraka kwa proffessor lumumba akubariki naakakubariki kwa kusema " be greater than I " naona unaenda kuwa greater hongera sana

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 2 місяці тому

    Safi sana kaka J tunakupata kutoka captown hapa karibu sana

  • @philipomushi4766
    @philipomushi4766 9 місяців тому

    Hongera sana Joram Mungu akupe Neema zake zaid

  • @DamianAndrew-w6j
    @DamianAndrew-w6j 10 місяців тому

    Big thinker

  • @philemonmwakanyamale3856
    @philemonmwakanyamale3856 11 місяців тому

    so insightful🙏

  • @shenamtukufu1224
    @shenamtukufu1224 11 місяців тому +2

    Si kumuona huyu kulia mwenye kofia, uyu kdg kama amezingatia. Big up sana mwanangu chukua madini ayo Achana na lile punga kule linashangaa rangi nyekundu studio😢😂

  • @joramunkumbi
    @joramunkumbi  11 місяців тому +1

    Ima fa Ima

    • @machaelghumpi9198
      @machaelghumpi9198 11 місяців тому

      Jamaa yupo vizuri sana nimepata somo kubwa sana

  • @roviykamage5423
    @roviykamage5423 11 місяців тому +3

    Hongera sna joramu mkimbi ww ni shujaaa na marifa makubwa sna taifa likikutumia ipasavyo tutayavuna mema ya tanzania na africa

  • @albertlucaskoisha7353
    @albertlucaskoisha7353 9 місяців тому

    Baadhi ya nyimbo za Bongo flaver zinaharibu sana watoto

  • @dr.ibrahimtirimbaondabu20142
    @dr.ibrahimtirimbaondabu20142 9 місяців тому

    Hongera Joram, na vijana wacha tuwe na fikira tunduizi na hekima kem kem.

  • @abidandastanmaliyatabu1373
    @abidandastanmaliyatabu1373 Місяць тому

    Kuna majamaa yamekaa humu kama hajui kinachoendelea

  • @sistielkwaslema
    @sistielkwaslema 11 місяців тому

    Message sent & delivered💯

  • @mosesmwasanga7661
    @mosesmwasanga7661 11 місяців тому +2

    Yule ndugu hapo pemben anahitaji msaada sana😢

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 9 місяців тому

      😂😂😂😂😂

  • @shenamtukufu1224
    @shenamtukufu1224 11 місяців тому

    Nakupenda sana kaka joram Huna mangungumabro.

  • @shenamtukufu1224
    @shenamtukufu1224 11 місяців тому +1

    Vtuo uchwala kama iv huwa siangaliag mm ila kwa sababu Yupo mtu ninayempenda kabisa ndio maana nmejikuta natulia kumchek mkatabau. Kina lala lala kifour tupa kule hasara ya taifa iyo.

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 9 місяців тому

    Elimu dunia wimbo mzuri sana

  • @cylousjeremiah3768
    @cylousjeremiah3768 11 місяців тому

    Kaka nakukubari sana kila nikikutizama ninamuona Mwl nyerere ndani yako ww utakuja kuwa raisi wa kizazi chetu

  • @FrancesMngoya
    @FrancesMngoya 11 місяців тому

    Kizazi chenye vichwa Tanzania but serkal inajifanya haioni,
    Nataman one day uende mbugen ukawape somo kdg ya (How to know a good leadership)

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 9 місяців тому +1

      Wachache sana , vijana waliowengi mapunguani

  • @shenamtukufu1224
    @shenamtukufu1224 11 місяців тому

    Mchek uyo dogo uko sjui Yupo apo kufanya nn, jamaa anaongea madini ye Yupo bz na simu dah adi roho inauma kweli Vijana hatuoni mambo mazuri fursa. Mtu muhimu kama huyu amekuja ulipo unakuwa bz na ushenz. Uyo dogo hafai Fala kbs. Au alitaka Bongo flava wawepo appo ndo awe amakinike

  • @cylousjeremiah3768
    @cylousjeremiah3768 11 місяців тому

    Kama itakupendeza nipate cm namba yako nipate namna ya kupata vitabu vyako kwa njia rahisi

  • @abelchacha5977
    @abelchacha5977 3 місяці тому

    Busara na kiswahili sadifu kabisa