Mimi ni mkristo sina tatizo na mtu yeyote kuingia kwenye siasa isipokuwa siungi mkono kutumia dini kama kichaka cha kutafuta ubunge. Maadili ya ukristo hayaruhusu mwanadamu mwenzako kumwita jini.
Hivi unaongoza kabisa gani, maana naona sera mmeishiwa mnahangaika sana. Huyo Mungu gani unaeongea nae. Tafadhali usichange Maasikofu na mashehe kwa ujinga wako. Yaani mnatembea kusukilizia matokeo yaani Chama cha matukio nyie.
Yesu alisema mtawatambua Kwa matendo yako. Wewe ungekuwa wa kweli ungekosoa mabaya lakini wewe unatetea tumbo. Alama ya Jembe na nyundo unaikosoa kipumbavu. Watu wa maana kama Makonda ulimsema vibaya wakati Kwa matendo anayoonyesha yanawapa watu matumaini kuliko porojo zako. Unadhalilisha maaskofu wa maana
Mchungaji wasaidie wauminu wako kuuona ufalume wa mungu ,usimchanganye mungu na siasa ,mungu hajawahikuongea na mchungaji mwenye michanganyo,ukitaka chagua moja kuwa mwanasiasa au mchungaji
mchungaji awasaidie nini waumini wake wanataka kula na maisha bora na hawayapati??hakuna tofauti kati ya dini na siasa mchungaji kama mtanzania mwingine anaweza kutoa maoni yake kuhusu siasa najua angekuwa kwy mkutano wa ccm usingepiga kelele
Wewe huna uwezo wa kuongea na mungu kwa ucha Mingus gani uliokua nao wewe njaaa inakusumbua na utapata aibu 2025 ccm itashinda kwa kushindo sijui utasemaje ccm ikishinda?
Na nyie mnaowasikiliza hao hivi ni kweli rais Haja fanya jambo Jema hata moja kafanya mabaya matupu ?akili za kuambiwa changanyeni zenu wenzenu hao wanatafuta Viwazi ili wapate pesa lakini kusema kwamba watashinda uchaguzi 2025 hiyo ni ndoto ya Mchana hicho chama Tu kinawashinda ogonvi kila siku je ukiwapa nchi mhuuu mana haijulikani hapo rais stakes Nani makamo atakuwa nani waziri mkuu atakuwa Nani
Kama kweli unakemea Ushoga, anza kukemea walimu wa madrasa ambao kila uchao.unasikia Mwl fulani wa madrasa fulani mahakamani kwa kulawiti wanafunzi kadhaa
Mimi ni mkristo sina tatizo na mtu yeyote kuingia kwenye siasa isipokuwa siungi mkono kutumia dini kama kichaka cha kutafuta ubunge. Maadili ya ukristo hayaruhusu mwanadamu mwenzako kumwita jini.
Kumbe unaongea na mungu sasa mbona unatumia nguvunyingi kuongea na mungu ni rafikiyako😅😅😅😅😅
Mchungaji unaongea mpaka mdomo UNANUKA ukimaliza kubwaka kama mbwa koko ukapige mswaki
Wewe mjinga Wacha kutukana watumishi shika adabu yako
Hivi unaongoza kabisa gani, maana naona sera mmeishiwa mnahangaika sana. Huyo Mungu gani unaeongea nae. Tafadhali usichange Maasikofu na mashehe kwa ujinga wako. Yaani mnatembea kusukilizia matokeo yaani Chama cha matukio nyie.
Asante asikofu wewe unakielewa, nchii hii tumeteseka miaka mingi sana, tumekuwa watumwa ndani ya nchi yetu, na maasikofu wengine wakuige wewe,
Amen
Hata samia smkubali ila wwe una akili kabsa
Mmmmh mungu yupi huyooo
Unaongea ukweli mchungaji
Yesu alisema mtawatambua Kwa matendo yako. Wewe ungekuwa wa kweli ungekosoa mabaya lakini wewe unatetea tumbo. Alama ya Jembe na nyundo unaikosoa kipumbavu. Watu wa maana kama Makonda ulimsema vibaya wakati Kwa matendo anayoonyesha yanawapa watu matumaini kuliko porojo zako. Unadhalilisha maaskofu wa maana
HAKUNAGA MAISHA MEPESI DUNIANI!! UKIWA NA PESA UNAWEZA USINYWE CHAI YENYE SUKARI!
Hata magufuti aliteuwa marehemu mbona mlikaa kinyma tu,
Je ni jambo jema kuuza rasilimali za tanganyika
Hivi unavyodhurula. KANISA vipi huna wahumini
Wacha mambo yako😂😂😂😂
Ana hoja zinazohitaji majibu.
Mchungaji wasaidie wauminu wako kuuona ufalume wa mungu ,usimchanganye mungu na siasa ,mungu hajawahikuongea na mchungaji mwenye michanganyo,ukitaka chagua moja kuwa mwanasiasa au mchungaji
mchungaji awasaidie nini waumini wake wanataka kula na maisha bora na hawayapati??hakuna tofauti kati ya dini na siasa mchungaji kama mtanzania mwingine anaweza kutoa maoni yake kuhusu siasa najua angekuwa kwy mkutano wa ccm usingepiga kelele
Wewe huna uwezo wa kuongea na mungu kwa ucha Mingus gani uliokua nao wewe njaaa inakusumbua na utapata aibu 2025 ccm itashinda kwa kushindo sijui utasemaje ccm ikishinda?
Nyundo inatupiga kichwani jembe linatuchimbia kaburi
Hakuna mchungaj hapa ww n mwana siasa na ni kibaraka
Imeenda
Na nyie mnaowasikiliza hao hivi ni kweli rais Haja fanya jambo Jema hata moja kafanya mabaya matupu ?akili za kuambiwa changanyeni zenu wenzenu hao wanatafuta Viwazi ili wapate pesa lakini kusema kwamba watashinda uchaguzi 2025 hiyo ni ndoto ya Mchana hicho chama Tu kinawashinda ogonvi kila siku je ukiwapa nchi mhuuu mana haijulikani hapo rais stakes Nani makamo atakuwa nani waziri mkuu atakuwa Nani
JPM alisema
Kifo kimeumbwa
Nasema Tanzania tuna mizigo ! Huyu askofu ni mzigo. Kwa chadema ! Na msipoangalia atakigawa chama
mzigo anapohoji kuhusu mkataba wa bandari na ufisadi unaoendelea ndani ya seriakli ya Samia
Wewe unajiita askofu hicho cheo kakupa nani kibaka wewe
Nasikitika sana sizani kama ni mtumishi huyu jina lake ni mchungaji mbuzi
ni mchungaji mzuri aliyekataa unafiki na kuzungumza ukweli
Hapana hatufiki mbinguni kwa hali hiii
Maneno nimaneno tu .Ungeachwa ndani mpaka sasa akili ikujiye .Mungu wako shetani .Askofu gani mjinga wewe
jibu hoja, je, Kuna umakini kiwango gani serikalini hadi anateuliwa marehemu na anatangazwa?
Ukweli ukweli ukweli x 1000, je hatuitaki kweli?
Mbona Gwajima anaongeaga pumba ni askofu gani yule?
Clement huyo mjinga haswaaa Mama Samia atashinda kwa kishindo
Clemeni na magreti ni wapumbavu na wajinga
@@andrewkissava9184 Mpumbavu mwenyewe Ccm hamuiwezi kamwe Chadema ikichukua dola njoo nitakupa zawadi ya ajabu hatushindani na wasaka tonge tu
Huwezi kitu Ccm itashinda kwa kishindo nyie kuleni ruzuku tu
Hakika tutachelewa sana kama hata msema kweli anaonekana mbaya
Wewe sio pasta unamamboyako acha kumkashifu mungu ktk mamboyako
YAANI WW NDIO PUMBA KABISA TANGAZA SERA USIMSEMA MTU WATANZANIA HAWAPO HIVYO BADILIKA
ni pumba anapohoji kuhusu mkataba wa bandari na ufisadi unaoendelea ndani ya seriakli ya Samia
MBONA HAHOJI KATIBA YA WENYEKUWEKA MWENYEKITI UKOMO MPAKA UMAUMAUTI WAKE.TOA BOLT KWENYE JICHO LAKO NDIPO UONE KIBANZI KWENYEJICHO LA MWEZAKO
HiyonihIbu
Pumbavu
jibu hoja, ikiwa anayo yaongea si sahihi! matusi ya Nini?
Jembe ni silaha??!!
Nyundo ni silaha??!!
Karne hii alama za nyundo na jembe zimepitwa na wakati.
Duh siasa na Dini kipi kianze Dini au soas
Sijawahi kuona mchangaji mjinga na mpumbavu mkubwa wewe mnafiki ndio sifa ya uasikofu labda ukasimamie msshoga km chama chenu kilivyo
Kama kweli unakemea Ushoga, anza kukemea walimu wa madrasa ambao kila uchao.unasikia Mwl fulani wa madrasa fulani mahakamani kwa kulawiti wanafunzi kadhaa
Nyundo na jembe ni vitendea kazi
Chadema wamekosa sela ni ujinga mtupu uchochezi dini na siasa wapinawapi
Wee ni zaidi ya PUNGUANI. Mbona haujahoji.Askofu Gwsjima ambaye ni Mbunge, yeye hachanganyi dini na siasa??