Mwanachuo auawa kwa kuchomwa na kisu hosteli Morogoro, wenzake wafunguka kwa huzuni

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 79

  • @amedeusfredrick1614
    @amedeusfredrick1614 6 місяців тому +14

    Ila hiyo sijui io PF3 inatuuwa sana, kwann mtu asipatiwe huduma kwanza?

    • @SADICKITHOMAS
      @SADICKITHOMAS 6 місяців тому +1

      Bado tunatumia sheria za kina Carl Peter's bongo

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 6 місяців тому +2

      Yaan Serikali yetu viongozi wanaotuongoza wanajifanya hawatambui madhala ya hili neno PF3 watu wengi tunakufa kwajili ya hii sheria naichukia sana hii PF3 kwakweli

  • @mamakekhubeiby4206
    @mamakekhubeiby4206 6 місяців тому +2

    Inalilahi waina ilahi rajiun poleni Sanaa wafiwa ALLAH AWAPE SUBRA INSHAALLAH

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 6 місяців тому +6

    Hii issue ya PF 3 haijakaa vizuri 😢😢

    • @AmelitaKadudu
      @AmelitaKadudu 6 місяців тому

      Kabisa yaani, Mimi niliteseka baada ya kupata ajali mpk nikaenda private hospital

  • @sharonlisapaul7855
    @sharonlisapaul7855 6 місяців тому

    Nimemaliza hiki chuo 2017 lakini cjawai tokana na hili tukio

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 6 місяців тому

    Daahhhh,,mungu akikuhitaji no way out,,,bora angeiachia tuu iyo cm. Wenda asingechomwa kisu.

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 6 місяців тому +4

    HIYO PF3 NDO INAUWAGA WATU. HEBU REKEBISHENO HILO JAMBO LA PF3. MAANA WAKATI MWINGINE KITUO CHA POLICE KIKO MBALI , SASA MPAKA UIPATE MBONA INAKUWA VIGUMU.

  • @SalmaMushi-l7t
    @SalmaMushi-l7t 5 місяців тому

    Hamna chuo hapo

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 6 місяців тому +1

    Kwani Hospital unashindwa kumuudumia mgonjwa na PF3 ije baadae,so sad😢😢

  • @NoelMagowa
    @NoelMagowa 6 місяців тому +1

    Toen huduma kwanza hiy pf3 badae

  • @augustinejohnnyakatoma8591
    @augustinejohnnyakatoma8591 6 місяців тому

    Kifo hiki kinasikitisha sana

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi 6 місяців тому

    Inalilah wainalilah rajiun polen familia

  • @FekiHappy
    @FekiHappy 6 місяців тому +2

    Mwenye chuo anatoa Malibu rahisi kwenye swalq Zito kutetea chuo chake jinga sana

  • @magejay4715
    @magejay4715 6 місяців тому

    Inauma mnooo 😢😢😢😢

  • @VictorZimba-kg3xr
    @VictorZimba-kg3xr 6 місяців тому

    Tuaje maneno kunajambo hapo

  • @ShahidakasirateShehedas
    @ShahidakasirateShehedas 6 місяців тому +1

    Inalilah wainailah lajiun pumzika kwa amani binti yetu kipenzi

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 6 місяців тому

    Hili swala la PF3 mama aliwahi liongelea kubadirishwa utaratibu wake, lkn mpaka Leo inaonekana hakuna chochote kilicho badirika. Yani mtu kachomwa visu , wanamfikisha hospital ,hata kumpa huduma ya kwanza tu hawawezi mpaka kuwe na PF3 , kibaya zaidi huyo alikuwa mwanafunzi na walio mpeleka ni wanafunzi wenziee, wasi wasi wao ilikuwa ni niniii??? daaa!!!

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 6 місяців тому

    Jamn mrongoro kumezidi kuuwa wanafuz wachuo😢

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 6 місяців тому

    Basi kweli Chuo kifungwe

  • @MagrethMgante
    @MagrethMgante 6 місяців тому

    Mmmh sina uhakka na tukio hl

  • @winniemarco1612
    @winniemarco1612 6 місяців тому

    We i sana mbinu nyingi sana za kuiba
    Siajabu hata huyo dada hawajui wametumia mbinu hiyo kuwapumbaza ili wapate muda wa kuiba

  • @ShabaniNassolo9
    @ShabaniNassolo9 6 місяців тому +1

    Dah miwashanivunjia duka nawameibavitu kk uwomtaa aufai kabisa

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 6 місяців тому +2

    Tanzania bado sana huduma za ovyo za afya mtu amechomwa kisu je mlijaribu kuthibitishi kutokwa Na damu , Na je hamna huko ambulance ambao wangekuja haraka Na wataalamu wa afya ? Na kwanini mtu asitibiwe kwanza ili mambo hayo ya PF3 yafuate ?

    • @ShahiraKduli
      @ShahiraKduli 6 місяців тому

      Fist Aid ⛑️ hakun mpk Pf3

  • @zamalisaide3209
    @zamalisaide3209 6 місяців тому

    Kaka mwenye jezo yanjano unajitambuwa na umeongea pointi sn

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 6 місяців тому

    Hii wanachuo Moro kuuliwa n lapili, kulikon hii p f three c mtu atibiwe kwanza serkali ibalidili sheria,

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 6 місяців тому

    Wanafunxi wagome uishi kwenye hizo hostels na hiyo college wanafunzi wsigomee

  • @faridsalehmohamed1230
    @faridsalehmohamed1230 6 місяців тому

    Hapo kuna walakin mwizi wa simu si muuaji kama ni kiongozi basi kuna walakin

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 6 місяців тому

    Inalilah wainalilah rajighun polen jaman hao hao wanachuo wenzake wachungwe vizur kutajulikana walio muua mwenzao

    • @ummiissaabdulissaabdul8117
      @ummiissaabdulissaabdul8117 6 місяців тому

      Alie uwa alikua yuamjua bizarre uyu msichana mpaka kusema kwa nini waongea na msichana wangu nimtu yuajulikana akichunguzwa

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 6 місяців тому

    Kuna vituko sana huko jamani. Shule izungushiwe ukitaka uweke we gates

  • @Its_Goodluck
    @Its_Goodluck 6 місяців тому +2

    Matukio ya kuua yamezd

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 6 місяців тому

    Yaani mtu kaumia bado hospital inauliza P3 jamani. Utaratibu mbaya

  • @Badvoice707
    @Badvoice707 6 місяців тому +1

    Wanafunzi acheni kuchanganya masomo na mapenz hapo kuna ishu ya mapenzi katikati

    • @Fpcthighwaykihonda
      @Fpcthighwaykihonda 6 місяців тому +1

      Mapenzi umeyaona wapi Broo eb jaribu kuvaa viatu vya wanafamilia dada yako kauliwa alafu mimi nicomment upuuzi kama huo, kuwa na utu

    • @Badvoice707
      @Badvoice707 6 місяців тому

      @@Fpcthighwaykihondamsikilize mkuu wa chuo vizuri

    • @asanathawadhi3878
      @asanathawadhi3878 6 місяців тому

      jaman Morogoro namxhukuru Mungu nikimaliza salama Ila matendo ya kikatilii yanatokea sna haswa Kuna vibaka wanapola simu . Kama ww ni mdada unapolwa simu na ukileta ubishi unachoma visu au unabakwa Kama ni mdada. 😭😭😭😭

    • @Fpcthighwaykihonda
      @Fpcthighwaykihonda 6 місяців тому

      @@Badvoice707 wewe huyo mkuu wa chuo anatetea ugali wake kuwa na akili mimi nilikuwa msibani na CV ya binti nimeisikia huyu binti ni kiongozi wa dini ya kiislam mkoa wa morogoro kwa upande wa wanafunzi

    • @Badvoice707
      @Badvoice707 6 місяців тому

      @@Fpcthighwaykihonda kiongozi ndo hafanyi mapenzi

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 6 місяців тому

    Huyu nae mbona anajikanyagakanyaga simuelewiii

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 6 місяців тому

      😂😂hapa,hapa na mgongoni

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 6 місяців тому

    Funga hosteli niuchafu funga niuchafu funga niuchafu sijui mnanielewa

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 6 місяців тому

    Hiyo hosteli ifungwe niuchafu raisi samia funga hiyo hosteli niuchafu na mauaji naleo nimwanzo yataendeleza. Funga hosteri

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js 6 місяців тому

    Hiki chuo kifungwe

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 6 місяців тому +2

    Kuongea mbele ya camera uwe jasiri ... unaweza kuwa si muuaji ila ukajikuta unaozea "mirembe".

  • @ReyGeorge-in2uk
    @ReyGeorge-in2uk 6 місяців тому +1

    Ongeeni na uongoz wa chuo mchukue wakinzi wa kampun polen wapendwa

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 6 місяців тому

    NA HUKO MOROGORO KUNA MAMBO.

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 6 місяців тому

    Uongo hajasema hivo Kwann unasema na dem wangu uongo nyie mnataka kufunika madudu yenu ili msiharibu Jina LA hostel yenu acheni ubakhil weken mlinzi

    • @lailatmalik7515
      @lailatmalik7515 6 місяців тому

      Yawezekana alisema ili kuwazuga yani wachanganyikiwe wajiulize wakati wanajiuliza anafanya tukio

  • @simonIbrahim-y8v
    @simonIbrahim-y8v 6 місяців тому

    chuo hakina CCTV camera,kama hakuna kwanini?wasimamizi wa chuo hamko salama nyingi ni chanzo Cha matatizo hapo chuoni

    • @sharonlisapaul7855
      @sharonlisapaul7855 6 місяців тому

      Kilikua eneo zuri sana mwanzo lakini huku kilipo hamishiwa ni porini

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 6 місяців тому

    Pf3 pf3. Niushenzi

  • @MussaAlly-t6m
    @MussaAlly-t6m 6 місяців тому

    Dahhh yani sim unauwa 😢😢

    • @irhamseif
      @irhamseif 6 місяців тому

      Bangi mbaya sana

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 6 місяців тому

      Heee Morogoro tena Morogoro unaweza uwawa kwaajili ya kitochi tu

  • @JuhudiYusuph
    @JuhudiYusuph 6 місяців тому

    😢

  • @EmmanuelNyinyigwa
    @EmmanuelNyinyigwa 6 місяців тому

    Someni acheni umaraya mtauwawa wote. Sisi kama wazazi mnatuangusha tunajinyima nanyi mnaenda kudanga

    • @ummiissaabdulissaabdul8117
      @ummiissaabdulissaabdul8117 6 місяців тому +2

      wewe sio mzazi ungekua mzazi na unauchungu usingeongea huu upuzi hasa wakat wa mkasa wa mtoto wa mwenzio

    • @ambroceharouna1612
      @ambroceharouna1612 6 місяців тому

      Zee zima hujielewi sa unaongea mavi Gani mkundu wako

    • @Fpcthighwaykihonda
      @Fpcthighwaykihonda 6 місяців тому

      Uzuri bado unaaishi Mungu akupe mtoto na wewe alaf afanyiwe tukio kama hili au zaidi

    • @EmmanuelNyinyigwa
      @EmmanuelNyinyigwa 6 місяців тому +1

      @@Fpcthighwaykihonda Acha kutetea upuuzi wewe. NI umaraya ndo unao waponza lizikeni na mlicho nacho

    • @EmmanuelNyinyigwa
      @EmmanuelNyinyigwa 6 місяців тому +1

      @@ambroceharouna1612 bado wewe nae mnapenda vyawatu mtakufa kibudu kenge nyinyi

  • @augustinejohnnyakatoma8591
    @augustinejohnnyakatoma8591 6 місяців тому

    Hivi hiyo PF3 na uhai wa mtu Nini Cha muhimu??? Kuna sheria nyingine za kijinga sana na zisizofaa kabisa

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 6 місяців тому

    Wajinga eti anaugojwa wakuzimia siwaseme kweli kama kauliwa hawo Wana hostel wekeni walinzi achana na utapeli iyo hostel ndo walipe kifo cha hajirat wapewe fine Wajinga hostel gani isio na walinzi hatar nyie wazee hamna akili munapeleka watoto wenu pahala hamna walinzi wanawauliwa watoto wenu hicho chuo kifungwe